Mshaallah mungu akupe imani ya dini ya kiislam haraka hujachelewa na vitabu vya haki vinatuelewesha mazuri tutakapo fika tumboni mwa Ardhi inshaallah mungu akuongoze sana ulivyo tamka ❤🎉Amina
@@menelus911mene5 haha dah waswahili tumetekwa ufahamu.... Kwahiyo kiarabu ni lugha nzuri zaidi kuliko lugha yako mama??? Eh Mwenyezi Mungu uturehemu sisi waja wako maana hatuna ufahamu kabisaaa
Lengo la dini zote ni kuwa watu wema na kila dini ina mafundisho yake kwo mtu anaye tumia jukwaa kulinganisha dini ujue ni mtu dhahifu na anaishi kwa kuwapendezesha binadamu si Mungu (ni popo) tuheshimiane Mungu anatuheshimu wote tunao muomba na wasio muomba Upendo unashinda majungu. Dini ya kweli ni matendo mema. Kama unasali ambapo wanasema mzarahu mtu hasiye wa dini yako nawe umepotea. ❤
Haimpi shida Mungu umekufa na kuzikwaje,bali Mungu anafurahia sana kifo cha mwenye haki na aliye mcha Mungu ktk matendo mema wakati wa uhai wako. Hivyo haijalishi utazikwa na jeneza au la.fikiria wale wanaofia baharini au kwenye vita na bila kuzikwa.Jiongezee Bro.
Mnafeli wapi,dunia ya Leo matendo ni mabaya,lugha chafu,dhuluma,utapeli ,ubinafsi ,roho mbaya, lakini mtu unajivuna ni mkristo au muislam na una vigezo vya kuingia peponi, tubadilike tabia . tiketi ya huko ni matendo na utu wema , jeneza , mkeka,sanda hazina thamani.
Tengua maneno huyu anañia ya kusilim waislam ameelewa kuwa ndo dini mbele ya mungu nyingine ni mitaji ya watu mfano mtu anajiita nabii au mtume na waumini wanaona sawa tu sasa. Kwenye waislam hakuna unabii wa kujitangaza bali unatoka kwa mungu kupitia malaika anapewe Nene
Naona unajifariji heti kuzikwa vyovyote unashindwa kutambua kuwa Allah ametupangia kanuni kwa kila kitu,Uislamu ndiyo dini ya kila mtu toka kwa Adam mpaka kihama kinasimama huko ulipo siko jitambue mapema ili ujinasue haya Mtu Yesu naye alikuwa ni Muislamu kweupe!
@@ramadhanwilbard8196sawa baba,atakupa na makahaba 72 ukalawit mpka uchoke, mbingu iliyojaa kila aina ya uovu, hyo ni shetan hana mbingu, labda pepo ambayo haipo
Chalamila mhuni mzuri sana anaejua namna ya kutetea ugali na mwaliko wake lakini Hana kiroho kabisa.. hongera sana kwa kulinda heshima kwa waliokutuma uende na waliokukaribisha kimwili,, shikamoo salut kwako.
Nchi yetu haina dini so Dini za kuletewa zisitugombanishe na MTU mwema haegegemei upande wowote maaana muumin wa kweli hutambua kuwa maisha ni ya kiroho siyo kimwili
Mnawaza namna ya mtakavyozikwa badala namna njema ya kuishi maisha matakatifu? Uzikwe na sanduku , uliwe na samaki baharini, uzikwe bila sanduku, kwa vyovyote vile kama ni wa motoni ni motoni tu na kama ni wa peponi ni wa peponi tu, Waza kuishi kitakatifu sio namna utakavyozikwa, kuna mitume na watumishi wengi walikufa na kuzikwa kwa fedheha lakini matendo yao yaliwapeleka mbinguni. Takibir ,,,,
2 Samweli 3 31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza. 32 Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Itakapokuja nusra ya m.zimungu na ushindi..na ukawaona watu makundi kwa makundi wakiingia katika dini ya m.zimungu.. basi mtukuze mola wako na umuombe msamaha hakika yeye ni mwingi wa kukubali toba.....Allah yaa Alaam
Naami kabisa kuwa Mungu anatupenda sote. Na mungu amemuumba kila mtu na kipaji chake cha tofauti. Wengine viongozi wengine waongozwaji, wengine waajiri wengine waajiriwa, wengine wapishi hodari kwenye mahoteli makubwa wengine walaji wazuri na watafutaji pesa wazuri. Wengine waalimu hodari wengine wanamichezo. Kila mtu angetambua kipaji chake na kukitendea haki basi dunia yetu ingikuwa pepo ndogo. Maana kila.kipaji kingeleta matunda alivyokusudia na mungu na amani ingetawala dunia.
