Kupiga Miayo katikati ya maombi ni dalili ya shambulizi la kiroho kupitia mhuri wa moto•Mch.Katekela

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 93

  • @JulianaAkile
    @JulianaAkile 6 месяцев назад +8

    Barikiwa sana Mchungaji Katekela, mahubiri yako ni mema sana yanagusa maisha ya watu. Nimepokea maombi uliyoyaomba pamoja nasi. Bwana YESU ametenda.

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 2 месяца назад +1

    Mungu akubariki sana mchungaji Amiel Katekela

  • @phinescah7353
    @phinescah7353 6 месяцев назад +4

    Amen amen ,amiel kwa ufafanuzi wa leo wa undani nime soma mengi kuhusu huu mhuri ubarikiwe mtumishi

  • @JaneBuluba
    @JaneBuluba 6 месяцев назад +3

    Barikiwa sana Mtumishi wa BWANA YESU KRISTO! Yaan mafundisho Yako, yamenifunza sana

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 6 месяцев назад +3

    Yesu akutunze mtumishi wa Mungu, naimani kupitia somo hili na maombi haya nitakuja na ushuhuda🙏

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 2 месяца назад +1

    Asante mtumishi Amiel nimepata elimu

  • @agnesmagehema576
    @agnesmagehema576 5 месяцев назад +2

    Hakika Mungu wa mbingu na nchi akufunike kwa Damu ya Yesu kila ukanyagapo na ulalapo na ulapo....
    Mihayo imekuwa ikinitokea wakati ninapoanza kuomba tu na hata nikitaka kusoma neno ghafla najikia kuchoka na napitiwa na usingizi mpk asbh ...
    Asante kwa ufumbuzi huu Vita ni vya Bwana Atanitendea tu

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj Месяц назад

    mungu mwema nimeelewa mafundisho ya mtumishi vifungu nilivyofungiwa vimefunguliwa kwajina la yesu

  • @CatherineSitati-t6g
    @CatherineSitati-t6g 2 месяца назад +1

    Nimefunguliwa na uzao wangu kwa jina la Yesu kristo.

  • @GggyJhh-y4x
    @GggyJhh-y4x 6 месяцев назад +1

    Be blessed more pastor amiel katekela nakupendea ivyo kwa mafundisho mazuri ya mungu nakuongea ukweli aki nabarikiwa sana na neno zuri la mungu

  • @GraceTindwa
    @GraceTindwa 6 месяцев назад +3

    Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake hata mm leo niliyefuatilia kipindi hiki leo nimefunguliwa milele nilikuwa sielewi sasa nimepata ufumbuzi, hawata nipata tena kwa jina la Yesu.

  • @yusteriddy
    @yusteriddy 6 месяцев назад +2

    Asante sana mtumishi wa Mungu

  • @GraceMollel-u3l
    @GraceMollel-u3l 6 месяцев назад +1

    Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nimejikuta siku hizi nikiwa naomba napiga miayo ikiambatana na machozi yaani mfano wako imejikuta imetoka kwangu

  • @GlorySwai-e6r
    @GlorySwai-e6r 3 месяца назад

    Nashukuru sanaaaaaa mtumishi wa Mungu hongera kwa huduma nzuri ya Mungu, naomba mchungaji kama ikiwezekana natamani kuongea na wewe kuna jambo naomba ushauri

  • @EuniceGideon-x3d
    @EuniceGideon-x3d Месяц назад

    Nakushukuru sana mtumishi maana Mjukuu wangu anapiga mwayo sana wakati wakuomba mpaka machozi yanamtoka🎉🎉😢😢

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 6 месяцев назад +2

    Mungu akutunze mtumishi wa Mungu katakela

  • @wilfredihago8453
    @wilfredihago8453 2 месяца назад

    Amina Sana mtumishi Wamungu

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 6 месяцев назад +1

    Amina mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU

  • @janekhanjila3413
    @janekhanjila3413 6 месяцев назад +2

    Amen pastor,nasikia kutoka kitale , Kenya,ngombe yangu ilikufa kwa mafundo

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 6 месяцев назад

      Mafundo ndio nini

  • @utawalarecordstudiosnairob5929
    @utawalarecordstudiosnairob5929 4 месяца назад +2

    Mtumishi wa MUNGU mbona hayo yote yamenipta mpaka nimeacha kulima nyumbani.. nimemwachia mama yangu mzazi shamba nae pia nayapitia hayo hayo tu. Nitashukuru sana sana MUNGU wa mbinguni akutie nguvu

  • @RUTHKCHIKIRA
    @RUTHKCHIKIRA 6 месяцев назад +1

    Amen mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na mafundisho haya NAMI nimefunguliwa nasikiliza kutoka Nairobi Kenya.

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 6 месяцев назад

      Ruth nakujua nini,,majina kama yakutokea taita tavete...au

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 месяцев назад +2

    Mwenyezi Mungu atulinde na mishale itokayo kwenye Giza.

