Wakaribisheni wakaisari lkn siku watasema salini kwa utaratibu waserikali .kama mtu anasema mimi ni mtumishi wa Mungu pia ni mtumishi wa serikali lkn hajataja kwa Mungu anatumikaje kanisa gani maana hata upolisi ni utumishi wa mungu pale inapofuata sheria isiopingana na Mungu
Baba Shalom Shalom Nikupongeze sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuhudumu shambani mwa Bwana. Baba kama itakupendeza ninaomba unisaidie kununua vifaa kwa ajili ya studio ya picha, nilitamani kufungua biashara ya picha na video production na printing. (Kwa sababu ndo tasnia ninayo ifahamu zaidi). Hadi sasa nimeshanunua Laptop (Core 7), pamoja na vifaa vidogo vidogo. Baba ukinisaidia katika hilo, nipo tayari kurejesha kidogo kidogo kulipa deni. Ninaamini utaona ujumbe huu na nitapokea kwa Jina la Yesu aliyehai. Amina.
Shalom baba yetu nabili mkuu.ambaye unawakilisha mbngunkwa wanadam. Mungu akuweke azidi kukutunza ili utimize kusudi la mungu,naami mungu hajakuweka Kwa bahati mbaya lipo kusudi ili kuiwakilisha mbingu Mimi ni mchung aji wa c,a,g,Niko bagamoyo naomba sana Nina huduma miaka mitatu eneo nimepanga wenye eneo wanalutaka aiza ninunue milioni 20 au nibomoe naomba nipate milioni 12.ili ni nunue eneo lakunenga hema mungu akuguse baba naitwa, pst,stevin nazaeli kobero mungu akuguse kwaajili ya kazi ya bawana kama imeshindikana naomba unisaidie kod ya mwaka 2400.000/ubarkiwe sana Mimi nipungue wewe uongezeke,,,,,
Dah pole jmn watu wengii hawaoni astaghafiruallah laadhiim mkuu ni mungu na sio mungu issha mungu ni ALLAH amraham nampnda sana ALLAH mtu anaposema kuwa wanampnda mungu yesu roho inaniuma sana ila ndoo hvy namuomba ALLAH akujalie muingie kweny Islam jmn mje uku ndoo kuna Raha ya moyo na hyo mzeew hyu mnaturu hyu ni masuliaa mbwaa hyu kujiita yy ni NABIII daah shenzi kbs utaungua vby mbwaa we
😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti nabii mkuu sasa huyu na yesu mkubwa nani na kama huyu ndio mkuu basi muombeni tu huyu musihqngaike na yesu mana huyu ndio anayemuqmrisha yesu😂 poleni
Hpo kwenye amani ungesema tu cc watanzania ni waoga af ni wanafki sana hpo police wanapigiwa makofi ila kwa kwli hatuwapendi hyo ndo ukwl na tucmumunye maneno
Jambo Afande wangu Umenibariki sana Umeokoka unampenda Yesu Mungu ndiye Mganga Hafi Wala halali
Ocd uko vizuri mno. Ni jambo njema kupata kiongozi mwenye hofu na mungu.mungu akubariki sana
Dada nimekupenda umeongea kwa hekima na msaidizi wako hongeni
Mungu tusaidie, Mungu tusaidie.
Hongera kuwa afande wa serkali pia na kuwa afande wa yesu
MIMI NAKUPENDA SANA NABI WANGU KWA MAFUNDISHO YAKO PAMOJA NA HEKIMA YAKO MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI NA AKULINDE🙏🙏🙏
Wacha ujinga gutuka toka usingizini ww
Hongera sana OCD umeongea kisomi na kwautulivu mkubwa sana kweli wewe nimlinzi waamani Mungu akutie nguvu katika. Kutekeleza majukumu yako ameni
Mungu atulinde
MUNGU azidi kukutunza Sana Sana Uko na Moyo wa kipekee ni kweli kabisa uwezi kubalika na kila Mtu
wajinga ndio waliwao
Munguu aendelee kuku jalia afyaa njemaa babaa mtakatifu❤❤❤
Jaman jaman jaman uwii
Waooow Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni kwa babaaa
OCID KAMA UJA OLEWA MIE SINA MKE NIME KUPENDA YOUR VERY HUMBLE YANI❤❤
KAMA unamuheshimu hayo sio maneno ya kuongelea HAPA.
