1 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 99

  • @marundimahugija8168
    @marundimahugija8168 5 часов назад

    Unastahili kuabudiwa YESU wetu weweeeee.... Hallelujah,sijaona km wewe una nguvu namna hii.mwaminifu namna hii,Great Revival, Glory to GOD

  • @josphinendungwa7342
    @josphinendungwa7342 День назад +2

    Imetosha kuzunguka kwenye mlima huu kwa jina la Yesu

  • @sekelabenard
    @sekelabenard 2 дня назад +13

    Nimeuzunguka mlima huu yatosha asante yesu wangu kwakuwa uko mbele yangu lazima nifike ulipokusudia nifike 2025 Ameen

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 дня назад +7

    Aisee ukiijua nafasi uliyoitiwa🙌huhangaiki
    Mafuta yako pale tu yanapiga kazi
    This is teaching anointing,mafuta ya ualimu yaliyojaaaa
    Glory be to God
    Asante Yesu kwa ajili ya mwalimu huyu

  • @neemahilary489
    @neemahilary489 4 часа назад

    Mlima wa kutokuolewa inatosha Yesu😢...naomba Mume wangu sasa🙌

  • @NeemaKiria-wz5gh
    @NeemaKiria-wz5gh 2 дня назад +3

    Ee Mungu wa Mbinguni wajalie hawa watumishi wako kila wanachostaily waendelee kutufundisha Neno lako 🤲🤲🙏

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 дня назад +3

    Arusha asanteni
    Mmetishaa sana,Yesu ni mwambaa
    Great revival 🎉🎉🎉

  • @RosinaWawuda-g9d
    @RosinaWawuda-g9d 2 дня назад +11

    Mimi na Tizama Huduma ya Mana 🇰🇪 Yetu❤🎉.Mungu Awayeshe Baraka ya Mvua Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege, Kaka Godian na Wote Watoto Wa Mungu.Yaani Ni Mwaka Mupya Naenda Nalo.Wawo Yaani Maombi Yenu Yananifungua Kiroho Changu Yaani nime Komaa .Nawapenda Utukufu Umurudie Mungu .Hekima,Ushauri .

  • @MagrethWilson-r3m
    @MagrethWilson-r3m 2 дня назад +3

    Mwalimu Mungu akutunze hakika Nimerudia kwa Imani 🙏Mungu nime uzunguka mlima huu baba YA toshaaaa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻Anapo kanyaga Mungu na mimi nipo 💃🏼💃🏼💃🏼Mungu nisaidie kusonga Mbele Mimi ma watoto wangu/uzao wa Mama angu ooh Hallelujah Hallelujah 🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @CylviaSainga
    @CylviaSainga День назад

    Mungu anisaidie sana yatosha kwa mlima huu mzito.

  • @PeterMdenme
    @PeterMdenme 2 дня назад +3

    Haleluya nikwanematu kuvishwa mwaka hu tunamwamba Mungu aendelea kumulinda mwalimu mwakasege amen🙏🙏🙏

  • @ElizabethJustine-i7c
    @ElizabethJustine-i7c День назад +1

    Mungu ni mwema Hili SoMo ni langu hii ni mara ya tatu nalisikia Hili SoMo Kwa watumishi tofauti na andiko ni Hili Hili; Ee Mungu wa mbingu na Nchi utakalo litendeke kwangu mapenzi yako yatimie kwangu....Mungu awabariki Sana watu wa huduma ya Mana

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 День назад

    Aaaamen, kwakweli Mungu wewe ni muaminifu,ni maombi niliyo kuwa nayo kwa huu mzunguko ninao zunguka,sasa mbinu napewa. Asante Yesu kwaajili ya Mtumishi wako uzidi kumtunza na team mzima ya Mana 🙏

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 2 дня назад +1

    Yatosha jinsi nilivyozunguka mlima hu kwenye huduma yangu ,yatosha nilivyouzunguka mlima hu kwenye kanisa hili,yatosha jinsi nilivyouzunguka mulima hu kwa ajili ya kununua kiwanja mbweni yatosha nilivyouzunguka mlima hu kwenye biashara ,EeMungu unirehem mwenye dhambi nisamehe dhambi zangu zote nakuzifuta hatia zangu zote nilizokutenda Mungu wangu ,yatosha nilivyouzungunga mlima hu kwenye uchumi,Ee mungu wangu naomba ingilia kati Bwana unifanye kuwa upya nifanye kuwa mwanafunzi wako niitende kazi shambani

  • @harunkabalika
    @harunkabalika День назад

    Ee Bwana Yesu asante kwa kusema nami. Nimezunguka mlima huu inatosha sasa ninageukia upande wa pili kwa jina la Yesu.