  • @GraphixDesgner
    @GraphixDesgner 6 месяцев назад +2

    Ahsante Sana mtumishi ubarokiwe,hata mm nasum buliwa kwenye. Eneo Hilo,

  • @CosterMachangu
    @CosterMachangu 6 месяцев назад +2

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu

  • @aframhenga8705
    @aframhenga8705 5 месяцев назад +2

    Mungu niguse niponyee

  • @angelinamussa7521
    @angelinamussa7521 5 месяцев назад +1

    Amina nimepokea

  • @CatherineSitati-t6g
    @CatherineSitati-t6g 2 месяца назад

    Nimegundua sasa kilichofanyika kwenye shamba la miwa na mifugo yangu, shetani hauna lako tena maana damu ya Yesu iko kinyume chako, umeshindwa mfululizo kwa jina la Yesu.

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 2 месяца назад +1

    Yesu anisaidie anifungue na familia yangu

  • @JenifaIzengo
    @JenifaIzengo 6 месяцев назад +4

    kwa mafundisho haya, mungu yu pamoja nasi hakika anatupenda, kakuleta tupate maarifa tusiangamie tena ktk jina la yesu kristo.

  • @EmmanuelyMafie
    @EmmanuelyMafie 6 месяцев назад +1

    Be blessed pastor

  • @CatherineDavid-bl1jc
    @CatherineDavid-bl1jc 6 месяцев назад +20

    Ibarikiwe mtumishi kwamaan mm kila nikiomba lazima miayo ijee na kuna wakati inaambatana na miayo na machozi

    • @Jackie-x9u
      @Jackie-x9u 6 месяцев назад +2

      Kweli kbxa hata mm

    • @Rukundo-z4k
      @Rukundo-z4k 6 месяцев назад +2

      Hata mimi kweli Mungu atusaidie sana katika jina la yesu🎉

    • @Mwangza
      @Mwangza 6 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉​@@Rukundo-z4k

    • @Spark8Technoo
      @Spark8Technoo 5 месяцев назад

      Hata Mimi Niko hivo ila kwakuwa nimehijuwa kweli Leo najifunhuwa na Pepo hizo chafu Kwa jina la Bwana wetu yesu kristo

  • @MarakiPatrick
    @MarakiPatrick 6 месяцев назад +2

    Amen mtumishi wa mungu.

  • @Justinakalogeza
    @Justinakalogeza 6 месяцев назад +1

    Asante Yesu napokea🎉

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 6 месяцев назад +3

    Amen

  • @furahaMwaliashakashindi
    @furahaMwaliashakashindi 6 месяцев назад +1

    Ubarikiwe pastor

  • @upendokikwelele620
    @upendokikwelele620 6 месяцев назад +1

    Asante Mtumishi

  • @ellenatilio5666
    @ellenatilio5666 5 месяцев назад +1

    Amen 🙌

  • @ayubumwalongo8267
    @ayubumwalongo8267 6 месяцев назад +1

    Mbarikiwe sana

  • @CamaraSyntya
    @CamaraSyntya 7 дней назад +1

    Nîme ji Pata kabisa nina shoda la usingizi niki omba Bwana ani saidiye

  • @TeclaEstevao
    @TeclaEstevao 4 месяца назад +2

    Mungu saída mume wangu

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 месяцев назад

    Barikiwa

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 6 месяцев назад +1

    Mungu tusaidie

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 месяцев назад +5

    Mimi nikiomba napata miayo mfululizo nachukizwa sana na hali hii Yesu nakuomba uniponye

  • @Neemajolamokataly
    @Neemajolamokataly 3 месяца назад +1

    Hakika wachaw hawana Chao kwamafundisho naufunuo kama huo razima tukomborewe kwajina ra Yesu mchungaji sema paka kiereweke ndio mchungaj m nimekwerewa

  • @BrillanKalegi
    @BrillanKalegi 2 месяца назад

    Bwana Yesu asifiwe. Naitaji maombi sana Apostle lakini hii number yanipa mtu tufauti sio wewe. Kwa whatsup

  • @GraceTindwa
    @GraceTindwa 6 месяцев назад +2

    Amina , hiyo nimeshuhudia kwenye shamba langu nililima miaka miwili nikaweka na mbolea na lilikuwa karibu ekari moja niliambulia kupata mahindi lita 10 miaka yote miwili yote.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 6 месяцев назад

      lita 10 unapimaje??

    • @GraceTindwa
      @GraceTindwa 5 месяцев назад

      ndoo ya lita kumi unaifahamu ndo yalijaa humo tu.​@@trophywilson7211

  • @GraphixDesgner
    @GraphixDesgner 6 месяцев назад +2

    Napokea

  • @ShallothMatowo
    @ShallothMatowo 5 месяцев назад +1

    Mama mkwe aliniambia nitakufanya kitu ujute maisha yako yote.kisa kwanini naomba sana namharibia.fist bone wangu akafa .2bone kisukari wa miaka12uzazi umegoma .umri wangu umenitupa mkono

    • @EuniceGideon-x3d
      @EuniceGideon-x3d Месяц назад

      Mungu akuhurumie na utafunguliwa 2 maana hawezi kum2pa mjawake, kumbuka Mungu ni baba yako

