Mungu akitoa neno LAZIMA litimie. Hata ukiomba na kufunga halibadiliki !! Tusidanganyike maana Mungu hadhihakiwi na hatoi majaribio kwa unabii au maono.
Hayawezi kutokea hayo ktk Taifa la Tanzania in Jesus name. Usilete unabii unaotokana na mihemko yako kuhusu siasa ya nchi yetu, as long as wapo wanaomcha Mungu kwenye hii nchi basi huo unabii umeutoa kujifurahisha maini yako.
Hapa hakuna maono ila huyu mupuzi anatengeneza hisia za wabaya wa nchi yetu wajifikilie kuwa kumbe wanaweza kuiangusha serikali yaani mtu anakuwa na hisia zake chafu halafu wanajifanya Nabii kuhadaa watu kwa kujificha katika dini wakristo tumekuwa wajinga sana kukubali kila upuuzi bila kujua kuwa ujinga kama huu uliwahi kulitesa sana kanisa katika hisitoria.labda anataka kutueleza kuwa huwa anashiriki vikao hivyo vya siri vya kuiangusha serikali yetu.
Aondolew tuna taka Raisi mwingine hatutaki tumechoka na mauaji ya watu na watu kupotae E Mungu hatutaki kiongozi mwenye mikono ya damu wauaji wanyanyasaji E e Mungu utusaidie
Sikilizeni nyinyi hemu jitambueni nyinyi munatakiwa kua na rais wa Tanganyika na taifa lenu latanganyika nyinyi hamuna rais huyo ni rais wa tanzania au kisa anatoka Zanzibar chamuhimu muitafute serekali ya Tanganyika mm mwenyewe nataka nigombee urais wa tanzania Mana hio sio serekali ya Tanganyika niyetu sote hata mzanzibar anahaki ya kua rais tafuteni serekali yenu kwanza ya Tanganyika wa msione aibu kama sisi Zanzibar tunavoipigania nchi yetu ya Zanzibar
Tunaomba mwenyenzi mungu atujalie katika uchaguzi ijayo tupate kiongozi mwenyekujuwa Utu wanananchi wake wawe mathamani kuliko hela yakutengenezwa Tu naasilimali zanchi kilamwananchi atumie kama mwenyezi mungu alivyo tuahidi kuzitumia
Si mkosoi Lakini mungu hakupigana na shetani mbinguni. Shetani alipambana na Angel Mikaeli malaika mkuu wa vita, na shetani akashindwa na kufukuzwa mbinguni,. Kazi ya kumfukuza shetani mbinguni alipewa Angel mikaeli . Shetani hawezi kupambana na mungu hata sekunde moja. Hilo lieleweke
Nenda kafanye kazi nyingine itakayokupa heshima.Unatoa unabii wa uongo ambao umewaletea hasara watu wengi waliokuamini kuwa Dar es salaam ingeangamia wakauza mali zao na kuhama Dar es salaam.Hili ni jambo la aibu sana.Nashangaa kuona unandelea kutuletea hofu na sintofahamu kwa viongozi wetu,je unafanya haya kwa lengo gani na kwa manufaa ya nani? Hubiri neno la Mungu,usihubiri hofu hali ukijua kuwa hofu ni dhambi.
Kumbukumbu la Torati 18:21-22 [21]Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA? [22]Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope Mungu akulaani kama haya uliyoyasema hayakutoka kwa Bwana Mungu Mtakatifu wa Mbinguni, Na kama mmeyapanga kishetani mshindwe kwa jina la Yesu Kristo aliye hai.
