Pole Christian.. Ndio dunia ilivyo.. Sote tumeemda ktk ndoa tumiwa vibint... Ni wakati wako kumwangalia Mungu tu.. sio kujibu tuhuma.. Hakimu wa haki ni Mungu tu.. Bless
Mungu yupi amabae anafuata huyu shetani.maandiko yana semaje kuhusu ndoa kwa mkristo.Kifo ndio kitawatenganisha .Maandiko yanasema mpeane mapenzi marakwamara msije mkajaribiwa.Ndoa ni sacrament yeye anasoma wapi maandiko .Maandiko ya nsemaje kuhusu askofu imempasa awe na mke mmoja.
@@samwelmatemu8873lakini ukimsikiza anavyonena, ni kama hakuingia kwenye ndoa out of love, but out of cultural circumstances na huwezi fake mapenzi for ever, utachoka. Which means there was never love from the beginning but she stayed regardless to please the society. Ni muhimu kusikia pia side ya mume wake kujua walipatana vipi?
She is lost. Umalaya unamsumbua😆 maisha ailiyoishi kwa history yake ni maisha common kwa mabinti wengi walioishi kijijini.. kawaida kwa binti wa kiafrica kufulia midume ile, yeye alitaka wamfulie yeye... Mpuuzi mmoja huyo.. Ukahaba ukizidi ndio mnasingizia mungu, au mwanaume hajui nafasi yake. Wapi mungu alisema mwanaume asipojua nafasi yake ndoa ivunjike😂 Umalaya acheni!
What battles? The lady is trying to fool people with fabricated testimonies, Try to demonise the husband, the day that man opens the mouth the world will shut down
Hawezi kunyamaza kwani shetani kesha mkamata na anataka kutuzalilisha wa kristo.Naomba Mungu ampe pigo kubwa ili arudi kwenye mstari.Nadhani atakuwa ameingia kwenye Makundi haya kina Diamond ya freemasonry.Anaikana bibilia kabisa
@@samwelmatemu8873kumdhania mtu kitu ambacho huna uhakika nacho na ikiwa siyo kweli pia ni dhambi., kusema ameingia freemason unafika mbali sana bro., Na kama cyo kweli hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine inabd na ww pia tukukemee uanze kutubu dhambi yako ya kumdhania mtu uongo
Hata kama alilazimishwa lakini ni tayari mume wake ndo Inabidi avumilie unafikili bible ulisema bure kwamba atakaye vumiliaa mpaka mwisho ndiye atakaye okoka
Wewe Shusho wewe unavunja ndoa kwa kudai umepata wito wa Mungu. Ndoa ni agizo la Mungu. Sasa wewe umadhihirisha kuwa uzuri wa sura umekupa kiburi.ndo maana memuacha mumeo ukidhani wewe ni mzuri.chunga sana.
Tanzanians you have a problem......can't you sense this Woman has a calling and she was in a toxic relationship and environment. Can't you smell spousal inferiority complex. Wait you see her soaring.
Acheni viburi siyo Shusho tu bali waimbaji wengi kuanzia makanisani hata wale kwenye praising teams mnajifanya vipofu kutokufuata maandiko na kuwa wazinzi na makahaba mnapoingia kutumika huku mmejipamba, mmeshindwa kujikana na kufuata mambo ya dunia. Mna ushawishi mkubwa wa kishetaninili kulinyamazisha kanisa kwa wingi wa ukahaba kupitia mapambo na mavazi toka kuzimu, unayoyafanya hivi sasa ni matoeo ya kujiona mnaenda na wakati badala ya kuukomboa wakati! Watumishi wa Mungu simameni imara katika kuihubiri kweli na kuacha woga wa eti waumini watahama, timizeni huduma sawa na neno.
Which dreams jaman hakuna la kujifunza zaidi ya kuwa huyu ni malaya na limbukeni kama malimbukeni wengine.wanawake mkishafanikiwa mnawaacha waume zenu.
@@allenmlelwa7950sio wanawake wote. Sema baadhi ya wanawake. Weka neno baadhi. Maana ukisema wanawake unajumlisha mpaka mke wako humo na mama Yako humo na Sisi ambao hatupo hivyo. Ni Hawa baadhi wapo hivyo. KUNA WANAWAKE WAMEWAPA WAUME ZAO PESA KUANZISHA BIASHARA NA WANAWAHESHIM WAUME ZAO.
Kuna wakati hufika maishani, Christina, ambapo hakuna mtu anakuelewa; ni Mungu pekee. Shida ni ati yako inafanyika hadharani, juu wewe ni celebrity. Jipe moyo, Mtumishi. This night shall pass. God sees u as His child first, before He sees anything else about u. Hatupigi ndoa, lakini umebariki watu wengi, mamilioni ya watu, hata wakati haupo kwa ndoa. Nani anafanikisha? Si ni Mungu? Na anajua story yako? Hatujui huko mbele Mungu amekupangia nini, na tunakuombea mema, lakini kuna nyimbo umeimba bila stress za ndoa ambazo umeelezea, na tukabarikiwa sana. Kaa kwa Mungu, mpendwa. Kesho yako Mungu anayo. Twakupenda.
Wewe umepagawa roho ya yezebel inakuteza na Mungu kakuinua umepata mafanikio umejisahau Leo unakufuru ole wako umekua kikwazo kwa wanaotaka kumjua Mungu kupitia nyimbo zako wamevunjika moyo pole
Aone Aibu gani kama uliteswa na mume wako na ni wangapi wanajificha katika ulokole ila ndani ya familia zao kuna uchafu mkubwa,,,,sema mama mchungaji ,,,Wanaume wa Kweli Tunakuelewa,,,,,Waume wa kiafrika tupunguze unyanyapaa kwa wake zetu ni dhambi kubwa sana....
