Christina Shusho..you're a blessing..keep praising God...the eagle doesn't do it's fights on the ground,but high above,where the enemy won't be able to continue fighting,but will definitely give up and the eagle soars higher..the Lord bless your ministry.
Shida hapa Christina amezungumza kizungu. Angesimulia kwa kiswahili, watanzania wangemuelewa, wasingemhukumu. Mume alishamkataa na kumrudisha kijijini kwa wazazi wake mwaka 2010. Christina akarudi Dar akaanza maisha mapya ya kumtumikia Mungu asilimia mia moja, BILA NDOA SABABU MUME AMEMKATAA! Miaka yote hiyo tangu 2010 amekaa kimya hamjui maisha yake kiundani. Leo kaamua kutoa ushuhuda jinsi Mungu amemtendea mnamuhukumu! Mungu anajua maisha yake tangu waachane, na anemuinua hiyo miaka yote. Muache mama wa watu aishi maisha yake. Christina songa mbele achana na kilele za chura!!! MUNGU MBELE!!!
Ndo uwa mnasaidiana kula sadaka za hapo church yenu n yye we ndo unamjua kiundan kaaa kwa tulia kula nyama nyamza ..omba macho ya rohon ujue kaz znazoendleaa ktka ulimwengu huu.utajuwa vizur kwa nn amebadilika ashaurik aambiw .kitu ujui tulia unafkir watu wte wanaongea mbovu kma zako
This was a most informative message. Christina has brought in a clearer angle of where she is coming from and where she is headed to. She is a woman of God with a clear vision and nothing will stop her. I admire her eloquence and great sense of duty. May God bless you Christina, and may he give you all the comfort and favour you may require to carry on with the Lord's mission. Lots of ❤️ from 🇰🇪.
Christina Shusho jua kwamba kuna watu walipitia maisha magum ktk ndoa zao lkn walinyamaza na hawakuvunja ndoa zaid sana walimpa Mungu Utukufu, rudi kwenye ndoa yako tafadhali.
Ila ulikuwa wa kishua!!!! Hadi ice 🧊 cream ulitengeneza maana yake mlikuwa na fridge, halafu hii kjiongeza ndio usaidizi wenyewe kama mke according to bible, sio mateso , na swala la kupenda sio jukumu la mwanamke ni jukumu la mume,
shusho umeshiba...mutu akishashiba anajiona leo jana yake anaisahau ... so unaona hustahili watu waliyokutengeneza kuwa wewe jinsi ulivyo leo...ebu kumbuka ulipotoka wapi !! tujifunze kushukuru
Hail to Shusho our very own our talented and beautiful singer of all time She is talented beautiful hard worker and more she is amazing We love you Tina
Waaah! I didn't know this awesome woman of God knows very fluent English and that she can be that bold and assertive in a cloud. Christina, sorry for what befall you I your earlier days of your marriage. When we keep advising you to stick to your marriage, kumbe there is disheartening story behind your life journey. It is well Christina. If you were in Kenya utaolewa na ukae maisha safi sana. Tunakupenda sana Kenya vile dunia yote inakutambua. I love you much you child of God. Keep it up.
Ila ni ngumu sana kwake yeye Christina na kwa mumewe pia, kama from the very first place hapakuwahi kua na love it’s very hard….!! Let’s leave this matter to God!!🙏
Ni kweli wewe ni mtu wa kijijini pale Congo sehemu inayo hitwa Yungu ndo nyumbani kwenu. Sasa wewe Christina mbona ume hahibisha wana wake wote na wana ume wote. Pole sana Christina shetani yuko na wewe.
