Mungu akubariki ndugu Cassian. Kumtambua mtumishi wa kweli na uongo ni kwa Neno la Mungu. Mtumishi uko sawa kabisa wote hao ni waongo neno linawatoa nje. Tunawatambua kwa matunda yao. Endelea mtumishi na Mungu akubariki
Yaani lazima uhangaike na nabii mkuu sana mana amekuzidi mbaaali mahali huwezi hata kumuona.Na hapa bado hujasema na utasema. Ukiona mtu akibwabwanya kwa ajili ya mtu ujue huyo mtu amemxidi mbali sana. Kasiani utafika mbinguni ukiwa umechoka sama kwa kumsema Nabii mkuu. Bado Mungu hajambariki unsema subiri ambariki uongee zaidi na utaongea mpaka koo likauke nakwambia Pascal
Mungu AKUBARIKI SANA, Mhubiri ni mzuri, ujumbe mzuri sana, Ila wanaohubiriwa sasa!!! Sidhani kama wanaelewa, wengine wapowapo ili kupinga ukweli huu, Hakika kusikia watasikia sana ila hawaelewi kitu, kutazama watatazama sana lakini hawaoni kitu.
Ni kweli si kila mtumishi, mtume, nabii anayetenda miujiza ni mtumishi wa Mungu. Bibilia inasema juu ya mtu mmoja jina lake ni simoni, hapo kwanza alikuwa akifanya uchawi katika samaria na kuwashangaza wakubwa kwa wadogo na akijigamba kuwa yeye ni mtu mkubwa. Na walikubali na kusema mtu huyu ni uweza wa Mungu uko ndani yake. Na siku moja uchawi wake na uongo wake ulifika mwisho. Vivyo hivyo siku ya huyu mzee mpumbavu, mkosa mila mtumwa wa shetani " nabii mkuu" mwizi wa wana wa Mungu siku ya kuanguka kwake imekaribia. Wote wataaibishwa waziwazi, wataanikwa kabisa. Asante mtumishi Mungu akubariki kwa kweli hii. Tutembee kwa hofu ya Mungu na uaminifu wake. Macho ya rohoni yatiwe nuru na Mungu asaidie watu waweze kutambua roho ya kweli na ya shetani na watu wajue vile shetani ameinua watumishi wake bandia kama hawa wangawa pesa.
Ukisema Yesu anatoa pepo kwa belizebuli mkuu wa mashetani basi tuonyeshe miujiza unayoifanya wewe kwa nguvu za Mungu! wivu jumlisha ushamba vinakusumbuwa.
paskali nakushukulu sana make atakujifunza kwangu kwako nimekuwa nikiwasaidia hata wengine wasio ijua kweli ila mtumishi natamani sana siku nije kanisani kwako sikuwa kwamba mumini wahapo apana nataka nije kutembea tu hapo fesi tu fesi make unanibaliki sana paskal
Mungu alivyokuwa katika kipindi cha Agano la kale, ni tofauti sana na jinsi alivyo katika Agano jipya. Lazima watu walitambue Agano jipya kwa undani, ambalo ni Biblia inasema ni Agano lililo bora zaidi kuliko la kwanza. Kwasasa kila mhubiri anaongea na kutetea kile anachokijua yeye. Ukweli wote wa Mungu upo kwa Yesu Kristo na katika Agano lake jipya.
Paschal unahitaji kujifunza naona kama huelewi. Dhqmbi ilimtenganisha na Mungu sawa je Yesu alikuja kufanya nn? Yesu alikuja kurejesha mahusiano ya Mwanadam na Mungu. Mungu alikuja duniani alikaa nasi ambaye ndie Yesu ss unataka kumuona Mungu yupi? Baada ya kufa Yesu aliwatokea wanafunzi mbona hawakufa? Mtume paulo alitokewa na Yesu mbona hakufa? Hebu jifunze ndugu pia tuache ujuaji
YESU alisema enendeni ulimwenguni mkahubiri injili kwa kila kiumbe, sasa umeacha injili unahubiri watu, wahubirie watu injili waokolewe ila kila siku unadeal na watu hao sio kazii yako, kwanza huna ujumbe wowote wa wakati wa mwisho, wewe ni muongo!
MIRIAM ALIKUWA MTUMISHI WA MUNGU NA ALIKUWA NABII.MIRIAM Alimsengenya NABII MUSA KUMBE MUSA alikuwa RAFIKI WA MUNGU ALIYEHAI.MUNGU ALIMTANDIKA MIRIAM KWA UKOMA KWA kumsengenya NABII MUSA.NAKUFANANISHA PASCHAL CASSIAN NA MIRIAM, Nakushauri ACHANA NA MANABII WA MUNGU ANAWAJUA ALIYEWATUMA . Wewe UNANI HATA UKAWANENEA MABAYA NA KUWATUKANA?
