HATARI YA KUTUMIA BIBLIA KWENYE SIMU|MCH.KATEKELA|SEMINA TGN MWANZA TZ.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 164

  • @saleheluvanga9929
    @saleheluvanga9929 Месяц назад +8

    Natamani uje uhudumu kwenye kanisa letu mtumishi wa MUNGU nimependa mahubiri yako🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥📖📖📖

  • @faridakigava4904
    @faridakigava4904 Месяц назад +2

    Nafikiri ni vizuri kusikiliza ujumbe mpaka mwisho Kisha utoe maoni yako kuliko kutukana, kama hujaelewa bora kunyamaza. Asanteni

  • @charleswesley894
    @charleswesley894 Месяц назад +1

    Mungu akubariki mtu wa Mungu iyo ni revelation

  • @AnnaKayanza
    @AnnaKayanza 19 дней назад

    Ubarikiwe san mtumishi wa mungu,,yote hay n kweli yaan tunafel

  • @JaneAmboga
    @JaneAmboga 2 месяца назад +8

    Nasikiza nikiwa kenya. Mimi ni maombi yangu. Mungu akuweke siku nyingi ili utueleshwe

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 2 месяца назад +11

    Amina mtumsh heri umelisema hlo.leo.maana watumish wa dog tuna wkt mgum sn kuwaeleza wat jmbo wakaliamn lkn kwkuw leo umelinena wew naamn umewaponya watu weng sn km ulivyofny ktk kudiskarej mawigi rasta na suruali kw wnawke.Wakristo wa leo wamekuw wabsh sn had aseme mtmsh mkubw ndy kdg huanz kuamn

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤ Asante Mutumishi wote waliopanga mipango mibaya washindwe kwa jina la YESU KRISTO

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 2 месяца назад +4

    Amina ubarikiwe sana mtumishi, nakubali mafundisho yako, Mungu kweli atuokoe

  • @AidaKantara
    @AidaKantara Месяц назад

    UBARIKIWE sana mchungaji Amiel katekela, Na mungu wa mbinguni aku linde siku nyingi kwa ajili yaku tu fundisha manene yake

  • @GloryMasawe-t3d
    @GloryMasawe-t3d Месяц назад +1

    Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu .
    Nilikuwa nauliza Arusha mtakuja lini

  • @HalimaPaskal
    @HalimaPaskal 2 месяца назад +6

    AMEEN mtumish mungu akubariki sana sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @carolinemasaka1400
    @carolinemasaka1400 2 месяца назад +6

    Mungu Atusaidie sana Mtumishi wa Mungu

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 2 месяца назад +3

    Ninavyokusikiliza Hadi nywele zinasisimuka nikiamini unayoongea Yana roho wa Mungu nakuelewa vzr sana

  • @AsifiweMwaitege
    @AsifiweMwaitege Месяц назад

    Mungu aendelee kukutumia Mch Amiel naakupiganie maana umeyariziki maisha yako kwaajiri yakweli ya Kristo

  • @DaimonMwapelele-g1d
    @DaimonMwapelele-g1d Месяц назад +3

    Ubarikiwe mtumishi kweli ajenda za mashetan zimetuingilia kila mahali

  • @PetromMasanja
    @PetromMasanja 2 месяца назад +4

    Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana Dunia itazizima

  • @JosephineOmari-t5j
    @JosephineOmari-t5j Месяц назад +1

    🙏 Eeeee 🙏 Mungu ❤️ wangu 😘 naomba 🙏uninisaidie 🙏 nishi ❤️ katika 😘 ahadizako 🙏 na 🙏 sio ❤️ za 😘 shetani 🙏 Amen 🙏🙏❤️😘

  • @Difrnd-t2c
    @Difrnd-t2c 2 месяца назад +6

    Amen Mtumishi Ubarikiwe Sana"

  • @clarisumazi
    @clarisumazi Месяц назад +1

    Amen amen I receive in Jesus name

  • @GeorgeIgnatio
    @GeorgeIgnatio Месяц назад

    Mtumishi wa Mungu uko vizuli unasema kweli watu wa Mungu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa!