Unapotoka katika wingu la Mungu usikubali kuendelea katika Hali hiyo geuka Rudi hata kama kwa gharama ya aibu,aibu kwa watu si kitu Bali kurudi katika wingu la utukufu
Dunia imeisha yaani watu munapiga makofi kwamba ujumbe huu umetoka kwa Mungu atupe andiko linalo muruhusu kuachana na mume wake sio mawazo yake anapotoa maelezo asimutaje Mungu hayo Ni mawazo yake ,Mungu akikuita kumutumia sijawahi kusikia kwamba iache ndoa yako Mungu akusaidie nimefuatilia Sana maneno yako unataka kuleta elimu mpya kwenye ndoa Za watu kwa mawazo yako Mungu anachukia kuachana pia alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe hayo umeyapata wapi? Tuonyeshe andiko Hilo sio maneno mengi acha kuudanganya umma ,shusho tulia kwa Bwana majibu yapo
christine ,kumbuka yakwamba Ndoa ilianzishwa na Mungu na kwa mpango wa Mungu , Talaka Haikuemo. Soma maandiko vizuri .Nithambi ilileta Mutengano Kati ya Mungu na muana damu ,Vilevile katika ndoa usipo elewa kusudi la Mungu ndaani ya maisha yako na Mungu Utatenda Mapenzi ya shetani .kumbuka Mungu anachukia Talaka haswa zaidi kwa Watumishi wake vilevile Kanisa linaanzia Nyumbani Likiekea kwa Mathabau .christin nina suali kwako utajitetea Aje mbele Ya kiti cha enzi Mbinguni? kwa wanadamu ni raisi Jee, Na kwa MUNGU?
I can relate hii story na ile ya laban na Jacob.. Jacob alienda kwa laban akiwa na baraka zake kila kilchoendelea ikiwemo mifugo mingi kuzaliwa pale ilikua sababu ya Jacob mwenyewe I can relate hii story na shush huyu mwanamke alikua tayari ameshabarikiwa na Mungu huyo mume wake ilikua ni njia tu Mungu allifanya ili kudhihirisha kilichokua ndani ya shush..
hahahaha kina christina wengi huwa wako hivyo sijui kwa nini nimeona more than 4 christina wanaacha waume zao,labdaa maana ya christina na mwanamke kumuacha mumewe
Hiki kizazi cha nyoka kwakweli kwani lazima utafute kujiosha ..mlikutana ..mmeachana endelea na maisha yako ..wanaume wasichafuliwe jamani kwa taarifa tuu hao ni wawakilishi wa Mungu ndani ya familia
Ushuhuda mzuri wa maumivu na kujifunza jinsi Ukimpenda MUNGUA hakuachi, ila pia awasamehe wote Kama Yusufu aliuzwa nao hawakujua atakua Nani lkn aliwasamehe na kuwa nao pamoja so nawe familia tayari Ni sehemu yako Tina love them support them be with them to make the difference that GOD is LOVE
Ni rahisi sana kutoa comment mbaya na nyingine ni njema ila uzito wa mambo na maisha anaujua mhusika, tusipende kutoa hukumu Mungu aonaye siri ndiye pekee mwenye hukumu ya kweli kwenye maisha ya mwanadam
Wote wanaomsema vibaya Christina mmamwonea wivu,na alivyo mzuri kwa sabb hakuna andiko linalomruhusu mtu kumtukana mwenzie,eti unasahau dhambi zako nyingi kuliko za shusho.
Hana shukurani huyu.Muilizeni MBC Hot Media ( Mr Forgen ) awaambie jinsi mume wake alivyomsaidia . GOSPEL is the good news of reconciliation not damaging like this. Mumewe amemsomesha hata hako ka Kingereza ni kazi ya mume wake !!!!
Kabsaaa saah uy mathee anatumika na nguvu za giza ndp mana unaona wote.walioachana na mabwana zao wamefungua church ili waendlee kuaribu akil za wanawake wengne wasitii waume zao wakimbie kwa ndoa zao
Humjui Christina wa mwanzo aliyeanza kuimba nyimbo za Mungu kwa utukufu mkubwa si huyu wa sasa anayeandaa na matamasha na wasanii wa Bongo flavour , huyu alishaingia mikataba na aliambiwa sharti la kwanza amuache mume wake.
Kuolewa kwa msichana akiwa bado mdogo sio kusema ndiyo vibaya. Kwetu Sisi waafrika, wasichana wengi uolewa wakiwa wadogo na maumbile yao uruhusu hivyo. Wala sio kusema hiyo hali umloga mtu hasihishi na mume wake hadi kutengana wakati mumoja ametoweka! Mfano wa dada Christina Shusho ni wake wa pekee. Na mimi naona anatoa uzuru wala sio sababu ya kweli ya yeye kuamua kuachana n'a mume wake.
Mpuuzi sana .. ndoa za zamani wanaume na wanawake walikua na upendo...walikua wanaishi na ndugu zao ukiolewa ukakuta familia ina maisha yao uliyoyakuta usuwabadulishe wawe unavyotaka ww,labda kama unawasaidia kukua kiuchumi kuwapekeka shule na kazi au biashara lkn sio nature ya maisha yao...huyu anatafuta kujitetea lkn hakuna kitu...mpuuzi
In first place ndoa haikuwa, na upendo, ila ni convenience ya wazazi eti asijeakaharibikia nyumban😢 wanaume kasiriken mtukaneni ila wanawqke wasiku hizi are not fools ukizingua tunasepaaa!