Jodevi sio mtumishi wa Mungu huyo ni Pepo hatari sana we utakua umemjua kupitia mitandao ya kijamii ndio maana unamuona ni mtumishi wa Mungu hakuna kitu pale.
Huku kwetu watu wanaenda mbinguni wanasalamiana na malaika kwa mkono, sembuse Mungu? 😂😂😂😂. Uongo wa hali ya juu sana. Huu udanganyifu umevuta wengi wakidhani ni Mungu anawaelekeza. Hawaezi sema ukweli bali kulaghai ili wajinufaishe. Heri ukweli kuliko uongo utakaoukosesha uzima wa milele
Yeye mwenyewe ni mtumishi wa umbea hana ufahamu wowote nikupiga mikelele tu kuzimu hakuna vikao wala viwaliyoombwwanda wala hakuna mtu anaenda kuzimu mpaka afe katika dhambi wala hakuna mtu anayetoka kuzimu kuja duniani Yesu alikataa, wala kuzimu hakuna maji maji yanapatikana kwa watu waliyokifuani mwa Ibrahimu ndio waliyoombwa
Wewe mwenyewe njaa Kali wengine wakichukua sadaka unasema tapeli hizo naomba umeweka za Nini acha ujinga wewe kama mtumishi wa mungu fanya kazi ya mungu achana na kuzungumzia watu unaukweli gani hapo ulipo acha kupotosha watu kila mmoja abaki na Imani yake
Mungu akubariki ndugu Cassian. Kumtambua mtumishi wa kweli na uongo ni kwa Neno la Mungu. Mtumishi uko sawa kabisa wote hao ni waongo neno linawatoa nje. Tunawatambua kwa matunda yao. Endelea mtumishi na Mungu akubariki
Mungu akubariki sana kwa kutufundisha vema na kulishika neno lake Mungu!
Amen 🙏,watakudharau leo,ila ipo siku watakumbuka haya.
Ubarikiwe Sana baba. Unatufunza mengi
Mungu akusamehe unaongea vitu usivyovijua vizuri japo unia nzuri
Yaani lazima uhangaike na nabii mkuu sana mana amekuzidi mbaaali mahali huwezi hata kumuona.Na hapa bado hujasema na utasema.
Ukiona mtu akibwabwanya kwa ajili ya mtu ujue huyo mtu amemxidi mbali sana.
Kasiani utafika mbinguni ukiwa umechoka sama kwa kumsema Nabii mkuu. Bado Mungu hajambariki unsema subiri ambariki uongee zaidi na utaongea mpaka koo likauke nakwambia Pascal
Mungu AKUBARIKI SANA,
Mhubiri ni mzuri, ujumbe mzuri sana,
Ila wanaohubiriwa sasa!!!
Sidhani kama wanaelewa, wengine wapowapo ili kupinga ukweli huu,
Hakika kusikia watasikia sana ila hawaelewi kitu, kutazama watatazama sana lakini hawaoni kitu.
Mweli mtumishi, mungu akubariki sana
Waja mungu akubaliki
Apo kwa mganga nimechekaaa😅😅😅😅 ila mtumishi endelea kusema ukweli baba, tunaokuelewa tupo❤
Ni kweli si kila mtumishi, mtume, nabii anayetenda miujiza ni mtumishi wa Mungu. Bibilia inasema juu ya mtu mmoja jina lake ni simoni, hapo kwanza alikuwa akifanya uchawi katika samaria na kuwashangaza wakubwa kwa wadogo na akijigamba kuwa yeye ni mtu mkubwa. Na walikubali na kusema mtu huyu ni uweza wa Mungu uko ndani yake.
Na siku moja uchawi wake na uongo wake ulifika mwisho. Vivyo hivyo siku ya huyu mzee mpumbavu, mkosa mila mtumwa wa shetani " nabii mkuu" mwizi wa wana wa Mungu siku ya kuanguka kwake imekaribia. Wote wataaibishwa waziwazi, wataanikwa kabisa.
Asante mtumishi Mungu akubariki kwa kweli hii. Tutembee kwa hofu ya Mungu na uaminifu wake. Macho ya rohoni yatiwe nuru na Mungu asaidie watu waweze kutambua roho ya kweli na ya shetani na watu wajue vile shetani ameinua watumishi wake bandia kama hawa wangawa pesa.
