'NABII' MAKONDA AIBUKIA KWA KAPOLA | ATABIRIWA MAKUBWA | APAKWA MAFUTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 210

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga Месяц назад +14

    Watu wana kazi zao wanamkimbilia Mungu. Haya mwenzangu na Mimi huna kazi, huna cha kufanya, Mungu humkimbilii uko bize tu na Mitandao. Mheshimiwa mjue Sana Mungu ndipo mema yatakapokujilia. Hongera na maua yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад +1

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.

  • @richardsalala9147
    @richardsalala9147 Месяц назад +8

    Very proud of you mheshimiwa umesimama katika imani vizuri sio yule mheshimiwa anayejiita mkristo akaenda kuponda ukristo na hajui chochote kuhusu ukristo zaidi ya kuhamasisha watu wanywe bia

    • @DeusMbuge
      @DeusMbuge 23 дня назад

      Umempiga dongo rc yule mfupi

  • @PeterSaqware
    @PeterSaqware Месяц назад +13

    Bwana akitaka akuweke pajuu lazima akupitishe katika hatua flan flan ambayo ndo matayarisho ya ukuu. Amen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 Месяц назад +12

    AMINA BWANA YESU NAKUOMBA UNIPE UJASIRI WA KUSIMAMA KULITANGAZA NENO LAKO KWA MATAIFA BILA KUWA NA AIBU WALA UWOGA🙏🙏🙏🙏🙏

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.

  • @AgreySanga-n5t
    @AgreySanga-n5t 20 дней назад +1

    Mungu akubariki sana Mheshimiwa makondo nakupenda mimi sina cha kukupa ila nakuombea sana kumb 28:9-13 Damu Yesu ikufunike wakati wote

  • @SarahLetion
    @SarahLetion 27 дней назад +1

    Mungu akubariki sana na akulinde unaugusa moyo wangu sana wengi wakiingia kwenye siasa wanamwacha Mungu, i love you makonda Mungu akuinue zaidi.

  • @jastinmwakaira843
    @jastinmwakaira843 Месяц назад +3

    Mh makonda Mungu azidi kukuinua zaidi

  • @nisilueno
    @nisilueno Месяц назад +3

    Ana spirit ya uongozi Makonda

  • @jeremiahbabalove5446
    @jeremiahbabalove5446 Месяц назад +3

    Mungu ikikupendeza pia makonda pia miaka ijayo akawe Rais wa nchi ya Tanzania maana ni mtu mwenye hekima na mwenye kujikweza mbele yako mungu

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx Месяц назад +3

    Amen Amen Aya maombi makonda Mungu ameshateke over ❤❤❤

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku. N

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @joachimgolola62
    @joachimgolola62 20 дней назад

    Amina matendo na maneno yakutangulie amina p.

  • @maneno_kairuki
    @maneno_kairuki Месяц назад +8

    Makonda haoenei haya(aibu) imani yake kwa Mungu

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      KWELI

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Mungu amsaidie

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @joachimgolola62
    @joachimgolola62 20 дней назад

    Mungu ni mwema pambana na Mungu akutangulie.

  • @DenisRukangula
    @DenisRukangula Месяц назад +3

    Ahsante kwa maana anamkiri BWANA Yesu.
    Naye Yesu Kristo ANARUDI

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @VicentKayagula
      @VicentKayagula Месяц назад

      Ubarikiwe sana mtu wa Mungu

  • @JonathanGrace-p5h
    @JonathanGrace-p5h Месяц назад +1

    Amen niko katika changamoto kubwa sana pia dadangu ndanda mumutowe mahali pabaya alipo pelekwa nawatu wabaya nisaidieni

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 27 дней назад +2

    God has purpose to any one who wants change's to his soul and people around

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Месяц назад +1

    I connect in Jesus name of Nazareth Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @HanamaryAMassawe
    @HanamaryAMassawe Месяц назад +2

    Mheshimiwa,umewiwing sana,uko juuuuu sana.

  • @dionizemmanuel-ml2vf
    @dionizemmanuel-ml2vf Месяц назад +3

    Imani kubwa sana.

  • @AlexKomba-p4o
    @AlexKomba-p4o 21 день назад

    Paster Tony bwana yesu asifiwe

  • @annazephania7463
    @annazephania7463 Месяц назад +5

    Kwa maneno yale uloyatamka juu ya mama nawe ikimpendeza Mungu uje kuwa nafasi hiyo hyo..

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @stellahmwakabMwakingili
    @stellahmwakabMwakingili Месяц назад +1

    Blessed words. We are unstopable when we are with Jesus.