Wenzie at that age tulikuwa tunafanya kazi serikalini na kulea wadogo zangu,Sasa yeye anasemaje alikuwa aliolewa akiwa mdogo?mtoto kwa Tz ni 17 yrs to 0
Kila wakati mwanadamu atendapo dhambi shetani humpa visababu vya kujitetea na kufunika madhambi na makosa yake :watu wanalia kwa kukosa ndoa zenye heshima na wewe Mungu kakupa meema kwa mapema ma kuolewa na Mtumishi wa Mungu....harafu sasa Mungu kazidisha neema kwa kukupa kipawa Cha uimbaji ;sasa umeingiwa na kiburi....elewa kwamba kiburi hutangulia anguko. Dawa ni kutubu.
Christina Shusho..you're a blessing..keep praising God...the eagle doesn't do it's fights on the ground,but high above,where the enemy won't be able to continue fighting,but will definitely give up and the eagle soars higher..the Lord bless your ministry.
Shida hapa Christina amezungumza kizungu. Angesimulia kwa kiswahili, watanzania wangemuelewa, wasingemhukumu. Mume alishamkataa na kumrudisha kijijini kwa wazazi wake mwaka 2010.
Christina akarudi Dar akaanza maisha mapya ya kumtumikia Mungu asilimia mia moja, BILA NDOA SABABU MUME AMEMKATAA!
Miaka yote hiyo tangu 2010 amekaa kimya hamjui maisha yake kiundani. Leo kaamua kutoa ushuhuda jinsi Mungu amemtendea mnamuhukumu! Mungu anajua maisha yake tangu waachane, na anemuinua hiyo miaka yote. Muache mama wa watu aishi maisha yake.
Christina songa mbele achana na kilele za chura!!! MUNGU MBELE!!!
Ndo uwa mnasaidiana kula sadaka za hapo church yenu n yye we ndo unamjua kiundan kaaa kwa tulia kula nyama nyamza ..omba macho ya rohon ujue kaz znazoendleaa ktka ulimwengu huu.utajuwa vizur kwa nn amebadilika ashaurik aambiw .kitu ujui tulia unafkir watu wte wanaongea mbovu kma zako
This was a most informative message. Christina has brought in a clearer angle of where she is coming from and where she is headed to. She is a woman of God with a clear vision and nothing will stop her. I admire her eloquence and great sense of duty. May God bless you Christina, and may he give you all the comfort and favour you may require to carry on with the Lord's mission. Lots of ❤️ from 🇰🇪.
Christina Unajua na Kinge kipo on point Bravooooo
Christina Shusho jua kwamba kuna watu walipitia maisha magum ktk ndoa zao lkn walinyamaza na hawakuvunja ndoa zaid sana walimpa Mungu Utukufu, rudi kwenye ndoa yako tafadhali.
Jaman msipende kuhukumu mtu bila kujua maisha yake kwa undani zaidi kiatu alichokivaa anakijua mwenyewe amjuaye vyema ni Mungu tu na si wanadamu.
Wewe ni mtu mwema
Si kaongea vyote( mateso yote) sasa hatujui ninyi na kaongea yote!!
Iko njia ionekanayo njema machon pa watu but ni njia za mauti!!! Mungu tusaidie
Her very own words
Powerful testimony, thanks Christina for sharing you life story with us. God bless.
mwanamke keshakuwa na pesa sasa anamuona mumewe aliyemtoa jalalani kuwa si kitu
@@musa-v3f umasikini inafanya mutu kuhitika akina Nani
Mhhh
Ila ulikuwa wa kishua!!!! Hadi ice 🧊 cream ulitengeneza maana yake mlikuwa na fridge, halafu hii kjiongeza ndio usaidizi wenyewe kama mke according to bible, sio mateso , na swala la kupenda sio jukumu la mwanamke ni jukumu la mume,
May God go ahead of you
This language is very simple I can almost understand everything.
shusho umeshiba...mutu akishashiba anajiona leo jana yake anaisahau ...
so unaona hustahili watu waliyokutengeneza
kuwa wewe jinsi ulivyo leo...ebu kumbuka ulipotoka wapi !!
tujifunze kushukuru
Hongera dada Christna, ushuhuda mkubwa sana unatia moyo, nakufurahia nakupenda...wewe ni mtumishi Roho mtakatifu aongoze hatua zako
Beautifully intetpreted and blessings to Christina.
