Cassian umegusa Moyo wangu historia ya maisha yako imefanana sana na historia yangu Mungu akulinde na kukutunza naamini hata Mimi Mungu atafanya jambo Kati ya Mke wangu kabla tungalipo Duniani
Ubarikiwe Sana Cassian you always inspires me with true fellowship with Jesus Christ lakini kuna kitu hapo sijaelewa Je no halali kutengana ikiwa watu walishaoana kama ulivyosema? kitu kingine Kwa mawazo yangu hukupaswa kwenda kuionyesha hiyo familia na huyo mzazi mwenzio kwenye media hakika umemfanyia maumivu Makali hata kama alikuumiza just move on endelea na huduma
Mtumishi Cassian hongera sana mtoto ajue babake.be blessed. Leviticus 19:27,hivo kichwa unashikashika utoe denge na kuchonga nywele kando ya kichwa.mtu wa JEHOVAH
Kama ni mpango wa Mungu mrudie. Na kama sio mpango wa Mungu asije akawa mwiba kwako.. Na kazi ya Mungu ukaacha. Sugua goti kwanza. Mungu akutunze ktk kazi yake
Maskini anatukanwa au kudharauliwa na kila mtu lakini ukishaokoka kwa kumaanisha kabisa, utajiri halisi sio wingi wa mali bali ni wingi wa mema utakayofanya hata kama hauna wingi mali zinazotafsirika kuwa ni utajiri.
Mwanamke ni kiumbe tete sana. Ukimuoa ukiwa maskini atakudharau na hata kukukimbia, ukimuoa ukiwa tajiri atanyenyekea kwa ajili ya mali, na tamaa ikimzidi atatafuta namna ya kukuondoa maisha ili amiliki mali peke yake kwa uhuru!!! Wanaume tuna kazi sana enzi hizi za wanawake walioasi nafasi yao ya kuwa mke. Kila kukicha kuna mawaidha, mashauri, mahubiri na mafundisho ya kumpotosha mwanamke. Mwanamke asie na akili zitokanazo na kumcha Mungu, basi atasombwa na upepo wa mafundisho potofu na kuvunja ndoa yake.
Ni kweli kabisa ,Mie Ni mwanamke nimepitia mengi Na wakati mwingi kudhalilishwa, nilivumilia Na Sasa mume wangu ananiambia hakika wewe Ni make bora , kilichonisaidia Ni kuona kusudi la Mungu hata kwenye Mambo mabaya . Kila wakati Mungu hutuwazia mema , tukivumilia tutakula matunda YA uvumilivu wetu. Waza ingekuwa wewe halafu ukakimbiwa ungefanyaje. Ila kila mtu Na mtanzamo wake .
Mungu akubariki sana mtumishi. Tusilipe uovu kwa uovu hapo ni sawa kabisa. I wish watu wangekuwa na uwezo wa kujua kesho ya mtu.... Una maswali mengi kuliko police 😅 bibi alikutana na maswali kali aisee
@@Lameckmichael-h2m usimpe kichwa Cassian yeye baada ya kuona ugumu wa maisha ya mzazi mwenzie amefanya jitihada Gani kumsaidia??? Maandiko yanasema lipa ubaya kwa wema kitendo Cha kuanika kosa la Xwake kwenye mitandao na kuonyesha ugumu wa maisha yao na kuhitimisha kwamba unaweza kua na mwanamke ukamuona ni mzuri ila ni kwakua haukua na pesa na ukipata pesa unapata mzuri zaidi ni kauli mbovu isiyoonyesha thamani na kujali. haijalishi kosa alilolifanya na Wala hatumuungi mkono huyo mwanamke kwa kosa lake ila alichokifanya huyu jamaa kimeonyesha Bado sio mkomavu wa kiakili Nilitegemea kwa hadhi yake angekua amewajengea hapo pembeni vyumba viwili na sebule alafu siku ya uzunduzi wa hio nyumba ndio sasa akatupitisha kwenye historia ya maisha yake na huyo mzazi mwenzie ingetoa funzo kubwa lakini kwa hili Mimi naita ni uswahili ameenda kufanya tofauti yake tu ni kwamba huenda alichelewa kupata watu wa Ngoma ma matarumbeta ili aende kumsuta huyo mwanamke
Umaskini ni jambo mtambuka sio kama unavyoweza kuseme kwenye hiyo angle ndogo, kwa mfano kunawatu wanaweza kuwa maskini kwa kujitakia au kwamakosa yao binafsi (subjective reasons) ukiachilia mbali zile sababu za jumla kama mazingira wezeshi ambayo yanaweza kutolewa na serikali kama elimu huduma za afya na huduma zingine muhimu kama upatikanaji maji safi lakini sisi shida yetu fikra za kulaumu zaidi bila sisi kutimiza wajibu kikamilifu in summary "poverty is mindset" mtu mmoja alisema ukiwachukuwa waafrica ukawapeleka ulaya au marekani au sehemu yeyote inayotajwa kuwa imeendea halafu na wao walioko huko waje huku Africa basi Africa itakuwa kama ulaya na ulaya itakuwa kama africa kwa muda mfipi. Mimi naweza kukuelewa wewe angle yako unapeleka lawama kwa serikali au kwaviongozi, muhimu kuelewa kuwa viongozi ni zao letu au lugha nyingine ni watu kati yetu maana hata kama ungekuwa wewe ndio kiongozi usingefanya tofauti na wao wanavyofanya.