Tunakuombea Allah akuineshe njia ya siratal mustaqima ili uzikwe kiislam moja ya masharti ni uwe mkweli muadilif unauhakika ndani ya nafsi yako kuwa unawajubika kuwa Muislamu
Sikiliza wee! Huu ndio uongozi! Unaangalia hadhira ikoje! Huu ni mkutano wa waislamu! Unataka aseme nini sasa? Aliyeuliwa na Samia na hivyo lazima 'acheze' na Samia! Utampinga aliyekuteua? Anthony Blinken 'anacheza' na Joe Biden. Hawezi kumpinga aliyemteua.
Tujitahidi kuheshimu Imani za watu tukumbuke Dini haimpeleki mtu mbingun Bali matendo mema. Kwan kuwa kiongozi wa Dini fulani ndio abague wengine au mnataka kusemaje😢😢😢😢 sio vzr we unaeongea watu wote niwa Mungu mmoja2
Wayaudi ndio Watu wa kwanza kuzikwa bila sanduku kabla ya Uislam na mwamadi alafu Watu weusi pia ulikuwa utamaduni wetu kuzikwa bila sanduku ila Wazungu ndio utamaduni wao kuzikwa kwenye sanduku.
@@RemyDuma-db5fd2 Samweli 3 31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza. 32 Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Si kila.mtu ameumbwa kuongoza kisiasa. Hicho ni kipaji maalum toka kwa Mungu. Si.kila mfanya biashara ana kipaji hicho ndiyo maana biashara nyingine zinakufa nyingine hazikui na nyingine zinakua kubwa sana. Si kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndiyo maana kuna waongozwaji tena wengi sana. Kila mtu amesimama kwenye kipaji.chake alichoumbiwa na Mungu dunia ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi na kufurahia. Kipaji ni zawadi toka kwa Mungu, mtu hacahagui Bali anaumbiwa. Kila.mtu angejitambua na kukuzai kipaji chake kwa faida yake na wengine. Mungu angefurahi sana.
Wayaudi ndio binadamu wa kwanza kuzikwa bila sanduku kabla ya mwamadi na Uislam, Alafu Watu weusi pia ulikuwa utamaduni wetu kuzikwa bila sanduku, kuzikwa kwenye sanduku uliletwa na Wazungu
@@RemyDuma-db5fd2 Samweli 3 31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza. 32 Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Tangu nikufahamu Mh Charamila sijawahi kuona umeongea Maneno Mazuri na Mazito kama haya. Mungu akuoneshe haki ili uweze kuifuata na akuoneshe Batwili ili uweze kuiepuka
Utakuta familia moja imejengwa na watu wenye imani tofauti za kidini. Kila mwanafamilia awe mke au mume au mtoto wanatofautiana dini lakini wanaishi pamoja kwa misingi ya kifamilia siyo kidini. Upendo wa kweli ukitawala mahali wala tofauti za kidini hazionekani. Dini inakuwa swala la mtu binafsi zaidi anaweza hata kuhama dini akipenda.
Tunaamini vigezo vya kumchagua au kumtetea kiongozi siyo dini anayoamini binafsi bali utendaji kazi wake kuanza kuitetea katiba, kutetea maslahi ya taifa lake na watu wake, kujitoa kwa ajili ya taifa lake, kutetea haki ya kila raia wake bila kujali dini, kabila, umri, elimu, jinsia au uwezo wake kifedha nk. Dini ni swala la mtu binafsi kuamini au kutoamini au hata kubadili dini...ni mapenzi yake. Tutampenda kiongozi kutokana na sifa zake na uwezo wake wa kuongoza na uzalendo wake kwa taifa na watu wake.