Unaweza itwa mume wa mtu kumbe umejioa because unahusika kwa kila kitu cha maisha yake mwanaume anafanya kukuzalisha tu but mengine unapambana mwenyewe hiki kiatu nimekivaa so naweza nisimshangae Christina
Wewe bila shaka ni kichaa na pia hujui ukristo.Huyo mama hata kwa kumtazama tu unajua ni malaya mtaka vitu,haonyeshi ucha Mungu wowote.Ukitaka ujue ni malaya kaangalie maelezo yake ya nyuma kuhusu ndoa
@@FridayMwassa yy ni malaya wewe je?mimi ni kichaaa wewe je ni mzima? Je unajua masuala ya ndoa..hebu fuatilia uone mateso hayo ya kina mama....kwahyo leo na wengi wako kwa hizo dini za imani kali ndio shida kubwa
No excuses, marriage to be honored by all. Most people go through bad things in early days of marriage but later things change. Money isn't everything, go back to your marriage before it is too late. Fame is nothing without Jesus
Big up girl!!.i love the fact that you turned your shame to testimony. A wife is a helper but not a slave. It's very unfortunate that when us ladies decides what to do with our lives becomes an issue to people, and especially relatives. My bible is clear,,two cannot go for a journey unless they are in an agreement. I thank God they chased you back to your family. God ordered your steps through wisdom. Remember the lady prostitute in the bible?? What happened when jesus told them to cast stone on her??., Am a Kenyan, and a believer. Let's protect our own!!. We know the schemer is at work here. Let's be wise and courteous. I love this girl. A believer can fall ones,twice or even seven times.we only need to raise, dust yourself and keep going. Liwe liwalo,yesu ni mwamba imara. JESUS IS LORD. PERIOD!!!.
On the Great Day many will come saying I raised the dead,I preached I healed but a voice will be heard I depart from me,I don't know thee... We can only pray for God to rescue the lost ships... Any man or woman called by God our own spirit can testify from the life coz their will be light being transmitted from them.
Hujui kuwa bila huyo aliyekuona na kukuoa ungeweza kuishia huko huko kijijini? Wangapi wazuri wamejaa huko vijijini? Ni bora kukaa kimya. Mungu akusaidie.
Hakuna mtu hakupikia familia za maali mtu aliolewa, tulifanya huwo utumwa, na bado tuko kwa ndoa zetu ......,madhaifu yetu Mungu aliyabeba na akatupa ushindi katika ndoa ambozo tumo hadi leo.
Mungu gani huyu umeshitaki mchungaji mbalikiwa hana hatia unamwabudu kwa mdomo huku moyoni umemkataa dhambi ya yuda imekukalia mwisho yote aibu unadhalilisha Mungu hata tukae unashindana Mungu utafunga wengi wasio na hatia
As Muslim who grew up in Christian Family ... would advise kusikiliza haya 1. Mapenzi ya mume kwa mke, familia na umuhimu wa extended family kwenye couple 2. Mtu kama mkosaji na 3. Mafundisho ya dini juu ya upendo na imani. Kwenye sauti ya Christina kuna maumivu kwa kivuli cha imani na majukumu ya mume yaliyosaulika kupitia sauti ya madhabau . NB hii ndo imekufa muda ila imeishi kwa sababu ya madhabau ( watatuonaje) na kwa hili liwaendee wote ndugu wanaoingilia mapenzi ya ndugu zao.
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
Christina. Naomba nikupe tuu ushauri wa bure hiki ulichokifanya imejifedhehesha Sana Sasa Bora utulie usiseme kitu Kwa sababu unazidi kuharibu japo ulishaharibu Mungu atakuchapa fimbo wewe Dada hutaamini hiki unachojishika nacho eti umeamua kumtumikia Mungu kuwa sister basi tujue moja
Hiyo history yako ilikua inakuandaa kwa kazi ya mwenyezi aishie milele .... Ilikua uvumilie maana heri kuteseka kwa njia bora kuliko kuteseka kwa njia isio eleweka... 1st peter 3 :14. Wewe uliandaliwa vizuri ...ukaiva ....halafu una mdharau yule ali kuanda ili umtmikie ... Najua siku moja utarudi kama mwana mpotevu. I ❤u Tina shusho
Huyu na msikia anaimba nilikuwa form 4 miaka ya tisini naa huko.huyu ni kibibi kinawashwa tu.Hatakama mme wako hana nguvu za kukihomga vizuri kaa kimia tunza kiapo chako
Bado Mungu ni wa rehema dada, anaweza kukurehemu , ni kweli sisi wanadamu hatujakamilika ,lakini huu ni udhalilishaji mkubwa wa Ukristo ,jua tuu jambo moja Duniani tunapita ,muda wetu hapa ni mfupi sana ,heri siku moja mbele za Mungu kuliko siku elfu mbali na Mungu
Huo siyo wito wa kumeacha mumeo Tena mchungaji Dada huo ni roho ya uzinzi Wala hubariki mioyo ya watu Wala huna upako wowote ongea utakavyo una mvuto wakimbingu Bali mvuto wa kidunia
Ni afadhari ungekaa kimya. Hakuna mtu atakayekuelewa. Ni kawaida kwa wanawake wengi akifanikiwa akimzidi mwanaume kipato, kufanya juu chini ndoa ivunjike. Hilo hatushangai. Visingizio kuwa uliolewa bila kumpenda mwanaume hakuna atakeye kuamini. Picha ambayo jamii inapata inatisha. Mwanzoni ulionekana malaika, mfano kwa wakina mama walioolewa. Sasa hivi unatisha. Umebadilisha mavazi unavaa mavazi ya ajabu ikiwa ni pamoja na suruari. Mimi nakushauri badala ya kumchafua baba watoto wako kwenye vyombo vya habari, kaa kimya. Olewa na huyu mwanaume anayekudanganya, alafu badilisha jina ujiite madam Christina.
Shame on you Christina. Keep your filthy mouth shut. Mshambaa mkubwa na limbukeni umedanganywa na Manabii , kwa tamaa zako umeingia mkenge. Shezi mkubwa Christina jua kuwa Mungu anakuona.
Huuu si utetezi wa kiuungwana.Mbona mpaka umepata vihela ndipo unasema.Beatiful gani wewe unajisifu kwa aibu. Mbona wengi tu wakiilewa kwa umri huo. Si ndivyo maisha yanavyoanza.
Kila mtu yuko busy kumtupia huyu dada mawe na kusahau kila hakuna mkamilifu , she's a human mpaka pengine situation yake ingekuwa kwako ungefanya same , I do believe peace of mind is everything, Amani ya moyo wake that's life she deserves. Stop thinking kwamba unahitaji mtumishi mungu akuamulie maisha yako . She's blessed.