  • @DeboraJoel-v8s
    @DeboraJoel-v8s 19 часов назад

    Amina Mungu akubariki

  • @Elicemollel
    @Elicemollel 2 дня назад

    Bwana Yesu nisaidie niliishi kusudi lako🙌🧎‍♀️
    Nimeuzunguka mlima huu sasa yatosha,. Yesu nisaidie nifikie pale uliponikusudia niwe🙏

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 2 дня назад +1

    Mungu kumbuka mkoa wa Geita na wilaya zake mwaka huu watumishi wako wapeleke semina ya neno la mungu

  • @samwellugera7978
    @samwellugera7978 День назад

    Mungu nisaidie hapa nilipo nimezunguka Sana Wala sijatoka na kufika pale napo taka kufika amen.

  • @eliatoshamaleko9089
    @eliatoshamaleko9089 2 дня назад

    So wonderful kwa kweli MUNGU awape maisha marefu Mama mtumishi na Mwl Mwakasege mmekuwa chachu kwa watu wengi MUNGU ametuonekania Sana ktk maisha yetu "ni kweli nimechoka kuzunguka zunguka katika mlima huu Sasa yatosha Bwana" MUNGU awabariki nyoote .Amen

  • @VictoryLaiza
    @VictoryLaiza День назад

    Asante Yesu Kristo kwa kunitoa katika mlima niliouzunguka mda mrefu bila mafanikio

  • @NaomiAbel-m9v
    @NaomiAbel-m9v 2 дня назад

    Namshukuru mungu wangu kwa kinipa neema ya kuskia neno lake,,,hakika nimefufuka tena Mungu akuinue zaid akupake mafuta mabichi kila leo mtumishi wa mungu,❤❤❤❤

  • @joycegibson1684
    @joycegibson1684 2 дня назад

    Tunashukuru mungu wa mbinguni kutukumbuka tena kwa semina.mungu amtie nguvu mwalimu na kumpa neema ya kusimama mbele zake na mbele za watu wake.ni mji wa makimbiliyo kisongo

  • @jonathangodfrey675
    @jonathangodfrey675 День назад

    nmezunguka kweny mlima wa ndoa yatosha sasa mungu unitoe hapo kwa namna ya kipee,mwl christopherna dian mungu akaendeleee kua sehemu yenu kwa namna ya kipekee

  • @FoibeChali-v1x
    @FoibeChali-v1x 2 дня назад +1

    Mungu akubariki mwalimu hakika nabarikiwa na mafundisho yako ❤❤❤

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 2 дня назад

    Mama na baba mwakasege Mungu awabariki sana awape miaka mingi sana

  • @gracejoseph8012
    @gracejoseph8012 День назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @NeemaKiria-wz5gh
    @NeemaKiria-wz5gh 2 дня назад

    Safsi yangu tulia nimezunguka mlima huu yatosha🤲🙏

  • @janemtoma1082
    @janemtoma1082 2 дня назад

    Asante Yesu! Hakuna kama wewe Bwana. Nilivyozunguka mlima huu yatosha.

  • @rebecalaiton-q2n
    @rebecalaiton-q2n День назад

    Amen Amen mtumishi

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali 2 дня назад

    Mungu awabaliki sana Nimependa huwo wimbo Duniani haukuna kupumzika pia Mmependeza sana Mama zangu nguo za heshima Mungu awatunze

  • @graceluiana8807
    @graceluiana8807 2 дня назад

    Ee Bwana umelituma NENO lako .Halitakurudia bure Bali litatimiza madhumuni yako.
    Ujumbe sahihi kwa wakati sahihi .Usifiwe Yesu Kristo.

  • @tutindagamtalege1295
    @tutindagamtalege1295 День назад

    Nimeuzunguka mlima huu wa magonjwa yatosha Yesu nakuomba nipiganie Sasa.Mwlm C Na Diana Mungu wa Mbinguni asiwapungukie ktk huduma Yenu.

