BI HARUSI ANAJUA KURINGA HUYU MPAKA RAHA |UTAPENDA ALIVYOMFICHUA SHEMEJI KWA MAHABA |NEEMA’S NIGHT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 119

  • @EmilianaVedasto
    @EmilianaVedasto 9 дней назад +1

    Mungu awajalie ndoa yenu idumu na iwe na Furaha na Amani na upate kustawi

  • @ScolaMashalo
    @ScolaMashalo Месяц назад +2

    Ee Mungu naomba unipe nami wangu

  • @anthoniabosco-sf9nx
    @anthoniabosco-sf9nx 2 месяца назад +3

    Me naamini muda wangu na me utafika ❤kila muda naangali hii sijui kwann yaaan

  • @syliviasimon8415
    @syliviasimon8415 4 месяца назад +11

    Ee mwenyezi Mungu nipe wakunipa furaha wakunifuta machozi,na kutibu jeraha la moyo wngu.Amen

  • @angelathanas5993
    @angelathanas5993 4 месяца назад +10

    Nimejikuta natabasam tu😊😊

  • @DorcasWilliam-n4h
    @DorcasWilliam-n4h 3 месяца назад +1

    hongeren sana mmependeza MUNGU AWABARIKI

  • @GloryFabian-c1o
    @GloryFabian-c1o 4 месяца назад +8

    Neema umechagua au umechaguliwa mkachaguana 😂😂😂😂😂😂 shemela katisha !!!! Sio wengine wakifwata wanakua km wajeda sura wamekaza 😂😂😂😂 mmeendana kwel hongeren

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 4 месяца назад

      Ndugu cku hiyo ulipewa soda za ziada au champagne 🍾?

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 месяца назад +2

    Mpk raha ukimpata wa kufanana nae ❤❤❤

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 2 месяца назад +3

    Anaonekana innocent kabisa. Yaani ni wa kipekee sana huyu binti. Ana kitu nashindwa kukijua lkn ni special 🎉🎉

  • @TherezaLimbe
    @TherezaLimbe 4 месяца назад +1

    Waaoo mnaendan mpk raha nam mung nijalie wakuendana ishaalah🎉❤❤❤

  • @FlorahJohn-v6r
    @FlorahJohn-v6r 3 месяца назад +1

    Mmependeza sana🎉

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 2 месяца назад

    Naomba mungu awalinde katika ndoa yenu mzidi kupenda kwenye shida na rahaa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Jeccylee
    @Jeccylee 4 месяца назад +6

    Waooo mmenoga sana MUNGU na mimi unipe tulizo la moyo

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 месяца назад

    😂 kila bb harus ana figure aloo
    Anyway hongeren kwa hatua hii nzur

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 3 месяца назад +1

    Mungu nione na mm nifurai

  • @Annemumbe-r2z
    @Annemumbe-r2z 3 месяца назад

    DJ chukua maua Yako hongera sana ,, wajua kupanga nyimbo kwa wakati

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 3 месяца назад

    Wamependeza Haswaaa ❤❤❤🎉

  • @GetrudaFaustine
    @GetrudaFaustine 2 месяца назад +1

    hadi kifo kiwatenganishe🎉❤🎉

  • @AgnessAkleo
    @AgnessAkleo 3 месяца назад

    Bwana harusi best sana

  • @SkeetoSsaa
    @SkeetoSsaa 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂saa tulokua atuna wapenz tunafanaj

  • @Viginiankhoma
    @Viginiankhoma 4 месяца назад

    Mumenoga sanaa i like you guys mungu awalinde

  • @emakulata-i4o
    @emakulata-i4o 3 месяца назад

    So good maua yenu wapendanao

  • @Irene-gq9pz
    @Irene-gq9pz 2 месяца назад

    Mungu nimsaidie na mm

  • @MariaDawite
    @MariaDawite 4 месяца назад +1

    Ee Mungu nipe na mm frha nayoitegemea krbunii

  • @LevinaMassawe
    @LevinaMassawe 4 месяца назад +1

    Ongera sana jamni nimejikuata nafurahi tu

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 3 месяца назад +2

    Duh! Wasichana wa enzi hizi wana tusheipu tuzuri aisee

  • @vickynziku6790
    @vickynziku6790 2 месяца назад

    Mungu mwema kila jambo na wakati wake

  • @DamariMbise
    @DamariMbise 2 месяца назад

    Mmependeza jamani yesu awabariki sana

  • @rukiapaulo9428
    @rukiapaulo9428 4 месяца назад +1

    Kila lakheri kwenu❤❤

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 4 месяца назад +1

    Bwanahsrus kajinywea zake yuko njwiiiii

  • @AgnessAkleo
    @AgnessAkleo 3 месяца назад

    Na amepiga vyombo ndyo maaana anajiachia mbaya safi sana

  • @angelwilliam3471
    @angelwilliam3471 4 месяца назад

    Hongera Sana Mungu Mungu akawe baraka katika ndio yenu hakuna mwanamke asiye tamani kuwa na ndoa ndoa ni baraka mshukuru Mungu Sana kuipata ndoa

  • @GetrudaFaustine
    @GetrudaFaustine 2 месяца назад

    hongera umepata ila ututrie na uvumirie kwa shida naraha

  • @aidanmsafy5709
    @aidanmsafy5709 4 месяца назад +6

    Kama mm ni nyani bas mungu nirudishe msituni mungu daah

    • @MercyHamis
      @MercyHamis 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂🙌

