Hakika Mungu ni zaidi ya mwanadamu.Rozy ushuhuda wako umenipa nguvu tena.na nina Imani Siku moja Mungu ataniponyesha mgongo wangu. Umeniuma kwa zaidi ya miaka nane hadi I had given up nikisema mungu nimechoka. But our God is God of another chance.
To God be the glory my sister Rose Muhando. You are a living testimony. Press on towards the mark of the high calling of God through Christ Jesus 🙏🏽 Aminaaa
Very powerful testimony hadi nimejifunza jambo hufai kabisa kusikiza mambo ya dunia au maumivu ya mwili instead eka Imani yako kwa Mungu na utashangaa sana na yale Mungu atatenda
Utukufu umrudie kristo Yesu aliye mwaga damu yake kwa ajili yetu. Barikiwa sana mama Rose kwa kuinua imani yangu zaidi kwa Mungu aliye hai. Ushuhuda wako umenifanya siku yangu iwe ya ushindi
Prophet Allan you are a blessing to the world..the grace to heal and deliver is evident..am a living testimony of God's work through you..Am blessed to receive a divine touch in Jesus name.
God is great... Ainuliwe sanaaa ... I never expect... The first time I heard that burning story of rose mhando ...nikashituka natena I was much confused... Eeeeh this God ...the testimony is powerful and I pray may the same God help me mweee nalia sana😢😢😢😢. From Malawi
Amen Amen dada mama yetu Rose muhando Mungu mukuu akutendeye mema' maana tuna barikiwa kwa maneno yako' Hâta Nami na mke wangu tulikuombeya kwa hiyo magumu uliyo pitiya mama yetu Maana sisi tu wa shabiki wa kazi yako ya injili zanyimbo kwa kazi yake' unayo itenda Mimi ni muchungaji wakanisa la Neema ya Mungu inchini Congo/ uvira (yani kanisa la faveur de Dieu Congo uvira) Mungu wetu asifiwe
Mungu aendelee kukutunza mtumishi Rose Mhando:::UMENITIA MOYO SANA NILIUMWA MPAKA NYAMA NA MIFUPA VILING'ANG'ANIANA,:::NIMEBAKI SEHEMU NYINGINE SINA NYAMA:::MUNGU ANATISHA NA MATENDO YAKE:: KIKUU NI KUAMINI
Amen wonderful testimony, truly yote yawezekana kwake yeye aaminie.kama dada rose akumwamini mungu angekuwa hapo alipo.Mungu akubariki sana dada rose ,nyimbo zako hubariki watu dunia zima
Ubarikiwe sana mammy ju nimepokea imani kupitia ushuhuda huu wako kwa Kwan nimepitia magumu na mazito ya kuvunjila moyo hila kwa ajili ya yeye atutiae nguvu nimemkabidhi yeye shaka na madhaifu yngu yote na Kwa imani nitashnds 🙏🙏🙏🙏🙏
Rose muhado nakupenda sana.mungu atakushangaza wewe ni wa maana sana.mungu ashajitukuza kupitia wewe.wewe ni ushuhuda kwa wengi mimi mmoja wao.endelea kumshikilia Jehovah.
Rose Muhando mtumishi wa Mungu!! Nilikupenda tangu kipindi ulipitia kuandikwa na kudharirishwa kwenye magazeti lakini nilijifunza unajuabKUNYAMAZA KIMYA. Hongera kwa ushindi
Amazing GOD!!Amzing FATHER!….Amazing KING OF KINGS😊…No matter my challenges…l will continue serving this God ooo! Of Rose Muhando😢.I feel like flying 😭😭😭Ni mungu wa urejesho kweli.
