NILIKUNYWA VILE MAKUSUDI NA TUKAPANGA KUREKODI - CHRISTINA SHUSHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 119

  • @BahatiSunga-yk9qf
    @BahatiSunga-yk9qf 7 месяцев назад +1

    Ishu tu Shusho Nakupenda sanaaa wanao sema ni mlevi achana nao kile ni kinywaji cha gharama sana ni Waein isiyo na kilevi ❤❤

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 года назад +26

    Hichi kipande huwa kinaniliza sana sana😭😔 Pumzika kwa Amani magufuli wetu Rais wetu kipenzi Allah akuhifadhi sehemu stahiki 👏

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 3 года назад +7

    Shusho kama Shusho anajua saaana 👏👏👏🌟🌟🔝🔝🔝✔️✅💪💪🔥🔥💥💥💥

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 8 месяцев назад +2

    Huyu dada nilikua nampenda sana nyimbo zake na yeye alivyo sasa sijui kimetokea nini tena jamani Mungu atusaidie

  • @sayuninestory5642
    @sayuninestory5642 7 месяцев назад

    Yaani Mungu amsaidie, kazi ya Mungu haiko ivo

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 3 года назад +9

    nampenda shusho ❤️❤️.Pia Next round leta malkia Rose muhando 🔥🔥

  • @kenartz
    @kenartz 2 года назад +3

    Mimi naomba sana Mungu ya kwamba akinipa uduma,anilinde miaka yangu yote. Sitaki kufurahisha ulimwengu tena maishani. May God have mercy on His people forever Amen

    • @elikamoses104
      @elikamoses104 7 месяцев назад +1

      Chrstina umejidanganya Soma biblia vizuri na Mungu hajawahi kusema uongo maneno yako ya kujitetea kuwa Mungu alikupa asighment ndio sikatai lakini kuna kipingamizi hapo asighment tu na nimeolewa nikiwa na umri mdogo haviendani Ni maneno mawili ya kuikataa hiyo ndoa Miaka 18 ni miaka tosha kwa msichana kuolewa na wewe uliongeza hapo mmoja ikawa 19 jamani uliweza kuamua kitu Mungu akazidi kukukuza ukapata mtoto wa kwanza wa pili na wa tatu Mungu akakubarikia watoto na kipaji akakikuza sasa mamboaliyokupa mungu mume watoto na kipaji usimrudishie shukrani namna hiyo hata mume ungeongea nae kwa sababu mungu hapendi kuachana atakuboreshea ndoa mume na watoto Maoni yangu mimi mama yako

    • @aloonytz
      @aloonytz 4 месяца назад

      Don't judge the position that you never been in
      Muache Sio mtatakatifu wala Msafi sana Yawezekana Amefanya dhambi au hajafanya dhambi yoyote alilazimika tu lakini je utawezaje kutoa kibanzi kilichopo Kwenye jicho la mwezio wakati Unakibolit kipo machoni mwako toa kwanza cha kwako kisha ndio uweze kukkitoa kilichopo kwako je jana ulifanya nini ? Na je nisawa Ulicho tenda Ni haki kwa Mungu wako kila siku iendayo je Huwa upo sahihi tu ​@@elikamoses104

  • @irenejackson3227
    @irenejackson3227 3 года назад +12

    Tabasamu lake tu ni nomaa😘😘😘

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 3 года назад +7

    Nampenda Sana Christina shusho..

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 Год назад +1

    Shusho ni mzuri sana tangia namjua.But saivi sipendi anavoweka mawigi siku hizi kuwa natural wewe ni mzuri mama

  • @flova7022
    @flova7022 3 года назад +3

    Really and cute melody

  • @felizbonbonface8275
    @felizbonbonface8275 3 года назад +9

    Nampenda sana huyu mama😘

  • @joycenuhu1566
    @joycenuhu1566 3 года назад +11

    Unajichanganya sana Dada na dunia,haueleweki

  • @ashasaidi1599
    @ashasaidi1599 2 года назад +1

    Yani mimi ni muisilamu lakini sister shusho nakubali sana kazi zako ninanikosha sanaa

    • @Makikokasongo
      @Makikokasongo 7 месяцев назад

      We laana hiyoo rejesha mola wako

  • @rehemamfugale302
    @rehemamfugale302 7 месяцев назад

    Nimekuelewa kuliko watu wote duniani unchofanya nakuelewa sana leta watu kwa yesu

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 Год назад

    SHUSHO ni dada wa mfano,mwimbaji wa mfano,sauti ya mfano, hongera kwako dada SHUSHO

  • @gadbuchianga5118
    @gadbuchianga5118 10 месяцев назад

    God will fight for you my dear.