Ukisema Yesu anatoa pepo kwa belizebuli mkuu wa mashetani basi tuonyeshe miujiza unayoifanya wewe kwa nguvu za Mungu! wivu jumlisha ushamba vinakusumbuwa.
Daaah umeweza sana kujitoa muhanga kuipigania imani. Hongera
Anapigania imani ipi
Mungu Anao kisogo tena Wakati Mungu NI Roho Jamn mbona mbatuchanganya watumushi
Soma biblia ndg yangu
Mungu nip maco ya rohoni na ufunguwe ufahamu wangu Dunia imeisha
Mungu akubariki sana kaka 🙏🙏🙏
MUNGU akusimamie sana Mtumishi ukokweli na kuamini asilimia 100 kweli
Umenena ukwel 😂😂Kwa muganga dhaa nimeceka kama falaa😂😂
Mbona unateseka na majasho vipi?? Kwanza umekula ?? Au njaa na wivu ? Mbona umechokaa 😂😂
Yani kaka Mungu akubariki san na huduma yako jaman hakika unanibaliki sana
paskali nakushukulu sana make atakujifunza kwangu kwako nimekuwa nikiwasaidia hata wengine wasio ijua kweli ila mtumishi natamani sana siku nije kanisani kwako sikuwa kwamba mumini wahapo apana nataka nije kutembea tu hapo fesi tu fesi make unanibaliki sana paskal
Ongela.mchungaji
Nakupongeza kwa ujasiri mkubwa wa kuwasema hawa watumishi wa kuzimu
Wengine wamekazana kuwaita eti baba shwain zao
Ubarikiwe ndugu
Mungu alivyokuwa katika kipindi cha Agano la kale, ni tofauti sana na jinsi alivyo katika Agano jipya.
Lazima watu walitambue Agano jipya kwa undani, ambalo ni Biblia inasema ni Agano lililo bora zaidi kuliko la kwanza.
Kwasasa kila mhubiri anaongea na kutetea kile anachokijua yeye.
Ukweli wote wa Mungu upo kwa Yesu Kristo na katika Agano lake jipya.
Nakuelewa sana mtumishi wamungu
2Timotheo4:3-6 kila kitu kipo hapo soma juu ya manabii wa uwongo pia soma matayo12:31-32 juu ya makuru ya roho mtakatifu
Chief mimi sio mkristo lakin dah
Hii shule ulioitoa apa nmeisoma sana kwenye mafundisho ya kiislamu
Big-up kiongoz na mungu akubarik
Wewe ni Mtumushi wa shetani,
Makamu wako mbarikiwa wanyakyusa mmeyumba sasa unatafut kiki
hongera rafi
Ok sawa kwaiyo sasa kila mshirika anae Shilik kwenye mazabau hii na yeye ni mshilika wa shetani sindio
Ndiyo! Tatizo watu hamtaki kuielewa biblia mnashabikia manabii wa uongo huyu G Davie ni muongo haihitaji hata elimu kubwa kumtambua!
Wewe unajuwaje kama nimafundisho ya uongo jamani usihumu mtu mungu ndo anahukumu kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
Ndio kabisaa bibilia ndio ina ukweli,na watu hawana mda wa kuisoma,
Mzee mwenye kuheshimiwa ndiyo kichwa na nabii afundishaye uongo wote walioongozwa na watu hao wameangamia. Isaya9=15
Usiongope lolote kakangu,hata yesu walimdharau ,sema yoote kakangu.wenye kusikia wasikie.wale hawataki wakae.
Paschal unahitaji kujifunza naona kama huelewi. Dhqmbi ilimtenganisha na Mungu sawa je Yesu alikuja kufanya nn? Yesu alikuja kurejesha mahusiano ya Mwanadam na Mungu. Mungu alikuja duniani alikaa nasi ambaye ndie Yesu ss unataka kumuona Mungu yupi? Baada ya kufa Yesu aliwatokea wanafunzi mbona hawakufa? Mtume paulo alitokewa na Yesu mbona hakufa?
Hebu jifunze ndugu pia tuache ujuaji
Yaani we kupambana na watu 😢
Bibilia inasema mtawataumbua kwa matunda yao.nakufatilia nikiwa Kenya.
Nice
Mungu azidi kukutumia Pst Cassian Ubarikiwe🙏🏻
Amen Amen
MUNGU akulide baba uendelee kututoa upofu tulionao ❤
MH.... MPUUZI WEWE. HUJUI HAATA UNACHOKIONGEA.