Yani Mimi sijaielewa kaenda kujikweza au kaenda kuona mazingira Kisha awasaidie?mana Kila pito unalolipitia mungu anakuwa na sababu yake hakuna kufanikiwa kirahisi
Kama yeye alikatazwa na wazazi wake jua ayakuwa matakwa yake wazazi ndio sababu, rudiana nae muendeleze maisha kamana ajapata mwanaume, ila kama alikataa mwenyewe Kwa kigezo Cha umaskini achana nae kabisa.
Kusamehe ameisha musamehe lakini mwana muke akamukataa namimba akaenda kwa mwanawume mwingine akamuchezeya umasikini akamuacha sasa paschal kurudiyana nahuyo itawonekana aje mbele yamacho ya huyo mwanawume si atadarawuliwa?natena hayitakuwa ni upendo ila itakuwa ni mayisha anayo yayishi kwa sasa.
Mtumishi Mungu akuzidishiye uzima siku zote uko na roho ya utu na pia napenda nyimbo zako sn watching from Kenya 🇰🇪
Amen 🙏 wasaidie na Mungu atakuzidishia baraka zake, barikiwa sana kwa msimamo wako mtumishi.
Cassian umegusa Moyo wangu historia ya maisha yako imefanana sana na historia yangu Mungu akulinde na kukutunza naamini hata Mimi Mungu atafanya jambo Kati ya Mke wangu kabla tungalipo Duniani
She is beautiful. Msaidie huyo bibi kama Mungu amekusaidia.
Amen 🙏 Amen 🙏 umesema kweli kabisa Mungu anainua,wanao kudhalau sikumoja watakusalimia kwa heshima, Mungu ni kilakitu, watching From America 🇺🇸
True man of God ❤ from Kenya
Ubarikiwe Sana Cassian you always inspires me with true fellowship with Jesus Christ lakini kuna kitu hapo sijaelewa Je no halali kutengana ikiwa watu walishaoana kama ulivyosema? kitu kingine Kwa mawazo yangu hukupaswa kwenda kuionyesha hiyo familia na huyo mzazi mwenzio kwenye media hakika umemfanyia maumivu Makali hata kama alikuumiza just move on endelea na huduma
Ameeen nakupenda xana mtumishi kwa hekima aliyokukirimia mungu wetu Mungu akubariki na akuzidishie zaidi na zaidi
Pole sana kwakupigwa nakuchagiwa kama mwizi pole leo umeinuliwa Mungu yumwema asante kwaujumbe
You have done a very great thing man of God i pray for you to unite n she is still pretty "love you Cassian❤
Asante saaana mtumishi wa MUNGU alie juu Sana
Mtumishi Cassian hongera sana mtoto ajue babake.be blessed. Leviticus 19:27,hivo kichwa unashikashika utoe denge na kuchonga nywele kando ya kichwa.mtu wa JEHOVAH
Amen barikiwa Sana unapowatendea mema 🙏
God be with you man of God 🙏🙏🙏🙏🙏 love from Zambia
Amen amen
Mungu akulinde sana sana ww nineno lamungu hakika
Amen and Amen God bless you always true Gods servant❤❤
Amen mtumishi barikiwa sana asante kwa huo ujumbe 🙏🙏🙏
Amina ubalikiwe sana mtumisi wa Mungu tupo pamoja nawe uku Moçambique 🇲🇿🙏🙏🙏
duh! kama movie vile kumbe ni really life😢😢 God bless you Cassian
Kama ni mpango wa Mungu mrudie. Na kama sio mpango wa Mungu asije akawa mwiba kwako.. Na kazi ya Mungu ukaacha. Sugua goti kwanza. Mungu akutunze ktk kazi yake
Ameen
Ubalikiwe sana ❤❤❤
Ubarikiwe mtumishi wa mungu 15:16
Nabarikiwa sana nikiwa Songea
Sjaona mwanaume kama wew hongera sana mtumishi
Amina mahubiri mazuri sana kaka 👏🏻👏🏻
Nimeipenda sana hiyo❤❤❤❤❤
Asee kuna jambo kubwa nimejifunza kwako barikiwa sana Mwana Wa Mungu
"Eeeeèè moyo wangu tuila ",amen barikiwa sana.