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 3 года назад +1

    Umeaibisha sana inji ya Bwana

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 3 года назад +2

    Hata mm nampenda sana huyu dada

  • @marrymakoi1588
    @marrymakoi1588 7 месяцев назад

    Yaani hata hayo maelezo yakoo tayari Dunia imekumeza mama mzee. Acha kujicrimu kuvutia diamond wewe tayari ni mzee. Maskini nawaonea wanao huruma wanajisikia vibaya mno mno mno unaaibisha wanao.

  • @genovevatarimo3982
    @genovevatarimo3982 3 года назад +3

    Huyu dada jamani nampenda mnooo

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 3 года назад +7

    Sauti nzuri

  • @mwajumamatimbwa4932
    @mwajumamatimbwa4932 3 года назад +3

    Kazi nzuri

  • @alainmubali6544
    @alainmubali6544 3 года назад +6

    May God bless her

  • @web2.095
    @web2.095 3 года назад +18

    Huyu mama anatabasamu zuri sana

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 6 месяцев назад

    Kweli mpaka umesahau nyumbani kwako na watoto

  • @kevinpelomgeni1445
    @kevinpelomgeni1445 3 года назад +6

    Wakongo tujuane 🔥🔥🇨🇩🇨🇩

    • @looklook134
      @looklook134 3 года назад

      Iyo kweli kabisa tunamujuwa 🇨🇩

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 года назад +3

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA🇰🇪💥💥*

  • @mariellerashidi4649
    @mariellerashidi4649 3 года назад +6

    Huyu mama anajuwa sana

  • @papeousmanesakho10
    @papeousmanesakho10 3 года назад +14

    Watangazaji mjitahidi kuvaa vizuri kulinganga na content, huyo Ni msanii wa gospel mpo nae hapo so mavazi yako sister umezingua sana

    • @mohamedmursal3541
      @mohamedmursal3541 3 года назад +1

      acha kukariri dogo

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 3 года назад +1

      We nawe mshamba , ulitaka wavae nini, kazu,

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 года назад +1

      Msanii wa Gospel anajichubua wap na wap🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

    • @rithamsechu7220
      @rithamsechu7220 3 года назад

      Kwel kabisa

    • @rithamsechu7220
      @rithamsechu7220 3 года назад

      Lazima wavae mavazi kulingana na mlie mualika

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 3 года назад +4

    Huyu mama mzurii nyie

  • @AlesiaKayoka
    @AlesiaKayoka 8 месяцев назад

    Jamani mda mwingine shetani akitaka kukuyumbisha kwa kweli unaongea Kila linalo kuja,Mungu tunusuru

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 2 года назад

    Hii mbio ya sakafuni itaishia 'pi?

  • @RobertJohn-x3x
    @RobertJohn-x3x 8 месяцев назад

    Nimlevi uyu wala sio uongo miakamingi kuna rafiki yang alikuja dar akaniambia kamuona analewa nilipinga sana ila kwaili la kuacha mme eti kaambiwa na Mungu ndio nasema mlevi uyu

  • @carolynewandera2843
    @carolynewandera2843 3 года назад +6

    Am sorry to say this, but when the world takes over your mind and heart, you deviate away from the presence and that matters is your social status, she started with God But saai celebrity pressure has taken her over...

    • @afrikkanmukbang9734
      @afrikkanmukbang9734 3 года назад

      Why do you say that?

    • @mwesblind8990
      @mwesblind8990 3 года назад +1

      @@afrikkanmukbang9734 kaachana na Mume wake

    • @edinanoel6151
      @edinanoel6151 Год назад

      @@mwesblind8990 dear unauwakika mm nasal kanisa lao ujuee wako pamoja na hawajaachana

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 3 года назад +3

    Kwa hiyo umetengeneza kiki shusho?

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 3 года назад

    Vipi kwenu congo

  • @HellenKakayi-p7r
    @HellenKakayi-p7r 5 месяцев назад

    Mungu satan has taken over this soul... But we trust in You Almighty

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 7 месяцев назад

    Msichangamane na wasio amini!

