Nampenda Mungu saaaaaana.Huyo hata mumuombee vipi,damu ya mtu mwenyewe haki ina nguvu kuliko mdharimu.Aliyeuwawa alikuwa na haki mbele za Mungu ndio maana alikaribisha watumishi wakubwa wa Mungu lakini walimuua,Mungu anaenda kumleta kiongozi mwenye Haki sio mdharimu.Kuna habari njema sana inayoendelea duniani kwa sasa.Mungu anainua watu wake, Botswana,Marekani n.k tumeona na sasa ni zamu ya Tanzania.Mama hatokuwa Rais wa Tanzania tena.Ndio kitu tunachojua katika ulimwengu wa roho.Hao maharamia hawataweza kufanya chochote.
Prophet of GOD please locate DEUSDEDITH SOKA in the realm of the spirit, kijana mtanzania ametekwea inakaribia miezi mitatu sasa lakin sio mahakama bunge wala serikali cares about it, MUNGU atende SOKA arudi kuungana na familia yake unharmed. UBARIKIWE SANA PROPHET
Mungu tenda kama usemavyo Auwaye kwa upana wakafe kwa upanga,watekaji ,wafiraji,Wauwaji Shimo walilochimba kwa ndugu zetu,wakatumbukie wao na vizazi vyao.MUNGU TENDA
Kwa jina la Yesu Kristo, makusudi ya Mungu yatimie. ikiwa kuna watu walihusika kuuwa haki ya Mungu iwawajibishe. NA MALENGO YA MUNGU KWA JILI YA NCHI HII YATIMIE KWA JINA LA YESU. Maana yake kuna watu wataondoka kwa sababu Mungu anawawajibisha na watasababisha bendera ipeperushwe nusu mlingoti.
Hawajui wanachoomba. Ilitakiwa waombe mapenzi ya Mungu yatizimizwe! Mathayo 26:52 - Auaye kwa upanga hakika atauawa kwa huo Mwanzo 9:6 - Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yao itamwagwa na mwanadamu.
Prophet Mungu azidi kukupa maono zaidi ya kuponya Nchi yetu Tanzania na watu wake, jirani zetu pamoja na Kanisa la Kristo.. Umsihi Mungu atipe imani nchini kwa ajili ya Utukufu wake. Utekaji na mauaji yakome katika Nchi ya Inua wana wako waweze kuongoza nchi ya Tanzania na Neno lako lihubiriwe kila kona kwa uhuru na kwa Neno lako Nchi IPONEi.
Mungu tusaidie watu zaidi ya 82 wamepotea kwa mazingira Tatanishi.. Roho inayo poteza hao watu nayo ipotee,,,Ikikupendeza Yesu tunusuru kwa kufuta kabisa,,,Chanzo cha Utekaji..
Ameeen, Wagalatia 5:12 na dhuluma ya uhai wa wenye haki ni mbaya inafuatilia hadi kizazi cha nne, usalama wa kiti ni kutenda haki pia, vinginevyo watapa mapigo tu. Waache njia zao mbaya na ndipo watakapokuwa salama, maana damu wanaanza kumwaga wao, sasa damu zilizo mwagika kwa dhuluma lazima zidai haki yao ya kuishi iliyokatishwa na waagizaji na watekelezaji wa maagizo.😭😭😭
Prophet tumlilie Mungu Spirit of homosexuality (gay and lesbian) zisisikike tena Tanzania. Wale wote wanaojihusisha na haya WATUBU WAKUGEIKIE WEWE NA KUKUTUMIKIA WEWE. IN JESUS CHRIST MIGHTY NAME I PRAY
Mwenyezi mungu tunakuomba utupe hitaji ramoyo wetu tenda haki kupitia rais utakaye tuchagulia wewe ndiyo akimu wa kweli tuombeni bila kukoma mungu atupe sawa na hitaji la moyo wewtu
Prophet mwezi wa 5/2024 nliota kua nimeenda kwenye mkutano wa kampeni ambao Raisi Samia alitakiwa aje ahutubie nikaona tumekaa mpaka giza hajaja nikaskia roho ikisema kua amepatwa na stroke yaani kiharusi ila ikaonekana kuwa wamefanya siri halafu nikaona kumeanza minong'ono kisha vurugu kubwa sana hakika nlishtuka sana kumbe ilikua ni ndoto roho ikanishuhudia kua hili 🙏
Mtumishi uko vizuri sana... Kuombea maadui... Tofauti na wale walio sema Alie ua kwa Upanga,,,Atakufa kwa upanga.. Katika jina la Yesu,,,Mungu iue Roho ya Utekaji..