@@marieconnect6389 uchawa umezidi.. this is too much now.. hadi kiongozi anaanza kuhoji imani yake kwenye jukwaa la imani nyingine ili kuwafurahisha..nao wanacheka bila kuelewa lengo lake
Kasomea BIBLIA Yako vizuri , haya mambo kabla hatujayaongea Bora kutafakari kwanza au kuwaza kwanza Bora kunyamaza . Kwenye jeneza Kuna mfano kwenye BIBLIA
Mimi kama Mtumishi wa Mungu alieziumba Mbingu na Nchi,Ninakushauri kwanza kabisa na mapema mno ukawaombe Maaskofu msamaha tena hadharani kwa kuwasema vibaya na kuwadhalilisha mbele ya ndugu zetu Waisilam. Mungu amenihakikishia kwamba kama utafanya au kutekeleza haya maagizo ninayokupatia kutoka kwake kupitia mimi Mtumishi wake,utafilisika kisiasa na atakuondolea nafasi aliyokupatia.Mjumbe Hawawi!
Dini tamu ya haki yenye watu wanaiita wenzao majina mabaya hiyo haki na usafi uko wapi njoo kwa Yesu mpendwa anayefundisha upendo na yeye mwenyewe anasema ni njia kweli na uzima mtu hata muona Mungu asipopitia kwake yohana14:6
Ina Lillah wayn Lillah rayuin, waislam maneno haya ya kuimarisha umoja miongoni mwa waislam yalitakiwa yatoke miongoni mwetu na siyo Kwa asiye muislam ni aibu tuamke.
Hakuna anayetaka kukuzika. Jizike upendavyo uzikwe au usizikwe. Haikufanyi ufike mbinguni. Hakuna Mtumishi aliye tumwa na BWANA WETU YESU KRISTO kuzika watu. Labda Unataka kuongeza HUDUMA hiyo mwenyewe.
Mshaallah mungu akupe imani ya dini ya kiislam haraka hujachelewa na vitabu vya haki vinatuelewesha mazuri tutakapo fika tumboni mwa Ardhi inshaallah mungu akuongoze sana ulivyo tamka ❤🎉Amina
🎉
Ameen
Mungu siyo mungu au andika MUNGU
@@iviejustified8109mungu sio Jina, Jina ni Allah
@@menelus911mene5 haha dah waswahili tumetekwa ufahamu....
Kwahiyo kiarabu ni lugha nzuri zaidi kuliko lugha yako mama???
Eh Mwenyezi Mungu uturehemu sisi waja wako maana hatuna ufahamu kabisaaa
Karibu sna haujachelew
Karibu ktk dini isiyo na Shaka ndani yake❤
Mashallah Allah akubariki kaka yangu karibu tk dini yetu ya kiislam
Lengo la dini zote ni kuwa watu wema na kila dini ina mafundisho yake kwo mtu anaye tumia jukwaa kulinganisha dini ujue ni mtu dhahifu na anaishi kwa kuwapendezesha binadamu si Mungu (ni popo) tuheshimiane Mungu anatuheshimu wote tunao muomba na wasio muomba Upendo unashinda majungu. Dini ya kweli ni matendo mema. Kama unasali ambapo wanasema mzarahu mtu hasiye wa dini yako nawe umepotea. ❤
MashaAllah mungu akujalie uwe na mwisho uliokuwa mwema mh.mkuu wa mkoa. Ameen
It is very clear short good speech ii
Haimpi shida Mungu umekufa na kuzikwaje,bali Mungu anafurahia sana kifo cha mwenye haki na aliye mcha Mungu ktk matendo mema wakati wa uhai wako.
Hivyo haijalishi utazikwa na jeneza au la.fikiria wale wanaofia baharini au kwenye vita na bila kuzikwa.Jiongezee Bro.
Umesema Mungu alikufa😂😂ghai! Huoni ata aibu
Mnafeli wapi,dunia ya Leo matendo ni mabaya,lugha chafu,dhuluma,utapeli ,ubinafsi ,roho mbaya, lakini mtu unajivuna ni mkristo au muislam na una vigezo vya kuingia peponi, tubadilike tabia . tiketi ya huko ni matendo na utu wema , jeneza , mkeka,sanda hazina thamani.