NAWEWE KAFUNGUE KANISA LAKO. 😅😅😅😅😅
Umeumia eh
Kwanza fremason mavazi yao tu utawatambua yana meremeta ona ya huyu ata kiboko ya wachaw mavaz yao yanameremeta kama za fremason
We ni fundi wao unawashoneaga?
Kwan mtanifanyaje
@EstaDaffi-wg5cr nuru ya ng'aa gizan wala giza halitaliweza kamweee
Hawa watu mambo yao ni ya kifahari fahari kuanzia majumba magari hadi mavazi utawajua tu yamewaka waka yaan kumeremeta sana kama wafalme flan ivi
YESU alisema enendeni ulimwenguni mkahubiri injili kwa kila kiumbe, sasa umeacha injili unahubiri watu, wahubirie watu injili waokolewe ila kila siku unadeal na watu hao sio kazii yako, kwanza huna ujumbe wowote wa wakati wa mwisho, wewe ni muongo!
Swali MUNGU hawezi mbariki mtu ila kuzim tu ndio inaweza kumbariki mtu?
Bona unasahau wakenya waongo wako uko
Devi miaka ya 1994 -2003 hajafanikiwa alikuwa mtumishi wa MUNGU ?sasa hivi baada ya kufanikiwa kawa mtumishi wa kuzim??????????
Ni wivu unamkula pascal hajitambui
Kuumanisha mtu akikutana Yesu,yeye hukufa?
Njoo ukugaie pesa unataka watu waende kwa mganga. Basi hata wewe hatukuamin
Amém
Mpinga kristo usituchefue hata sisi hatukuamin
Utaamini siku ukimkuta nabiu mkuu kuzim
Sema mimi siyo sisi
MIRIAM ALIKUWA MTUMISHI WA MUNGU NA ALIKUWA NABII.MIRIAM Alimsengenya NABII MUSA KUMBE MUSA alikuwa RAFIKI WA MUNGU ALIYEHAI.MUNGU ALIMTANDIKA MIRIAM KWA UKOMA KWA kumsengenya NABII MUSA.NAKUFANANISHA PASCHAL CASSIAN NA MIRIAM, Nakushauri ACHANA NA MANABII WA MUNGU ANAWAJUA ALIYEWATUMA . Wewe UNANI HATA UKAWANENEA MABAYA NA KUWATUKANA?
Jodevi sio mtumishi wa Mungu huyo ni Pepo hatari sana we utakua umemjua kupitia mitandao ya kijamii ndio maana unamuona ni mtumishi wa Mungu hakuna kitu pale.
Huna lolote sikuamini hata uongee na miguu nabii tutamuamini tuuuuuu
Uvivu tu wakufanya kazi ndiyo maana unajipendekeza kwa nabiu akupe mtaji
Omba Mungu akufungue jicho la tatu au upate Neema ya roho Mtakatifu akufungue utajuta kumjua huyo Nabii
Poleni sana, muombe Mungu awape macho ya kiroho
Huku kwetu watu wanaenda mbinguni wanasalamiana na malaika kwa mkono, sembuse Mungu? 😂😂😂😂. Uongo wa hali ya juu sana.
Huu udanganyifu umevuta wengi wakidhani ni Mungu anawaelekeza. Hawaezi sema ukweli bali kulaghai ili wajinufaishe.
Heri ukweli kuliko uongo utakaoukosesha uzima wa milele
Unakazi sana,hadi unatoa jasho kutoa siri zenu hapo mmezidiana tu viwango
Yeye mwenyewe ni mtumishi wa umbea hana ufahamu wowote nikupiga mikelele tu kuzimu hakuna vikao wala viwaliyoombwwanda wala hakuna mtu anaenda kuzimu mpaka afe katika dhambi wala hakuna mtu anayetoka kuzimu kuja duniani Yesu alikataa, wala kuzimu hakuna maji maji yanapatikana kwa watu waliyokifuani mwa Ibrahimu ndio waliyoombwa
Huyo jamaa ni muongo
Wewe ulijuwaje cheo shake kama siyo usenge unaongeya malaya ww,
Plz ongopa mungu tuu,usimtusi.
Wewe mwenyewe njaa Kali wengine wakichukua sadaka unasema tapeli hizo naomba umeweka za Nini acha ujinga wewe kama mtumishi wa mungu fanya kazi ya mungu achana na kuzungumzia watu unaukweli gani hapo ulipo acha kupotosha watu kila mmoja abaki na Imani yake
Kwahiyo wewe unajua Nini Kama unajua SEMA watu wapone kazi kutetea uovu okoka ili ufunguliwe maana naona uko gizani