ACHA LOOO MBAYA WEWE MTU KUMWAMBIA NAPENDA NI VIBAYA ACHA UCHAWI WEWE WATU KAMA NYIE NDIO UWA MUENDELEI KWA LOO ZA KWANINI
Wewe ni Muislamu@@rashdiyange7758
Piga push up 200 kwanza
@@YOSHUAMWAMPETAunataka songelee wapi acha uchawa kama mwijaku
Siasa na dini ..ni hatari sana nyakati hix za mwisho
Hongera sana kwanamna unavyojitoa kwanamna nyingi mh nabii❤
Viongoz waSerikal mmeongea point nzur mmeeleweka hongereni kaz njema
Mama mzuri na mwenye hekima. Karibu Arusha
Upo wapi Pauline kimollo nahitaji tuwe marafiki nicheki inbox
Neno la Mfalme pia lina nafasi yake katika Kuimarisha UFALME WA MUNGU ,Dan3:29 pia 2Nya20:20
Balozi wa amani asante kwa ujumbe mzuri mimi ni mpagani lakini nimuumini wako wa online nikipata shida nanunua bando najifariji kupitia mafunzo yako
🎉🎉🎉Our Father...The Grand Prophet!!
Mungu nifundishe kunyamaza
Shalom nimeokoka nampenda Yesu
Thank you baba🙏🏽🙏🏽🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@@janethelly4986 ndo ume nijibu mama 🤗 waoo number yangu io apo tumie ujumbe 0653-444311
Hii madhabahu sio ya Mungu
Ya nani..?
Watendaji wa serikali Hongera sana,
Selikari Ina akil sn imeanz kuingia makanisan hpo imeweza
Huyu nabii aka mkuu ningependa sana amjengee mungubkwa kweli hekalu kuba kama alivyo jenga kwake afanye kama huyu Richard mocha wa temboni
Kweli vyombo vya usalama mapolisi na jwtz Mungu awabariki sana wanajitoa kwetu na kama sio wao tungeuana
Wanafanya kazi inayo walipa mshahara na haeajitoi ingekua bure ni sawa ni mfanyakazi kama dactar mwalimu na mwokota taka wa jiji
Mwenyezi Mungu akubaliki sana Baba❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️Baba yangu wa Kiroho 🙏🙏
Amen mungu n mwema
Nakupenda baba
Wakaribisheni wakaisari lkn siku watasema salini kwa utaratibu waserikali .kama mtu anasema mimi ni mtumishi wa Mungu pia ni mtumishi wa serikali lkn hajataja kwa Mungu anatumikaje kanisa gani maana hata upolisi ni utumishi wa mungu pale inapofuata sheria isiopingana na Mungu
Huyu mwamba anaonyesha nguvu ya pesa kwa vitendo ,Viva Geordavie 📌
𝒀𝒆𝒂𝒉 𝒌𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒖𝒎𝒆𝒐𝒏𝒂𝒆? 𝒘𝒂𝒐 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒅𝒊𝒍𝒊 𝒏𝒂 𝒎𝒂 𝒎𝒂𝒇𝒂𝒏𝒊𝒌𝒊𝒐 𝒉𝒖𝒌𝒖 𝒘𝒂𝒌𝒊𝒃𝒆𝒃𝒂 𝒎𝒂𝒋𝒊𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒇𝒖𝒓𝒖
𝒏𝒂𝒃𝒊𝒊 𝒎𝒌𝒖𝒖 𝒌𝒘𝒂 𝒎𝒖𝒋𝒊𝒃𝒖 𝒘𝒂 𝒃𝒊𝒃𝒍𝒊𝒂 𝒏𝒊 𝒚𝒆𝒔𝒖 𝒎𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆 𝒂𝒍𝒊𝒚𝒆 𝒕𝒂𝒃𝒊𝒍𝒊 𝒉𝒂𝒚𝒂 𝒕𝒐𝒐𝒐𝒕𝒆 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒚𝒐 𝒚𝒂𝒐𝒏𝒂
𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒉𝒂𝒐 𝒏𝒂𝒐 𝒘𝒂𝒍𝒊𝒕𝒂𝒃𝒊𝒍𝒊𝒘𝒂
𝑯𝒂𝒘𝒂𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒘𝒂𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝒎𝒂𝒋𝒊𝒓𝒂 𝒏𝒂 𝒏𝒚𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒕𝒖𝒓𝒊𝒚𝒐𝒏𝒂𝒚𝒐 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒌𝒂𝒂 𝒏𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂𝒕𝒂𝒎𝒌𝒊𝒒 𝒎𝒂𝒇𝒂𝒏𝒊𝒌𝒊𝒐 𝒕𝒖, 𝒊𝒍𝒂 𝒉𝒂𝒃𝒂𝒓𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒆𝒏𝒈𝒆𝒏𝒆𝒛𝒐 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒊𝒕𝒖𝒑𝒊𝒍𝒊𝒂 𝒎𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒌𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒂𝒆𝒍𝒆𝒛𝒂 𝒉𝒂𝒃𝒂𝒓𝒊 𝒚𝒂 𝒖𝒋𝒊𝒐 𝒘𝒂 𝒚𝒆𝒔𝒖 𝒌𝒓𝒊𝒔𝒕𝒐
𝑵𝒅𝒖𝒈𝒖 𝒛𝒂𝒏𝒈𝒖𝒏𝒊 𝒂𝒎𝒌𝒆𝒏𝒊 𝒚𝒂𝒍𝒊𝒚𝒐𝒕𝒂𝒃𝒊𝒍𝒊𝒘𝒂 𝒌𝒓𝒌 𝑴𝑨𝑻𝑯𝑨𝒀𝑶 24:1-42 𝒍𝒆𝒐 𝒚𝒂𝒎𝒆𝒕𝒊𝒎𝒊𝒍𝒊𝒌𝒂 𝒘𝒂𝒛𝒊 𝒘𝒂𝒛𝒊😢😢😢
Hogereni sana ocd. Kwa kuokoka
Chawa fanyeni kazi yenu
Hata hapo wew mwanasiasa
Baba Shalom Shalom
Nikupongeze sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuhudumu shambani mwa Bwana.