Tengua maneno huyu anañia ya kusilim waislam ameelewa kuwa ndo dini mbele ya mungu nyingine ni mitaji ya watu mfano mtu anajiita nabii au mtume na waumini wanaona sawa tu sasa. Kwenye waislam hakuna unabii wa kujitangaza bali unatoka kwa mungu kupitia malaika anapewe Nene
Naona unajifariji heti kuzikwa vyovyote unashindwa kutambua kuwa Allah ametupangia kanuni kwa kila kitu,Uislamu ndiyo dini ya kila mtu toka kwa Adam mpaka kihama kinasimama huko ulipo siko jitambue mapema ili ujinasue haya Mtu Yesu naye alikuwa ni Muislamu kweupe!
@@ramadhanwilbard8196sawa baba,atakupa na makahaba 72 ukalawit mpka uchoke, mbingu iliyojaa kila aina ya uovu, hyo ni shetan hana mbingu, labda pepo ambayo haipo
Jazakallahu khaira yarrab🙏🙏🙏🙋
Chalamila mhuni mzuri sana anaejua namna ya kutetea ugali na mwaliko wake lakini Hana kiroho kabisa.. hongera sana kwa kulinda heshima kwa waliokutuma uende na waliokukaribisha kimwili,, shikamoo salut kwako.
Muhuni gani na kaongea ukweli mtupu Wapi yesu katiwa katika sanduku? Kama muhuni basi toeni ilo andiko alilowaomba mababa askofu?
Nilazma povu liwatoke
Chalamila kakuacha mbali sana
Alichokinena kinatoka moyoni, kwasababu ajalazmisha
Nchi yetu haina dini so Dini za kuletewa zisitugombanishe na MTU mwema haegegemei upande wowote maaana muumin wa kweli hutambua kuwa maisha ni ya kiroho siyo kimwili
Mungu akuongoze uweze kusilimu
Akili nying san Haujawah kuniangusha kweny fact zako❤❤❤❤
MASHA ALLAH 💚
Allah akuongoze katika njia ya haQ
Ubarikiwe MH RC
Aitasaidia mzee kuzikwa kiislam kama unaamini toa shahada mzee
Mungu akupe mwisho mwema bro Kila la her nakutakia kwenye maisha yangu
Mnawaza namna ya mtakavyozikwa badala namna njema ya kuishi maisha matakatifu? Uzikwe na sanduku , uliwe na samaki baharini, uzikwe bila sanduku, kwa vyovyote vile kama ni wa motoni ni motoni tu na kama ni wa peponi ni wa peponi tu,
Waza kuishi kitakatifu sio namna utakavyozikwa, kuna mitume na watumishi wengi walikufa na kuzikwa kwa fedheha lakini matendo yao yaliwapeleka mbinguni.
Takibir ,,,,
AllahuAkbar
Kweli kabisa umenena
Ubarikiwe sana Jacob
Wakristo tusomeni maandiko tuwache mchezo tafadhali 😂😂😂😂😂
2 Samweli 3
31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza.
32 Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Hamna uadui ispokua kwa madhwalim tu niseme shekhe Alhadi ahsante kwa kuonyesha upendo kwa kila mtu bila ya kubagua!!! Shukrani ssana
Abubakar chalamila. Maashaallah. Idhajaah nnasurullahi walfatuh.
Wara ayta nnasa yadighuluuna finidiniAllah afuwaja......
@@Mr.A_Shark
Fasabbih bi hamdi rabbika wastaghafirhu inna hukaana tawwaaba.
Itakapokuja nusra ya m.zimungu na ushindi..na ukawaona watu makundi kwa makundi wakiingia katika dini ya m.zimungu.. basi mtukuze mola wako na umuombe msamaha hakika yeye ni mwingi wa kukubali toba.....Allah yaa Alaam
Karibu sana katika dini yetu ya kislamu mbona ndo dini ALLAH anailidhia
Maashaallah, ukweli haujifichi
Allah akbar...❤❤❤
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 safisana mungua atubalikisana
Takbir
Allahu akbari
From 🇧🇮 mashaallah
Allaah akuongoze
Mwenyezmungu akubariki
WALLAAH! Chalamila nimezaliwa kweny uisilam ni na miak 40 leo umenitoa machozi, Namuomb mungu anipe fedha tukahiji kwa pamoja inshallah
Muhimu ni kutengeneza maisha yako,maana mwili hauend popote ila kuyarudia mavumbi ardh,nafs yako ndiyo ya thaman mbele za Mungu
😂😂😂Mmepatwa na nini nyie
Ndugu zetu Nyie mh
ALLAHUAKBAR ❤❤❤❤
ABUBAKAR BI SADKI.......MAASHA'ALLAH MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE KILA LENYR KHERI....❤❤❤
Ameanza kuelewa polepole Mungu akujalie
Naami kabisa kuwa Mungu anatupenda sote. Na mungu amemuumba kila mtu na kipaji chake cha tofauti.