Pole sana dada. Mungu aendelee kukutetea zaid dhidi ya maadui zako. Binadamu huwez waziba midomo. Only God knows.
Hail to Shusho our very own our talented and beautiful singer of all time She is talented beautiful hard worker and more she is amazing We love you Tina
Huyo shusho ndo mumeo na baraka zako zilikuwa mikononi mwako. Mungu akusamehe
Love you mommy.only woman who has such past can understand you.Gods love is with you all through.
Hongera sana Christina Mungu huyu akulinde sana change usiyumbishwe na maneno maovu ya mitandaoni
Waaah! I didn't know this awesome woman of God knows very fluent English and that she can be that bold and assertive in a cloud. Christina, sorry for what befall you I your earlier days of your marriage. When we keep advising you to stick to your marriage, kumbe there is disheartening story behind your life journey. It is well Christina. If you were in Kenya utaolewa na ukae maisha safi sana. Tunakupenda sana Kenya vile dunia yote inakutambua. I love you much you child of God. Keep it up.
Acha kumwinua alishapotea
She is a professor in maths.
God's grace is sufficient
@@marykyley836 a professor in maths? From which university please?
Pengine angeolewa baada ya miaka 19 aliyoitaka asingefikia hali ya sasa kwa kuwa aliiniliwa na kupata mafanikio akiwa na John Shusho
Ila ni ngumu sana kwake yeye Christina na kwa mumewe pia, kama from the very first place hapakuwahi kua na love it’s very hard….!! Let’s leave this matter to God!!🙏
Well said
Frankly said
Exactly...
Ua ver wise
Unaongopea😂wengine
Kwa kweli dada Christina umekuwa na ushuhuda wa ubinafsi wa kupitiliza!
Yaani utadhani mume wake hana mchango wowote, ubinafsi wa kiwango cha juu mno.
It's her life
mkarimali hongera Sana nimependa
God bless you Mama. Someone is encouraged Mama
Christina God is faithful & you're a seed of God
Ni kweli wewe ni mtu wa kijijini pale Congo sehemu inayo hitwa Yungu ndo nyumbani kwenu.
Sasa wewe Christina mbona ume hahibisha wana wake wote na wana ume wote.
Pole sana Christina shetani yuko na wewe.
Unapotoka katika wingu la Mungu usikubali kuendelea katika Hali hiyo geuka Rudi hata kama kwa gharama ya aibu,aibu kwa watu si kitu Bali kurudi katika wingu la utukufu
Usitumie madhabahu kujitakasa je Leo ndio umegungua hilo au ndo unatangaza kuwa kujaolewa
Wito wa Mungu tunautazama mwisho wa safari si mwanzo
Kwani wangapi wanaachana na waume zao au wake zao na bado wameokoka
Mungu auponye moyo wako
Acha kumshirikisha Roho mtakatifu na ukahaba.Eti roho amekushukia utoke ktk ndoa yako.Muogope Mungu.
Siri ya mtungi aijua kata
Usihukumu usije nawewe ukahumiwa.Yeye atabeba msalaba wake mwenyewe.
Waah your testimony imenivunja moyo😢,,,tena umeni encourage in this journey of life
Acha kuwa encouraged kwa upumbavu..
Amen abuse man will come to blame her
Nimeumia sana kumuita mmeo jamaa Mungu na akulipe kulingana na matendo yako. Kumbuka bila huyo jamaa usingekua hivyo ulivyo leo
Mungu Ndio kataka tina awe hivyo
Aiseee wanawake wa Africa wakitajirika n umaarufu n kosaa kubwa sana wallah
Your story is qn eye opener ....
MUNGU AKUHURUMIE SANA MAANA WEWE NI MWANAMKE USIOSHUKURU KBS
Mmewe alimtoa KIGOMA kibirizi hata kiswahili alikuwa hajui vzr Leo anamuita Jamaa duhh hii ndoo dunia tenda wema uende zako, Mungu anakuona
Ila wanawake nomaaa sana
Hata wewe kunasehemu ulitolewa na Mtu, haimaanishi umwabudu huyo mtu hata kama anakukosea!