@@HerriThabiti-qd5rrMakafiri ndo Porojo zao Wameja Porojo za Husuda na Chuki nyingi. Mbonaa hakutowa Unabii kuhusu Magu na Kifo Chake?! Huo unsbii Special Kwa Samia tu...🙌
Sikilizeni nyinyi mtasumbuka sana tu sababu rais ni muislamu na nimzanzibar chamuhimu nyinyi muidai serekali ya Tanganyika sababu hamuna rais halafu munakaa mwapiga zogo hamuna bendera ya Tanganyika mumekaa tu hemu tazameni Zanzibar umoja wao
Tangu umeanza kutoa Nabii, nadhani huu ndo Unabii wa kwanza Kuelewa Vizuri kabisa. Umeongea Kwa Utulivu, lugha ya staha, kwa Mafumbo, hivi ndivyo Nabii anapaswa Ku deliver message. Pale zamani ulikuwa ukiongea too much open, ukitukana matusi watu waki comment kinyume, Sasa naona unawajibu Vizuri hata wakikukebehi. Sasa nitakufuatilia. God is still Speaking, Amos 3: 7
Unabii wa mungu haupo hivyo mungu anahekima km wewe umemuona gwajima mbona hujamtafuta ukaongea nae yani unabii wako hauko sawa tatizo kubwa huna hekima
Jamani acheni kumponda mama samia huyo ni rais wa tanzania nasio rais wa Tanganyika hemu tafuteni kwanza nchiyenu ya Tanganyika imepelekwa wapi ifike mwisho huu ujinga wakujiita watanzania iishe hamuwaoni wenzenu wa Zanzibar kule wanarais wanabendera wanabaraza la wawakilishi na waziri wao wa fedha na makamo wawili wa rais hemu jitazameni nyinyi acheni kueneza mambo yakinga amkeni nyinyi munanchi inaitwa Tanganyika Iko wapi mm kama mzanzibar hapo nahis munapaswa murudishiwe nchi yenu na mue na rais wenu wa Tanganyika halafu kama nimuungano baadae 😊😊
@@kingsolomoni-xp3dvwewe"" utakuwa na matatizo ya ubongo wa mbele ELIMU yake ya kukopa madeni kuingia mikataba ya kijinga cheti sio tatizo kwenye Uongozi nakufa mufano Kuna wazili mmoja cheti chake na vitu anavyo vifanya ni tofaut kabisa usikalili mavyeti ng'ombe wewe?
@unyakuotv.1391 huna cha kujitetea, huna unabii ni njaa tu inakusumbua, siyo wewe unaetaka 10M, jifunze kwa kina Mbarikiwa Mwakipesile na Paschal cassian utanishukuru...
@unyakuotv.1391 huna cha kujitetea, huna unabii ni njaa tu inakusumbua, siyo wewe unaetaka 10M, jifunze kwa kina Mbarikiwa Mwakipesile na Paschal cassian utanishukuru...
@unyakuotv.1391 kitu kimoja ambacho hukijui, tutaendelea kuwasikiliza ili mnavuopotosha watu, na sisi tutazidi kuwaweka kwenye mstari mnyoofu wasifuate upotofu wenu
Kweli mama amefanya mambo ili achaguliwe 2025.ni kikosa kubwa sana hata wabunge wanatutesa sana wako kwaajili ya kuchaguliwa hawatujali kabisa wananchi.mfano wao kwakuwa wako juu katiba wanavunja lakini wananchi wakivunja wanafungwa majerani. Mf. Bandari n. k.
Mimi naona wanachelewa kumpindua ilitakiwa apinduliwe kipindi cha DIP WORLD taifa linge baki salama mpka saivi tumechelewa angalia. Anatuletea lundo la madeni kwenye TANGANYIKA yetu
😂😂😂 unajijambia mwenyewe akipata juwa kaiba kura kafosi na kama kafosi atakuja kufa uyo raisi wako na kutakuwa na machafuko watu wataakufa vulugu wewe subulia usiwe na kiheleheleee
Huyu mama afunguke. Wale aliowakumbatia, hajui kuwa ndiyo maadui wake wa kwanza. Na ndiyo hao wanaogombana naye katika ulimwengu wa roho lakini yeye hajui.