  • @VOSHCHURCHINTMISHOMORONI
    @VOSHCHURCHINTMISHOMORONI 2 месяца назад +4

    Asante kwa ujumbe huo,mtumishi wa Mungu.

  • @JOSHUASAMWEL-m7v
    @JOSHUASAMWEL-m7v 2 месяца назад +6

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 2 месяца назад +4

    Nakusikiliza kutoka Misri Egypt baba nimekuelewa vzr sana umepanua akili yangu

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 2 месяца назад +4

    Barikiwa sanaa kwa ujumbe mzito huo

  • @EunnyNicks
    @EunnyNicks Месяц назад

    Ameen,,,Mungu anibariki na mume katija jina la Yesu

  • @LovenessHango
    @LovenessHango 2 месяца назад +3

    Amen MUNGU akubarik mtumishi wa Mungu

  • @Neema-q3b
    @Neema-q3b Месяц назад

    MWENYEZI, MUNGU TUZAZE ROHONI WA KO tuweze kushinda majsfibu

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi 2 месяца назад +1

    Soma maandiko Yesu alituma wataua mini nimeweza kumcha Mungu vizuri kabisa

  • @GggyJhh-y4x
    @GggyJhh-y4x 2 месяца назад +4

    Be blessed more pastor naomba mungu azidi kukutia nguvu na ufahamu mwingi nimebarikiwa sana kwa ujumbe mzuri

  • @KelvinOlest
    @KelvinOlest 2 месяца назад +6

    Mungu atutie nguvu

  • @annambembela6661
    @annambembela6661 2 месяца назад +2

    Upo mwanza barikiwa sana mtumishi karibu kigom

  • @peristhuo7204
    @peristhuo7204 2 месяца назад +5

    Kenya kitaburisho imebadilishwa mtu anapewa maisha number Mungu atuhurumie na atupiganie

    • @ester7689
      @ester7689 2 месяца назад

      Maisha namba?

    • @JANEBGOYA
      @JANEBGOYA 2 месяца назад

      Tanzania nayo inakuja ni mpango wa shetani kwa ajili ya 666. ILA walio ndani ya kristo(kanisa mwili wa kristo) tutalindwa

  • @MagdalenaMaguzu
    @MagdalenaMaguzu 2 месяца назад

    AMEN ni.kweli kabisa mtumishi wa MUNGU
    MUNGU Akubariki sana

  • @WinfridajohnBiffa
    @WinfridajohnBiffa 2 месяца назад +4

    Munguu atusaidie

  • @AgieTom
    @AgieTom Месяц назад +1

    Nimebarikiwa sana

  • @kennedyemmanuel30
    @kennedyemmanuel30 Месяц назад

    Tatizo hapa Elimu ya kawaida nayo ni ya muhimu sana kwenye suala ZIMA LA Utumishi kwa Mungu....
    Watu wengi ambao msingi wa ukristo wao ni ushuhuda ZA kuzimu kwenye ulimwengu WA falme ZA giza MAHUBIRI yao yote yamejaa tu kuwapa watu hofu Bila solutions.

  • @JaneAmboga
    @JaneAmboga 2 месяца назад +2

    Hata ujane wa mapewa si mpango wa mungu.

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 2 месяца назад +1

    Mungu akubariki Kwa kusema ukweli.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 2 месяца назад +1

    Heee lakini ilifaa kila mtu aingie mwenyewe ktk Imani anayoitaka na si kutufanyia ujanja ujanja

  • @fanuellingson
    @fanuellingson Месяц назад

    Watu wanakomaa kujua ujinga kuliko kumjua mungu kufundishana neno la mungu.ujinga ni kuhubiri tofouti na mitume walivyo hubili.