Samuel jina kubwa sana comment gani hyo mwamba? ✓ biblia inasema Mungu hatatenda jambo lolote bila kuwashirikisha manabii watumishi Siri zake Sasa unasema anatakiwa ajiamulie maisha yake unajua gharama za uhuru Samuel ❤Wewe unaona alichokifanya ni halali kuachana na mwanaume aliyezaa watoto watatu na kuachana
Kwa sababu ni mpuuzi ndio maana watu hawataacha kumpiga mawe. Ndio maana siku hizi kuacha waume na kuvunja ndoa mnaona ni fashion. Mnaharibu kizazi, tena hawa walokole wanaongoza. Hata mimi mke wangu mlokole aliondoka kwa ujinga kama wa huyu shusho... Unadhani sijui linaloendelea katika akili ya shusho? Anayoongea ni kama marudio. She is trying to play victim alivyo mpuuzi anadhani hatuelewi hayo maigizo ya kike😂.. Kafie mbele huko!
Ok uliolewa na mwanaume ambae hukumpenda ila KUMBUKA ktk mafanikio yako Huyo baba alikuwa na wewe mpaka ulipofikia Sasa... Kwa lugha nyingi e Sasa toka umejua kuchanganya kiswahili na kiingereza na uko juu ya yote.. Unyenyekevu hakuna tena...ni wazi umempata unaempendaa... Tunasubiria kumwona Huyo unaempendaa... Usiache kutuonyesha na Huyo... Maana Kadri unavyopanda viwango Huyo pia utamtupaa chini aunyanyue WA viwango vya juu ya MUNGU UTUREHEMU KADRI YA WINGI WA FADHILI ZAKO😊
Ulicheliwa kufanya mamuzi kwa sasa,mamuzi yako hata kama ni sahihi yataishi kama makosa,hapa akuna wito wa Mungu mamuzi yako ni ya kumtukanisha Mungu,my dear sister huna neno la kujitetea,mtoko wa pasaka umekualibu,ulijichanganya na majenti wa shetani wakati imani yako ndogo,shetani ananguvu sanaaa tena wakati same time shetani ujifanya malaika wa nuru,inawezekana shetani kakuigizia ukajua unaongea na Mungu, Mungu wa kweli akukumbuke na aseme na moyo wako, ulikua unasubiri upate umalufu ndipo ufanye mamuzi,now unaonekana unakiburi cha uzima ushuhuda wako ni maumivu kwa kanisa la Mungu
Na ulipangiwa na Mungu kuolewa na uyo uyo aijalishi alipita njiani tu ukapewa na wazazi ndie ndie ndie yeye kila kilicho kwako ni mpango wa Mungu. Meby kama unamuabudu Mungu mwingine. Tofauti na apo uyo ndio mume wako ulie pewa na Mungu.
Dada atakae support maneno yako sio wa Mungu kwa maana Mungu wetu sio wa hovyo namna hii. Ukianza na Mungu bora umalize pia nae. Ukiungana na kina mondi basi, huruma kweli. Rudi utengeneze na Mungu 😢😢😢😢
Ucjari ni maswala ya mifumo dume. I'll simama na Mungu atakutetea huku ukituombeea wwngine pia coz wengi hupitia tabu Kama hizo. Marriage is not a curve but not a Happiness.
Unaongea kiingereza na kiswahili kwa maana ya kwamba una msimamo hata ktkt kuongea ukaeleweka pili ulichokifanya nikutetea makosa bora mngeliachana kwa kushindana tabia na sio et uwe huru kumtumikia mungu unajidanganya na kundanganya watu .
Some ladies are here commenting negatively about chrustina,,ladies we should never try to bring onother lady down....chrustina you belong to kenya you are ours,kemya twakupenda sana hata watanzania waamue kukushusha
Shetani anakutumia sana kupotosha,eti umemuacha mume uanzishe kanisa,ili uwe uishi na nani katika ndoa?we hovyo sana,nyimbo zako zinatakiwa sizisikilizwe popote kwenye makanisa ya Mungu
Kwa ulipofika ni haki jamii yenu walisema wanawake hawafai kuolewa maana umewazalilisha wazazi wako,unachokifanya ni umalaya tu na ufreemason uliojiunga,lakini kumbuka ubatili unao mwisho,utalipya tu.
Naangalia hizi comments na naona watu hawajawai tenda dhambi😅😅, just because maisha ya susho yako public na yako si public, makosa unayofanya nani hujua😂😂, don't judge for with the same measure you judge you shall also judge
" wewe ndio wale wale unaona kudanga ni kazi na unakuwa upo kanisani na unaimba na kwaya na unafanya Kila kitu ✓ unabadili wanaume ✓ unavaa vimini ✓ unaweka vipandikizi vya uzazi wa mpango na upo kanisani ✓ kwahyo uendelee kutenda dhambi tuseme don't judge ✓ ubebe mimba na hujaolewa tuseme don't judge ✓ uvae vimini tuseme don't judge ✓ ubadili wanaume tuseme don't judge ❤Kuna kukemea kukaripia na kuhukumu wewe unataka Nini na useme ukweli wewe unayo madanga mangap
A troubling issue in our African culture is that when a man speaks about his wife, she is presumed guilty. Similarly, when a wife shares her experiences from behind closed doors, she too is often seen as guilty. This mindset is both unfair and outdated. It's crucial that we start believing our young girls when they courageously open up about their negative experiences. It's time for change. TUBADILIKE WATU WA MUNGU .. I stand with Christina
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
Mithali 27:2 Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe. Ibrahimu alikuwa na mwanamke mzuri, Isaka naye pia, vilevile yakobo kwa Rahel, lakini walitunza ndoa zao,hawakuringa. lakini kwa kupitia uzuri wako ndo sababu ya kuvunja ndoa,ni hatari mno,umesononesha moyo wa shusho sana,na watu wengine. Ama kweli andiko hili linatimia kwako leo, Mithali 31:30 (KJV) Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa. Mithali 31:30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
Sina mume nilikua nae yeye ndie alie niacha mimi kwa kumpata mwingine cose of money. Lakini chirstina umepotea zaidi ya kupotea hakuna mashiko katika ayo yote uliyo Sema. Hakuna uduma ya Mungu inayo kutenga na mume wako. Nakuonea huruma sana na uduma yako inaenda kupotea mimi binafsi nyimbo zako zote nimefuta