Wengine viongozi wengine waongozwaji, wengine waajiri wengine waajiriwa, wengine wapishi hodari kwenye mahoteli makubwa wengine walaji wazuri na watafutaji pesa wazuri. Wengine waalimu hodari wengine wanamichezo. Kila mtu angetambua kipaji chake na kukitendea haki basi dunia yetu ingikuwa pepo ndogo.
Maana kila.kipaji kingeleta matunda alivyokusudia na mungu na amani ingetawala dunia.
Kweli kabisa
Baaraka llahu fik
Tunakuombea Allah akuineshe njia ya siratal mustaqima ili uzikwe kiislam moja ya masharti ni uwe mkweli muadilif unauhakika ndani ya nafsi yako kuwa unawajubika kuwa Muislamu
Maashaa Allah
Saaaafi sana mkuu wa mkoa wa dar
Mashallah
Chawa na kiroboto wa Samia....shine mbaya sana.Mungu akusamehe Bure maana haujui ulitendalo
Asamehewe kwalipi mbona kwa yesu hapakuwa sanduku kwa ni mbao sizilikuwepo yakumsulubiya eko mbona ilipatikana acheni Mila zawadhungu
LTE ilo andiko acha ngonjela wap yes alizikwa na Jeneza
Sikiliza wee! Huu ndio uongozi! Unaangalia hadhira ikoje! Huu ni mkutano wa waislamu! Unataka aseme nini sasa? Aliyeuliwa na Samia na hivyo lazima 'acheze' na Samia! Utampinga aliyekuteua? Anthony Blinken 'anacheza' na Joe Biden. Hawezi kumpinga aliyemteua.
Kama huna Mila za wazungu mbona huvai magome punguzeni mihemko
Tujitahidi kuheshimu Imani za watu tukumbuke Dini haimpeleki mtu mbingun Bali matendo mema. Kwan kuwa kiongozi wa Dini fulani ndio abague wengine au mnataka kusemaje😢😢😢😢 sio vzr we unaeongea watu wote niwa Mungu mmoja2
Karibu njia ya kuelekea peponi Allha akujaze kila la kheri
Hiyo ni njia ya kwenda kwenye mapepo sio peponi😂😂
Mungu azindi kukufungulia njia zaidi ktk elim
Mungu nijibu 8:39
Soma mwanzo 50 26 vizuri mzeee
Yesu Asifiwe
Amen
Amen..
Kusifu anasifiwa kwa vile alichaguliwa na ALLAH kuwa nabii hapo hakuna tatzo acfiwe😂
Yesu abarikiwe na wakumbariki ni Allah
Huku tunasema.. Sifa njema ni za Allah.. Sasa nyinyi Yesu asifiwe kwa sifa zipi?
❤❤❤❤❤❤❤
Takbiriii
Mungu akutie Nuru uuone uislamu kua ndio Dini ya Haki na uongoke inshll
Uwezi kuzikwa muislam mpaka usilim kwanza ...kama ukifa katika dini yako bado tutakuzika katika box.
Jiongeze uyo kashasilimu jiongeze wewe
Kasema sisi wakristo...yupo na dini yake wakristo
@kadrimwingamno258 jiongeze
Wayaudi ndio Watu wa kwanza kuzikwa bila sanduku kabla ya Uislam na mwamadi alafu Watu weusi pia ulikuwa utamaduni wetu kuzikwa bila sanduku ila Wazungu ndio utamaduni wao kuzikwa kwenye sanduku.
@@RemyDuma-db5fd2 Samweli 3
31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza.