Baba kama itakupendeza ninaomba unisaidie kununua vifaa kwa ajili ya studio ya picha, nilitamani kufungua biashara ya picha na video production na printing. (Kwa sababu ndo tasnia ninayo ifahamu zaidi).
Hadi sasa nimeshanunua Laptop (Core 7), pamoja na vifaa vidogo vidogo.
Baba ukinisaidia katika hilo, nipo tayari kurejesha kidogo kidogo kulipa deni.
Ninaamini utaona ujumbe huu na nitapokea kwa Jina la Yesu aliyehai.
Amina.
Shalom baba yetu nabili mkuu.ambaye unawakilisha mbngunkwa wanadam. Mungu akuweke azidi kukutunza ili utimize kusudi la mungu,naami mungu hajakuweka Kwa bahati mbaya lipo kusudi ili kuiwakilisha mbingu Mimi ni mchung aji wa c,a,g,Niko bagamoyo naomba sana Nina huduma miaka mitatu eneo nimepanga wenye eneo wanalutaka aiza ninunue milioni 20 au nibomoe naomba nipate milioni 12.ili ni nunue eneo lakunenga hema mungu akuguse baba naitwa, pst,stevin nazaeli kobero mungu akuguse kwaajili ya kazi ya bawana kama imeshindikana naomba unisaidie kod ya mwaka 2400.000/ubarkiwe sana Mimi nipungue wewe uongezeke,,,,,
Yaani Tanzania yetu ndo hii.
Hongereni sana ❤
Daah! Huyu mwamba anatwanga injili akiwa kapiga kapero😮😮😮😮
Hahaha wasanii hahaha kwani inchi haina pesa ya kununuwa magari hahaha
@@hasanipoy3976pesa kaka✅
Baba .nikipata nauli tuuu. Nakuja Arusha. Unisaidie baba
BABA MTAKATIFU GEOR DAVIE BALOZI WA AMANI KAITANGAZA AMANI PAPO HAPO MADHABAHUNI
Hongereni sana
Elewa neno Tanzania ni nchi ya AMANI❤
Wanahubiri amani huku wameficha silaha.
Baba yangu MUTAKATIFU Mhe NABII MKUU GEORDAVIE Burundi Tunakupenda na Kazi yako Nikubwa Sana KWETU
Sema unampenda usiseme Burundi tunampenda,sisi tunampenda MUNGU siomtu
@@ThomasSambwe utawezaje kumpenda Mungu usiyemuona ,ukamchukia mwanadamu unayemuona??😂😂
Nakukubali nabii mkuu,🎉
hela bana ukiwa na hela2utaitwa hata mungu
OCD uko poa sana mungu akipenda miaka ya badae ww ndo IGP wetu mwanamke mwenye akili nyingi ❤
Mungu awabariki, muwe na sherehe njema.
Nakukubalii sana upo poa
Kweli ukiwa kwa mungu uzeeki kabisa muone nabii
👏👏👏👏🙋🙋
🎉
Afande ocd mashallah naomba namba yako maana sio kwa jicho hilo
Mungu aendelee kuwainua
Umeboa saana
Tanzania tuna jivunia sana mtakatifu baba yetu nabii mkuu gurumo ya hupako tuna kupenda sana wewe ni wapeke wewe ni 🤴hamani
Duh !mwanadam unamwita mtakatifu na Mungu anakupa kupa kuishi kila siku utamwita nani? ,usivuke mipaka mpe Mungu utakatifu wake ktk Uungu wake .