Bwana Yesu simama na Tanzania yetu isipinduliwe kama ni utawala mwingine MUNGU ingilia KATI viongozi wapendane jaman.UONGOZI SII VITA MUNGU PIGANIA HAWA VIONGOZI WAPENDANE BILA CHUKI.
Bwana Nabii ukweli ni kwamba Kikwete alisha sema haoni mwana siasa kama Samia ,hivyo basi Samia 5 tena pia Tanzania sioni kama kuna jeshi la kupindua hilo ninalipinga x100 haliwezekani ,wa tz ni wwtu waoga sana pia wanapenda wanawake .sioni mtz atakae pigana vita wa tz kazi yao ni mdomo tu.
Jamani acheni ujinga najua kelele zote izo kisa raisi ni muislamu na anatoka Zanzibar ila mujue hamuna rais nyinyi wala bendera ya Tanganyika huyo ni rais wa tanzania musimbuguzi 😂 kutesa kwazamu😂😂
Sasa utaki kuambiwa ukweli atakuga raisi asifr yeye nani ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga upo yeye aliuwa John makufuli sasa zamu yakeMungu atakagi ujinga
😂😂😂😂Huyo Yesu (eti Mwana wa Mungu na Mungu Mkuu) Mwenyewe hakujuwa/hajasema (hajui) lini Siku ya Kiyama ndo atajuwa huyo Tapeli tu..🙌 Salamu zake Kwa Nabii Kiboko wa Wachawi, Nabii Tito, Zumaridi, eti Sheikh Shariff Firdous nk wa Mfano wake 😂😂😂
Nabii tapeli huyo Hao watu wanaofukuzia kiti cha urais wataje hadharani. Acha uchonganishi tapeli mvuta bangi Waongoze waamini wako kiroho, achana na mambo ya siasa
MADOGO MTULIE MJIFUNZE SIO MNAKURUPUKA RAIS SAMIA YUPO TU TENA BADO MITANO TENA. HAPINDULIWI WALA HAPINDUKI . KAKOSEA NINI MAMA WA WATU? TUACHENI TUKAE KWA AMANI JAMANI. MNADHALILISHA IMANI YETU MNAFANYA WOTE TUONEKANE WAJINGA KAMA NINYI
tusimpinge uyu nabii kwani huo ujasiri wakuzungumza ameupata wapi? kuhusu kuangamia kwa dar dareslam huenda waritubu walipo skia tarifa kama walivo tubu kwa NABII yona emeen
Mungu akitoa neno LAZIMA litimie. Hata ukiomba na kufunga halibadiliki !! Tusidanganyike maana Mungu hadhihakiwi na hatoi majaribio kwa unabii au maono.
Hayawezi kutokea hayo ktk Taifa la Tanzania in Jesus name. Usilete unabii unaotokana na mihemko yako kuhusu siasa ya nchi yetu, as long as wapo wanaomcha Mungu kwenye hii nchi basi huo unabii umeutoa kujifurahisha maini yako.
Mwenyenzi mungu atuchangulie kiongozi mwenye bila upendeleo tunaomba raisi tupate asiekuwa natammaa kwa kola mwananchi wake mwenyenzi mungu tusaidie
AMEN 🙏🇹🇿🙏
Hapa hakuna maono ila huyu mupuzi anatengeneza hisia za wabaya wa nchi yetu wajifikilie kuwa kumbe wanaweza kuiangusha serikali yaani mtu anakuwa na hisia zake chafu halafu wanajifanya Nabii kuhadaa watu kwa kujificha katika dini wakristo tumekuwa wajinga sana kukubali kila upuuzi bila kujua kuwa ujinga kama huu uliwahi kulitesa sana kanisa katika hisitoria.labda anataka kutueleza kuwa huwa anashiriki vikao hivyo vya siri vya kuiangusha serikali yetu.
