LINEX AFUNGUKA KWA UCHUNGU WASANII ALIOWASAIDIA HAWAPOKEI SIMU ZAKE SIKU HIZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 69

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 11 часов назад +3

    Juzi tu Niki Mbishi alisema hawa mapresenter ni mawaki ila hamkumuelewa sasa naona mmeanza kuamini, HIP HOP Artist huwa wanaona mbali sana japo Generation hii ni ya kipuuzi amzingatii"

  • @Manswabu
    @Manswabu 11 часов назад +2

    Hawa si watangazaji wanatumia emotional

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 2 часа назад

    upo na mwanangu nanga mpela❤❤❤😂😂😂

  • @BARAKARUDOVICK-h2t
    @BARAKARUDOVICK-h2t 13 часов назад +1

    Big up linexmjeda

  • @documentaryzone1364
    @documentaryzone1364 15 часов назад +4

    Sidhani kama these presenters understand what they doing.... huyu presenter the guy is making the show worse no analyzing no recap literally saying whateva comes from his mind he talks before thinking thats obvious ila The lady is doing a better job but this the guy anaspend more time trying critisize everything than thinking what to say personally ... think before talking buddy this is your job

  • @ClementDominicko
    @ClementDominicko 14 часов назад +2

    Linex anaeleweka vizur ila huyo mchaga kazingua.

  • @marefuclassic8911
    @marefuclassic8911 15 часов назад +6

    Mondi ondoa huyo mchaga sijui mmasai hajui kuhost kipind

    • @CatherineMvanga-oz8bd
      @CatherineMvanga-oz8bd 14 часов назад +1

      Acha chuki binafsi nenda wewe ukahost fara wewe. Riziki ya mtu amepanga Mungu sio wee matako😊

    • @marefuclassic8911
      @marefuclassic8911 13 часов назад

      Kanyoe vuzi kwanza maana harufu naisikilizia hadi kwenye comment

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 12 часов назад

      Sasa unataja Masai kwann ww kinega

  • @chilimoonlinetv
    @chilimoonlinetv 13 часов назад +1

    Linex Yuko clever sanna

  • @bizzyjunior_tz
    @bizzyjunior_tz 14 часов назад +10

    Mchaga umezingua sana leo ....hujakaa kitangazaji yani umekuwa mjuaji .mtu akisema hafanyi mziki kwasababu ya familia you have to understand na mziki unavitu kibao so siyo rahisi kusimamia familia kikamilifu ...mwangalie boss wako sijuyo kwamba anapenda kuwa mbali na watoto wake ila mziki unamueka mbali

    • @EdwardGeorge-o3o
      @EdwardGeorge-o3o 13 часов назад +3

      Fact bro

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 11 часов назад +2

      Ana mambo ya kiduanzi huyo dogo

    • @neponova8988
      @neponova8988 5 часов назад +1

      ndo mfano wanaopata kwa boss wao

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 5 часов назад

      Mwanaume kuipenda familia haimaanishi kukaa nao nyumbani kama mama, kama kweli unaipenda familia kama baba amka nenda katafute pesa sio unakaa nyumbani unaacha kutafuta hela eti ndio kupenda familia, upumbavi huo!

    • @MangstarDjmwanyotta
      @MangstarDjmwanyotta 4 часа назад

      Alikuomba pesa ya kula? ​@@MansaMusa255

  • @kosmavoko1809
    @kosmavoko1809 10 часов назад

    Linex to the world

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 2 часа назад

    MCHAGA YUPO SAWA SABABU ZA KIJINGA SANA YAANI UPUMBAVU.ETI KULEA SHIDA YA LINEX HATAKI KUWEKA CHANGAMOTO ZAKE WAZI ILI ASAIDIWE.MSANII BORA KABISA BUT ANATEKETEA😢😢😢😢

  • @dullahabdallah-nu1py
    @dullahabdallah-nu1py Час назад

    linex ni mmoja,mchaga bado anautoto siku moja ataelewa kaka anamaanisha nini.shobo na kutaka kupambana na wakati ndo shida za vijana kama mchaga hapo tunavyomuona

  • @TryphonRabson
    @TryphonRabson 3 часа назад

    Mchaga kweli kabsa upo sawa music hauwez kuiliwi kufanya et kisa unalea linex unazingua

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 14 часов назад +3

    Ichi kipindi na shilawadu vinatofautiana nn

  • @jiwahassantestimonies
    @jiwahassantestimonies 6 часов назад +1

    Host wa kipindi FANYA HOME WORK zako.... Umeonyesha utoto

  • @HammyBrown
    @HammyBrown 15 часов назад +1

    Baba bora

  • @kizzotizer7032
    @kizzotizer7032 12 часов назад +1

    Mchaga ushaanza ufala sasa unamind nn kuwa kama mtangazaji Kaa kitaalamu

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 5 часов назад

    ❤❤❤🎉🎉

  • @Saidiamiri-s8i
    @Saidiamiri-s8i 14 часов назад +1

    Jamanaa mbona yupo hivi amekumbwa na nni!