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      Ameeen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @nationdesignerbrand
    @nationdesignerbrand Месяц назад

    Waooooooo Yesu akutunze Baba Makonda

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Месяц назад +2

    MH MAKONDA MUNGU UKO SAWA KWENDA KUSALI KTK MADHABAHUNI HAYO, KWANI WEWE HUZUILIWI POPOTE NDANI YA MIPAKA YAA KAZI YAKO. TUNAKUSHUKURU SANA.😊😊😊😊

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 19 дней назад

    Mungu anavumilia mengi sijawahisikia wakiambiwa waombe rehema hata kama wanajua matendo yao

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 Месяц назад +4

    Niliona. Makonda akiwa Raisi Mwenye NGUVU Kuliko. Raisi. Yeyote aliyewahi kutawala Tanzania. Mimi Ni mtumish wa Mungu naitwa Leonard Mahango Nipo Huku Geita

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Oh tumuombee

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 Месяц назад +2

    Mungu ambariki mtumishi

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @Peterstanley-p4r
    @Peterstanley-p4r Месяц назад +2

    Amen Amen

  • @Edinahlyanga
    @Edinahlyanga 6 дней назад

    👏👏👏👏👏

  • @allymwalusanya1021
    @allymwalusanya1021 Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤ emen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @deogratiasrugaba9271
    @deogratiasrugaba9271 Месяц назад +1

    I believe with God nothing is impossible. Live longer our brother Paul Makonda, may your destiny shine and glorify God. ❤

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Well said

  • @cheyompongolo4513
    @cheyompongolo4513 Месяц назад +2

    Kipindi cha mwl Nyerere aina ya viongozi wa aina hii walikuwa hawatakiwi hata kazi ya utarishi tu.

  • @husa8849
    @husa8849 Месяц назад +2

    Makonda utaongoza mpaka use me basi mungu yukonaw niwacac wanasiuasa kujuwamungi kumaombi mamalaisa samiya naw atakuwepi kwakiti mungukamuinuwa kabisa napendatanzaniya kwawungozibola miminimlundi lakini nafatiliyasana mamboyatanzaniya

  • @RoseMwakyoma
    @RoseMwakyoma Месяц назад +1

    Makonda Mungu akubariki sana

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @tawocatv9940
    @tawocatv9940 Месяц назад

    MUNGU AKUTUNZE SANA UR MY PRESIDENT ❤.

  • @josewilliammiliasse
    @josewilliammiliasse 28 дней назад +1

    Amen

  • @adventistcreativetz
    @adventistcreativetz 29 дней назад +1

    FUTURE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 🤝

  • @PauloDoringiWilisoni
    @PauloDoringiWilisoni Месяц назад +1

    Amina Sana makonda Mungu azidi kukuinua

  • @elineemayotham3909
    @elineemayotham3909 24 дня назад

    Ameeeen Ameeeen Ameeeen

  • @rutibatinya
    @rutibatinya 21 день назад

    Mungu ni Baba wa Sisi Sote ,wakati atakuwa President hapo ndio mtakuwa mnasema tullikuwa tunasali naye😂😂😂😂😂
    Mungu akulinde Makonda

  • @EdwardKessy-c9z
    @EdwardKessy-c9z Месяц назад +2

    Mchungaji washaaaaa mootooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      Ameeen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @EdwardKessy-c9z
      @EdwardKessy-c9z Месяц назад

      @@happinesskimbulu83 🙏

  • @Filmz639
    @Filmz639 Месяц назад +2

    Amen amen amen amen amen amen amen

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      Amen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @elineemayotham3909
    @elineemayotham3909 24 дня назад

    Ameeen Ameeen

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 Месяц назад +1

    God bless you @makonda

  • @kelemakelema3705
    @kelemakelema3705 Месяц назад

    Amen 🙏

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles Месяц назад +1

    Kingereza cha Makonda.

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @elineemayotham3909
    @elineemayotham3909 24 дня назад

    Ameeen

  • @Emmanuel-s8u4i
    @Emmanuel-s8u4i 17 дней назад

    Hahaha,ataangaika sana

  • @NeemaPetro-i7e
    @NeemaPetro-i7e Месяц назад

    Ameen

  • @annagidion7817
    @annagidion7817 Месяц назад +1

    Wonderful ❤

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      Ameeeeen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @japhetlemilya2419
    @japhetlemilya2419 Месяц назад +2

    Mungu wa mbinguni amwinue Mtumishi wake Poul Makonda kwa viwango vya juu zaidi, Taifa hili linamwitwji mtu km huyu mwenye maono makubwa na kuchkua maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Nchi!!!✍️👁️😎

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 Месяц назад +1

    Nabii wa bahari Mungu yupo ipo siku

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x Месяц назад

    Hivi Mungu anachukuliwaje SAS huyu anauzoefu Gani kiroho hivo tu Kawa nabii Mungu yupo Tutajua tu

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Месяц назад +1

    Ulitaka atabariwe madogo,,,hahahaha Dunia ina mambo na yeynyewe ndio sisi.....