You can't predict the coming destruction, evil fortune tellers.
mungu aendeleee kuwatunza manabiiii 🎉🎉🎉🎉
🎉Amina mtu Wa Mungu kwa ujumbe mzuri
Mungu akubariki mtu wa mungu
Aondolew tuna taka Raisi mwingine hatutaki tumechoka na mauaji ya watu na watu kupotae E Mungu hatutaki kiongozi mwenye mikono ya damu wauaji wanyanyasaji E e Mungu utusaidie
Sikilizeni nyinyi hemu jitambueni nyinyi munatakiwa kua na rais wa Tanganyika na taifa lenu latanganyika nyinyi hamuna rais huyo ni rais wa tanzania au kisa anatoka Zanzibar chamuhimu muitafute serekali ya Tanganyika mm mwenyewe nataka nigombee urais wa tanzania Mana hio sio serekali ya Tanganyika niyetu sote hata mzanzibar anahaki ya kua rais tafuteni serekali yenu kwanza ya Tanganyika wa msione aibu kama sisi Zanzibar tunavoipigania nchi yetu ya Zanzibar
Tunaomba mwenyenzi mungu atujalie katika uchaguzi ijayo tupate kiongozi mwenyekujuwa Utu wanananchi wake wawe mathamani kuliko hela yakutengenezwa Tu naasilimali zanchi kilamwananchi atumie kama mwenyezi mungu alivyo tuahidi kuzitumia
Ndugu yangu kama unamtumia au kutumia neno la Mungu vibaya na ufungwe kinywa chako.
Si mkosoi
Lakini mungu hakupigana na shetani mbinguni. Shetani alipambana na Angel Mikaeli malaika mkuu wa vita, na shetani akashindwa na kufukuzwa mbinguni,.
Kazi ya kumfukuza shetani mbinguni alipewa Angel mikaeli .
Shetani hawezi kupambana na mungu hata sekunde moja.
Hilo lieleweke
Why cant you going straight to the msg???too much kurudia rudia the same words.....duh...
Mbona kama mgonjwa wa Akili hivi. Unarudia kitu kilekile. Amen amen amen halafu kama umelewa
Yatupasa tumwombe mwenyezi mungu atuchagulie kiongozi atakaye tujali daima.amen
Bora yatokee tu, kwa maana uonevu umezidi!
Unabiii haubadilishwi Kwa maombi, tujifunze kumuuliza Mungu wapendwa wengi manabii ni makachero kutujaza uozo ili tusidai haki zetu ..
Nenda kafanye kazi nyingine itakayokupa heshima.Unatoa unabii wa uongo ambao umewaletea hasara watu wengi waliokuamini kuwa Dar es salaam ingeangamia wakauza mali zao na kuhama Dar es salaam.Hili ni jambo la aibu sana.Nashangaa kuona unandelea kutuletea hofu na sintofahamu kwa viongozi wetu,je unafanya haya kwa lengo gani na kwa manufaa ya nani? Hubiri neno la Mungu,usihubiri hofu hali ukijua kuwa hofu ni dhambi.
Unajua maana ya unabii we mwehuu?
Kumbukumbu la Torati 18:21-22
[21]Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA?
[22]Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope
Mungu akulaani kama haya uliyoyasema hayakutoka kwa Bwana Mungu Mtakatifu wa Mbinguni,
Na kama mmeyapanga kishetani mshindwe kwa jina la Yesu Kristo aliye hai.
2025 Kuna kivumbi na jasho
Ila hata mimi hicho unachokisema nilikiota miaka kama mitatu iliyopita na huwa nikiota basi inakuwa kweli Mungu tu atusaidie atuepushie na hicho
Ngumu sana kuelewa😢😢
Serikali iwaangalie sana hawa watu wanaipotoah jamii kamata kamata
Amina mungu atukumbuke Tanzania
Sijawahi kukuelewa, una upumbavu wa kiwango kikubwa sana, mashetani yanayokuongoza hayata kuacha salama.