There things you don't waste time answering.Once your actions contradict scriptures and all of us fall short just repent.Go back to your husband and let him pray for your ministry and operate under his umbrella ...you will see a different Shusho.Forget the carnality.Rom 8:6
Don’t lied Christine you’re not beautiful if you’re beautiful you should stay in a relationship and beautiful marriage and look after your children in faith of lord
Kweli christna shusho hujielewi nahsi ndo maana jimbo zako mda mwingi sizpend huna upako kabsa nahsi ww si mtumish wa Mungu Abarikiwe sana Rose mhando sikuwah msikia akizungumza upuuzi kama ww iga mfano kwa Malikia Rose na iga hata maongezi yake ni takatfu na yana jenga ww unabomoa
Kila mtu ana mapungufu yake ila hawa lazima tuwasema kwakua Mungu amewapa kibali kikubwa kujulikana na ulimwengu sasa wanapo fanya chochote kibaya kinaharibu watu wengi mno tofauti na mimi nakaa tabata ila hata tabata wenyewe hawanijui... Kwahiyo wanatakiwa kuwa mfano katika kutenda mema vinginevyo wanaharibu jamii kwa kiasi kikubwa.... Mfano sakata linalo mkabili Dada shusho huoni anasababisha watumishi wengine wanatukanwa.. Injili inakua ngumu kwa muda
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
shetani anachanganywa sana na Mungu na hawa watu wanaoact wana Mission za Mungu. Mwisho wa siku wanaanguka puuuuuu kama mama wa mlima wa moto mikocheni
Leo anatoa siri za chumbani tangu mtoto wa kwanza wa pili wa tatu changanya umaarufu akalewa ndio akagundua vibenteni vya akina mwambino akamuona mumewe mzee sasa anamuanika hadharani dah baba wa watu anajuta huko eti nimeamua kufanya kazi za Mungu kumbe kutoa mafundisho ya kihuni ya kumuumiza mzee wa watu na kuwadhalilisha hata wanao
Acheni kumuhukumu huyu dada kma hujui maumivu ya kuwa kweny kifungo mahali sababu ya mazingira na hukuwa na cha kufanya kuishi na mtu ambaye moyo wako haukumridhia tumuombee rehema tu Mungu amuongoze vyema.
Pole Christian.. Ndio dunia ilivyo.. Sote tumeemda ktk ndoa tumiwa vibint... Ni wakati wako kumwangalia Mungu tu.. sio kujibu tuhuma.. Hakimu wa haki ni Mungu tu.. Bless
Mungu yupi amabae anafuata huyu shetani.maandiko yana semaje kuhusu ndoa kwa mkristo.Kifo ndio kitawatenganisha .Maandiko yanasema mpeane mapenzi marakwamara msije mkajaribiwa.Ndoa ni sacrament yeye anasoma wapi maandiko .Maandiko ya nsemaje kuhusu askofu imempasa awe na mke mmoja.
@@samwelmatemu8873lakini ukimsikiza anavyonena, ni kama hakuingia kwenye ndoa out of love, but out of cultural circumstances na huwezi fake mapenzi for ever, utachoka. Which means there was never love from the beginning but she stayed regardless to please the society. Ni muhimu kusikia pia side ya mume wake kujua walipatana vipi?
I believe she has fought battles that nobody knows about.May God preserve you and ministry.
She is lost. Umalaya unamsumbua😆 maisha ailiyoishi kwa history yake ni maisha common kwa mabinti wengi walioishi kijijini.. kawaida kwa binti wa kiafrica kufulia midume ile, yeye alitaka wamfulie yeye... Mpuuzi mmoja huyo.. Ukahaba ukizidi ndio mnasingizia mungu, au mwanaume hajui nafasi yake. Wapi mungu alisema mwanaume asipojua nafasi yake ndoa ivunjike😂 Umalaya acheni!
What battles? The lady is trying to fool people with fabricated testimonies, Try to demonise the husband, the day that man opens the mouth the world will shut down
Amen
unahitaji maombi,umetoka katika njia za mungu ,may God acknowledge you
Keep up girl. I love your songs for long, i now understand you, keep up beautiful girl, washa waseme watashoka. Ni wivu
This woman am sorry i dont think shes okay. May God show her the correct way. The grace grace grace iko wapi
a lady I looked at as an angel suddenly turned into a devil, keeping quiet could be a great wisdom.
Hawezi kunyamaza kwani shetani kesha mkamata na anataka kutuzalilisha wa kristo.Naomba Mungu ampe pigo kubwa ili arudi kwenye mstari.Nadhani atakuwa ameingia kwenye Makundi haya kina Diamond ya freemasonry.Anaikana bibilia kabisa
Atarudi tu bint wa Mungu ni wa Mungu tu
@@samwelmatemu8873kumdhania mtu kitu ambacho huna uhakika nacho na ikiwa siyo kweli pia ni dhambi., kusema ameingia freemason unafika mbali sana bro., Na kama cyo kweli hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine inabd na ww pia tukukemee uanze kutubu dhambi yako ya kumdhania mtu uongo
Amen Amen, And you shall live Madam Christina, You will arise for the glory of God is shining upon you🙌🙌🙌
Shusho hongera Kwa uchungaji wako na tutegemee mambo makubwa Kwa ajili ya collaboration.
Huu ushuhuda hauwezi geuza neno la Mungu. Umepotea dada. Rudi kwa mmeo
Pole dada Shushu , mama alikualibia maisha yako makosa ambayo wazazi wengi wanafanya kuwapeleka watoto kwenye ndoa bila kuzingatia hisia zao
Hata kama alilazimishwa lakini ni tayari mume wake ndo Inabidi avumilie unafikili bible ulisema bure kwamba atakaye vumiliaa mpaka mwisho ndiye atakaye okoka
Wewe Shusho wewe unavunja ndoa kwa kudai umepata wito wa Mungu. Ndoa ni agizo la Mungu. Sasa wewe umadhihirisha kuwa uzuri wa sura umekupa kiburi.ndo maana memuacha mumeo ukidhani wewe ni mzuri.chunga sana.