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Месяц назад +5

    MUNGU HAPANGWI...WALA HAPEWI HONGO....HATA WAKUOMBEE WOTE, ANATIZAMA MOYO

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Na Kwa sababu hiyo amemtizama moyo wake na ndio maana anamtendea anayomtendea.

  • @NeemaPetro-i7e
    @NeemaPetro-i7e Месяц назад

    Ameen 16:31

  • @ShijaMpanya
    @ShijaMpanya Месяц назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bonifacematoke1501
    @bonifacematoke1501 Месяц назад +4

    NIANGALIE VIZURI VIZURI ALAFU KUNAJAMBO MOJA TU UTAKUJA KUSEMA MWENYEWE TULIKUWAGA TUNASALI NAYE 🙌

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Месяц назад

      😂

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @florabuzoya3948
      @florabuzoya3948 Месяц назад

      Niangalie pia😀🙏🏿Mtakuja kusema tulikuwa Nae 🇹🇿

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      😀😀😀

  • @heaven.love.foundation
    @heaven.love.foundation Месяц назад +2

    Mwenye sikio na asikie

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад +1

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @florangido202
    @florangido202 Месяц назад

    Ameen Ameen Ameen ❤

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      Ameeen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @FredPhillipo
    @FredPhillipo 20 дней назад

    Kwakweli umepata neema machoni pa MUNGU

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 Месяц назад

    Leondio mwanzo namwisho kuingia hii channel ya hyu kapola

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x Месяц назад +1

    Nabii gan sas uongo

  • @hawalufingo9983
    @hawalufingo9983 Месяц назад

    Hayo maneno ambayo tony kapola amemtamkia makonda basi hata ikitokea makonda amewafanyia watu mabaya nae yamrudie mwenyewe

  • @maryraphaely9696
    @maryraphaely9696 Месяц назад +1

    Makonda Kawa lini nabii lkn??😅
    Anyway sawa TUMSHUKURU Mungu 🙏🏻

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @kinungejulius4124
    @kinungejulius4124 27 дней назад

    Nenda kwenye asili zetu za kiafrika.

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile Месяц назад +3

    Mungu angetupa macho ya rohoni ili kujuwa yapi ni maigizo na yapi ni uhalisia ingekuwa heri sana.

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Labda kama ww sio mkristo, kama ni mkristo Mungu ameshatupa Roho Mtakatifu ambaye kazi mojawapo anayofanya akiwa ndani ya mtu ni kumpa au kumuwezesha kuona uhalisia ni upi na maigizo ni yapi.

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii ili 9 habari kem-kem na za uhakika kila siku.

    • @AllanLyombile
      @AllanLyombile Месяц назад

      @katemachanda7035 Wanaoitwa wasiojulikana haohao tena waitwe wapakwa mafuta wa Mungu, ama kweli hata shetani hujigeuza na kuwa kama malaika wa nuru 2WAKOR 11:13-15 danganyeni wengine walio vipofu.

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      @@AllanLyombile Kuwa specific na unachoongea, usirukeruke tu na mada. Hoja Yako kuu nikwamba unatamani Mungu angetupatia macho ya rohoni kuweza kuona kizuru ama kibaya. Lkn ukweli ni Kwamba kama ww ni mkristo unayeamini ktk huduma ya Roho Mtakatifu hutoacha kufahamu Kwamba Hilo sio jambo la ku wish lingekuwepo isipokua hiyo ni Moja ya huduma ya Roho Mtakatifu ndani ya mkristo; na ukitembea Kwa huduma hii hutohangaika mitandaoni kupigishana kelele na yoyote, Kwa maana kwako Kila kitu kitakuwa wazi Kwa ROHO.