  • @themessengertz1237
    @themessengertz1237 8 месяцев назад +1

    Ushamba unatuponza na Shetani Anatwaa Utukufu kirahisi, Urafiki na umaarufu wa Ulimwengu ni Mtego kwa Wakristo hata kwenye Uongozi tu wa kiserikali

  • @GodfreyJ.GMasunga
    @GodfreyJ.GMasunga 7 месяцев назад

    Kili kawa Malaya siku hizi, aanze kuimba bongo flavours tu.

  • @rithamsechu7220
    @rithamsechu7220 3 года назад +12

    Vaeni mavazi kuendana na wageni mlio waalika

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 года назад

    Kipande kilinoga sanaaaaa hichiii

  • @gosbertgideon6843
    @gosbertgideon6843 Год назад

    Mlete Rose muhando

  • @priscamakwetta740
    @priscamakwetta740 2 года назад

    🥂

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 3 года назад +2

    ♥️♥️🙏

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 года назад +3

    Sasa huyu alivaa nin jaman mvae kulingn na watu mnaowaalik khaaa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 3 года назад

    Mama wa viwango

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 7 месяцев назад

    Dada Christina watu anaoshirikiana nao sasa wanampoteza kiukweli

  • @rithamsechu7220
    @rithamsechu7220 3 года назад +2

    Naomba mjitaidi kuendana na wageni mnao waalika hapo kwenye show kimavazi huwez kumualika mtumish wa mungu alafu uvae mavaz ya siyo na heshima unataka kusema ukipelekwa ukweni ungevaa hivyo

  • @thepatriot-hbk5255
    @thepatriot-hbk5255 7 месяцев назад

    Hata watu wa Dunia hawakutaki sasa eeeh uko na shida

  • @JacobGao-pc5fx
    @JacobGao-pc5fx 7 месяцев назад

    Huyu Dada kusema kweli sijajua kilichosababisha kuachana na mumewe,hivi kweli kumtumikia Mungu kwaukaribi zaidi ndio uchukue maamuzi yakuvunja ndoa?

  • @makejaffar8119
    @makejaffar8119 3 года назад

    Kwani hamjui ule mstari ulioimbwa *watu wamepiga hela sana kwa mazishi ya Ngwair*..ndio hii Shusho alipiga hela na Matanga ya Magu..ndio dunia ya sasa

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 года назад +1

    Hamna kitu hapo,watu wa Mungu shetani amewavuruga sana,eti Mchungaji.
    Jamani,kila mtu mchungaji!aaaaaah!

  • @nuruelmada9123
    @nuruelmada9123 3 года назад

    Kwni huo wimbo ni wa kuchekesha?

  • @rehemalontinaremysaleh7807
    @rehemalontinaremysaleh7807 3 года назад +3

    Nikisikia huo wimbo unaniliza R.I.P Magufuli.

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 года назад +1

    Christina Shusho anapiga KITAULO(kujichubua) ila ni MREMBO MNO.

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 3 года назад

      Jichubue nawe

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 года назад

      @@boyochu1308 Naona unamtetea Shoga yako mnaotumia wote KITAULO 😁😁😁

  • @fatumamcharo3929
    @fatumamcharo3929 3 года назад

    💋💋💋💋💋

  • @mkalisimbatv1915
    @mkalisimbatv1915 3 года назад +3

    JPM

  • @gestinakuya8117
    @gestinakuya8117 3 года назад +3

    Sasa mchungaji gani anakubali kuojiwa na waliovaa nusu uchi? Jamani giza na nuru wapi na wapi

    • @flova7022
      @flova7022 3 года назад +2

      Yesu aliishi na wenye dhambi ili awakomboe ...think twice before commenting

    • @rachelsimon2876
      @rachelsimon2876 3 года назад +1

      Hao pia wanaweza kuwa nuru taratibu wanaweza kubadilika, ukiwatenga mda gani wataiona nuru

    • @lylieouko9569
      @lylieouko9569 3 года назад +1

      Madam righteous? how can you help them turn around if you condemn them?Even jesus associated with a prostitute who is Shusho not to???

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 года назад

      Sasa Mchungaji gan anajichubua nuru na giza wap na wap🤔🤔🤔

    • @lylieouko9569
      @lylieouko9569 3 года назад +1

      @@user-ot2io4cy6w Deputy Jesus, how perfect are you?

  • @rokoowilfred2318
    @rokoowilfred2318 3 года назад

    Tatizo ushamba sio kila chupa imebeba kileo kilevi yaani pombe

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 года назад +2

    Badala usikitike unacheka,haukuimbia majonzi eti?

  • @elpinarichard1884
    @elpinarichard1884 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