Kila mtu hubeba mzigo wake. Tunaona hata kwa Kaini na Nebkadneza ila kukiwa na dhati ya kusimama katika haki Mungu analijibu na kuliokoa taifa kama alivyofanya kwa Mfalme wa Ninawi lakini ilikuwa baada ya maonyo ya Yona. Bila toba na bila kusudio la kuacha hila, ni vigumu sana Mungu kusikia maombi maana hujihusisha na upande wa pili.
Tumechoka! Tumechoka kusikia kuhusu utekaji. Rais wa Tec. Alikemea baada ya hapo Alli Kibao akatekwa na kuuawa kikatili. Ee Mungu watangulie chini ya ardhi hao walio sababu ya utekaji na mauaji
Viongozi wanaotuma watu kutekwa, kuuwawa na kuzalilishwa kwa Mama zetu kuvuliwa nguo na Mapolisi.Mungu teketeza vaziba nafasi wote na family zao ili wajue wewe upo
Unagelesha tuu hapo huwezi fanya maombi ya kukataa wkt umeshatoa huo unabii maana usipotimia huwezi kuendelea na huduma kwa hapo umeshatupa taarifa yajayo yanafurahisha
Manabii wa siku hizi mnataka sifa kama mngekukuwa mnafanya Mungu anavyotaka tusingekuwa tulivyo mie nawashangaa mambo mabaya hamwombi au shetani anatabiri na kutimiza ili kupoteza watu wake kwa kuamini kuwa akisema yanakuwa kwa nini wanaopotea hawasemi?
Wewe prophet ulitakiwa useme hiyo sauti ya madai inataka nn? Na kama ni mapenzi ya Mungu kulipa kisasi huwezi kukemea wala kupinga siasa na mapenzi ya Mungu ni vitu viwili tofauti.
Principle ni kuwaombea maadui wote Mungu ndiye mwenye haki atoapo hukumu ,sisi ni kuomba rehema tu!Kama huwezi kuomba lia machozi yatasema ujumbe wako kwa Yesu.

Tunaomba MUNGU tupate kiongozi mcha MUNGU sana.Na iwe hivyo tu.Amina
Amina Dada, tutapata mtu mzuri 🙏
Nabii mwenye hekima nyingi Huyu. Barikiwa Sana
Sana sana
Nampenda Mungu saaaaaana.Huyo hata mumuombee vipi,damu ya mtu mwenyewe haki ina nguvu kuliko mdharimu.Aliyeuwawa alikuwa na haki mbele za Mungu ndio maana alikaribisha watumishi wakubwa wa Mungu lakini walimuua,Mungu anaenda kumleta kiongozi mwenye Haki sio mdharimu.Kuna habari njema sana inayoendelea duniani kwa sasa.Mungu anainua watu wake, Botswana,Marekani n.k tumeona na sasa ni zamu ya Tanzania.Mama hatokuwa Rais wa Tanzania tena.Ndio kitu tunachojua katika ulimwengu wa roho.Hao maharamia hawataweza kufanya chochote.
Prophet of GOD please locate DEUSDEDITH SOKA in the realm of the spirit, kijana mtanzania ametekwea inakaribia miezi mitatu sasa lakin sio mahakama bunge wala serikali cares about it, MUNGU atende SOKA arudi kuungana na familia yake unharmed. UBARIKIWE SANA PROPHET
Pole pole ndio mwendo nakuona mbali sana Prophet Mungu aendelee kukutumia vyema
Mungu tenda kama usemavyo Auwaye kwa upana wakafe kwa upanga,watekaji ,wafiraji,Wauwaji Shimo walilochimba kwa ndugu zetu,wakatumbukie wao na vizazi vyao.MUNGU TENDA
Kwa jina la Yesu Kristo, makusudi ya Mungu yatimie. ikiwa kuna watu walihusika kuuwa haki ya Mungu iwawajibishe. NA MALENGO YA MUNGU KWA JILI YA NCHI HII YATIMIE KWA JINA LA YESU. Maana yake kuna watu wataondoka kwa sababu Mungu anawawajibisha na watasababisha bendera ipeperushwe nusu mlingoti.
Km hayo mnayopinga ndo makusudi ya Mungu?
Hawajui wanachoomba. Ilitakiwa waombe mapenzi ya Mungu yatizimizwe!
Mathayo 26:52 - Auaye kwa upanga hakika atauawa kwa huo
Mwanzo 9:6 - Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yao itamwagwa na mwanadamu.
Amen 🙏
Prophet Mungu azidi kukupa maono zaidi ya kuponya Nchi yetu Tanzania na watu wake, jirani zetu pamoja na Kanisa la Kristo.. Umsihi Mungu atipe imani nchini kwa ajili ya Utukufu wake. Utekaji na mauaji yakome katika Nchi ya Inua wana wako waweze kuongoza nchi ya Tanzania na Neno lako lihubiriwe kila kona kwa uhuru na kwa Neno lako Nchi IPONEi.