Fundisheni watu ukweli siyo unafiki
Kwani pale ulipo olewa na miaka 19 , MUNGU hakuwa nawe?
@@KidotiiNDOA ni NDOA
Alafuuu ni mkimbiziii 😂😂😂😂😂😂
Huyu mda cmrefu..utamskia anamgombania Diamond na naye utadkia ana Mtoto wa diamond. Naongea leo ..lakin 2simsingizie Mungu hapa
Dunia imeisha yaani watu munapiga makofi kwamba ujumbe huu umetoka kwa Mungu atupe andiko linalo muruhusu kuachana na mume wake sio mawazo yake anapotoa maelezo asimutaje Mungu hayo Ni mawazo yake ,Mungu akikuita kumutumia sijawahi kusikia kwamba iache ndoa yako Mungu akusaidie nimefuatilia Sana maneno yako unataka kuleta elimu mpya kwenye ndoa Za watu kwa mawazo yako Mungu anachukia kuachana pia alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe hayo umeyapata wapi? Tuonyeshe andiko Hilo sio maneno mengi acha kuudanganya umma ,shusho tulia kwa Bwana majibu yapo
Nasikitika kama uliachana na mume wako dah mimi nyimbo zako za mwanzo ndo nilizipenda but za sasa dah.
Hata mimi nyimbo za nyuma. Ni kawaida ya wanawake wakifanikiwa lazima awe na kiburi
Mke wangu angekiwa anaabudu kwako hapo ningempga stop haraka sana mana Mchungaji gani kamuacha mumewe?
Ndo anaaribu wanawake wengne
Much love to you sister Christine may God bless you ❣️
Shusho mungu anakuona ulianza kwa roho na unamaliza na mwiili😢😢😢😢😢 you need God deliverance
Kwa Mara ya kwanza kabisa,nimeiskia kwa ufupi ushuhuda wa ma Christina, nimekupenda zaidi
Thank you...of God lives I will.live. If God is able I will succeed
It's time to be on Top Tina.....
The pain was to take u to another level mti mwema hupurwa mawe lakini pesa zikakupa kiburi ukamsahau Mungu wako. Tubu Christina umrudie Mungu.
😅daaa haya mambo mazito ,pole dada Christina tuko pamoja imba Sana
christine ,kumbuka yakwamba Ndoa ilianzishwa na Mungu na kwa mpango wa Mungu , Talaka Haikuemo. Soma maandiko vizuri .Nithambi ilileta Mutengano Kati ya Mungu na muana damu ,Vilevile katika ndoa usipo elewa kusudi la Mungu ndaani ya maisha yako na Mungu Utatenda Mapenzi ya shetani .kumbuka Mungu anachukia Talaka haswa zaidi kwa Watumishi wake vilevile Kanisa linaanzia Nyumbani Likiekea kwa Mathabau .christin nina suali kwako utajitetea Aje mbele Ya kiti cha enzi Mbinguni? kwa wanadamu ni raisi Jee, Na kwa MUNGU?
Wewe ndio usome mandiko vizuri mmekua watu wa kutafsiri bible vibaya na kwa hisia zenu Acha kuhukumu wewe
Mungu akifanyie lililokusudi lake tuuu! Sisi hatujui ila Mungu aonaye sirini anajua yote, Mungu asikuache hadi mwisho wa maisha yako
I can relate hii story na ile ya laban na Jacob.. Jacob alienda kwa laban akiwa na baraka zake kila kilchoendelea ikiwemo mifugo mingi kuzaliwa pale ilikua sababu ya Jacob mwenyewe I can relate hii story na shush huyu mwanamke alikua tayari ameshabarikiwa na Mungu huyo mume wake ilikua ni njia tu Mungu allifanya ili kudhihirisha kilichokua ndani ya shush..
Mungu nifundishe kunyamaza maana sielewi
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hahahaha kina christina wengi huwa wako hivyo sijui kwa nini nimeona more than 4 christina wanaacha waume zao,labdaa maana ya christina na mwanamke kumuacha mumewe
Hata mimi sielewi kwakweli sijui ni comfidence yakupitiliza au nini?