  • @MWLELIAHUMESHUKO-cj4tl
    @MWLELIAHUMESHUKO-cj4tl День назад

    Mungu akutunze sana mwalim

  • @michaelkalinda3215
    @michaelkalinda3215 День назад

    Yatosha na mzunguko unao jirudia rudia katika maisha yangu na familia yangu

  • @happynesspallangyo9297
    @happynesspallangyo9297 2 дня назад

    Ee Mungu nisaidie baba yangu nilivyozunguka mlima huu yatosha Mwl.Mungu akuongezee miaka zaidi

  • @jescaasante8185
    @jescaasante8185 2 дня назад

    Haleluya wewe ni Mungu mkuu na mwenye kusifiwa sana🙏

  • @graceluiana8807
    @graceluiana8807 2 дня назад

    Yehova niongezee IMANI kuhamisha MILIMA nakusihi .Huu ni mwaka mwingine,mateso yatosha .

  • @ellykanael7924
    @ellykanael7924 2 дня назад

    AMEN NIMEBARIKIWA SANAA MUNGU WA MBINGUN AKUTUNZE ZAIDI NA FAMILIA YAKO

  • @LydiaAruba
    @LydiaAruba День назад

    Huu ujumbe mbona kama umenilenga😢ejh Yesu nisaidie,,,,,🌗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @emmydavid1870
    @emmydavid1870 2 дня назад

    Amen amen Asante Yesu wangu ni neno la wakati

  • @EliasFijabo-pt2zb
    @EliasFijabo-pt2zb 2 дня назад

    Ninakupenda mwalimu mungu akutunze milele

  • @NeemaMachangem
    @NeemaMachangem 2 дня назад

    Asante Yesu

  • @NeemaMachangem
    @NeemaMachangem День назад

    Amen Amen Amen Amen 👏👏👏

  • @geofreytemenaoh5185
    @geofreytemenaoh5185 2 дня назад

    Glory to Jesus Christ our lord and savior 🎉🎉🎉❤

  • @primabrown5041
    @primabrown5041 2 дня назад

    Nilivyouzunguka mlima huu vyatosha.Kumbukumbu la Torati 2:3🙏

  • @marynialivet3746
    @marynialivet3746 2 дня назад

    Eeeh Mungu Yatosha🙌🙌🙌😭

  • @EliyaAdam
    @EliyaAdam 2 дня назад

    barikiwa sana mwalimu kwa ujumbe

  • @esterkyando1417
    @esterkyando1417 2 дня назад

    Nakubariki yesu

  • @onesmomanase
    @onesmomanase 2 дня назад

    Asante YESU Kwa neno la wakati

  • @blandinamushi8137
    @blandinamushi8137 День назад

    Muda niliozunguka mlima huu Sasa yatosha.Mungu nisaidie nivuke

  • @kate-it9cc
    @kate-it9cc 2 дня назад +1

    Be blessed sir

  • @happylupassa
    @happylupassa 2 дня назад

    Nimeuzunguka mlima huu Bwana yatosha.

  • @emilianamussa9741
    @emilianamussa9741 День назад

    Hatuwapati upendo tv

  • @WigaiRobert
    @WigaiRobert 21 час назад

    Nilivyouzunguka mlima huu yatosha...

  • @SyellaSteve
    @SyellaSteve День назад

    Glory to god glory to god

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 дня назад

    Ameen 🙏 ❤

  • @JacquelineMetili
    @JacquelineMetili 2 дня назад

    Amina Amina.

  • @GeorgeNanyaro-g3o
    @GeorgeNanyaro-g3o 2 дня назад

    Mlima huu yatosha kazini kwangu heee mungu yatosha

  • @Ezekielngalama
    @Ezekielngalama 2 дня назад

    Sasa yatosha kuteseka Kwa jina la Yesu

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 День назад

    Yaani more than 5yrs in a same situation, Ee MUNGU hii semina ni yangu more tired ,with that situation, ni kweli nimeuzuguka huu mlima yatosha,torati 2:1-3.