Great testimony....but before that I kindly ask waimbaji tusome neno LA mungu sio maneno matupuuuu...tumemsikia mama Rose full of wisdom ,full of God's word,,,let's read word and keep it in our hearts...hata Kwa interviews tujawe na hekma ya mungu jamani sio sarakasi especially kamba gospel artist...sisemi mtu I'm just saying the truth it's very sad what's happening.... only word of God we need 😢😢😢😢
Dear rozi Nakupenda sana Nakupenda MUNGU anakupenda zaidi ya mwanadam yeyote na Wewe nimtumishi wa Mungu mkubwa mno nikuombe kwa jina la yesu aliyeBwana na mokozi wetu usiziweke nywele zako zifanane na watu wa mataifa tujifunze kwa Mungu na Neno lake Nakupenda Ameen
I JUST LOVE THIS WOMAN OF GOD. EVERY TESTIMONY IS LINKED TO THE WORD OF GOD JUST A CLEAR INDICATOR THAT YOU DONT JUST CREATE FROM NOTHING BUT FROM THE SCRIPTURES. BARIKIWA MAMA ROSE
Hakika Mungu ni zaidi ya mwanadamu.Rozy ushuhuda wako umenipa nguvu tena.na nina Imani Siku moja Mungu ataniponyesha mgongo wangu. Umeniuma kwa zaidi ya miaka nane hadi I had given up nikisema mungu nimechoka. But our God is God of another chance.
To God be the glory my sister Rose Muhando. You are a living testimony. Press on towards the mark of the high calling of God through Christ Jesus 🙏🏽 Aminaaa
Very powerful testimony hadi nimejifunza jambo hufai kabisa kusikiza mambo ya dunia au maumivu ya mwili instead eka Imani yako kwa Mungu na utashangaa sana na yale Mungu atatenda
Sjui mbona ninalia 😭😭😭this testimony is really touching me,to God be the glory neno la bwana jalitatudi Bure🙏🙏🙏
Am watching from Uganda I love Rose Muhando and her songs all and I pray Almighty heavenly God bless you and make you to work for him
Utukufu umrudie kristo Yesu aliye mwaga damu yake kwa ajili yetu. Barikiwa sana mama Rose kwa kuinua imani yangu zaidi kwa Mungu aliye hai. Ushuhuda wako umenifanya siku yangu iwe ya ushindi
Amen, wakati huu mgumu familia yetu imepitia magumu lakini Leo ni imani MUNGU yuataka kujitukuza! Amen
Prophet Allan you are a blessing to the world..the grace to heal and deliver is evident..am a living testimony of God's work through you..Am blessed to receive a divine touch in Jesus name.
God is great... Ainuliwe sanaaa ... I never expect... The first time I heard that burning story of rose mhando ...nikashituka natena I was much confused... Eeeeh this God ...the testimony is powerful and I pray may the same God help me mweee nalia sana😢😢😢😢.
From Malawi
every time I hard your testimony it convince me that I was not a mistake into this earth I was born with a purpose...HALELUJAA
Ameen barikiwa sana dada yetu
Mungu n mzuri tumtegemee yeye tu pekee🙏🙏thanks you mum rose for strong testimony enyewe mungu alkutoa mbali
Ni Mungu tu kila siku. God will never ashame. Amen
Rose has God given you singing and also preaching gift??
You are such an amazing preacher. Kwa kweli Yesu amekujenga kwa His ministry.
God can restore,, faith, health and everything....Rose Muhando is a living example...thank you Lord Jesus Christ holy spirit.