Me too
Powerful testmony my sister christina shusho God bless you
Shout out you FEMINIST 😊😊😊
Hiki kizazi cha nyoka kwakweli kwani lazima utafute kujiosha ..mlikutana ..mmeachana endelea na maisha yako ..wanaume wasichafuliwe jamani kwa taarifa tuu hao ni wawakilishi wa Mungu ndani ya familia
you are beautifull and fighter. God bless u
Lots of ❤,🇰🇪
Aminaa Barikiwa
Translator nikama monica wa masanja
I love you dear. You're my role model...hope to meet you one day. May God protect you and preserve you for His own Glory
Ushuhuda mzuri wa maumivu na kujifunza jinsi Ukimpenda MUNGUA hakuachi, ila pia awasamehe wote Kama Yusufu aliuzwa nao hawakujua atakua Nani lkn aliwasamehe na kuwa nao pamoja so nawe familia tayari Ni sehemu yako Tina love them support them be with them to make the difference that GOD is LOVE
Ni rahisi sana kutoa comment mbaya na nyingine ni njema ila uzito wa mambo na maisha anaujua mhusika, tusipende kutoa hukumu Mungu aonaye siri ndiye pekee mwenye hukumu ya kweli kwenye maisha ya mwanadam
My gal my story. if you made it I will make it
Vizuri sana Mungu ni mkubwa sana Christina songa mbele watu wasikutishe
Congratulations Cristina for realizing your dream.i love you so much.
Congratration shusho, indeed you re our influencer.
Wote wanaomsema vibaya Christina mmamwonea wivu,na alivyo mzuri kwa sabb hakuna andiko linalomruhusu mtu kumtukana mwenzie,eti unasahau dhambi zako nyingi kuliko za shusho.
We unatetea kitugan hap
Hana shukurani huyu.Muilizeni MBC Hot Media ( Mr Forgen ) awaambie jinsi mume wake alivyomsaidia .
GOSPEL is the good news of reconciliation not damaging like this.
Mumewe amemsomesha hata hako ka Kingereza ni kazi ya mume wake !!!!
Ndiyo shukrani za wanawake, amesahau yote
What is your whatsapp number nataka kushare kitu na wewe. Imenigusa hii text yako.
@@edsonnelson4464 washenzi sana hawa viumbe
@@sautikuu212jamani sio wooteeee sema baadhi ya wanawake
Msomeshe kiingereza akitumie kukutukana😂😂
Ila ni kwanini unaongea yote hayo jamani mambo ya familia.. kama uliamua kuacha ungeacha personal
Roho ya kuhatibu ndoa za watu unayotumika nayo,iangamie Kwa Kina la Yesu!Christina wewe ni mwongo mkubwa!
Kabsaaa saah uy mathee anatumika na nguvu za giza ndp mana unaona wote.walioachana na mabwana zao wamefungua church ili waendlee kuaribu akil za wanawake wengne wasitii waume zao wakimbie kwa ndoa zao
Poleni mliomkaribisha Shusho mmeua waumini
Pole na wewe kwa wivu
@@annamosha968 kabisa,Kwa Nini wengine wanaudhika na anaongelelea maisha yake? Ongea dada
Humjui Christina wa mwanzo aliyeanza kuimba nyimbo za Mungu kwa utukufu mkubwa si huyu wa sasa anayeandaa na matamasha na wasanii wa Bongo flavour , huyu alishaingia mikataba na aliambiwa sharti la kwanza amuache mume wake.
Kampeni ya ibilisi kuwauwa watu wachanga kiroho wasimtafute yesu kwa bidii,..tuko siku za mwisho.
😢😢kabsaaa anazid kuaribu wengi
She is a good actress,is she the first one to shine in east Africa.You are behaving like a juvenile.
I love her whatever
Asha kusema Jina La Mungu na Wewe ni muwasi mukubwa Wewe. Gisi Congo tulikuwa na nakupenda ivi zero kabisa akuna u christu ndani yako Wewe dada
Weye mutakatifu ukuwe nahita
MSIMUHUKUMU HUYU MAMA, BINADAMU SOMETIMES TUNAPITIA MAMBO AMBAYO WENGINE HAWAWEZI KUELEWA KIURAHISI.
Guys for those who are judging this woman of God, remember your words are the greator of your world and you don,t know your tomorrow's jouney
Am more than blessed , more grace Christina
Kuolewa kwa msichana akiwa bado mdogo sio kusema ndiyo vibaya. Kwetu Sisi waafrika, wasichana wengi uolewa wakiwa wadogo na maumbile yao uruhusu hivyo. Wala sio kusema hiyo hali umloga mtu hasihishi na mume wake hadi kutengana wakati mumoja ametoweka! Mfano wa dada Christina Shusho ni wake wa pekee. Na mimi naona anatoa uzuru wala sio sababu ya kweli ya yeye kuamua kuachana n'a mume wake.