Asante Kwa ushuhuda mzuri. 🙏🙏
Mwanzoni nlikuwa sikuelew ila nmekuelewa mtumishi Mungu akutunze sana🔥🔥🔥🙌🙌
Duh! Walifukuza Mbaraka bila kujua😢Mungu akulinde na azidi kukutumia Mtumishi❤🙏
Kama mateso kumbe ndio maisha yenyewe elewa neno mshukuru mungu kwa kila jambo
Mungu azidi kukutumia mtumishi
Haleluya Amina mungu akubariki sana
Ubarikiwe sana Mtumishi nimejifunza
Wanawake msiolewe na wanaume masikini hakikisha unaolewa na mwanaume Bilionea kama Baba yako 😂😂😂😂
Sio wewe bali ni roho ya ki Mungu iliyo ndani yako mtumishi wa Mungu,
MUNGU akubariki sana mtumishi na vipi huyo mke aliolewa kwingine au yupo bado na kama yupo si umuoe kama anakubali?maana ndiyo mke wa ujana wako
Hii familia wamekuruhusu kuwarekodi na kupost online?
Ubarikiwe Pastor
MUNGU Ni mwema 🙏🙏🎉🎉🎉🎉
Amna sanaa
Amina Aminaa Mungu hamtupi mja wakeee 🙏
Be blessed ❤❤❤❤❤
Unaroho ya kimungu ndani yako; siyo mchoyo na unaonekana hauna kinyongo dhidi ya mtu. Mungu azidi kukuinua kwa upendo wako Mtumishi.
Asante sana kwa ujumbe wako
Amina amina jambo jema na mungu awe naw daima
Aamen amen mtumishi
Maskini anatukanwa au kudharauliwa na kila mtu lakini ukishaokoka kwa kumaanisha kabisa, utajiri halisi sio wingi wa mali bali ni wingi wa mema utakayofanya hata kama hauna wingi mali zinazotafsirika kuwa ni utajiri.
Aaamen amen
Mwanamke ni kiumbe tete sana. Ukimuoa ukiwa maskini atakudharau na hata kukukimbia, ukimuoa ukiwa tajiri atanyenyekea kwa ajili ya mali, na tamaa ikimzidi atatafuta namna ya kukuondoa maisha ili amiliki mali peke yake kwa uhuru!!! Wanaume tuna kazi sana enzi hizi za wanawake walioasi nafasi yao ya kuwa mke. Kila kukicha kuna mawaidha, mashauri, mahubiri na mafundisho ya kumpotosha mwanamke. Mwanamke asie na akili zitokanazo na kumcha Mungu, basi atasombwa na upepo wa mafundisho potofu na kuvunja ndoa yake.
Ni kweli kabisa ,Mie Ni mwanamke nimepitia mengi Na wakati mwingi kudhalilishwa, nilivumilia Na Sasa mume wangu ananiambia hakika wewe Ni make bora , kilichonisaidia Ni kuona kusudi la Mungu hata kwenye Mambo mabaya . Kila wakati Mungu hutuwazia mema , tukivumilia tutakula matunda YA uvumilivu wetu. Waza ingekuwa wewe halafu ukakimbiwa ungefanyaje. Ila kila mtu Na mtanzamo wake .