Ushuhuda wa kusisimua sana,HAKIKA MUNGU ANABAKI KUITWA MUNGU
Amen Amen dada mama yetu Rose muhando
Mungu mukuu akutendeye mema' maana tuna barikiwa kwa maneno yako'
Hâta Nami na mke wangu tulikuombeya kwa hiyo magumu uliyo pitiya mama yetu
Maana sisi tu wa shabiki wa kazi yako ya injili zanyimbo kwa kazi yake' unayo itenda
Mimi ni muchungaji wakanisa la Neema ya Mungu inchini Congo/ uvira (yani kanisa la faveur de Dieu Congo uvira)
Mungu wetu asifiwe
Mungu aendelee kukutunza mtumishi Rose Mhando:::UMENITIA MOYO SANA NILIUMWA MPAKA NYAMA NA MIFUPA VILING'ANG'ANIANA,:::NIMEBAKI SEHEMU NYINGINE SINA NYAMA:::MUNGU ANATISHA NA MATENDO YAKE:: KIKUU NI KUAMINI
Wonderful testimony,let me continue trusting in the Lord
Rose muhando may God bless u,nyimbo zako ndizo zilifanya nikaokoka,mumba haishi kukupigania kwa ajili ya mazao unayozaa kwa ufalme wamungu
OMG! What a powerful testimony 😭😭😭😭😭😭. Your destiny is great mum❤❤❤. God lift you higher n higher
Amen wonderful testimony, truly yote yawezekana kwake yeye aaminie.kama dada rose akumwamini mungu angekuwa hapo alipo.Mungu akubariki sana dada rose ,nyimbo zako hubariki watu dunia zima
Ameni mtumishi Ros hata Mimi naamini mungu atanivusha katika haya
Ubarikiwe sana mammy ju nimepokea imani kupitia ushuhuda huu wako kwa Kwan nimepitia magumu na mazito ya kuvunjila moyo hila kwa ajili ya yeye atutiae nguvu nimemkabidhi yeye shaka na madhaifu yngu yote na Kwa imani nitashnds 🙏🙏🙏🙏🙏
UBarikiwe sana dada Rosa nakutamani nikuona UBarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Rose muhado nakupenda sana.mungu atakushangaza wewe ni wa maana sana.mungu ashajitukuza kupitia wewe.wewe ni ushuhuda kwa wengi mimi mmoja wao.endelea kumshikilia Jehovah.
This testimony has really touched me😢😢😢😢may God restore all the years that were eaten by locusts ...
Nafurahia ushindi wako .kuugua Si kufa.Mungu husema nasi kwa namna nyingi.❤❤❤❤
Glory to God,,Mama Rose ni shujaa jamani❤
Amen! Rose a powerful testimony God loves you .Yesu ni Bwana Hallelujah
Amen and glory unto the most high God for such a powerful testimony. May God be blessed all the days of my life
Amen amen amen amen Mama thank you for being a strong woman let God continue with you through out the journey of your life amen much greetings 🙏🤝🤝🤝🤝🇺🇬
Amen sana mtumishi wa mungu japo tunapitia magumu lakn Bado tunae mungu anaetupgania Kwa Iman tutashinda
Rose Muhando mtumishi wa Mungu!! Nilikupenda tangu kipindi ulipitia kuandikwa na kudharirishwa kwenye magazeti lakini nilijifunza unajuabKUNYAMAZA KIMYA. Hongera kwa ushindi
Nakupenda sana Rose Muhando songa mbele mamy wewe ni ushuhuda unaoishi. Mungu akutumie zaidi❤
Pastor Nganga is real servant of God and she's a living testimony for that 🙌
Mungu akubariki sana Mtumishi,ushuhuda huu umenitia nguvu.
Namshukuru Mungu.kwa ajili yako Rose. Umenipa nguvu
Rosie.Wewe kweli ni Simba.
Asante kwa Mungu.I really prayed for you.Nashukuru
Ameen,,, Dada Ubarikiwe sana,,, Kwa kweli Nabarikiwa sana na Nyimbo Zako.
Mungu mwema dada piga kazi ya Mungu hadi shetani aaibike zaidi
A very powerful testimony, may God almighty be glorified.
Asante da Rose Mungu akubarik neno lako limenifariji🥰🥰
Asante sana Kwa ushuhuda umenitia Imani you are pawerful❤❤
Am here for a reason what a great testimony
Rose singing and preaching. i can see a Bishop in you.
Hongera sana mama barikiwa sana kweli Mungu ni mwema
Very powerful message and am very blessed.all gospel singers should be readers of the word and have Gods annointing.
Asante yesu your testimony give me hope God bless u Rose
Haleluya haleluya Pole dada mngu akulinde sana 🙏🎉🎉🎉😊🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🤲👏
Jesus name above all names your testimony is so powerful.be blessed mum
Amen 🙌🙏 barikiwa mtumishi wa mngu 🙏😊
Powerful testimony very touching, there is power in prayer
Ushuhuda mzuri sana mungu humtoa mutu pahali bwana apewe siifa ameen
Amen 🙏🙏 hadi nimelia 😭😭😭😭
Amazing GOD!!Amzing FATHER!….Amazing KING OF KINGS😊…No matter my challenges…l will continue serving this God ooo! Of Rose Muhando😢.I feel like flying 😭😭😭Ni mungu wa urejesho kweli.