Hongera Mungu amekuheshimisha watu ni wabaya mno Kama hujapitia huwezi jua
Mume wake ndo mbaya?maana hapo anamuongelea mume wake tu.
Shusho una sauti nzuri sana ya kumtumikia Mungu sema dah!
Mungu msamehe huyu ajui alitendalo.
Kama mkenya sa hii hahhahahaaaaa ila anamaigizo huyu mama😂😂😂😂
No where she appreciates the support from his husband. Wanawake Bwana😢
Women!
Wakati anamsapoti ulikuwepo?, binadamu Bhana kazi mnayo
@@YasintaMpanduji yeye mwenyewe alishuhudia jinsi kipawa chake kilivoinuka,na kujulikana.
@@odilomwemeziernest646 ni kweli, yeye ndyo shahidi, Kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawapewi support na wenza wao, wanaume Kwa wanawake
Mbinafsi sana, huu ushuhuda una mapungufu mengi na makubwa sana.
poweful testmony maaam
Mshukuru mme wKo alikuoa na kukupa watoto, asingekuwa yeye saa nyingine usingefika hapo kiburi cha pesa
Respect yourself Christina. Stop regretting on spilled milk. Unless you have other options
True
Shame on you Christina
Chukizo la uharibifu limesimama mahali pasipopasa. Huna huduma yoyote, umeitwa kwenye umalaya sio huduma kwenda huko.
What a testimony!
Shenzi huyu mama
😢😢😢😢😢😢wow!!such a testimony
Benga he bana mukunda?
Let her speak as it pleases her.
True,let her heal
True. It's her story.
True she knows better
Mpuuzi sana .. ndoa za zamani wanaume na wanawake walikua na upendo...walikua wanaishi na ndugu zao ukiolewa ukakuta familia ina maisha yao uliyoyakuta usuwabadulishe wawe unavyotaka ww,labda kama unawasaidia kukua kiuchumi kuwapekeka shule na kazi au biashara lkn sio nature ya maisha yao...huyu anatafuta kujitetea lkn hakuna kitu...mpuuzi
Ulikuepo hyo zamanii😢
In first place ndoa haikuwa, na upendo, ila ni convenience ya wazazi eti asijeakaharibikia nyumban😢 wanaume kasiriken mtukaneni ila wanawqke wasiku hizi are not fools ukizingua tunasepaaa!
Roho wa Mungu,atusaidie
Huyo Mungu wa matengano ni Mungu yupi.
Good question
We have seen many jumping into gospel reem but soon they mixup them themselves off the go and forgotten for ever, 19 years old ni umri halali usilaumu
Unaruhusiwa kabisa na serikali yetu
Story ya upande mmoja.....anajikanyagakanyaga tu naona
Wenzie at that age tulikuwa tunafanya kazi serikalini na kulea wadogo zangu,Sasa yeye anasemaje alikuwa aliolewa akiwa mdogo?mtoto kwa Tz ni 17 yrs to 0
Ukiwa karemy au tz.???
i fallow you very well,may God bless you when ever you will stay working for him!
Mmh Tinna ...
Hii testimony imenitia nguvu sana, I think its time to work out
Duniani huwezi kupata vyote, shukuru hata kwa mema uliyopata
Ongea kiswahili why are u mixed languages?
Umenitia moyo hapa at least " I think I can do it , I'm going to change my life"
Mshukuru aliekutoa chini ..
Nakuelewa acha wakupige vita ambaye hajapitia Hajui
Ina Maana mz Shusho Hana hata mchango mdogo katika huduma yako kiasi hujagusia Chochote Katka ushuhuda wako?
Kila wakati mwanadamu atendapo dhambi shetani humpa visababu vya kujitetea na kufunika madhambi na makosa yake :watu wanalia kwa kukosa ndoa zenye heshima na wewe Mungu kakupa meema kwa mapema ma kuolewa na Mtumishi wa Mungu....harafu sasa Mungu kazidisha neema kwa kukupa kipawa Cha uimbaji ;sasa umeingiwa na kiburi....elewa kwamba kiburi hutangulia anguko. Dawa ni kutubu.
I will be your Prayer Partner always.