Asante Mtumish ila mrembo haswa sipati picha alivokuw Bint ndyomana ulivulugika Mtumish
Mungu akubariki mtumishi
Najiuliza kama hii familia ilimfukuza kaka cassian kwasababu hana fedha najiuliza hali ya cassian ilikuwaje hko zamani hakika MUNGU mzuri sana
😂😂😂😂
Ubarikiwe sana nimejifunza kitu
hio kelele ya mziki imezidi mpaka inakera
Mungu akubariki sana mtumishi. Tusilipe uovu kwa uovu hapo ni sawa kabisa. I wish watu wangekuwa na uwezo wa kujua kesho ya mtu....
Una maswali mengi kuliko police 😅 bibi alikutana na maswali kali aisee
Kaka yangu ashawaikupigwa namwanamke kwao walimchangia yaani
Toueni hiyo background music
Kwa hiyo u.erudi kuwatambia?
Ushuda wako mzuri mtumishi,,ushauri tena wema kwa baya wasaidie toa sadaka kuwasaidia familia hiyo.
Aliniaca wakati mgumu sana nililiya kama moto nika kua kilio cafamilia yao lakini mungu ni mwema sana nimejitambuwa na nika amua kumuliliya mungu
Kaka nimejifunza jambo kubwa Sana kuhusu ushuhuda wa hii video by Erasto lwanda
Duuh aiseee aya maisha jaman
Ukweli mtumishi maumivu yamenitengeneza sana
Amen mtumishi
Achana na stori ya casian, najiuliza nchi inawatu masikiji kamahawa harafu mabilioni yapesa yanatumuka kutoa zawadi kwakilagoli likifungwa na tim😢😢😢
Hakika kabisa umewaza mbali Sana eti😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@@Lameckmichael-h2m usimpe kichwa Cassian yeye baada ya kuona ugumu wa maisha ya mzazi mwenzie amefanya jitihada Gani kumsaidia??? Maandiko yanasema lipa ubaya kwa wema kitendo Cha kuanika kosa la Xwake kwenye mitandao na kuonyesha ugumu wa maisha yao na kuhitimisha kwamba unaweza kua na mwanamke ukamuona ni mzuri ila ni kwakua haukua na pesa na ukipata pesa unapata mzuri zaidi ni kauli mbovu isiyoonyesha thamani na kujali.
haijalishi kosa alilolifanya na Wala hatumuungi mkono huyo mwanamke kwa kosa lake ila alichokifanya huyu jamaa kimeonyesha Bado sio mkomavu wa kiakili
Nilitegemea kwa hadhi yake angekua amewajengea hapo pembeni vyumba viwili na sebule alafu siku ya uzunduzi wa hio nyumba ndio sasa akatupitisha kwenye historia ya maisha yake na huyo mzazi mwenzie ingetoa funzo kubwa lakini kwa hili Mimi naita ni uswahili ameenda kufanya tofauti yake tu ni kwamba huenda alichelewa kupata watu wa Ngoma ma matarumbeta ili aende kumsuta huyo mwanamke
😢😢😢😢😢😢😢
Umaskini ni jambo mtambuka sio kama unavyoweza kuseme kwenye hiyo angle ndogo, kwa mfano kunawatu wanaweza kuwa maskini kwa kujitakia au kwamakosa yao binafsi (subjective reasons) ukiachilia mbali zile sababu za jumla kama mazingira wezeshi ambayo yanaweza kutolewa na serikali kama elimu huduma za afya na huduma zingine muhimu kama upatikanaji maji safi lakini sisi shida yetu fikra za kulaumu zaidi bila sisi kutimiza wajibu kikamilifu in summary "poverty is mindset" mtu mmoja alisema ukiwachukuwa waafrica ukawapeleka ulaya au marekani au sehemu yeyote inayotajwa kuwa imeendea halafu na wao walioko huko waje huku Africa basi Africa itakuwa kama ulaya na ulaya itakuwa kama africa kwa muda mfipi. Mimi naweza kukuelewa wewe angle yako unapeleka lawama kwa serikali au kwaviongozi, muhimu kuelewa kuwa viongozi ni zao letu au lugha nyingine ni watu kati yetu maana hata kama ungekuwa wewe ndio kiongozi usingefanya tofauti na wao wanavyofanya.