32 Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Very good speech
Kweli kabisa
Allahu Akbar
Uyu jamaa mkuu wa mkoa ni zezeta kweli ana mihemuko
Subhanna Llah
Allah atuongoze uje kwenye dini ya haki
Ongela Sana
wanajua kuwahcizi mashekh ...
Allah Akibaru
Hi
Kwani uripo watukana watu pare sokoni sambusa kuwa koma kama mrivyo koma kunyonya ziwa la mama zenu je mungu akuoni
Si kila.mtu ameumbwa kuongoza kisiasa. Hicho ni kipaji maalum toka kwa Mungu. Si.kila mfanya biashara ana kipaji hicho ndiyo maana biashara nyingine zinakufa nyingine hazikui na nyingine zinakua kubwa sana.
Si kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndiyo maana kuna waongozwaji tena wengi sana.
Kila mtu amesimama kwenye kipaji.chake alichoumbiwa na Mungu dunia ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi na kufurahia. Kipaji ni zawadi toka kwa Mungu, mtu hacahagui Bali anaumbiwa.
Kila.mtu angejitambua na kukuzai kipaji chake kwa faida yake na wengine. Mungu angefurahi sana.
Huwezi kuzikwa kiislam wakati so muislam kwanza silimu ndo uzikwe kiislam
Wayaudi ndio binadamu wa kwanza kuzikwa bila sanduku kabla ya mwamadi na Uislam, Alafu Watu weusi pia ulikuwa utamaduni wetu kuzikwa bila sanduku, kuzikwa kwenye sanduku uliletwa na Wazungu
@@RemyDuma-db5fd2 Samweli 3
31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza.
32 Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Anaongea TU kulingana na mazingira ila usishadidie dini.
Tangu nikufahamu Mh Charamila sijawahi kuona umeongea Maneno Mazuri na Mazito kama haya. Mungu akuoneshe haki ili uweze kuifuata na akuoneshe Batwili ili uweze kuiepuka
ALLAAH akufungulie njia iliyonyook kwa harak
Uisilamu mchezo ila waisilamu wanafiki ndio wengi duniani kuliko wenye imani Allah anawasaulisha kwauwovuwenu mnakufa na kufruu yenu
Soma mwanzo 50;;26 vizuri mzeee
Jamaa analeta udini kwenye nchi samia ni rais wa wote tena wote tupo sawa kwake
Umeongea hotuba safi sana
Kwakweli huyu muheshimiwa ukimskiliza kwamakini manenoyake nahisi mwenyezmungu ameshaanzakumpa ilham nahuenda ktk maishayake kablaya umautiwake itakuja kuslimu inshaallah
Utakuta familia moja imejengwa na watu wenye imani tofauti za kidini. Kila mwanafamilia awe mke au mume au mtoto wanatofautiana dini lakini wanaishi pamoja kwa misingi ya kifamilia siyo kidini. Upendo wa kweli ukitawala mahali wala tofauti za kidini hazionekani. Dini inakuwa swala la mtu binafsi zaidi anaweza hata kuhama dini akipenda.
Mwili ni kitu gan! Hata ukitupwa baharin au kuchomwa moto ni sawa kikubwa matendo yampendeze MUNGU
Mungu ameamua njia maalum ya kufanya hayo matendo ya kukufikisha mbinguni si njia yoyote
@salehpandu2250 kwamba ukizikwa na sanda ndo utamuoma MUNGU 😂😂😂😂😂😂
Wanasiasa bhana?
Pengine alishasilimu tayari ila hataki kuweka wazi
Taqbir mashallah
Tunaamini vigezo vya kumchagua au kumtetea kiongozi siyo dini anayoamini binafsi bali utendaji kazi wake kuanza kuitetea katiba, kutetea maslahi ya taifa lake na watu wake, kujitoa kwa ajili ya taifa lake, kutetea haki ya kila raia wake bila kujali dini, kabila, umri, elimu, jinsia au uwezo wake kifedha nk.
Dini ni swala la mtu binafsi kuamini au kutoamini au hata kubadili dini...ni mapenzi yake.
Tutampenda kiongozi kutokana na sifa zake na uwezo wake wa kuongoza na uzalendo wake kwa taifa na watu wake.