    • @dyno4tz
      @dyno4tz Месяц назад +1

      Andika Mungu kwa herufi kubwa na sio hivi(mungu?

  • @HappinessMwambapa
    @HappinessMwambapa 2 месяца назад

    MUNGU azidi kukutunza Sana Sana Mtumishi wa MUNGU

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 Месяц назад +3

    Hayo yote sawa hila waambie nini watu wafanye
    Hata shetani afanye nini kama wewe unatii amri za mungu na imani ya yesu hayo yote yatakupitia mbali

    • @JudithTEO-k2b
      @JudithTEO-k2b Месяц назад

      Mbona anasema jamani sikiliza kwa makini,hata anasema tukae ktk misingi ya neno ni kuomba na kufunga na kusoma neno la Mungu

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 2 месяца назад +2

    Somo Zuri sanaa

  • @OmbenOmary
    @OmbenOmary 2 месяца назад +2

    Mtumishi ubarikiwe sana .naomba uje mkoa was Kilimanjaro,na wilaya ya Rombo

  • @kennedyemmanuel30
    @kennedyemmanuel30 Месяц назад

    Juzi tu hapa nimekuona uko Mlima wa suka mahela unafanya Maombi ya woga tu na mbaya zaidi unataka kuwaaminisha watu kuwa Kila kitu ni cha kuzimu.
    Uchanga wa kiroho huo na kutetea dhehebu badala ya kumuinuwa Kristo Yesu!!!

  • @CatherineZakayo-m4o
    @CatherineZakayo-m4o 2 месяца назад +2

    Ni kweli mtumishi

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje Месяц назад +1

    Nikweli kunamshilika kanisani kwangu nae katoka kuzimu anashudia hayo hayo

  • @JaneAmboga
    @JaneAmboga 2 месяца назад

    Haki mungu nisaidie. Lakini nimeamua kua mjane wa ukweli. Mungu nisaidie

  • @upendomhagama3236
    @upendomhagama3236 2 месяца назад +4

    Aminaaa turudi kwenye misingi ya mungu, mungu atusaidie

  • @esterjuma827
    @esterjuma827 2 месяца назад

    Mungu aturehemu atusaidie

  • @Habiba-yb2hb
    @Habiba-yb2hb Месяц назад

    Mungu amesema atawaongoza watu wake naam atawachukuwa hata mkiwa wazee wenye mvi wenye mimba na hao wenye utungu wakuzaa atawaongoza salama maana alichokiweka Mungu nikwakusudi lakini pia mlicho kifanya gizani kitaoneka hadharan mliyoyasema kwa siri yatasikika juu ya paa kwahiyo shetani hata aje na mbinu zote bado Mungu hata waacha watu wake ila yule mwana wa uwasi.

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 Месяц назад +1

    Dahh nilikuwa usingizini umeniamsha

  • @IreneMteule
    @IreneMteule Месяц назад +1

    Amen kubwa

  • @MerinaLigoha
    @MerinaLigoha 2 месяца назад

    Ubarikiwe na bwana

  • @KutlwanoMenoe
    @KutlwanoMenoe 2 месяца назад +2

    Jambo mutumishi mungu

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 2 месяца назад +14

    Bnafs nawashaur wakrsto TUACHE KABISA BBLIA ZA KWNY SIMU ili viwanda vsife.Pia Bblia za wagidion tule tudg na kubwa zichunguzen vzr sio za Mungu.Vilevile miaka km 3 iliyopita wazngu walileta Bblia km zawad za Krismas kwa watoto makanisan nazo ziwekwe kando c za Mungu na picha za Yesu na filamu pia na krismas!

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 2 месяца назад +2

      Ongeza nguvu kufundisha hili,

    • @pelegreenmhuvile9
      @pelegreenmhuvile9 2 месяца назад

      ❤❤

    • @HappinessMwambapa
      @HappinessMwambapa 2 месяца назад +1

      Nieleweshe vizuri, unamaanisha filamu za YESU Ni dhambi kitaza au ???? Maana uwa nawawekea wanangu tunaangalia sijui

    • @DafafaDafafa-g1v
      @DafafaDafafa-g1v 2 месяца назад

      Biblia za gidion zinaubaya gani. Nineno lilelile la Mungu kama biblia zingine.