😭😭nihuzuni kwakweli
Tanzanians you have a problem......can't you sense this Woman has a calling and she was in a toxic relationship and environment. Can't you smell spousal inferiority complex. Wait you see her soaring.
😂 unahasira sana ndugu yangu chukua dakika chache umuombee atarudi tu matter of time
Acheni viburi siyo Shusho tu bali waimbaji wengi kuanzia makanisani hata wale kwenye praising teams mnajifanya vipofu kutokufuata maandiko na kuwa wazinzi na makahaba mnapoingia kutumika huku mmejipamba, mmeshindwa kujikana na kufuata mambo ya dunia. Mna ushawishi mkubwa wa kishetaninili kulinyamazisha kanisa kwa wingi wa ukahaba kupitia mapambo na mavazi toka kuzimu, unayoyafanya hivi sasa ni matoeo ya kujiona mnaenda na wakati badala ya kuukomboa wakati! Watumishi wa Mungu simameni imara katika kuihubiri kweli na kuacha woga wa eti waumini watahama, timizeni huduma sawa na neno.
Amen ❤powerful words
Kwani kujipamba ni dhambi
Mungu utusamehe , wasamehe Na wanaoitwa wachungaji, Mungu utusaidie kuyatambua Maandiko, maana wanaopotea ni wengi
Kumbe,uyo dada ikoivyo,sikuzaniya,atasikumoja,nimahajabu,kweli,mungu akuhurumiye,saaana
Watu wanahukumu sana bila kujua chochote. Wanaongea tu out of ignorance. Mungu awasamehe. sio makosa yenu
Nilikua siamini kama kweli huyu Mwimbaji ameanguka kumbe ni kweli, Ooh Yesu Kristo mrehemu.
The pride she had Iko another level!
@@hallykanze6693terrible pride
There is power in trying to fulfill your dream. IF U A POSITIVE U WILL GRAB THIS POINT OUT OF THE WHOLE MESSAGE
Which dreams jaman hakuna la kujifunza zaidi ya kuwa huyu ni malaya na limbukeni kama malimbukeni wengine.wanawake mkishafanikiwa mnawaacha waume zenu.
@@allenmlelwa7950sio wanawake wote. Sema baadhi ya wanawake. Weka neno baadhi. Maana ukisema wanawake unajumlisha mpaka mke wako humo na mama Yako humo na Sisi ambao hatupo hivyo. Ni Hawa baadhi wapo hivyo. KUNA WANAWAKE WAMEWAPA WAUME ZAO PESA KUANZISHA BIASHARA NA WANAWAHESHIM WAUME ZAO.
Kuna wakati hufika maishani, Christina, ambapo hakuna mtu anakuelewa; ni Mungu pekee. Shida ni ati yako inafanyika hadharani, juu wewe ni celebrity. Jipe moyo, Mtumishi. This night shall pass. God sees u as His child first, before He sees anything else about u. Hatupigi ndoa, lakini umebariki watu wengi, mamilioni ya watu, hata wakati haupo kwa ndoa. Nani anafanikisha? Si ni Mungu? Na anajua story yako? Hatujui huko mbele Mungu amekupangia nini, na tunakuombea mema, lakini kuna nyimbo umeimba bila stress za ndoa ambazo umeelezea, na tukabarikiwa sana. Kaa kwa Mungu, mpendwa. Kesho yako Mungu anayo. Twakupenda.
Tumwombee mwenyezi Mungu wetu apate kujitambua.
Akili hazimo zote zimebebwa na mwewe😂😂😂😂
Wewe mama Mungu hadhihakiwi
Wewe umepagawa roho ya yezebel inakuteza na Mungu kakuinua umepata mafanikio umejisahau Leo unakufuru ole wako umekua kikwazo kwa wanaotaka kumjua Mungu kupitia nyimbo zako wamevunjika moyo pole
Aone Aibu gani kama uliteswa na mume wako na ni wangapi wanajificha katika ulokole ila ndani ya familia zao kuna uchafu mkubwa,,,,sema mama mchungaji ,,,Wanaume wa Kweli Tunakuelewa,,,,,Waume wa kiafrika tupunguze unyanyapaa kwa wake zetu ni dhambi kubwa sana....
Aminaaaaaa
Unaweza itwa mume wa mtu kumbe umejioa because unahusika kwa kila kitu cha maisha yake mwanaume anafanya kukuzalisha tu but mengine unapambana mwenyewe hiki kiatu nimekivaa so naweza nisimshangae Christina
Wewe bila shaka ni kichaa na pia hujui ukristo.Huyo mama hata kwa kumtazama tu unajua ni malaya mtaka vitu,haonyeshi ucha Mungu wowote.Ukitaka ujue ni malaya kaangalie maelezo yake ya nyuma kuhusu ndoa
@@FridayMwassa yy ni malaya wewe je?mimi ni kichaaa wewe je ni mzima? Je unajua masuala ya ndoa..hebu fuatilia uone mateso hayo ya kina mama....kwahyo leo na wengi wako kwa hizo dini za imani kali ndio shida kubwa
rubbish
No excuses, marriage to be honored by all. Most people go through bad things in early days of marriage but later things change. Money isn't everything, go back to your marriage before it is too late. Fame is nothing without Jesus
Waha wakigoma wanaviburi hatari yani ukiyakanyaga tu umeishaaa. Si wanaume wala wanawake mashemeji zangu wengi ni washenzi wana roho ngumu. Sanaaa
Big up girl!!.i love the fact that you turned your shame to testimony. A wife is a helper but not a slave. It's very unfortunate that when us ladies decides what to do with our lives becomes an issue to people, and especially relatives. My bible is clear,,two cannot go for a journey unless they are in an agreement. I thank God they chased you back to your family. God ordered your steps through wisdom.
Remember the lady prostitute in the bible??
What happened when jesus told them to cast stone on her??., Am a Kenyan, and a believer. Let's protect our own!!. We know the schemer is at work here. Let's be wise and courteous.
I love this girl. A believer can fall ones,twice or even seven times.we only need to raise, dust yourself and keep going. Liwe liwalo,yesu ni mwamba imara.
JESUS IS LORD.
PERIOD!!!.
On the Great Day many will come saying I raised the dead,I preached I healed but a voice will be heard I depart from me,I don't know thee...
We can only pray for God to rescue the lost ships...