Nakubaliana na wewe.. usimtetee kiongozi kwa sababu ni wa imani yako... angalia uwezo wake wa uongozi.. tuache udini
@josephlorri431 absolutely true
@@marieconnect6389 uchawa umezidi.. this is too much now.. hadi kiongozi anaanza kuhoji imani yake kwenye jukwaa la imani nyingine ili kuwafurahisha..nao wanacheka bila kuelewa lengo lake
Kweli kapisa mkuu ...umesema vema
Hatari sana njaa ya mwili inatisha sana
Akili yako inakutuma kua bado ananjaa huyo? Pole sana
Da mihemko hiyo pole
Hilijaaa linaakili sanaaa
Silimu tenaa baba
Maneno ya kweli kabisa
Maulid si sunnah ya mtume muhammad
Kasomea BIBLIA Yako vizuri , haya mambo kabla hatujayaongea Bora kutafakari kwanza au kuwaza kwanza Bora kunyamaza . Kwenye jeneza Kuna mfano kwenye BIBLIA
Mimi kama Mtumishi wa Mungu alieziumba Mbingu na Nchi,Ninakushauri kwanza kabisa na mapema mno ukawaombe Maaskofu msamaha tena hadharani kwa kuwasema vibaya na kuwadhalilisha mbele ya ndugu zetu Waisilam.
Mungu amenihakikishia kwamba kama utafanya au kutekeleza haya maagizo ninayokupatia kutoka kwake kupitia mimi Mtumishi wake,utafilisika kisiasa na atakuondolea nafasi aliyokupatia.Mjumbe Hawawi!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kaomba andiko wapi yesu kazikwa na sanduku? Unatoa povu la kishabiki nilijua utaleta andiko
@@JumaShaban-ec9ki😂😂
@@JumaShaban-ec9kimi pia nimefungua comment nilijua andiko kaleta
Nchi hii inaviongozi vilaza wengine mungu wasaidir ona chalamila
Mlangurue kashawakataa wenzie...
Maashallah karibu sana ktk dini nzuri dini tamu dini ya MUNGU al Islam din
Maneno yako ni kinyume na uislam
Dini tamu ya haki yenye watu wanaiita wenzao majina mabaya hiyo haki na usafi uko wapi njoo kwa Yesu mpendwa anayefundisha upendo na yeye mwenyewe anasema ni njia kweli na uzima mtu hata muona Mungu asipopitia kwake yohana14:6
Umehana dini
Akuna mkamilifu chini ya jua, wote ni viumbe vyake Allah ndie mkamilifu
Namuomba Allah azidi kukuongoza. Naakuonyeshe njia iliyo nyooka. Mpaka hapo ni muislam. Kilichobaki ni kutamka tu.Hongera sana.
Nikweli mimi ni mkiristu , lakini nawakubali sana waislam, kwani wakiwa kiongozi ua wana tuongoza vizuri sana,
Jamaa kapiga kwenye mshono😂😂😂
Nawakubali sana wachokonozia I 😂😂
Akitoka hapo atasema nilikuwa nachekesha!!
Allah atuongoze ktk haqi, tusiwe na nyuso mbili
😂😂😂😂
Na akiwa ndan ya hyo sanda atachekesha pia
Natamani uwe mwenezi wa chama cha mapinduzi inshallah
Sikupingi mnyakyusa upo vizuri kwenye kubadilika linganifu na alama zanyakati
Ina Lillah wayn Lillah rayuin, waislam maneno haya ya kuimarisha umoja miongoni mwa waislam yalitakiwa yatoke miongoni mwetu na siyo Kwa asiye muislam ni aibu tuamke.
Mwanzo 50: 51 kasome uone kwann wakristo wanazikwa kwenye sanduku,Kuwa kiongozi wa kisiasa cyo kujua kila kitu katika maandiko matakatifu.
Hakuna anayetaka kukuzika. Jizike upendavyo uzikwe au usizikwe. Haikufanyi ufike mbinguni. Hakuna Mtumishi aliye tumwa na BWANA WETU YESU KRISTO kuzika watu. Labda Unataka kuongeza HUDUMA hiyo mwenyewe.
Kiyahudi na kiislamu kuongozwa na mwanamke ni kosa kubwa sana wewe usilete siasa kwenye imani
Chalamila ni muislam siku nyingi sana au hujui
Kasome 2Nyakati 16:14
Najashi huyo .. mdogomdogo anaingia lnshaallah