Salama Na SHUSHO SE6 EP06 FULL SHOW|LUKA 11:9-13 PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 71

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 2 года назад +7

    Sema hiv huyu ni mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yk Kwa mikon yak anasema kapambn mwenyw mume wake alimtoa chini Sana kwenda juu na km amepend ni kwaajl ya mumewe sema binadam hawana shukran

    • @edinanoel6151
      @edinanoel6151 2 года назад +1

      Wew unauwakika au unaongea TU ....Kwan wew ni Christina au mwanae ......msipende kutaka mtu awe anavyotaka

    • @YasintaMpanduji
      @YasintaMpanduji 9 месяцев назад

      Ulikuwepo?, binadamu wengine mna kazi kubwa

    • @WitnessCholobi
      @WitnessCholobi 8 месяцев назад +3

      Mpaka mtu afikie hatua hyo hujui kavumilia kiasi gan don't judge her jaman

  • @latifabattash9666
    @latifabattash9666 2 года назад +14

    Salama anaskiza kwa utulivu sanaa, I like that🤩

  • @terryconstance3515
    @terryconstance3515 2 года назад +4

    😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪hajatwambia poa. Pole sana lakini for the the Con Game.
    Much love from 🇰🇪.❣️

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 года назад +6

    😘😘😘😘😘😘😘Nakupenda sana dada kipindi chako kinanikumbushaga mbali

  • @harunking5418
    @harunking5418 2 года назад +2

    Nampenda sana huyu mdada for real, nyimbo zake zinaniinua sana moyo wangu na maisha yang

  • @johnjohn3839
    @johnjohn3839 2 года назад +3

    Salama,,,,
    What a creativity inside you mamy!!
    Keep it up.

  • @AngelAfrica-w5x
    @AngelAfrica-w5x 2 года назад +3

    Salama umependeza na hizo nywele ziko smart sana zimetulia

  • @mr.graphics3213
    @mr.graphics3213 2 года назад +2

    Huyu dada anajua sana ..
    She is No. One in tz

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 года назад +5

    Wawoo my favourite Show Salama Shukrani mamii 😘

  • @undugumedia
    @undugumedia 2 года назад +8

    Kutoka Trukana #KEnya watching, napenda namna Salama unavyo uliza maswali...Hongera

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 года назад +5

    Ua situation is like mine but to me until now bado sijajitambua but natamani kuw mtu fulani na bado ni house wife 100 percent

  • @khisaerima4143
    @khisaerima4143 2 года назад +1

    Nakupenda bure dadangu....real love from kenya.

  • @nizasiamehenry
    @nizasiamehenry 2 года назад +1

    The great musician of our time!

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 года назад +5

    Jesca kapendeza🔥🔥

  • @lovenessmahsen3433
    @lovenessmahsen3433 2 года назад

    mungu akubariki christina shusho nyimbo zako zina nguvu ya roho mtakatifu....

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 года назад +2

    Good hearted woman

  • @faithnyambura245
    @faithnyambura245 2 года назад +2

    Much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @MRiki03
    @MRiki03 2 года назад +4

    From Dubai Salama nimekuwa kama Chizi kisa hii interview I wish ufanye Back to Back

  • @johnpauloumah5298
    @johnpauloumah5298 2 года назад

    Much Love from Kenya Salama Jabir.

  • @tatudevis6525
    @tatudevis6525 2 года назад +1

    Wow Salmu nakupenda sana 😍😍😍

  • @hadijamasanja7771
    @hadijamasanja7771 2 года назад +1

    Nimependa sana hii interview

  • @johnjohn3839
    @johnjohn3839 2 года назад

    Mwanamke huyu ni mzuri sana.

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 2 года назад +1

    I love her

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад

    Sauti yk nzuri ukiongea

  • @mercymdodo1473
    @mercymdodo1473 6 месяцев назад

    Ajionavyo mtu ndivyo alivyo...