    • @dyno4tz
      @dyno4tz Месяц назад

      Niliwahi sikia kwamba zimetengenezwa huko marine world wanasema sio halisi nilisikia hivyo kwenye chanel inaitwa heaven updates iko humu youtube​@@DafafaDafafa-g1v

  • @jacquelinerite3730
    @jacquelinerite3730 2 месяца назад +2

    Katika jina la Yesu alie hai naachiliwa sasa

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi 2 месяца назад

    Soma agano jipya mchungaji Yesu alisemaje utumishi

  • @jannetteanzemo3280
    @jannetteanzemo3280 2 месяца назад +2

    Amina

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 23 дня назад

    Mimi napenda kutumia Biblia ya kwenye simu kama sipo nyumbani yani kwenye daladala au naenda safari ya mbali najisomea kuliko kuangalia yasiofaa kwenye simu. Kanisani hata mimi sipendi kabisa kutumia simu. Na hii kutumia Biblia ya kwenye simu Wakristo tusipo kua maakini kitabu hiki tutakipoteza maana kuna hata watumishi wengi na wakubwa pia hutumia simu kanisani.

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 Месяц назад

    Nskumbuka nilikuwa njombe watu walisafiri wakanywa kilekikombe wakaacha kunya ARV wengi walikufa😢😢

  • @EunnyNicks
    @EunnyNicks Месяц назад

    Napenda mafundisho yako mtumishi

  • @TeddyKimario-z8v
    @TeddyKimario-z8v 2 месяца назад

    Hapo napata ukweli kwamba yesu anakaribia kurudi

  • @HAPPYNESMSONDE
    @HAPPYNESMSONDE 2 месяца назад

    Amen 🙏

  • @EvelineJohn-c4l
    @EvelineJohn-c4l 2 месяца назад

    Niko hapa nimetulia yananiingiA

  • @PeterCharles-d6m
    @PeterCharles-d6m Месяц назад +1

    Watu tumugeukieni MUNGU tuwe watakatifu

  • @BIBLE-STORIES-KISWAHILI
    @BIBLE-STORIES-KISWAHILI 2 месяца назад +2

    Amen

  • @E.emillymillyBlessings
    @E.emillymillyBlessings 3 дня назад

    Na biblia ya catholic sio nzuri kweli .nilikuwa nayo naomba usiku na mchana ila nikilala naiweka karibu na mm nikilala naingiliwa kimwili na mapepo kumbe ni mlango wa kuzimu nilipopata ushuhuda huo nikaitupa trust me mapepo hayakupata nafasi kwangu tena

  • @WamahaMkono
    @WamahaMkono Месяц назад

    Mnakukubalisana

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 Месяц назад

    Technologies inaenda kwa kasi kutumia bible ya kwenye simu hakuna tofauti na anayetumia bible ya karatas.

  • @doulosjohngamba8985
    @doulosjohngamba8985 Месяц назад +3

    Mahubiri mazuri. Ila unachanganya na mawazo yako. Hawa Watu wanaojifanya walikuwa kuzimu Sio Watu wa kuaminika kabisa.

    • @JonasChungu-h7t
      @JonasChungu-h7t Месяц назад +1

      Pole Sana rafiki nadhani wewe ni mmoja katika wapinga watumishi wa Mungu.wanaosema kweli

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂 daaaah uongo bwana daaah

  • @BeatriceMuheza-nj3hu
    @BeatriceMuheza-nj3hu Месяц назад

    Ukisikiliza mahubiri haya lazima uwe na mapepo tu

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 2 месяца назад

    MIAKA MINGI ILIYOPITA shule za msingi walikuwa na wanamazingaombwe (Uchawi) .WATU WALIOSHIRIKI MAZINGAOMBWE wakiingia kwenye wokovu na kuona muujiza wa YESU WANAFIKIRI NI MAZINGAOMBWE(UCHAWI).Unahitaji ufunuo wa Roho Mtakatifu .