Mungu atupatie raisi mcha MUNGU
Acha uboya wataka raise wavipi ww
@HerriThabiti-qd5rr toka huna akili limekugusa eti
@@HerriThabiti-qd5rrMakafiri ndo Porojo zao Wameja Porojo za Husuda na Chuki nyingi.
Mbonaa hakutowa Unabii kuhusu Magu na Kifo Chake?!
Huo unsbii Special Kwa Samia tu...🙌
Sikilizeni nyinyi mtasumbuka sana tu sababu rais ni muislamu na nimzanzibar chamuhimu nyinyi muidai serekali ya Tanganyika sababu hamuna rais halafu munakaa mwapiga zogo hamuna bendera ya Tanganyika mumekaa tu hemu tazameni Zanzibar umoja wao
we juha kwel kichwa chako kimejaa tope,atakuelewa mwehu mwenzako,
kwanini unasema hivyo?
Ongelea hao wengine mwache mama jamani apite asipite mwacheni sisi ni wana wa mungu jamani mwacheni
Hii gar hazii ingii gia vizur
Amen
Mimi ilinikuamini Dar iweimeangamia'’vipi vile vipeperushi na watu kuuza viwanja?
msikilize anavyo itamka bwana Yesu asifiwe njaaa kali inamtesa
😂😂😂
😂😂😂
Na ashafanya nia ya kuchaguliwa na nchimbi kua wagombea CCM
wachungaji wapiga ramli
Tangu umeanza kutoa Nabii, nadhani huu ndo Unabii wa kwanza Kuelewa Vizuri kabisa. Umeongea Kwa Utulivu, lugha ya staha, kwa Mafumbo, hivi ndivyo Nabii anapaswa Ku deliver message. Pale zamani ulikuwa ukiongea too much open, ukitukana matusi watu waki comment kinyume, Sasa naona unawajibu Vizuri hata wakikukebehi. Sasa nitakufuatilia. God is still Speaking, Amos 3: 7
Asante kwa kutusikiliza na kutufatilia endelea kutufatilia ujifunze zaidi.
Ila maneno yako si mageni RUclips tunaosoma comment tumeyazoea
@@unyakuotv.1391 Sawa. Yanayofaa yafanyieni kazi.
Unabii wa mungu haupo hivyo mungu anahekima km wewe umemuona gwajima mbona hujamtafuta ukaongea nae yani unabii wako hauko sawa tatizo kubwa huna hekima
Asante kwa kutufatiliaa
Nenda wewe uliye na hekima.. itasaidia
@@kingsolomoni-xp3dv asante kwa kutusikiliza naona na wewe umeshawishika kutusikiliza hongera sana utajifunza zaidi
Mbona mafuriko Dar hayajatokea hadi leo? Brazil nchini fulsa ni nyingi hii umechemka bro
Ushaanza mambo yako....watakusweka ndani...malizia unabii wako wa kuangamia kwa Dar es salaam,hatujasahau
@@zabronpaul7599 asante kwa kutufatilia.. tunaomba utupatie. taarifa kwa kejeli kama hii dar itakapoangamia
@@unyakuotv.1391jamani tuna macho hatuoni usalama wa dar uko wapi
😂😂😂Salamu zake Kwa Mbarikiwa na WA mfano wake 🙌@@unyakuotv.1391
wakimsweka ndani nitamtoa
Jamani acheni kumponda mama samia huyo ni rais wa tanzania nasio rais wa Tanganyika hemu tafuteni kwanza nchiyenu ya Tanganyika imepelekwa wapi ifike mwisho huu ujinga wakujiita watanzania iishe hamuwaoni wenzenu wa Zanzibar kule wanarais wanabendera wanabaraza la wawakilishi na waziri wao wa fedha na makamo wawili wa rais hemu jitazameni nyinyi acheni kueneza mambo yakinga amkeni nyinyi munanchi inaitwa Tanganyika Iko wapi mm kama mzanzibar hapo nahis munapaswa murudishiwe nchi yenu na mue na rais wenu wa Tanganyika halafu kama nimuungano baadae 😊😊
Acha kudanganya wat mungu anatosha hujui anolijua yeye
Niliona dhiki kuu sana Tanzania mwaka 2021 mama akipinduliwa na viongozi wa karibu kabisa
Kwa Nini huiombea Tanzania!