Kama ni Mapenzi ya Mungu na Yatimie😢😢,ila kama ni ya kibinadamu na yashindwe kwa jina la Yesu Kristo lililo Hai
Amen
Tafadhali Mungu tunakuomba uwe nasi🥲
Mungu utusimamie mwenyewe asiye fahaa kukalia kiti na asikikalie kwajina la YESU
Mungu tusaidie watu zaidi ya 82 wamepotea kwa mazingira Tatanishi.. Roho inayo poteza hao watu nayo ipotee,,,Ikikupendeza Yesu tunusuru kwa kufuta kabisa,,,Chanzo cha Utekaji..
Amen 🙏
Ameeen, Wagalatia 5:12 na dhuluma ya uhai wa wenye haki ni mbaya inafuatilia hadi kizazi cha nne, usalama wa kiti ni kutenda haki pia, vinginevyo watapa mapigo tu. Waache njia zao mbaya na ndipo watakapokuwa salama, maana damu wanaanza kumwaga wao, sasa damu zilizo mwagika kwa dhuluma lazima zidai haki yao ya kuishi iliyokatishwa na waagizaji na watekelezaji wa maagizo.😭😭😭
Mpango wa mungu utimie amen
Prophet tumlilie Mungu Spirit of homosexuality (gay and lesbian) zisisikike tena Tanzania. Wale wote wanaojihusisha na haya WATUBU WAKUGEIKIE WEWE NA KUKUTUMIKIA WEWE. IN JESUS CHRIST MIGHTY NAME I PRAY
Wamgeukie Mungu na kumtumikia Mungu na siyo mtu
Mwenyezi mungu tunakuomba utupe hitaji ramoyo wetu tenda haki kupitia rais utakaye tuchagulia wewe ndiyo akimu wa kweli tuombeni bila kukoma mungu atupe sawa na hitaji la moyo wewtu
Amen Amen sikuwahi kukupinga kila ulichozungumza kinatokea na mm nimiongoni mwa watu ambao wanakufuatili barikiwa baba❤
Tuombeane sisi wanyonge tuwe salama dhidi ya wenye nguvu, Eeh Mungu tulinde sisi wanyonge IJN
AMEN 🙏
Tunaomba mapenzi ya Mungu yatimie Ameen🙏🙏
Huwezi kuzuia kilichokusudiwa na Mungu kwa kuomba.
Ukiwa watu wangu,walioitwa Kwa Jina langu ,wakijinyenyekeza na kutubu na kuziacha njia zao mbaya,nitasikia toka mbinguni na kuiponya nchi yao
Aminaaa prophet wa mungu
Samahani Mtumishi ni Mungu na siyo mungu
Mungu akubariki
Nakuelewa Prophet
Mapenzi yako Mungu kwa taifa letu la Tanzania Ee Baba yatimie.
Prophet mwezi wa 5/2024 nliota kua nimeenda kwenye mkutano wa kampeni ambao Raisi Samia alitakiwa aje ahutubie nikaona tumekaa mpaka giza hajaja nikaskia roho ikisema kua amepatwa na stroke yaani kiharusi ila ikaonekana kuwa wamefanya siri halafu nikaona kumeanza minong'ono kisha vurugu kubwa sana hakika nlishtuka sana kumbe ilikua ni ndoto roho ikanishuhudia kua hili 🙏
MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE.
Nimekuelewa sana kwenye suala zima la viti vya enzi kwa watangulizi na waliokalia kwa muda wa sasa mtu wa MUNGU 🤝
Mtumishi uko vizuri sana... Kuombea maadui... Tofauti na wale walio sema Alie ua kwa Upanga,,,Atakufa kwa upanga.. Katika jina la Yesu,,,Mungu iue Roho ya Utekaji..
Mungu naijulikane kuwa upo,,,Kuokoa wajori wako wastekwe,waspotee tena..Katika jina la Yesu..
Barikiwa sana mtumishi
We nakuelewa Sana 🇹🇿
Mungu tusaidie
Hekima ya hali ya juu.Powerful man of God
Ubarikiwe
Ombea MUNGU ccm litoke
Mungu aangamize wote wanaoua wengine wasio na hatia.
Nabii mwenye hekima nyingi, mnyenyekevu
Napenda anavyoongea kwa parables
Mungu tuaitaji msaada wako,,Roho ya kuteka watu,,,uifute kabda hapa tusaidie..
That is my Prophet always Acurate accurate
Ameen
Hamna Mungu hapo
Ameeen
Mungu aingilie kati
Let's pray 🙏
Ameen
Mapenzi ya Mungu yatimie tu
Hii inathibitisha kuwa Magu hakuondoka kwa hiari yake
Kama Hana hatia hakuna unabii utatimia kwake lkn kama hatia anayo basi tuache unabii utimie
Kwa jina la YESU tunakataa roho za mauti , Mungu akasimame kwani yeye ndio mtenda haki.
