BW HARUSI AWAKOSHA NA KUWATAMANISHA NDOA WAREMBO WENGI KWA SURPRISE ALOMFANYIA BI HARUSI |UTAIPENDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 55

  • @AnitaApolinary
    @AnitaApolinary 3 месяца назад +2

    Jaman Raphael 💪💪💪💪mpiga tarumbeta Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine ktk kazi yako🔥🔥🔥🔥

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 3 месяца назад +11

    Kuna mm Sina bahati katika haya maisha sijui kwanini nimemuachia mungu ndo anaepanga IPO siku huenda na mm nikapata wangu mungu nisikie maombi yangu

    • @tumamwinyi402
      @tumamwinyi402 3 месяца назад +1

      Ameen

    • @Brunoh90Tv
      @Brunoh90Tv 3 месяца назад

      @@tumamwinyi402 Njoo tuyajenge shida mnatudharau sisi tunaowatafuta humu

    • @BiubwaMuhammed-un3dt
      @BiubwaMuhammed-un3dt 3 месяца назад

      Kwani huna au unae lkn haeleweki

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 3 месяца назад +5

    Safi sana mungu awatunze b na bw

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад +1

    Namshukuru Muñgu kwa yote

  • @LucySikai
    @LucySikai 2 месяца назад

    Hongeraaa mmependeza saana

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 3 месяца назад +3

    Impendezaa❤❤

  • @FURAHAMWAFULANGO-kj5lr
    @FURAHAMWAFULANGO-kj5lr 3 месяца назад

    Ongeren sana kwa kwel MUNGU wa mbinguni awe nanyi cku zote za maisha yenu

  • @REHEMAMUNA-p5v
    @REHEMAMUNA-p5v 3 месяца назад +1

    Mungu awajalieni muitunze sakramenti yake muishi Nayo

  • @BerenadethaPaus
    @BerenadethaPaus 3 месяца назад +1

    Hongeren mungu awabarik sana

  • @EliwadaKikoti
    @EliwadaKikoti 3 месяца назад +11

    E mungu na mim nakuomba unipe mume sahih

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 2 месяца назад +1

    Pambe sana

  • @sabinamchome5712
    @sabinamchome5712 3 месяца назад

    Mpaka nimesisimka jmn ❤❤❤❤

  • @MariaDawite
    @MariaDawite 3 месяца назад

    I like it..❤❤🎉

  • @mwanaidisudi8965
    @mwanaidisudi8965 3 месяца назад

    Wengine sasa😂😂😂😂 ngoja niache 🙆🤦

  • @ericaedenthomas8710
    @ericaedenthomas8710 3 месяца назад

    Beautiful

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад +6

    Ushauri tu wahudumu wa chakula na vinywaji muwe mnavaa nguo zinazoendana na uzuri wa sherehe mashati meupe yenye kola na sketi au suruali nyeusi, kwenye hizi polo za kijani mnaharibu sherehe wengine halafu wengine hata nywele hamjachana vizuri, sio haki kwa sherehe mjirekebishe

  • @ImeldaMpulule
    @ImeldaMpulule 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @salmagodfrey4043
    @salmagodfrey4043 3 месяца назад

    I like it ❤❤❤

  • @timothchidebwe
    @timothchidebwe 3 месяца назад

    Mzaz mzazii 2

  • @dianacornely4600
    @dianacornely4600 3 месяца назад +1

    Mungu tubariki na Sisi😢

  • @Enugundani8299
    @Enugundani8299 2 месяца назад +1

    mie sijaona kitu cha ajabu hapo, vyote kawaida sana

  • @LucySilvanus
    @LucySilvanus 3 месяца назад

    Hongereni jamani mmeupiga mwingi

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 3 месяца назад +1

    Tunaishi mara moja tu hapa dunia ,acha upendo utawale

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 3 месяца назад

    Mbarikiwe sanaa

  • @LucyMbike
    @LucyMbike 3 месяца назад

    Muombe mungu Anasikia be

  • @MariamMbeye
    @MariamMbeye 3 месяца назад

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 3 месяца назад

    Jamani Kuna watu wako romantic❤

  • @Bikarezi
    @Bikarezi 3 месяца назад

    Iwe ni serious

  • @EggyLuoga-kv9xx
    @EggyLuoga-kv9xx 3 месяца назад +1

    Wasindikizaji wenzangu duniani tuendelee kusoma koment na kukenua bila kuchekeshwa

  • @sophiabonaventura8229
    @sophiabonaventura8229 3 месяца назад +19

    Dah kuna wanawake wana bahati sana,kupendwa hakika ni bahati.

    • @ShemayaDigna
      @ShemayaDigna 3 месяца назад +1

      😅😂😂

    • @Brunoh90Tv
      @Brunoh90Tv 3 месяца назад +1

      Ni ww tu jinsi unavyojiweka na kuw na msimamo

    • @sophiabonaventura8229
      @sophiabonaventura8229 3 месяца назад

      @@Brunoh90Tv hujui watu tunaptia nn kwenye mahusiano yetu hapa.

    • @blasiusmagembe7061
      @blasiusmagembe7061 2 месяца назад +1

      Punguzen kudanga mtapendwatu maku huo niwajib wa mwanaume yoyote

  • @SalomeMakyao
    @SalomeMakyao 3 месяца назад

    Nikweli🎉❤❤

  • @JUDITHPAUL-c5d
    @JUDITHPAUL-c5d 2 месяца назад

    Kupendwa Raha nyie

  • @StephanoCharles-d3v
    @StephanoCharles-d3v 3 месяца назад

    Hongeren sana

  • @MAMAKAGOMA
    @MAMAKAGOMA 2 месяца назад +1

    Si atokee mtu anipende na mimii

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 Месяц назад +1

      The more information came to me because am o read for everything

    • @MAMAKAGOMA
      @MAMAKAGOMA Месяц назад

      @yusufuheri6524 kwelii au sijaelewa mana lugha sio yangu

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 Месяц назад

      @@MAMAKAGOMA kweli sikudanganyi

    • @MAMAKAGOMA
      @MAMAKAGOMA Месяц назад

      @@yusufuheri6524 kumbee..haya nakusubiri ujee

    • @MAMAKAGOMA
      @MAMAKAGOMA Месяц назад

      @@yusufuheri6524 sawa

  • @LucyMbike
    @LucyMbike 3 месяца назад

    Kakika muungu atakupa Alie. Tayari

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 2 месяца назад

    Ivi ua linaliwa?

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 Месяц назад

      Ndio afu baada ya hapo unaenda chooni kabisa

  • @MaimunaBakari-cf5ph
    @MaimunaBakari-cf5ph 3 месяца назад +1

    😢😢😢😢

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MagrethFrank-q9c
      @MagrethFrank-q9c 3 месяца назад

      mungu awapekupenda sana mdogo wangu umependeza sana

  • @mariamsajiti4763
    @mariamsajiti4763 3 месяца назад

    Hata wazazi unewasahau

  • @omariabasi1086
    @omariabasi1086 3 месяца назад