  • @HoseaPeter-yu3qh
    @HoseaPeter-yu3qh 29 дней назад

    Natamani niishi nione mema ambayo Mungu atayatenda kupitia Makonda hasa atakapokua rais

  • @jastinnkya
    @jastinnkya Месяц назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we Месяц назад

    Uyo ndo rais 2025 makonda

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 28 дней назад

    Huyu ndo kiongozi wa kwanza kumuona anaabudu kanisa la kipentekoste

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Месяц назад +3

    Maombi gani hayo ya uzushi unataka ugali tuu uyo jamaa ni mzishi maombi gani hauo😂😂😂😂

    • @annagidion7817
      @annagidion7817 Месяц назад

      Weusiye mzushu kakae pale basi Hata inzi hawakujui

    • @EdwardKessy-c9z
      @EdwardKessy-c9z Месяц назад

      ​@@annagidion7817🤝

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @anyosisyedaniel1790
    @anyosisyedaniel1790 Месяц назад +1

    Tatizo Makonda hana imani, baali amejaa mahangaiko huku yupo kule yupo. Akijitambua tu katika Roho kiongozi tunae lakini kwa mfumo wa kinyonga 🤔🤔🤔

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @innocentbalahoza1491
    @innocentbalahoza1491 26 дней назад

    Shida najiuliza kwann wanaomba kwa kupayukapayuka Sanaa, kwahyo Mungu anapenda mipayuko sana. Kwa sasa hakuna wakunidanganya.

    • @NkingwaAmosi
      @NkingwaAmosi 24 дня назад

      Sijaona point yako hapo. Soma Bibilia vizuri na elewa maana ya kupayukapayuka.

  • @AndrewKisava
    @AndrewKisava Месяц назад +7

    Kapola bwana utawekaje mkono begani kwa woga mkono uuweke kichwani pale umtoe pepo huyo jamaa maaana amekuja hapo utakuta kesho yupo pale anatangatanga sana kwenye madhabahu yaani hana uturivu hivyo toa pepo wakutangatanga ndani yake

    • @annagidion7817
      @annagidion7817 Месяц назад +1

      Wambea wameanza kila mtu anauhuru

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @philipomwazyunga4572
    @philipomwazyunga4572 Месяц назад +2

    2030 presidential candidate ni
    Makonda(ccm) vs gwajima(chadema)

    • @FirstyNicky
      @FirstyNicky Месяц назад

      Uko sahihi kabisa naunga mkono maneno yako

    • @lightmashauri1725
      @lightmashauri1725 Месяц назад

      Duuu mbona itakuwa ya mto sana wote nawakubali🙆

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @barakabusima
    @barakabusima Месяц назад +2

    Kuna lugha imepigwa hapo eti ndiyo kunena kwa lugha huo ni utapeli wa kiroho

    • @DenisRukangula
      @DenisRukangula Месяц назад

      Lugha za kuigwa

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @philimondaniel2965
    @philimondaniel2965 Месяц назад

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @MartineJoseph-u6i
    @MartineJoseph-u6i Месяц назад +2

    Toba ya kweli ni kujitenga na ccm,lkn kama umo ndani ya. Ccm utachafuka tu kwa kuwa ndio asili,utalazomishwa kutenda dhambi hata kama utaki

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 Месяц назад +1

    Huyu mtu anateseka sanaa 😅

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Месяц назад

      Yaani 😅

    • @FrankBella-qe4tj
      @FrankBella-qe4tj Месяц назад

      Wewe ndio unateseka

    • @FirstyNicky
      @FirstyNicky Месяц назад

      Ni sahihi makonda kuna kitu kinamtesa ambacho watu wengi hawakifahamu ndio sababu ya kuwafata viongozi mbalimbali wa dini wamuombee, hapo nyuma kidogo kuna kiongozi mmoja wa dini na ni mtumishi wa MUNGU wa kweli makonda alimkosea yule mtumishi na kupelekea kutamkiwa maneno ya laana na yule mtumishi. Hivyo anapitia wakati mgumu sana na anaona aibu kumfata na kumuomba msamaha kutokana na alivyowahi kumdharilisha uyo mtumishi huko nyuma anahofia kuumbuka. Ndio sababu ya kuwafata viongozi wengne wa dini wamsaidie kumfutia hiyo laana kwa kumtamkia maneno mazuri.

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Ungekua unajua maana ya kuteseka utakuja kugundua huyu jamaa hateseki hata kidogo, kazungukwa na kundi kubwa sana la maadui ikiwa pamoja na ww lkn Cha kushangaza huyu jamaa nyota yake inang'aa Kila uchwao. Kama hulioni Hilo kwake basi humjui Makonda au ww mgeni hapa nchini...

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 Месяц назад +4

    Bongo kuna uongo kinona hadi kunena kwa Lugha wanatafasili kingeleza Yaani hapo ni Matapeli yamekutana

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад +2

      Kaka....kama kuna vitu huelewagi, kutulia ni busara kubwa.

    • @maryraphaely9696
      @maryraphaely9696 Месяц назад

      We ulipo ona pametafsiliwa ni wapi au hujui kuelewa

    • @officialkinghimself2637
      @officialkinghimself2637 Месяц назад

      Kasikilize vizur utaelewa

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      ​@@maryraphaely9696Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @FinaMwangaza
    @FinaMwangaza 25 дней назад

    Nauliza huyubabamuheshimiwamakondaangalihai?