  • @veronicambilinyi3854
    @veronicambilinyi3854 2 месяца назад +4

    Kwa nini kuzimu inapambana na ukristo na sio waislamu?

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 2 месяца назад +2

      Uislam ndo kiti cha shetani. Hawezi hangaika wakati nimakao yake

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 2 месяца назад

      Wao wa nahamini majini na majini ni mashetani, mashetani upambana wao kwakuonyeshana kila mtu na nguvu zake mfano : wachawi, waganga na wengine, sasa wote hao anapambana na nuru ya kristo.

    • @filberthenrick
      @filberthenrick 2 месяца назад

      Pigia mstari, hauwezi kuhangaikia kuku wako mwenyewe

    • @MfaumeIssaNawanda-k6t
      @MfaumeIssaNawanda-k6t 2 месяца назад

      Tumia nguvu ya Akili yako
      Kufikiri toka kwenye mambo ya dini

    • @thomassankara3050
      @thomassankara3050 2 месяца назад

      Kuzimu haipambani na din bali kuzimu inapambana mtu alie okoka sio din din haikupeleki mbingun bali matendo yako

  • @AnneMukonjia
    @AnneMukonjia Месяц назад +1

    Amen and Amen

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 2 месяца назад

    Lakini Mtu wa Mungu unapingana na Biblia, Musa aliinuliwa na Mungu ktika kundi kubwa ili Mungu aseme na watu kupitia yeye, na alikuwa akitumika kutwa, akamwambia utakuwa mungu kwao, Samweli aliza mafuta pembe ya ng’ombe na kumtawaza Daud kuwa mfalme, mfalme Naaman alipona ukoma kwa kujichovya mtoni, Yesu alimponya kipofu kwa tope, Mchungaji muhubiri Kristo na nguvu zake zidhihirike ndani ya huduma yako watu wanashida sana miungu imetawala maisha na watu kupagawa,

    • @JacksonMtenga
      @JacksonMtenga 2 месяца назад

      Unachoitaj kuwa na Mungu na sio mafuta wala chumv unajuw kwann yesu alifany vile kwa lengo gan jua maan za kiroho, bible ukitaka ikutafsilie unavyotak itakutafsilia na ndio maan kila mtu nachambua anavyojua unatakiwa kuongozw na Roho mtakatifu, maana yeye ndie atufundishae ili tupate faid bible inasema, so shida za watu wanatakiwa wamjue Mungu maan nasio kufat vitu magonjw yapo Kila siku na changamoto pia zipo ili uzishinde unaitaji kuwa na Mungu na sio mafuta

    • @thomaskawonga22
      @thomaskawonga22 2 месяца назад +1

      ​@@JacksonMtengahakika

  • @epafrasgray5725
    @epafrasgray5725 Месяц назад

    Kama hatutaki maendeleo hata hizi za karatasi hazifai. Turudi kwenye mahombo ya ngozi. Tuache kuwapa watu afya za akili. Klla kitu kimewekwa kwenye ubao wa mioyo yetu.

  • @JaneAmboga
    @JaneAmboga 2 месяца назад

    Mwalimu nakubaliana na wewe.

  • @nchumaTz
    @nchumaTz Месяц назад

    Kwanini mmerusha rusha hapo!?? Nilikuwa nawaamini sana Promover Tv lakin hapa sijapenda ni kwanini mmeyatoa Maneno apo

  • @petronkenyenge
    @petronkenyenge 2 месяца назад

    Nch za ulaya hawatumii kalam na kalatasi computer hivyo biblia etu itakuwà kweñye makumbusho aA

  • @mawn6828
    @mawn6828 2 месяца назад

    Anazungumzia vitu ambavyo sisi peke yetu hatuviwezi ila Mungu wetu anatupenda na anatupigania usitutishe.kama kulikuwepo na gombo lililo tengenezwa na ngozi na nguo limetoweka biblia ya karatasi nayo haina budi kutoweka.hifadhi hilo kama utakuwepo miaka 200 mbele.muhimu soma mandiko asije mtu akakudanganya.