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh 6 месяцев назад +1

    Nimekuelewa baba

  • @CamaraSyntya
    @CamaraSyntya 7 дней назад

    Ila huku tz hamu pendi neno la Mungu, mu ambiyeni huyu mitumishi aki fika congo watu wata jaa mpaka hapata eleweka yaa azarani ,,

  • @angelinamussa7521
    @angelinamussa7521 5 месяцев назад +2

    Naamini nimepokea na nimepona

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 5 месяцев назад

    Msafili plz tell mtumishi if he teaches hio mihuru,when we find tuko nayo, he should be given us solutions coz we can't all reach himcto pray for is,we are in kenya

  • @CatherineZakayo-m4o
    @CatherineZakayo-m4o 6 месяцев назад +1

    Ameeeeen

  • @ClaudinaTola
    @ClaudinaTola 3 месяца назад

    Claudina tola Ubarikiwe mtum. Mm hali hiyo inanipata sana miayo inambatana na machozi gari, watoto magonjwa ayaishi wafanyakazi wananikibia nimengi,. nisaidie nifanye nini ?

  • @maureennaliaka8936
    @maureennaliaka8936 5 месяцев назад +1

    Yani mchungaji vile niona tu haya maubiri miau ikakuta mara hiyo hiyo eee Mungu ninusuru

  • @upendokikwelele620
    @upendokikwelele620 5 месяцев назад +1

    Hata Mimi huwa napiga mioyo wkt wa maombi

  • @AnnaKayanza
    @AnnaKayanza Месяц назад

    Muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekan nq visivyoonekana,,atusaidie mm maan kwa akili zetu hatuwezi bila yy mkombonz wetu🙏🙏

  • @ClaudinaTola
    @ClaudinaTola 3 месяца назад +1

    Nisaidie mtum nakijana wangu anatema mate anatema sana

  • @DamasKatambi-jy8ko
    @DamasKatambi-jy8ko 2 месяца назад

    Hakika ata mm nasumbuliwa ivy

  • @GraphixDesgner
    @GraphixDesgner 6 месяцев назад +2

    Hata mimi nimefungwa nisaidie nitoke nimefungwa ni miaka kumi sasa nimelimitiwa ,kila nilichochuma

  • @SaraAbudalla
    @SaraAbudalla 6 месяцев назад

    Hello ❤❤❤❤❤❤

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 6 месяцев назад +2

    Lakini maombi ya nguvu za damu ya Yesu Christ inavunja hizo nguvu zoto za kichawi

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c 6 месяцев назад

    Iko wapi Kwa maandiko

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 5 месяцев назад

    I mean kow to pray to break it

  • @NephiapiusiMbwelwa
    @NephiapiusiMbwelwa 5 месяцев назад +1

    Mchungaji tusaidie tnaangamia baba

  • @violetnangila8021
    @violetnangila8021 5 месяцев назад

    Mimi kweli mtumishi miayo ndio Sana na machozi

  • @nisilas7411
    @nisilas7411 4 месяца назад +1

    Wachawi wanacho kibarua

  • @DANIELMWAKABUTA
    @DANIELMWAKABUTA 6 месяцев назад

    Mtumishi uliwahi kuwa muslimu?

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo 5 месяцев назад +1

    Mimi napata miayo na machozi yananitoka na hapo hapo napatwa na usingizi yesu kristo niokowe na hao pepo wa chafu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 6 месяцев назад

    Hauitwi Mrundi unaitwa Muundi

  • @Frosita
    @Frosita 6 месяцев назад

    Mtumishi hii ibada unaifanyia wapi?

  • @NeemaSulle
    @NeemaSulle 6 месяцев назад

    Mch KATEKELA NAOMBA NAMBA YAKO NI MUHIMU SANA.

  • @neemamassame8183
    @neemamassame8183 6 месяцев назад

    Unapokuwa kwenye maombi ya vita halafu mtu anashikwa vichomi vikali mbavuni pande zote maana yake nini mchungaji?

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 5 месяцев назад

      hiyo n mishale inayotumwa kwako unapokua kwenye vita,uichomoe kwa Imani nakuirudisha kwa aliekutumia au uiyeyushe kwajina la Yesu,,isaya 54:17

    • @AliciaMichaelMussa
      @AliciaMichaelMussa 3 месяца назад

      Neema.

    • @AliciaMichaelMussa
      @AliciaMichaelMussa 3 месяца назад

      Me nimeokoka. UKiwaunaomba maombi. Yavitaukasikia. Endearea. Kumuitamungu vinaisha

  • @GraceTindwa
    @GraceTindwa 6 месяцев назад +3

    Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake hata mm leo niliyefuatilia kipindi hiki leo nimefunguliwa milele nilikuwa sielewi sasa nimepata ufumbuzi, hawata nipata tena kwa jina la Yesu.

  • @CatherineDavid-bl1jc
    @CatherineDavid-bl1jc 6 месяцев назад +5

    Amen

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 6 месяцев назад +1

    Amen