  • @christophercheruiyot5755
    @christophercheruiyot5755 2 года назад

    I like this beautiful lady

  • @happygibson6592
    @happygibson6592 2 года назад +1

    Nice interview😘😘

  • @abedkirway9020
    @abedkirway9020 2 года назад +1

    Salama mtafute pia roze muhando tunapend kujua kuhusu roze muhando

    • @salomefuraha3750
      @salomefuraha3750 2 года назад +1

      interview hii imenifariji nakunitoa mahali

  • @augusteselemani4181
    @augusteselemani4181 2 года назад +3

    Mtagazaji wangu miaka yote

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 года назад +7

    Mbona niliwahi kusikia mine wake akisema yeye ndio aliyegundua kipaji cha mke wake ambaye ndio christina na akamsaidia kuinuka kwa gharama kubwa sana

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 2 года назад +5

    Nimesikia neno “FALA"😄

    • @gracelee61
      @gracelee61 2 года назад +1

      🤣🤣 nilikua natafuta hii comment

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 2 года назад +1

    Bahat bukuku mletee pls

  • @giovanniotto8
    @giovanniotto8 2 года назад

    Nice interview 👍🏻

  • @aprilking8250
    @aprilking8250 2 года назад +1

    Waimbaji wa injili wanalenga pesa wanapoimba tu

  • @ndimbumiabdallah2806
    @ndimbumiabdallah2806 2 года назад +1

    🥰🥰🥰🥰

  • @gracekiondo2541
    @gracekiondo2541 8 месяцев назад +1

    Sasa huko Kenya wasanii wao wanasema huko kwao Kenya hawapewi sapoti.na wewe unasema Tanzania ndio hayohayo!

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 года назад +5

    Huwezi amini salama nipo. Mbali sana lakini nakufuatilia sana.. Ila. Nikikusilimu. DM.. Hunijibu. Mama. Cjui tatizo. Nini🤔

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 2 года назад

    Salama ni msagaji au vipi?

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 2 года назад

    Nampenda salama

  • @marrymakoi1588
    @marrymakoi1588 8 месяцев назад

    Ndo maana ya kuongeza speed ya kumuachia mumeo angalia sana Mungu hatakuacha salama. We jidai TU hujui wewe ni mwanadamu TU. Una makidai sana unajiona una akili kumbe huo ni ubatili TU.

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 8 месяцев назад

      Unampangia maisha kama nani bibilia yasema usihukumu mbona unajifanya wamjua zaid ya vile anajijua ..we shughulikia ya kwako hujui anachokipitia

  • @ibrahimusamani3001
    @ibrahimusamani3001 2 года назад +3

    Kama mimi nilivyo shabiki yako salama

  • @hamisikibwana6642
    @hamisikibwana6642 2 года назад

    MMEO ALIKUAMBIA

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 года назад +1

    MVUTO WA KUOLEWA AU KUOWA
    m.ruclips.net/video/HdR6_C_pnto/видео.html

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 года назад +1

    Kama huwezikuwa muwazi unaenda interview kufanya nini? Mrahisishie Salama

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 2 года назад

      Kwa interview you have a right to answer what you want if you don't want to the interviewer has to respect that.

  • @melangachikubati9253
    @melangachikubati9253 2 года назад

    Accent of burundi but for misfortune she a tanzanian, very sorry for civil wars.

  • @jaziherminiomorasmoras1715
    @jaziherminiomorasmoras1715 2 года назад +1

    Wakenya washamba

  • @dorine6894
    @dorine6894 2 года назад +2

    Huyu christina Mara nyingi anajificha asiseme ukweli ya kuwa yeye ni mkongo wa uvira sio mtanzania na aliishi kambini ya nyarugusu, kigoma..

    • @jennifermmanyema6693
      @jennifermmanyema6693 2 года назад

      Acha uongo Christine hajawah ishi kambin nyarugus achen kumchafua mwenzio

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад

    🙌

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 2 года назад

    She’s my favorite.. but kinge kiiingii.. kiswahili kiswahili kiswahili

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson 2 года назад

    Mwenye namba ya Shusho please anitumie

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 2 года назад

    jesica mitano teno.

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 2 года назад

    Fala....?

  • @Fondo0
    @Fondo0 Год назад

    Shusho hukuwa na majigambo na kiburi yenye imejificha! You mean all the good things Kenyans wamekufanyia unakumbuka iyo ya Cheque? Wewe Baki TZ tu, leave Kenyans alone.

    • @gracekiondo2541
      @gracekiondo2541 8 месяцев назад

      Wala hakusema Wakenya wote sikiliza kwa makini.

  • @carolineoyugi7771
    @carolineoyugi7771 2 года назад +1

    Yani wa bongo bhana mtu hawezi taja kwao wamezaliwa wa ngapi 😏😏😏😏😏

    • @happygibson6592
      @happygibson6592 2 года назад

      Na ww taja idadi yenu kama unaona inakusumbua sana,,,,,acha wivuu ww appreciate mTZ mwenzio ww😂😂😂 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 года назад

      Ajabu sana. Hakuwagi muwazi, sasa kwa interview anaenda kufanya nini? Kuuza sura