Najiuliza rais yupo wa kumuombea...Ila Mapenzi ya Mungu yatimie
😂😂Unawaza kama mimi
In Jesus Mighty Name
Kila mtu hubeba mzigo wake. Tunaona hata kwa Kaini na Nebkadneza ila kukiwa na dhati ya kusimama katika haki Mungu analijibu na kuliokoa taifa kama alivyofanya kwa Mfalme wa Ninawi lakini ilikuwa baada ya maonyo ya Yona. Bila toba na bila kusudio la kuacha hila, ni vigumu sana Mungu kusikia maombi maana hujihusisha na upande wa pili.
Kweli mtumishi
Tumechoka! Tumechoka kusikia kuhusu utekaji. Rais wa Tec. Alikemea baada ya hapo Alli Kibao akatekwa na kuuawa kikatili. Ee Mungu watangulie chini ya ardhi hao walio sababu ya utekaji na mauaji
Nafuta hayo maombi kwa jina la Yesu
TEC ni Tanzania Episcopal Committee Baraza la maaskofu wa Kikatoliki Tanzania
Duh,acha 😷
Ila Mungu ana kazi
IJN… amen
Aminaaaaa
Acha inyeshe,kama inavyonyeshea wengine,ni kimvua kidogo,
Viongozi wanaotuma watu kutekwa, kuuwawa na kuzalilishwa kwa Mama zetu kuvuliwa nguo na Mapolisi.Mungu teketeza vaziba nafasi wote na family zao ili wajue wewe upo
Hakika
Nimekuelewa sana prophet
True True True Daddy
Unagelesha tuu hapo huwezi fanya maombi ya kukataa wkt umeshatoa huo unabii maana usipotimia huwezi kuendelea na huduma kwa hapo umeshatupa taarifa yajayo yanafurahisha
Utawala wa kuua siyomzuri Stoke tu
Aaamen!
Umhmmm That's God
Manabii wa siku hizi mnataka sifa kama mngekukuwa mnafanya Mungu anavyotaka tusingekuwa tulivyo mie nawashangaa mambo mabaya hamwombi au shetani anatabiri na kutimiza ili kupoteza watu wake kwa kuamini kuwa akisema yanakuwa kwa nini wanaopotea hawasemi?
Baba naomba uniombe please
Rais wa kwanza kuuwawa alikuwa Abraham Lincoln wakafuata na wengine kama akina John Fitzgerald Kennedy
Yaache yatimie
Wewe prophet ulitakiwa useme hiyo sauti ya madai inataka nn? Na kama ni mapenzi ya Mungu kulipa kisasi huwezi kukemea wala kupinga siasa na mapenzi ya Mungu ni vitu viwili tofauti.
Jitambue. Uongo unao zua kunasiku utakutokea puani
Ma kafara ya kuua watu ndipo uendelee k utawala hatuutaki
Unaomba ili uchafuzi uendelee Tz ila najua unaact tu baadae unayafuta ili unabii utimie watu waseme unabii wa man of God umetimia
Nabii mi.nimeota mara nne Rais amekufa
Kanisa likowapi
Sasa mbona uchafuzi unaendelea husemi na vipi kuhusu Soka mbona husemi kitu
Mmeanza kitambo sana kuyasema hayo hakuna hata kilichotokea na hakuna dalili ya kutokea hayo Msitudanganye mkachukua usikivu wetu
MUNGU AMUONDOE TU TUPUNZIKE MAUWAJI NA UTEKAJI IKIMPENDEZA MUNGU HATA LEO MAPENZI YAKE YATIMIZWE
Kwa nini hukuomba soka na wenzake warudishwe kama una mamlaka ya kuzuia hilo,
SWALI LANGU, TUTAKAAJE ROHO YA MAUTI WAKATI NI MADAI?
SASA PASTOR HAO WANA TUUWA ATA SISI WAACHE WAUANE TUU KWAN KATI YA KIONGOZ WA NCH NA WANANCHI NAN WAMUHIMU??WAFE TUU HAO WALIO WAUWANDUGUZETU
😒😒
Tumuombee rais afya vp waliotekwa tuwaombee nini
Principle ni kuwaombea maadui wote Mungu ndiye mwenye haki atoapo hukumu ,sisi ni kuomba rehema tu!Kama huwezi kuomba lia machozi yatasema ujumbe wako kwa Yesu.
HUYU NABII MUONGO ANASEMA YEYE HASIKILIZI TAARIFA AMEJUAJE TRUMP ALIKOSWA KOSWA RISASI AMEJUAJE HIZI TAARIFA
Kwani hizo Habari zilikuwepo kwenye taarifa ya Habari tu? Je kama alihadithiwa na mtu?
Ongeza mda wa kumfatilia ipo siku utamuelewa