Any man or woman called by God our own spirit can testify from the life coz their will be light being transmitted from them.
Hujui kuwa bila huyo aliyekuona na kukuoa ungeweza kuishia huko huko kijijini?
Wangapi wazuri wamejaa huko vijijini?
Ni bora kukaa kimya. Mungu akusaidie.
Hakuna mtu hakupikia familia za maali mtu aliolewa, tulifanya huwo utumwa, na bado tuko kwa ndoa zetu ......,madhaifu yetu Mungu aliyabeba na akatupa ushindi katika ndoa ambozo tumo hadi leo.
Mungu gani huyu umeshitaki mchungaji mbalikiwa hana hatia unamwabudu kwa mdomo huku moyoni umemkataa dhambi ya yuda imekukalia mwisho yote aibu unadhalilisha Mungu hata tukae unashindana Mungu utafunga wengi wasio na hatia
Christine aombe Mungu atulie asidande kiburi ashukee. Mungu anatembea n'a wanyenyekevu anakataa wenye kiburi. Message hii imusaidie
Dada ameongea vizuri ❤
Jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani
Mbona watu kwenye comments mnahukumu je mungu akitufunulia mnayoyafanya sirini ni mazuri acheni hizo kwanza suluhisheni ya kwenu 😮😒
Kwa kweli usijitetee hata kidogo yaan ushahama wewe umeshakengeuka
Just don't give up to protect your happiness. Siku hizi kila mtu anajifanya motivational speaker.
eeee dunia ina mambo kweli hawa ndo vioo vya jamii kweli????
yaaani siamini hadi saasa uza ice cream hata mavi ya ng'ombe yote maisha acha kufichua mammbo yako, shetani kakukamata
🙆♂🙆♂🙆♂
Madam you're either a Minister or an artist.If you're an artist then Continue.When God gives you a platform give him glory
Nasimama na Christine shusho,,, tusiwe wepesi kuhukumu,,, hatujui magumu wanayopitia hawa watu😢
Shusho punguza maneno ,ongea taratibu ,halafu naomba Mungu akupe tena macho ya Rohoni .
Roho wa Mungu hayupo ndani yake,kuna Roho nyingine.
Ule wimbo wa nipe macho nione ndo hapa umsaidie yeye mwenyewe.
Having been in similar situation namuelewa sana Christina
As Muslim who grew up in Christian Family ... would advise kusikiliza haya 1. Mapenzi ya mume kwa mke, familia na umuhimu wa extended family kwenye couple 2. Mtu kama mkosaji na 3. Mafundisho ya dini juu ya upendo na imani. Kwenye sauti ya Christina kuna maumivu kwa kivuli cha imani na majukumu ya mume yaliyosaulika kupitia sauti ya madhabau . NB hii ndo imekufa muda ila imeishi kwa sababu ya madhabau ( watatuonaje) na kwa hili liwaendee wote ndugu wanaoingilia mapenzi ya ndugu zao.
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
Yaani unaongea maisha ya kawaida kabisaaa Afrika na unajiona kama ulikuwa unaisha kwenye mateso eti kwasababu umepata vijihela sahivi. Utajua hujui.
Christina. Naomba nikupe tuu ushauri wa bure hiki ulichokifanya imejifedhehesha Sana Sasa Bora utulie usiseme kitu Kwa sababu unazidi kuharibu japo ulishaharibu Mungu atakuchapa fimbo wewe Dada hutaamini hiki unachojishika nacho eti umeamua kumtumikia Mungu kuwa sister basi tujue moja
Roho mtakatifu akishaondoka mahali utaona tu, full kubwabwaja! Cjui unawafundisha Nini watoto wako, na hao wanaokusikiliza naona wamebaki mdomo wazi!! Cyo wewe dada tunaekujuwa.
Kitakachotokea hapo hata Mungu mwenyewe atakataa kuwa hajamwita maana Mungu sio wa hila
God will change of everything!
Have you found love baby girl? You don’t have enough experience on the path you’ve chosen. You’ll be humbled
Hiyo history yako ilikua inakuandaa kwa kazi ya mwenyezi aishie milele .... Ilikua uvumilie maana heri kuteseka kwa njia bora kuliko kuteseka kwa njia isio eleweka... 1st peter 3 :14.
Wewe uliandaliwa vizuri ...ukaiva ....halafu una mdharau yule ali kuanda ili umtmikie ...
Najua siku moja utarudi kama mwana mpotevu.
I ❤u Tina shusho
Huyu na msikia anaimba nilikuwa form 4 miaka ya tisini naa huko.huyu ni kibibi kinawashwa tu.Hatakama mme wako hana nguvu za kukihomga vizuri kaa kimia tunza kiapo chako
Bado Mungu ni wa rehema dada, anaweza kukurehemu , ni kweli sisi wanadamu hatujakamilika ,lakini huu ni udhalilishaji mkubwa wa Ukristo ,jua tuu jambo moja Duniani tunapita ,muda wetu hapa ni mfupi sana ,heri siku moja mbele za Mungu kuliko siku elfu mbali na Mungu
Huo siyo wito wa kumeacha mumeo Tena mchungaji Dada huo ni roho ya uzinzi Wala hubariki mioyo ya watu Wala huna upako wowote ongea utakavyo una mvuto wakimbingu Bali mvuto wa kidunia
Mungu amrehemu😂😂😂
Ni afadhari ungekaa kimya. Hakuna mtu atakayekuelewa. Ni kawaida kwa wanawake wengi akifanikiwa akimzidi mwanaume kipato, kufanya juu chini ndoa ivunjike. Hilo hatushangai. Visingizio kuwa uliolewa bila kumpenda mwanaume hakuna atakeye kuamini. Picha ambayo jamii inapata inatisha. Mwanzoni ulionekana malaika, mfano kwa wakina mama walioolewa. Sasa hivi unatisha. Umebadilisha mavazi unavaa mavazi ya ajabu ikiwa ni pamoja na suruari. Mimi nakushauri badala ya kumchafua baba watoto wako kwenye vyombo vya habari, kaa kimya. Olewa na huyu mwanaume anayekudanganya, alafu badilisha jina ujiite madam Christina.
sio kweli ndg yangu.Huyu mshenzi tu
I was respecting this woman but now hapana! Amepata kiburi sana
Shame on you Christina. Keep your filthy mouth shut. Mshambaa mkubwa na limbukeni umedanganywa na Manabii , kwa tamaa zako umeingia mkenge. Shezi mkubwa Christina jua kuwa Mungu anakuona.