Dah pole jmn watu wengii hawaoni astaghafiruallah laadhiim mkuu ni mungu na sio mungu issha mungu ni ALLAH amraham nampnda sana ALLAH mtu anaposema kuwa wanampnda mungu yesu roho inaniuma sana ila ndoo hvy namuomba ALLAH akujalie muingie kweny Islam jmn mje uku ndoo kuna Raha ya moyo na hyo mzeew hyu mnaturu hyu ni masuliaa mbwaa hyu kujiita yy ni NABIII daah shenzi kbs utaungua vby mbwaa we
@@tumainichanya3268 mbona Kuna yohana mtakatifu ? Kwani yohana hakua binadamu ?
Au mnavyomuita PAPA mtakatifu sio binadamu huyo ?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti nabii mkuu sasa huyu na yesu mkubwa nani na kama huyu ndio mkuu basi muombeni tu huyu musihqngaike na yesu mana huyu ndio anayemuqmrisha yesu😂 poleni
Mpuuxi wewe, mtakatifu ni Mungu tuu .
Thomasmollel sema mm siwapend maana sisi tunawapenda sana polisi wetu
Good
Nifundishe kunyamanza nisije jibu nikakukosea mungu
Uko vzur dada nikija alushanitakutembelea
Ameen Baba yetu
Anaelichukia jesh la police huyo c mwema kwa nchi yetu
Nimekukubali wewe ni jeshi.
Amani ipo wapi watu wanatekwa na kuuwawa yaani ni msenge wa hali ya juu
Kwahiyo serikali imeshindwa kuyafufua hayo magari hadi lkn basi
Tanzania sio nchi ya amani ni kisiwa cha uvumilivu
Usiombe ukutane na nchi ambayo haina amani utajuta 😢😢😢😢😂
nenda uko kwenye Amani ndio utajua tz Kuna Amani ya kweli na viongozi wanailinda kwa kila hali
Nenda kaishi nchi ILIYO na amani ukaishi huko Kwa amani.
Mungu ndo muamz wa mwisho nyie jichanganye tu
siasa,dini ,duuu
Nabii umevaa kofia kanisani maandiko umeyasahau ?
❤❤❤❤
Kweli tuko mwishoni wa siku za mwisho
Hivi chuo cha kusomea unaibii kipo wapi?
Pemba
Neno la Mungu ni Kweli,Hes12:6-8 INASEMAJE pia Amo3:7 Nayo pia inasemaje ? Neno la Mungu ni Kweli,
Askari kaokoka, inawezekana kweli na inawezekana vipi yaani uwe mtakatifu ushindwe hata kuwapiga chadema sijui kama itawezekana
Mbona husomeki 🙄🙄 kwahiyo Yesu wako anapenda violence?
Hapo hakuna kingine zaidi ya kutafuta kura ngoja uchaguzi uishe kama mtawaona
Wajengee hata ofisi mpya maana ofisi zao ni majengo aliyoacha mkoloni na hakuna hata wakuwafikilia
Kofia sio mahali pake madhanaini vua mtumishi
Ture
Naona mmeenda kwa shetani mwenzenu
Na wewe ukiwa ni shetan mmoja wapi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nabii mkuu NI yesu peke take hizi taka taka zingine NI nabii mkuu za kuzimu
Unatekenywaa🤌🏽😂
Hivi wanaume tunaruhusiwa kuvaa kofia madhabahuni?
Inaruhusiwa ila kwa sabab maslum
Nani anatoa hivi vyeo vya manabii tanzania? Nabii mkuu kwa manabii wepi?
Muhuuu! kifo.
Tanzania sasa ni Nchi ya wauwaji ,watekaji na wafiraji
Acha lugha chafu wewe. Tumia akili yako vema labda wewe ndiye mwenye tabia hizo, siyo kila Mtanzania.
@@ShukurkollAngel .hakika
daah mke wa Nabii mkuu sio kwa kupendeza huko..nywele yake nimeikubali kabisaaa
Nabii mkuu kwendaaaa
Goodluck anakumbuka 😂😂😂😂😂
Ok
Hpo kwenye amani ungesema tu cc watanzania ni waoga af ni wanafki sana hpo police wanapigiwa makofi ila kwa kwli hatuwapendi hyo ndo ukwl na tucmumunye maneno
Wewe ndio hauna Amani ila watanzania sisi tuna Amani na tunatamba nayo
Ni sehemu ya kununua kura
Ivi watu wamekuwa mazezeta kiasi gani mpaka wanamuamini huyu Jamaa muabudu rusifa?
Mazezeta hayo yooote
Hakuna urafiki wa Paka na panya
Piga Hela George Davi wanaleta hao wenyewe
Pungusa makasiriko yaumasikini
waumini wengin kumbe sio watumishi wa mungu😂
Tatizo kofia hiyo naamuru mvua mara moja
Kumbe kofia unavaa tu ata madhabahuni nilikuwa cjui jumapili kazi wanayo
Upuuzi mtupu!
Nyie ndo mnawspa kiki hawa
unaongea mbona,
Kwanini kofia kwa madhabau