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x Месяц назад

    Hivi msanii Roma yuko wapi angetusemea kwa hili

  • @jonasynyasika6391
    @jonasynyasika6391 Месяц назад +2

    Wachungaji Je hii ni kweli Mungu akutuma???.
    Je hayo makosa yanayosemwa juu yake mme jaribu kumuuliza Mungu je ni kweli au si kweli.
    Naona kama kuna element za uchawa fulani.

    • @Mwana-k2g
      @Mwana-k2g Месяц назад +1

      Kabla wewe hujahoji na wewe nakuhoji Mimi:....je wewe umepimaje kuwa yanayosemwa ni kweli? au na wewe unauchawa fulani Kwa wanaomsema vibaya?.....Do you have reasonable evidence to justify your accusess.??

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      ​@@Mwana-k2gNaomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Je ww ni msomaji wa Biblia kweli? Ushasoma habari za kina Daudi? Sulemani? Sauli wa Tarso? juu ya makosa Yao waliomfanyia Mungu na watu? .... MUNGU SIO MWANADAMU BWA MDOGO.

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r Месяц назад +2

    Mkuu ,mafuta Tena

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      😂😂😂Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 Месяц назад +3

    Kapola unamuombea huyo muuaji kabisaa??😂😂😂😂 hata Mungu anashangaa😂 Shetani haamini😂😂😂

    • @happinesskimbulu83
      @happinesskimbulu83 Месяц назад

      😀😀😀

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op Месяц назад

      Mm uwanga siamini iman ya mafuta hapatena naona mkuu mafuta tena

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      AISEE

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Huyajui maandiko. Kasome kwanza Biblia Kisha ndio uje umshauri Mchungaji Kapola.

  • @PolycapySilayo-g9w
    @PolycapySilayo-g9w 23 дня назад

    Y

  • @agnesmutindi3094
    @agnesmutindi3094 Месяц назад

    Amen amen and amen

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @LazaroJohn-y6h
    @LazaroJohn-y6h 18 дней назад

    Kama tu vile

  • @AthumaniSimba-ff8bg
    @AthumaniSimba-ff8bg Месяц назад

    Huyu akiwa raisi watu watanyoka

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      😂😂😂

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @JANEBGOYA
    @JANEBGOYA 27 дней назад

    😂

  • @gracemtyaule562
    @gracemtyaule562 22 дня назад

    .

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 Месяц назад

    X-plora ukiwa Honeymoon hutakiwi kuwa Mtandaoni unapost 😂..!!
    Tulia japo siku 3 zipite.

  • @TeloAwor
    @TeloAwor Месяц назад

    Hizi ni drama

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Месяц назад

    Roho alizozikatili uhai lazima akiri na kutubu wakati alivyokuwa mkuuu wa mkoa dar hii haishi ni muda tu

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Utasubiri sana. Uziri nikwamba Mungu sio mwanadamu. Jamaa nyota yake inazidi kuchanua tu.

    • @frankchipasura1814
      @frankchipasura1814 Месяц назад

      Leta ishahidi, acha ushambenga

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 Месяц назад

    Magonda hanakias anasifa sana.

    • @Mwana-k2g
      @Mwana-k2g Месяц назад +1

      Tulijua tu Mashetani hawawezi kunyamaza lazima walielie..ila pole zao Kwa maana ni wakati wa Mungu sio Shetani..

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      @Mwana-k2g mh

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      ​@@Mwana-k2gNaomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 Месяц назад

    Mhhhh!

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi Месяц назад

    Mbona mama akiona seheme unawapendeza watu anakutoa ? Ila sisi hatumtaki mme wangualiaza

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

  • @sundaydilunga383
    @sundaydilunga383 Месяц назад

    M wondering!!!mtumishi wa Mungu!?kwani MUNGU wako,&MUNGU wa poster gwajima ni tafauti!?mbona ufalme unaftinika!?mbona walio wachanga katka roho mnawayumbisha!?ths'z nt right!!Gwajima kamfuta kwenye siasa!!then you are anoiting him!?huyu YESU atusaidie😓😓

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Mh

    • @kentz186
      @kentz186  Месяц назад

      Naomba usiache ku-subscribe kwa channel hii na ku-share na wengine huko Whatsapp ili kujipatia habari kem-kem na za uhakika kila siku.
      Admin- Explora

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад

      Huyajui maandiko. Kasome kwanza Biblia ndio uje ku comment huku.

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 Месяц назад

    Amen ❤