Huo umalaya
Usaliti wa ndoa
Jmn mmeanza kuunganisha mambo,,,,,,,,hii ya muda mrefu sana sana alipokua 🇷🇼 rwanda
Huuu si utetezi wa kiuungwana.Mbona mpaka umepata vihela ndipo unasema.Beatiful gani wewe unajisifu kwa aibu.
Mbona wengi tu wakiilewa kwa umri huo.
Si ndivyo maisha yanavyoanza.
Kila mtu yuko busy kumtupia huyu dada mawe na kusahau kila hakuna mkamilifu , she's a human mpaka pengine situation yake ingekuwa kwako ungefanya same , I do believe peace of mind is everything, Amani ya moyo wake that's life she deserves. Stop thinking kwamba unahitaji mtumishi mungu akuamulie maisha yako . She's blessed.
Samuel jina kubwa sana comment gani hyo mwamba?
✓ biblia inasema Mungu hatatenda jambo lolote bila kuwashirikisha manabii watumishi Siri zake Sasa unasema anatakiwa ajiamulie maisha yake unajua gharama za uhuru Samuel
❤Wewe unaona alichokifanya ni halali kuachana na mwanaume aliyezaa watoto watatu na kuachana
Kwa sababu ni mpuuzi ndio maana watu hawataacha kumpiga mawe. Ndio maana siku hizi kuacha waume na kuvunja ndoa mnaona ni fashion. Mnaharibu kizazi, tena hawa walokole wanaongoza. Hata mimi mke wangu mlokole aliondoka kwa ujinga kama wa huyu shusho... Unadhani sijui linaloendelea katika akili ya shusho? Anayoongea ni kama marudio. She is trying to play victim alivyo mpuuzi anadhani hatuelewi hayo maigizo ya kike😂.. Kafie mbele huko!
Usilazimishe sana watu wakuwelewe, Wenye akili wanakueelewa tu. Hata Yesu walimuelewa baada ya kupaa.
E Mungu mrehemu huyu dada ni rembukeni saana. Hivi vitu vinapita dada. Tena muimbaji mzuri sana. Mungu akurehemu.
Waimbaji huwa wanaongoza kwa mambo ya ajabu.
Yaaniiiiii
Ok uliolewa na mwanaume ambae hukumpenda ila KUMBUKA ktk mafanikio yako Huyo baba alikuwa na wewe mpaka ulipofikia Sasa... Kwa lugha nyingi e Sasa toka umejua kuchanganya kiswahili na kiingereza na uko juu ya yote.. Unyenyekevu hakuna tena...ni wazi umempata unaempendaa...
Tunasubiria kumwona Huyo unaempendaa... Usiache kutuonyesha na Huyo... Maana Kadri unavyopanda viwango Huyo pia utamtupaa chini aunyanyue WA viwango vya juu ya
MUNGU UTUREHEMU KADRI YA WINGI WA FADHILI ZAKO😊
Ndio tatizo la kuomba Bwana akubariki akupe pesa kabla ya kujazwa na Roho wa Mungu.
Utafuteni kwanza ufalme wake na hayo mengine mtazidishiwa.
Maajabu Tu ...lakini IPO siku Tu atarudi kama mwana mpotevu
Hakuna mkamilifu,Tunakamilishwa na MUNGU dada MUNGU akupe neema.
Ila dada Fanya kazi ya MUNGU ya kweli usipotoshe watu
Ulicheliwa kufanya mamuzi kwa sasa,mamuzi yako hata kama ni sahihi yataishi kama makosa,hapa akuna wito wa Mungu mamuzi yako ni ya kumtukanisha Mungu,my dear sister huna neno la kujitetea,mtoko wa pasaka umekualibu,ulijichanganya na majenti wa shetani wakati imani yako ndogo,shetani ananguvu sanaaa tena wakati same time shetani ujifanya malaika wa nuru,inawezekana shetani kakuigizia ukajua unaongea na Mungu, Mungu wa kweli akukumbuke na aseme na moyo wako, ulikua unasubiri upate umalufu ndipo ufanye mamuzi,now unaonekana unakiburi cha uzima ushuhuda wako ni maumivu kwa kanisa la Mungu
Na ulipangiwa na Mungu kuolewa na uyo uyo aijalishi alipita njiani tu ukapewa na wazazi ndie ndie ndie yeye kila kilicho kwako ni mpango wa Mungu. Meby kama unamuabudu Mungu mwingine. Tofauti na apo uyo ndio mume wako ulie pewa na Mungu.
Dada atakae support maneno yako sio wa Mungu kwa maana Mungu wetu sio wa hovyo namna hii. Ukianza na Mungu bora umalize pia nae.
Ukiungana na kina mondi basi, huruma kweli.
Rudi utengeneze na Mungu 😢😢😢😢
Ucjari ni maswala ya mifumo dume. I'll simama na Mungu atakutetea huku ukituombeea wwngine pia coz wengi hupitia tabu Kama hizo. Marriage is not a curve but not a Happiness.
NINYI MNAONA KAMA CHRISTINA SHUSHO AMESHINDWA LAKINI HUENDA NDIO AMESHINDA KWA KISHINDO Kwa JIna la Yesu Kristo wa Nazareti.
Unaongea kiingereza na kiswahili kwa maana ya kwamba una msimamo hata ktkt kuongea ukaeleweka pili ulichokifanya nikutetea makosa bora mngeliachana kwa kushindana tabia na sio et uwe huru kumtumikia mungu unajidanganya na kundanganya watu .