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 2 месяца назад

      Waebrania 8:10
      Shetani anataka atumie technologia kupoteza watu wa Mungu. Bahati mbaya kwake teknologia ihiyo hiyo inatumika kueneza Habari Njema za Mungu kwa Watu Wote.
      Mungu mwenyewe kupitia Roho Mtakatifu ataliandika Neno lake katika mioyo ya walio wake.

  • @PetromMasanja
    @PetromMasanja 2 месяца назад

    Kunawatu koment zao zinaonesha kuwa hawatabadilika maana hawaeleewi Kwa sababu macho Yao rohoni yamekufa

  • @scholamwasi
    @scholamwasi 2 месяца назад

    Sasa mbona nawewe unatumia kadi izo izo iliusafili kwako akuna ubaya jamani 🙏🙏nimeongea tu nanomba kujua sio kwaubaya

    • @neemachagoma-oy1tl
      @neemachagoma-oy1tl 2 месяца назад +3

      Anachoeleza hamaanishi watu wasitumie ila anatujulisha kua hivyo vitu huko baadae muda wowote vitatumika kuunganisha watu na ndio maandalizi ya dhiki kuu. Pia ujue tu kabla ya dhiki kuu haijaanza Yesu atarudi kunyakua watakatifu wake, kwahiyoo tunavitumia ila tunajiweka tayari tunyakuliwe tusibaki kwenye dhiki kuu mpendwa.

    • @mamita336
      @mamita336 2 месяца назад +1

      Anayo ongea ni kwa sababu ya harmagedon kuu inayokuja,Yani thiki kuu.

    • @obadiambilinyi27
      @obadiambilinyi27 2 месяца назад +3

      Uwe na siku nyingi za kuishi ili tusikie neno la kweli kwa siku nyingi, Mungu awalete wahubirio kweli muwe wengi, nchi yetu itapona na maharibifu yaliyopangwa.
      Ubarikiwe

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 2 месяца назад +1

    Yawe tusaidie peke yetu hatuwezi

  • @zainaapp
    @zainaapp Месяц назад

    Kama Kila pastor munasema niwauongo waukweli ninani ata wewe tutajua aje niwaukweli aky sisi washilika mngu atusaidie

  • @RajabuIsaka
    @RajabuIsaka Месяц назад

    Mahali unapo kosea ni kuwasema watumishi wa Mungu badala ya kuhubiri dini unahubiri watu,nimekusikiliza muda mrefu hata jina la yesu hujalitaja

  • @mch.deosinkala3120
    @mch.deosinkala3120 2 месяца назад

    Ime skrachi iaprodini upyaa

  • @kennedyemmanuel30
    @kennedyemmanuel30 Месяц назад

    Ni muhimu kuelewa asili ya vitu vingi kimaandiko ni Soft copy vitabu vyote ikiwemo Biblia vimetokana na soft copy
    Kwa hiyo suala LA kuwa na biblia kwenye simu au computer siyo suala LA kuzimu tuache kupotosha watu.....