@@miltonjohn9779omba wewe mwache afe apinduliwe anayo yafanya Mungu aona
Apinduliwe kwa jina la yesu Ee Mungu tuchagulie Raisi sahihi 2025
Utakua salama sasa? Wewe OMBA TOBA KWAAJILI YA TAIFA LAKO
@@joycehaule9717toba 😂
@@kingsolomoni-xp3dvwewe"" utakuwa na matatizo ya ubongo wa mbele ELIMU yake ya kukopa madeni kuingia mikataba ya kijinga cheti sio tatizo kwenye Uongozi nakufa mufano Kuna wazili mmoja cheti chake na vitu anavyo vifanya ni tofaut kabisa usikalili mavyeti ng'ombe wewe?
Tapeli on duties, unapenda kujiinua nguva wewe, mafuriko ya Dah wewe si ndo ulibwabwaja, JINGA KABISA WEWE
Asante kwa kutusikiliza mafuriko yakifika tunaomba utujullishe pia usikae kimya
@unyakuotv.1391 huna cha kujitetea, huna unabii ni njaa tu inakusumbua, siyo wewe unaetaka 10M, jifunze kwa kina Mbarikiwa Mwakipesile na Paschal cassian utanishukuru...
@unyakuotv.1391 huna cha kujitetea, huna unabii ni njaa tu inakusumbua, siyo wewe unaetaka 10M, jifunze kwa kina Mbarikiwa Mwakipesile na Paschal cassian utanishukuru...
@unyakuotv.1391 kitu kimoja ambacho hukijui, tutaendelea kuwasikiliza ili mnavuopotosha watu, na sisi tutazidi kuwaweka kwenye mstari mnyoofu wasifuate upotofu wenu
Kwani huogopi?
Yaani mmeweka udini mbele upumbavu mtupu!!!!!
Huyu jamaa anatakiwa akamatwe aminywe iliaeleze vizuri. Ni kosa kubwa sana Serikali kupuuzia kauli kama hizi zinazotishia usalama wa Taifa.
Apinduliwe TU na afie mbali
Mwacha aende zake.
Namwomba Mungu ccm ianguke kama wakati wa sauli
Na iwe hivyo ni bora zaidi
Wewe mwehu bwana
Kweli mama amefanya mambo ili achaguliwe 2025.ni kikosa kubwa sana hata wabunge wanatutesa sana wako kwaajili ya kuchaguliwa hawatujali kabisa wananchi.mfano wao kwakuwa wako juu katiba wanavunja lakini wananchi wakivunja wanafungwa majerani. Mf. Bandari n. k.
Mimi naona wanachelewa kumpindua ilitakiwa apinduliwe kipindi cha DIP WORLD taifa linge baki salama mpka saivi tumechelewa angalia. Anatuletea lundo la madeni kwenye TANGANYIKA yetu
Mbona hauko straight na clear?
Achana na kutaja makina ya watu go straight to the point!
Atoke tu yaani apinduliwe kabisaa
Asipinduliwe ila aondoke tu hapa duniani
@ClarenceHilaly hapo umenimaliza ndugu nimejikuta nacheka tu
Nimeipenda hiyo
Upuuzi mtupu
Duuuh!!!!
Mama anahaki ya myaka 5 ya kwake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Haki ya kutoka wapi? Ni lini alichukua fomu kugombea nafasi hiyo na akafuzu ?