Some ladies are here commenting negatively about chrustina,,ladies we should never try to bring onother lady down....chrustina you belong to kenya you are ours,kemya twakupenda sana hata watanzania waamue kukushusha
bando linaisha bure maisha ya wasanii ndio ya levyo pengine mungu kamwonyesha mtu sahihi kwake
Unakela kwakusema Haleluya loh chefu
Shusho ......siyo small money
Sema few money or little money
hahaha... again... "this is what i told to my parents" or "this is what I told my parrents
Shetani anakutumia sana kupotosha,eti umemuacha mume uanzishe kanisa,ili uwe uishi na nani katika ndoa?we hovyo sana,nyimbo zako zinatakiwa sizisikilizwe popote kwenye makanisa ya Mungu
Jmn kama mume wake ameridhis sshida ya nn
I will not judge madam Christina, leaving a 20years or so marriage there's alot more than meets the eye. More grace to you Christina 🙏🙏🙏
So have you found love
Kwa ulipofika ni haki jamii yenu walisema wanawake hawafai kuolewa maana umewazalilisha wazazi wako,unachokifanya ni umalaya tu na ufreemason uliojiunga,lakini kumbuka ubatili unao mwisho,utalipya tu.
Naangalia hizi comments na naona watu hawajawai tenda dhambi😅😅, just because maisha ya susho yako public na yako si public, makosa unayofanya nani hujua😂😂, don't judge for with the same measure you judge you shall also judge
We naye unatetea ujinga wa uaribifu wa watu
Its the word that judges .
" wewe ndio wale wale unaona kudanga ni kazi na unakuwa upo kanisani na unaimba na kwaya na unafanya Kila kitu
✓ unabadili wanaume
✓ unavaa vimini
✓ unaweka vipandikizi vya uzazi wa mpango na upo kanisani
✓ kwahyo uendelee kutenda dhambi tuseme don't judge
✓ ubebe mimba na hujaolewa tuseme don't judge
✓ uvae vimini tuseme don't judge
✓ ubadili wanaume tuseme don't judge
❤Kuna kukemea kukaripia na kuhukumu wewe unataka Nini na useme ukweli wewe unayo madanga mangap
A troubling issue in our African culture is that when a man speaks about his wife, she is presumed guilty. Similarly, when a wife shares her experiences from behind closed doors, she too is often seen as guilty. This mindset is both unfair and outdated. It's crucial that we start believing our young girls when they courageously open up about their negative experiences. It's time for change.
TUBADILIKE WATU WA MUNGU .. I stand with Christina
Kumkemea mtu si kumhukumu
Achieni mungu ,aukumu mwenyewe .
Pride comes before a fall
Ukiona watu wanakusifia kwa ulichokifanya ujue ni mapepo lakini wanajua watakachokufanya badae,ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga na ni ujinga tu.
That is why we believe in researchers.
Umeshindwa kumlinda mumeo dada....ila Mungu anaemtumikia mume wako atakujibu.....kila jambo na wakati wake,,,umejidanganya sana
Dhahabu safi husafishwa kwa moto.
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
Mithali 27:2
Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe.
Ibrahimu alikuwa na mwanamke mzuri,
Isaka naye pia,
vilevile yakobo kwa Rahel,
lakini walitunza ndoa zao,hawakuringa.
lakini kwa kupitia uzuri wako ndo sababu ya kuvunja ndoa,ni hatari mno,umesononesha moyo wa shusho sana,na watu wengine.
Ama kweli andiko hili linatimia kwako leo,
Mithali 31:30 (KJV) Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
Mithali 31:30
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
Sina mume nilikua nae yeye ndie alie niacha mimi kwa kumpata mwingine cose of money. Lakini chirstina umepotea zaidi ya kupotea hakuna mashiko katika ayo yote uliyo Sema. Hakuna uduma ya Mungu inayo kutenga na mume wako. Nakuonea huruma sana na uduma yako inaenda kupotea mimi binafsi nyimbo zako zote nimefuta
There things you don't waste time answering.Once your actions contradict scriptures and all of us fall short just repent.Go back to your husband and let him pray for your ministry and operate under his umbrella ...you will see a different Shusho.Forget the carnality.Rom 8:6
Don’t lied Christine you’re not beautiful if you’re beautiful you should stay in a relationship and beautiful marriage and look after your children in faith of lord
Nakupenda sana dada christin kitu unacho niumiza adi leo kujichubua mwili wako ulikuwa na weusi mzuri sana usio itaji grama yoyote wala kununuliwa😢
Christina songa mbele usisikilize mambo ya mitandao wengiwao wanaokushambulia ndio wahuni Wana wivu na Wana ukabila
Simple.... umekengeuka na umalaya! unateseka mno kujieleza.
Kweli christna shusho hujielewi nahsi ndo maana jimbo zako mda mwingi sizpend huna upako kabsa nahsi ww si mtumish wa Mungu Abarikiwe sana Rose mhando sikuwah msikia akizungumza upuuzi kama ww iga mfano kwa Malikia Rose na iga hata maongezi yake ni takatfu na yana jenga ww unabomoa
Duuuuu nyakat za mwisho jamani Yesu anarudi
Pride come after fall.
But why are you realizing know I only pray for you God ,for I believe God will alwas remain
Hakuna Cha wito umalaya tu
Kila mtu ana mapungufu yake ila hawa lazima tuwasema kwakua Mungu amewapa kibali kikubwa kujulikana na ulimwengu sasa wanapo fanya chochote kibaya kinaharibu watu wengi mno tofauti na mimi nakaa tabata ila hata tabata wenyewe hawanijui... Kwahiyo wanatakiwa kuwa mfano katika kutenda mema vinginevyo wanaharibu jamii kwa kiasi kikubwa.... Mfano sakata linalo mkabili Dada shusho huoni anasababisha watumishi wengine wanatukanwa.. Injili inakua ngumu kwa muda
Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!
Inakera HADI kusikiliza
Mnooooo
Uyu dada anamusau Mungu ?amekosea Sana arudi kwa mumewe
Muacheni Christina wetu mrembo kutoka kigoma msomi ana maomo yeyote anaye mshambulia ajitazame kwanza mambo yake kwanza
shetani anachanganywa sana na Mungu na hawa watu wanaoact wana Mission za Mungu. Mwisho wa siku wanaanguka puuuuuu kama mama wa mlima wa moto mikocheni
Nakupenda shusho
Mungu hapendi kuachana madam.
Inauma sana mke kumzalilisha Mmeo 😢
My dear Christina,,pole sana kwa maamuzi uliyofanya,tafakari sana comments za walimwengu hapa.
Shusho achaujanja ujanja umekua wamudamurefu katika okovu hadimungu anakushanga unavogeuza geuza manenoyake kwaajiri yatamazako zamwir nawahuru Mia sana washirika wako unao wachunga