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary 2 месяца назад

    huyu naye mahubir yake uchawi tu,aaah hamna kitu hapo

    • @DianaJeremiah-y1z
      @DianaJeremiah-y1z 2 месяца назад +2

      Itakuwa wewe pia ni mchawi kwann unachukia mtumishi akituambia siri ya wachawi😢😮

    • @GeofreySemadinga-l2z
      @GeofreySemadinga-l2z 2 месяца назад

      Diana uyo Robert niwalewale

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 2 месяца назад

    Naomb namm niongezee kdg mtmsh! WAKRSTO NI HV; shetan n mjnja ktk hlo amefnya jmbo moja km sio 2 kuvuvia roho yke kwnz kt bblia za mtandaon ili zikose ngv halis ya kumbadrisha mkrsto atakayetumia.
    Pia km walivyfny kwny shanga walipoona vjana hawapend shanga wakazileta km kacha,ndvyo ilivyo ktk bblia za sim,km ulivyosema wamezleta ili wakrsto tuone ukisasa kuzipat kwnye sim maana leo weng kubeba bblia huona haibu au mzgo,kisha wanasubr wakiona kizaz kizma kinatumia za sim watafuta sik moja tuu na kusema setilait ilizidiw na vtu na hpohpo wataingiza hzo za kwao ndpo kizaz kpy kitakosa kabsa mwongoz wa kweli wa Mungu

    • @denisbongore3098
      @denisbongore3098 2 месяца назад +1

      Waaaaa apo kwa shanga nimekuelewaa

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 2 месяца назад

      @@denisbongore3098 amina karb pia Goshen one online tv tumeliongelea hlo kw upana zaid

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku 2 месяца назад

    Wewe unaongelea hisia, shule yako ndogo, nawashauri msome shule jamani, ni hatari kuwa wachungaji wakati mliishia madarasa ya Saba na vidato vya nne,

    • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
      @NATACIARAPHAEL-iz8kr 2 месяца назад +2

      Elimu ya Mungu Hailingani na ya Dunia hii Paul je Alisoma?

    • @williamsofia7372
      @williamsofia7372 2 месяца назад

      Asomeee nini?? Au course gani!?

    • @MaikoRashku
      @MaikoRashku 2 месяца назад

      @@NATACIARAPHAEL-iz8kr sizani Kama unamuelewa Paulo vizuri !. Apostle Paul was very educated and intelligent, Paulo alikuwa ni msomi Sana, acha kumlinganisha Paulo na watu unawo wajua, Paulo alikuwa professor wa torati, mwanasheria nguri

    • @MaikoRashku
      @MaikoRashku 2 месяца назад

      @@williamsofia7372 hapo shule ndogo kabisa,

    • @sintacollin2204
      @sintacollin2204 2 месяца назад

      Yesu hakwenda shule yoyote,bali alifundishwa na Mungu,Elimu ya kiroho haihitaji shule ya Mwilini bali inahitaji shule ya rohoni

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary 2 месяца назад

    Rubbish hakuna mahubir hapo unaongelea uchawi kila muda still unaloga ww

    • @DianaJeremiah-y1z
      @DianaJeremiah-y1z 2 месяца назад +2

      Labda wewe ndo mchawi ndo maana unachukia mafundisho😂😢

    • @GeofreySemadinga-l2z
      @GeofreySemadinga-l2z 2 месяца назад

      ​@@DianaJeremiah-y1zyaan niahida kubwa. Ashetan katuvuluga mpaka hatujitambui tunabisha mpaka tusioyaelewa

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 2 месяца назад

      ​@@DianaJeremiah-y1z jiwe limerushwa gizani limempata mtu

  • @BarakaDariyo
    @BarakaDariyo Месяц назад

    Amina Amina hakika Mungu yuko nawe akulind

  • @Neema-q3b
    @Neema-q3b Месяц назад

    AMEN 🙏🙏

  • @ErickKimario-t6u
    @ErickKimario-t6u Месяц назад

    Amina

  • @margaretnekesa2019
    @margaretnekesa2019 2 месяца назад +1

    Amen

  • @PetromMasanja
    @PetromMasanja 2 месяца назад +2

    Kunawatu koment zao zinaonesha kuwa hawatabadilika maana hawaeleewi Kwa sababu macho Yao rohoni yamekufa

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary 2 месяца назад

    huyu naye mahubir yake uchawi tu,aaah hamna kitu hapo