😂😂😂 unajijambia mwenyewe akipata juwa kaiba kura kafosi na kama kafosi atakuja kufa uyo raisi wako na kutakuwa na machafuko watu wataakufa vulugu wewe subulia usiwe na kiheleheleee
USHIRIKINA HUO! UONGO MTUPU HATA UNAVYO ONGEA HUJIAMINI
Huyu mama afunguke. Wale aliowakumbatia, hajui kuwa ndiyo maadui wake wa kwanza. Na ndiyo hao wanaogombana naye katika ulimwengu wa roho lakini yeye hajui.
Afunguke. Nini yeye sialiuwa John pombe naye atafuata tumati tuduni tudani malipo hapahapa duniani atajuwa ajuwi 😅😅😅😅
Malipo ni hapa hapa duniani
Tanzania haiwezi kupindiwa bali serikali inayoongoza nchi ya Tanzania kwa sasa inaweza kupinduliwa.
Kupinduliwa ili iitweje au ili iwe nchi gani?
Tanganyika
Manabii wa uongo ndo nyinyi,mshenzi mkubwa,Acha kuchonganisha Mama na watu wake,
Unasema kweli
Sasa lli la watu watano kugombea kiti ni jambo la ajabu dogo mwaka 2020 waligombea wangapi.ebu acha hesabu unakosea najua unapiga ramli
Bangi mbaya sana😅😅😅😅😅
We bwana ombea inchi mweshimu raisi wako acha uongo
2025 kitaeleweka tumechoka😢😢
Waziri mkuu wa mbinguni😂 mungu atuhurumie jmn
Dah watanzania wanapinga mno jamani kwanini hamuamini
Hakuna cha kupinduliwa acheni uzushi na porojo, badala ya kuomba Mungu alete kiongozi amtakaye nyie mnapiga ramli.
Nia kishasema notakusaidia hesabu hakuna mAono na mama ataendelea tuu na akiendelea utakimbia nje
Una sms SMS lakini hujui kupresent
@@mongogwelaanthony6867
Present wewe
Bwana Yesu simama na Tanzania yetu isipinduliwe kama ni utawala mwingine MUNGU ingilia KATI viongozi wapendane jaman.UONGOZI SII VITA MUNGU PIGANIA HAWA VIONGOZI WAPENDANE BILA CHUKI.
Kwani atakayepindua si mtanzania? Hapo kanisa tuombee amani lakini nchi yetu inahitaji watawala wa hali Ili nchi ifurahi. Omba, ombea amani
TANZANIA IKO SALAMA ,ACHA KUTUDANGANYA
KWA NINI USIMTAFUTE RAIS MWENYEWE AU WASAIDIZI WAKE.
Matapeli wakubwa kama unaona mbona ww utakufa feb hauja jua nami nimekujuza kifo chako
Hivi hawa no waganga.wa.kienyeji,maana muhuni kama huyu mungu hawezi kuweka neno kwake
Na apinduliwe tu
Mnaofaidi jasho la wananchi mkome
SAWA KAZI ya Mungu iendelee!
Mwenyezi mungu hujibu kwawakati wake panapokuwa hapandendewihaki
We chizi amen we ndo utakutana na mazito amen duni hii imekua ya utabiri paka we
Kazi unayo
PUMBAVU ÑABII WA UONGO VIÒNGOZI WA DINI MATAPERÌ HÀKÙNA ANAYE WA AMINIO AÇHA PORÒJO!!
Bwana Nabii ukweli ni kwamba Kikwete alisha sema haoni mwana siasa kama Samia ,hivyo basi Samia 5 tena pia Tanzania sioni kama kuna jeshi la kupindua hilo ninalipinga x100 haliwezekani ,wa tz ni wwtu waoga sana pia wanapenda wanawake .sioni mtz atakae pigana vita wa tz kazi yao ni mdomo tu.