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 месяца назад

      😂😂😂😢😢😢 kwanini my dear

    • @TatuHusseni-hs7mu
      @TatuHusseni-hs7mu 4 месяца назад

      Usjali my dear utapata na wew wako kuwa na Subra to

    • @LeylaSaria
      @LeylaSaria 4 месяца назад

      Jamn umeonge kwa uchungu usijal mway

    • @kisaagustino3278
      @kisaagustino3278 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @NeemaSongoro-be6cf
    @NeemaSongoro-be6cf 4 месяца назад +3

    Ee mungu nisikilize na mimi maombi yangu

  • @UniceDickson-s7b
    @UniceDickson-s7b 12 дней назад

    Mc uko vzr jaman yaan hongera kwa kweli

  • @AndrewMarino-d5z
    @AndrewMarino-d5z 23 дня назад

    Eeee inapendeza na me nataman mungu anipe furaha kama hiyo

  • @gracemsimbe8120
    @gracemsimbe8120 4 месяца назад

    Mbele ya ko ❤❤❤🎉

  • @VeronicaMandari
    @VeronicaMandari 4 месяца назад +1

    Hongera kipenzi changu

  • @WinfridaJohn-f1r
    @WinfridaJohn-f1r 4 месяца назад

    Mungu nipe siku nam pia

  • @onlinetraining86
    @onlinetraining86 4 месяца назад +1

    WAMETISHA SANA

  • @MwanaishaJumaa
    @MwanaishaJumaa 3 месяца назад

    Atakupa ishallah

  • @killianmenrufu
    @killianmenrufu 2 месяца назад

    Ayo majukumu mazito sio yakulilia

  • @GetrudaFaustine
    @GetrudaFaustine 2 месяца назад

    hongereni natamani nirudi ujana

    • @blandinakimbe8910
      @blandinakimbe8910 Месяц назад

      Maisha fumbo wa kufanana sio tabia kuchukuliana wengi tunawaza mengi

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 3 месяца назад

    Rahaa sanaa jmn

  • @FaibeNsunza
    @FaibeNsunza 2 месяца назад

    Waooooooo

  • @ShufaaAbdi
    @ShufaaAbdi 3 месяца назад

    Baba nae anakuwepo

  • @FaaniAli-jg5zh
    @FaaniAli-jg5zh 4 месяца назад

    Kwa mtazamo huo huko honeymoon utoboi😂😂😂😂😂😂

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 месяца назад

    Mtangazaji tulia kidogo

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou 4 месяца назад

    Amiin

  • @furahaakilei7336
    @furahaakilei7336 4 месяца назад

    Mungu naomba na mimi unibariki ndoa nifurahi eee na mimi❤❤❤❤❤

    • @fetyalmas698
      @fetyalmas698 4 месяца назад

      Yaliyomo humo ndani ni mazito shoga angu ukiingia unaanza kujuta

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 4 месяца назад +7

    Bwana harusi kapiga maji yamekubali

  • @anthoniabosco-sf9nx
    @anthoniabosco-sf9nx 2 месяца назад

    Katika harusi zote nimeangali ila hii noma kwanza wanafuraha adi raha mkp nataman sasa kuolewa

  • @SwumuMvung
    @SwumuMvung 4 месяца назад +4

    Eeemungu nibariki na mimi nipate wa kwangu 😢

  • @SwumuMvung
    @SwumuMvung 4 месяца назад +3

    Mungu jamani 😢kwanini na mimi sipati au kama ni mamba nirudishe baharini nimechoka haya maisha 😭😭😭😭

  • @YasminOmary-m9g
    @YasminOmary-m9g 3 месяца назад

    Kuna wale hafu kuna ss rahaaa

  • @PaulinaMlelwa-pv9fw
    @PaulinaMlelwa-pv9fw 4 месяца назад

    👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰

  • @sophiamgina7429
    @sophiamgina7429 4 месяца назад +2

    N huyo meme mwakan❤🎉

  • @neemavitalis9098
    @neemavitalis9098 4 месяца назад +1

    ❤❤🎉

  • @sophiabonaventura8229
    @sophiabonaventura8229 4 месяца назад +18

    Eeeh Mungu unipe na mimi furaha hii

  • @annyjoyceungelle1711
    @annyjoyceungelle1711 Месяц назад

    MUNGU AWATUNZE ADUI ASIPATE NAFASI MILELE

  • @pendogwisu
    @pendogwisu 2 месяца назад

    Mc unaboa unavochekea maneno

  • @theresiashaban6942
    @theresiashaban6942 4 месяца назад

    🎉🎉🔥🔥🌹

  • @SanjerSaimon
    @SanjerSaimon 4 месяца назад

    Kama najiona vile 😊

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 4 месяца назад

    Maisha yenye akiliii......nyingiii

  • @veronicalugenge1950
    @veronicalugenge1950 2 месяца назад

    Dah mpaka wanafikia hii hatua ivi uwa wanaongea lugha gani wakaelewana jaman😢😢😢 Mungu sikia kilio changu na mimi

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r 2 месяца назад

      Muombe Mungu atakusaidia....pia unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume behave sana ...usijirahisi wanaume wanaangalia wife material...Mungu akukumbuke

  • @SalamaBaaliya-zs1ol
    @SalamaBaaliya-zs1ol 4 месяца назад

    Nguo nzuri saana ila nyonyo kuwa nje

  • @HappynessPaul-j6f
    @HappynessPaul-j6f 4 месяца назад +2

    Jina la wimbo jamani

  • @BonfaceWafula-n9q
    @BonfaceWafula-n9q 4 месяца назад

    Hĥhĥ