  • @jovitaaugustine3753
    @jovitaaugustine3753 2 дня назад

    Hallelujah 🙌

  • @petrokowero1709
    @petrokowero1709 День назад

    Nilivyouzunguka mlima huu yatosha

  • @ericajames8588
    @ericajames8588 2 дня назад

    Amina❤❤

  • @GeorgeNanyaro-g3o
    @GeorgeNanyaro-g3o 2 дня назад

    Mtumishi mungu akutie nguvu kwasomo hili pia liwe ushindi kwa mwaka huu 2025😂❤

  • @lillianadamson1374
    @lillianadamson1374 2 дня назад

    Amina Amina Amina

  • @MbazielChrstopher
    @MbazielChrstopher 2 дня назад

    Teacher god bless🖖🏼👃👃

  • @Calvinswai-q9x
    @Calvinswai-q9x 2 дня назад

    Asantee

  • @wittiemttalo8964
    @wittiemttalo8964 2 дня назад

    Amen

  • @ReginaKaniki
    @ReginaKaniki 2 дня назад

    Amen 🙏🙏

  • @josephinejacob5550
    @josephinejacob5550 2 дня назад

    Hallelujah

  • @hedwigjohn6276
    @hedwigjohn6276 День назад

    KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA RUDIA ILI KUKUKWAMISHA.
    1. Hawakujua kwa nini walikuwa wanazunguka mlima na kuurudia rudia huku hawasogei katika safari yao.
    KUMB 2:1,2SAMWELI 21:1.
    2.Hawakujua kuwa mda ule walitakiwa wawe ngazi nyingine .
    KUMB 2:1
    3.Hawakuwa na wazo la kimaamuzi la kukataa mioyoni mwao kuendelea kubaki mahali walipokuwa kimaisha.
    KUMB 2:3, 2WAKORINTHO 4:13,
    KUMB 2:3 MARKO 11:24

  • @utukufumponji7966
    @utukufumponji7966 2 дня назад

    Yatosha kuzunguka mlima wakutokuongeza elimu ya juu.

  • @enesskatiti3818
    @enesskatiti3818 2 дня назад

    Ameeeni

  • @FaustaDudu-mk3vf
    @FaustaDudu-mk3vf 20 часов назад

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @francadivael6742
    @francadivael6742 День назад

    Redio gani anarusha

  • @nashipaimoita
    @nashipaimoita 2 дня назад

    Ameen

  • @JosephzakayoLoitore
    @JosephzakayoLoitore 2 дня назад

    Amen

  • @user98771
    @user98771 2 дня назад

    Yatosha kbsa kuuzunguka mlima huu 2025 natoka kwa Jina la Yesu

  • @MalekoJackson
    @MalekoJackson День назад

    Ee mugu sikia maombi yangull

  • @mbux7443
    @mbux7443 2 дня назад

    Eimeeen

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 дня назад +5

    Maombi ya vijana tangu mama aanze ni zaidi ya miaka 5 tunaona matunda SS mashoga wanaokoka,walikuwa wanaimba nyimbo za duniani wanarudi Kwa Yesu
    Aisee🙌🙌
    Yesu mwamba, ila nimeelewa Kwann huwa anasisitiza kuomba

  • @AngelaPeter-g2u
    @AngelaPeter-g2u 2 дня назад

    Mbona haiko upendo live😢

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 дня назад

      You can't be serious, yaani iwe sahivi?
      Live ni sa kumi jioni ndo inarushwa kwenye tv

  • @dianalema647
    @dianalema647 2 дня назад +1

    Mbona haipo live upendo TV jamani?

    • @happieandrew3209
      @happieandrew3209 2 дня назад +1

      Muda huu semina imeshaisha .uwa ina kuwa live

  • @HeriethBoanerg
    @HeriethBoanerg День назад

    Ameeeeeeeen

  • @FelistusMwidani
    @FelistusMwidani 2 дня назад

    Shalom please why is the m pesa name James kitheka is it okay?

  • @NeemaShimwela-o5l
    @NeemaShimwela-o5l 20 часов назад

    Asante Yesu

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 2 дня назад

    Amina👏

  • @anithajohnson1609
    @anithajohnson1609 День назад

    Amen

  • @simbairdp6261
    @simbairdp6261 2 дня назад

    Amina

  • @NuruMwambene-ik7il
    @NuruMwambene-ik7il 2 дня назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 2 дня назад

    Ameeen

    • @EliyaAdam
      @EliyaAdam 2 дня назад

      amina barikiwa sana mwalimu kwa mafundisho

  • @nelsontitusalliwah6894
    @nelsontitusalliwah6894 2 дня назад

    Amen