Weweee
Jamani acheni ujinga najua kelele zote izo kisa raisi ni muislamu na anatoka Zanzibar ila mujue hamuna rais nyinyi wala bendera ya Tanganyika huyo ni rais wa tanzania musimbuguzi 😂 kutesa kwazamu😂😂
Wewe ni mtu mjinga sana sana. Nani alikwambia dini inahusika kwenye ufalme? Niambie mfalme Sauli au Daudi walikuwa dini gani?
Tatizo unabii wako unamashaka ulituabia Dar itamezwa na mafuriko
Tangu nimeanza kukufuatilia yote uliyosema ni uongo hakuna lililotimia pamoja na wakati kupita kwanini usiache tu
Hakuna kitu njaa mbaya sana
Naona sikuoni ukidumu tanzania
Asante kwa kutufatilia,
Huo unabii ulishatolewa 2021 na 2023
Kuwa kuna vita 2025
Umerudiwa kwa kuwa Mungu ametaka urudiwe
Wacha tuone
ww jitasimini kwanza muache raisi wetu mungu yupo nae DAIMA
Sasa utaki kuambiwa ukweli atakuga raisi asifr yeye nani ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga upo yeye aliuwa John makufuli sasa zamu yakeMungu atakagi ujinga
Sisi waafrika sijui tumekumbwa na nini ukisikia mchungaji wa kanisa mnashindwa kumkamata na kumuhoji.
Kwanini apinduliwe... Utaratibu wa Kushida madaraka Tanzania upo wazi na unafuatwa.... Hakuna anayeng'ang'ania kiti Tanzania
Acha kujichanganya 😂😮
Kwa jinsi baadhi ya mifumo ilivyo paralasi kwa kuingiliwa na wenye mamlaka mpaka wamedhoofisha baadhi yake sishangai
Kiama lini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Huyo Yesu (eti Mwana wa Mungu na Mungu Mkuu) Mwenyewe hakujuwa/hajasema (hajui) lini Siku ya Kiyama ndo atajuwa huyo Tapeli tu..🙌
Salamu zake Kwa Nabii Kiboko wa Wachawi, Nabii Tito, Zumaridi, eti Sheikh Shariff Firdous nk wa Mfano wake 😂😂😂
Bora yesu arud
@EsterNgailo-n4h alafu utakuwa una zambi
Nabii tapeli huyo
Hao watu wanaofukuzia kiti cha urais wataje hadharani.
Acha uchonganishi tapeli mvuta bangi
Waongoze waamini wako kiroho, achana na mambo ya siasa
Njaa inakutesa
Haya mambo nyie waislam hauwezi kuayaelewa hata aekunde
Hamna kitu apa njaa 2
Magufulii anarudii mapema wasliti wote kwaherii
Yuhu anatofauti gani na Tito.?! Nabii wa kuzimu.
MADOGO MTULIE MJIFUNZE SIO MNAKURUPUKA
RAIS SAMIA YUPO TU TENA BADO MITANO TENA. HAPINDULIWI WALA HAPINDUKI . KAKOSEA NINI MAMA WA WATU?
TUACHENI TUKAE KWA AMANI JAMANI. MNADHALILISHA IMANI YETU MNAFANYA WOTE TUONEKANE WAJINGA KAMA NINYI
Waongooooooooooooo hao wakamateni muwaweke ndanii angekuwa idi.amini ungekoma wewe
Huyu ni nani mbona simuelewi mara ccm ni chaguo la mungu mara ameishika mkononi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 lord have mercy
tusimpinge uyu nabii kwani huo ujasiri wakuzungumza ameupata wapi? kuhusu kuangamia kwa dar dareslam huenda waritubu walipo skia tarifa kama walivo tubu kwa NABII yona emeen
Unasema huku unajikanyagakanyaga, na unarudiarudia maneno maana yake ni uongo mtupu.