Asee usimzarau mtu heshim sana mtu uliyeanza nae chini imagine walikufukuza ukiwa huna kitu lkn leo umerud umepak gar apo. Sijui anajiskiaje kukuona
Barikiwa nmejifunza mengi
Wanawake bhana ni shida anamkataa mtu kisa hela ambazo ata yeye hana hizo hela
Kweli mtu Wa mungu nimependa sana
Amina mungu akubariki
Kweli kabisa Mungu ni mwema
Mwenyezi Mungu atusaidie
Casian safari bado
Mwanaume ukiumizwa kausha unalia lia nini😂walokole bana
Mke wa ujana wako ndio anakubaliwa nambingu,huo ulikuwa ni mtiani to wa kujaribu imani yako.
Ooooooh this is a good news
Mpe mic mrembo naye aongee....usiwe biased....
Uwiiiiiii mbona Kama Ni MUNGU anasema nami!!
Eee anasema aje na wewe tupee umbea
Ahahahaaaaa mwenzangu nimejifunza kitu hapa ebu nenda kwa Roho mtakatifu atakupa huo akipenda mwenyewe
Kwahyo uliowa mwingine?
Pastor umetuinspire sana hasa sisi vijana tunaojitafuta
Huo sio ushuda wa kristo, kuanika hadharani magumu ya mtu asie na hatia na hata anguko la mwenye hatia
SIMULIZI HIYO INAFANANA NA STORY YANGU YAAAANI CASSIAN DUNIANI TUNAPITA MPAKA SASA ALIYE KUWA MKE WANGU ALIZALISHWA.... NIKAMUACHA AENDELEE NA ......
Kama hajaolewa mludie Tena msamehe bure
Inamwathiri na kumwaaffect wabongo bwana, nini uoneshe maisha ya mtu, onesha kwenu
Wew na we ndio wale wale wasaliti, kwani angewarecord bila kukubali, mbona uyo mdada kakubali kuonekana kwenye kamera
Nmeipenda hi kitu
Ukiwasaidia usituonyeshe maana hiyo ni sadaka
Mwenye kovu usidhani kapoa. Akilitazama, anakumbukumbu zake.
Amen amen
@@paschalcassianoriginal9411 wewe sio jasiri na haupendi kuambiwa ukweli kama ungekua mkomavu kiroho kwanini comment zangu unazifuta???
@@meshacknyandongo577 Muache mtumishi afanye kazi ya Mungu. Si Kila comment unaweza kuifuata na kuifanyia kazi.
@JohnBenedict123 Mimi sjasema aifuate kwenini anazifuta ni muoga tu huyo
@@meshacknyandongo577Sio kila kitu Ni lazima ukikubali, unavyoona au kufikiri sivyo anavyofukiri wewe.
Ubariwe
Yani Mimi sijaielewa kaenda kujikweza au kaenda kuona mazingira Kisha awasaidie?mana Kila pito unalolipitia mungu anakuwa na sababu yake hakuna kufanikiwa kirahisi
Asante bwana mungu akubariki
Aamen ame
Amen nimebarkiwa mtu wa Mungu
Kama yeye alikatazwa na wazazi wake jua ayakuwa matakwa yake wazazi ndio sababu, rudiana nae muendeleze maisha kamana ajapata mwanaume, ila kama alikataa mwenyewe Kwa kigezo Cha umaskini achana nae kabisa.
❤❤❤❤❤❤
Kusamehe ameisha musamehe lakini mwana muke akamukataa namimba akaenda kwa mwanawume mwingine akamuchezeya umasikini akamuacha sasa paschal kurudiyana nahuyo itawonekana aje mbele yamacho ya huyo mwanawume si atadarawuliwa?natena hayitakuwa ni upendo ila itakuwa ni mayisha anayo yayishi kwa sasa.
Umejua kumuona wa thamani huyo mwanamke na usimlaumu hakuacha kwa kupenda
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah! Huu ni ushujaa
SIJAPENDA. ONYESHA NA MAISHA YA WAZAZI WAKO...
This is a great testimony and a good teaching for this generation
Mimi nimependa sanaaa nimejifunza kitu.very.good pascal
Kkkkkk Amen 🙏🙏🙏🙏❤❤
Siku zijazo kuna wengine watakuja Kutoa shuhuda zao amin imeandikwa ajionavyo ndivyo alivyo ukuu huanzia Ndani alafu hudhihilika kwa macho ya nyama
Kwa usemi wako huo uko nje na ma'am diko cassia
Nimelia machozi lakini umenitia moyo sana,
Bora unasema ukweri