Mungu ni Mkuu,sitawahi muacha nina imani ipo siku sitakua vile nilivyo leo🙏🙏🙏
Amina Dada Rose mungu akuzidishie mara Mia
Indeed this is a healing testimony 😭😭😭😭😭🙏
Mungu ni mwaminifu sana na ana Kila sababu
Rose you are more than a conquer, Mama you are blessed umenitia moyo leo
Amin amin rose ubarikiwe mahari uko
What a powerful testimony 💥🔥💯
Indeed God you are marvelous receive all the Glory and Honor
Amen..ushuda mzito saan .. you are a heroe Mama be blessed
This story of rose has really inspired me. Kweli Mungu yupo 🙏
Powerful and wonderful message may our Almighty God continue blessing you angel rose
Dear God 🙏 keep her for us
For our sake continue using her as your vessel
Be blessed strong woman of God to are a role model to many souls
AMEN AMEN AMEN. Asante YESU pokea sifa na utukufu.
Amen 🙏🙏 Mungu akubariki dada Rose
Great testimony....but before that I kindly ask waimbaji tusome neno LA mungu sio maneno matupuuuu...tumemsikia mama Rose full of wisdom ,full of God's word,,,let's read word and keep it in our hearts...hata Kwa interviews tujawe na hekma ya mungu jamani sio sarakasi especially kamba gospel artist...sisemi mtu I'm just saying the truth it's very sad what's happening.... only word of God we need 😢😢😢😢
Thanks thru God's Grace$ u will b successful
I love you Rose sweetheart. Endelea mama God bless you more. Heee Rose kanyaga na nguvu😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏👏
Najua ninayoyapitia ni Kwa utukufu wake Mungu,I know God is preparing me for something great💪
I'm one of those who cried sana Rose.
Dear rozi Nakupenda sana Nakupenda MUNGU anakupenda zaidi ya mwanadam yeyote na Wewe nimtumishi wa Mungu mkubwa mno nikuombe kwa jina la yesu aliyeBwana na mokozi wetu usiziweke nywele zako zifanane na watu wa mataifa tujifunze kwa Mungu na Neno lake Nakupenda Ameen
Amen Hakika yezeber
❤ malkia wetu mungu akupe miaka Ming ili kazi ya mung isinge mbele
Amen amen ubarikiwe sana tena sana Rose mwahando 😢😢😢😢😢😢😢
I JUST LOVE THIS WOMAN OF GOD. EVERY TESTIMONY IS LINKED TO THE WORD OF GOD JUST A CLEAR INDICATOR THAT YOU DONT JUST CREATE FROM NOTHING BUT FROM THE SCRIPTURES. BARIKIWA MAMA ROSE
Hallelujah Mungu ni Mungu anatenda
Amen amen amen Mungu anaweza.
Ameeeeeeen ,amen yye ni wa wote wenye mwili na n Mungu wa vyote aaamini yote
Great message congrats Rose.
Hii story imeniguza Sana aky ubarikiwe rose
Pole sana mama yangu kipenz nimejifunza mengi kutoka kwako
Wimbo sako rosmuhendo umesaida Mimi Sana uku homa bay
Mungu ni mwema 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
❤Amen Amen huyu ndiye Mungu aishiye milele
Mtumishi mungu akuinue zaidi umeniinua namimi kiroho
great woman of the most high God barikiwa Sana mammy
Mungu akubariki Sana Mama Rozi
Nagupenda sana rozi mungu akuinue
Ubarikiwe mama yetu kwa kututia moyo kwa mungu
Barikiwa sana nimepata kitu hapo
Muito obrigado mama
Mungu azidi kukubariki mama
Great testimony,,God is faithful 🙏🙏
Anaweza Mungu usimuache 🎉
Mungu akutumie katkasku zakuishi kwako akuondolee magum yote kwan inatosha,mungu akubalik sana
Atukuzwe sana MUNGU
Mama rose n mteule w mungu kw kweli