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 11 часов назад

      Anakunywa Sana pombe za kienyeji yani mataputapu

  • @jackilinuniqueleonard5061
    @jackilinuniqueleonard5061 53 минуты назад

    Sasa mchaga ako na elimu gni ? Mshamba tu hyu

  • @mogrosso3500
    @mogrosso3500 4 часа назад

    Waandishi wakora 😂😂

  • @IKIREZIMEDIA8
    @IKIREZIMEDIA8 5 часов назад

    Mnao msema mchaga nazani hamkumuelewa vizuri

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 13 часов назад +1

    Wasanii walio mahiri wa zaman wanapigwa chini maana SANAA imebadilika kwa kumilikiwa na waliotokea himaya ya gizani kuanzia wasanii na wamiliki wa MEDIA hizi, 😂unakuta lijiprisenda lipo bize kuwakilisha wanaoabudu mbuzi pamoja

  • @ImaDaly-y8r
    @ImaDaly-y8r 15 часов назад +1

    Tumuite legendary au kapotea

  • @hoseayotham3830
    @hoseayotham3830 12 часов назад +1

    Mchaga unaboa sana

  • @DarrenGift-bz2fz
    @DarrenGift-bz2fz 3 часа назад

    Ego😂 shaanza kumea pembe na kuchukulia poa lifestyle ya mtu

  • @CossyRichard
    @CossyRichard 12 часов назад +1

    🎉🎉🎉❤😂

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 5 часов назад

    Ushafulia ushaharibu hela kwa sifa na pombe saizi tulia usilalame

  • @ChrisRoby-y5y
    @ChrisRoby-y5y 15 часов назад +1

    nang mze wakukulupuka

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 15 часов назад +1

    Nanga vipi apo

  • @charokid1
    @charokid1 13 часов назад

    Les tanzanien vous avez des choses vraiment

  • @chilimoonlinetv
    @chilimoonlinetv 13 часов назад +1

    Huyu Dogo white hajitambui sana akakae kwenye kipindi cha Umbea..
    Demu anamshinda, coz manzi Yuko really na ana balance anachonena...

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 12 часов назад

    Mchaga kuna namna anafeli sana

  • @FulluTadey
    @FulluTadey 11 часов назад +1

    Mchaga Kuma ww unagongwa

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 59 минут назад

    We ni matako jnajua maana ya familia mkundu wewe au unalopoka, hao unaojua wanaimba na wanafamilia unazijua familia zao au ndio unamaanisha kina diamond ambao ni wapuuzi kwenye suala la familia, mwansishi mpuuzi kweli nyokonyoko mwenzio anahudumia familia mbwa nyiee

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 12 часов назад

    Kashafikia kwa Benzi sasa

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 12 часов назад

    sasa unataka washike simu ili uwakumbushie ulivyo wasaidiaa ama vp??

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 4 часа назад

    Ukishakuwa mtangazaji et lazma mapaja nje

  • @ZuberiSwalehe-lq1we
    @ZuberiSwalehe-lq1we 14 часов назад

    Mondi amsaidie maan wametoka mbali san

  • @mwinyihajjsalim4405
    @mwinyihajjsalim4405 14 часов назад +1

    Mbna kma linex kadata mana ukizungumzia familia ama watoto kulea mbna nikawaida tu nakama ni experience i ayohusiana kuleoa mtoto mbna mufano ipo kwa ndugu namarafiki. So alicha kuendeleza sanaa juu yafamili ilhali inawezekana kupambana uku una handle famili pia

  • @sergioramoel9704
    @sergioramoel9704 15 часов назад

    😂😂

  • @Manswabu
    @Manswabu 11 часов назад

    Mshamba t mchaga

  • @polishedmanmalik758
    @polishedmanmalik758 2 часа назад

    ruclips.net/video/SR7AwezymrU/видео.html&lc=UgzQYSRvmXzQPy9_JHN4AaABAg&si=TY1MKTYu9ixlgPAa

  • @GentilMurhabazi-b7q
    @GentilMurhabazi-b7q 15 часов назад

    Mbona huyu jama ka haribika saana ana baki n'a kichwa tuh,kipi kime Ku kuta my Star,

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 11 часов назад

      Huyu pombe zakienyeji ndio zimemuaribu anakunywa Sana gongo analewa mipombe ya kienyeji Hadi wanamfira

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 11 часов назад

      ​@@Peterchila-un2lxDah" sio fresh mwanangu kuongelea hizo issue kwa mareal Niggas kweli linex afanywe hivyo.

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 6 часов назад

      Sjakuelew chafu yangu​@@Peterchila-un2lx

  • @Moe-Joe
    @Moe-Joe 4 часа назад

    Failure.. Yaani we ni msanii, unapata nafasi ya interviews badala uongelee mziki unaongelea familia.. Hyo content itakupa pesa vipi??..

    • @uwezontalengwa1827
      @uwezontalengwa1827 3 часа назад +1

      Sio lazma mda wote aongelee mziki angalia na maswali anayoulizwa

    • @babujohnmwita4337
      @babujohnmwita4337 31 минуту назад

      Si unajibu ulichoulozwa,Sasa kama waqndishi hawajui kuuloza maswali?

  • @IKIREZIMEDIA8
    @IKIREZIMEDIA8 5 часов назад

    Mnao msema mchaga nazani hamkumuelewa vizuri

  • @IKIREZIMEDIA8
    @IKIREZIMEDIA8 5 часов назад

    Mnao msema mchaga nazani hamkumuelewa vizuri