Heri ya mwaka mpya waungwana allah atupe afya njema na wangojwa wote allah awape shifaa ya harakaa na walotaabgulia mbele yaa haki wawe na makaaz mema yenye mwangaza nawapenda nyote
BIG UP kwa Wote mnao zidi kuwa Sambamba na Sisi 🎉🎉 Hatuna budi kusema nasi tupo pamoja na nyinyi pia tunawatakia HERI YA CHRISTMAS woteee mnaotupa Support yenu 🎉🎉
Yani sija imaliza kutanzama Na tamani chado afike hapo kwenye hio baa kisha awakute huo Na juma Na hicho kidume kisha akipige paka najuma asahau kufikilia kumumiza
Naitwa afande edo kutoka kituo cha kati nimeelezwa apa kuwa kuna watu wanaomba like badala ya kutoa maoni xax natoa angalizo atakaeomba like nakamata naweka ndan pumbavu kama unakubaliana na mimi like apa😂😂😂
Huyu Zayn sio mtu mzuri ana ni mbaya kwa kidem jau isije akampa mimba ila hapo kulala nae sijui km atatoboa😂 yaeza akuw achado Ako mahali uwaona mpango mzima Zayn chado atakupasua hicho kichwa😅😅😅
Tukutane apa tunao mkubali mzee wa misumali kapata dodo mzee wa misumali ❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mapenzi shikamoo.
ruclips.net/video/-Ri7i60xjmw/видео.htmlsi=Grjef55RFoSxkkU6 LOVE DECISION SERIES ❤❤❤❤❤❤❤
Baaanae 😂😂
😂😂😂😂 Haswaaa
Chado jamn mm naipenda Ile nyimbo ya . Mission imposible unaweza panga lako yule akalipangua....... naomba muitoe jamn ni nzur sanaaaaa❤
🎉🎉
Me napenda ya kumtafuta mchawi.
25:00
Kweli ngwengwe na mama yake wazee wa bingo nawapenda sanaa jamani 🎉🎉🎉
Huyu mjomba Ake gwegwe Yani akomi kabisaaa mdomo tu kupigana aaaaah ela yenyewe anazoongelea angejua anazo chado mbona kivumbi leooo
Waooo hapo sawa sijachelewa sana vipenzi vyiangu am like 👏👏
Yaah Allah kwa ukubwa wa siku hii ya Ijumaa naomba utujalie tufike salama mwaka mpya Inshaallah ☝️
Amiina
Amiiin
@zabibuyusufu-w1xAmeen inshaallah
kwan bado hamjafika mwaka mpya au unamanisha mwaka mpya upi?
Amiin
Leo mewahi oya huyu marasta atakoma kabsaaaa oya eeeeeh chadooo anakuhusu wewe
Ni swala la mda tooo
Kazi anayo😂😂
Atakae soma comment hii mungu amjalie avuke mwaka salama team chado gonga like hap😅😅😅
Amena
Sana chad
Tupo inshaallah
Amina na kwak pia
@SuzanaRichadi amiin
Chado master hongela kwa kazi nzuri kbx.nimeipenda kichizi wallah .chado sina chakukupa lakini unasitahir pongezi unafanya vizuri kbx Bigup mafunzo yanajitosheleza kbx 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Chado akikisha umetenganisha kichwa na miguu huyo kaka😂😂😂😂😂 Niko na wewe adi umpe mimba najma❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂🤣
😢😢😢
Mwanangu uwakika aina kufeli
Mbon Apo kwa Jojo na mzee wa misumar Minaona aibu jmn 🤣😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼yani humu ndani wanajua utadhani ni kweli nyiee
Ngwengwe ana lud Kwa Baba Ake tena aka muibie hela had afilisike mzee manyonga❤
Ninachokubali kwa chado picha inapo ishia ndipo inapoanza yani salute zote kaka
Jamani tunae muonea huluma malasta rike apa🎉🎉
Goma tunalo na tunatambanalo mpaka turuke mwaka nalo Asante sana Chado master na team nzima ❤❤❤❤❤❤❤
aah hongera sana team chado tunaomba2 utuwahishie sehem inayo fata tunainjoy sana bwana mkubwa bug up sana chado family ❤❤❤❤❤
Imma kafanana na jamaa wa jambo na vijambo yule cha uroho mpenda kula...😅
Nawatakia mwaka mpya wa baraka kwenu wapendwa wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwenzenu nimechungulia mie,hii movie naipenda kuliko zote,natamani kila siku niwe naiona,❤❤❤❤chado
Nyie nlijuwa natongozwa najma mie maan hisia zixhaend mbli ahhh atar 😂😂😂😂
Heri ya mwaka mpya waungwana allah atupe afya njema na wangojwa wote allah awape shifaa ya harakaa na walotaabgulia mbele yaa haki wawe na makaaz mema yenye mwangaza nawapenda nyote
Ammin yarrabal ghalamin
Amiin
Ww kaka humuogopi chado😅😅
itakuwa hamjui ngoja akutwe😂😂😂
😂😂😂😂 mama ngwengwe et chumba Cha mkaaa
😂😂fuko la mkaa
Naomba like zangu leo, nimewahi wa kwanza from 🇨🇩 sijawahi pata like ata moja
Hatukupi
BIG UP kwa Wote mnao zidi kuwa Sambamba na Sisi 🎉🎉 Hatuna budi kusema nasi tupo pamoja na nyinyi pia tunawatakia HERI YA CHRISTMAS woteee mnaotupa Support yenu 🎉🎉
Tcheusi wewe chado atakuja Ku kuuwa una mdomo
Asantee ❤❤🎉🎉
Cheusiiiii laaa haulaa😂😂😂😂😂
Lahaula cheusi 😂😂❤❤tunakupenda sna tuko pmja na nyinyi🇰🇪🇰🇪
@cheusi_media unajua we mjing
Nomaaa nomaaa sanaaa ngoja tuhifatilie unyama mwingi
Uhuuummh Najima umeona sasa ayondo matokeyo sunataka kumuumiza Chado haya subiri sasa camoto utakiona😢
Yani sija imaliza kutanzama Na tamani chado afike hapo kwenye hio baa kisha awakute huo Na juma Na hicho kidume kisha akipige paka najuma asahau kufikilia kumumiza
kuwehuka tu kujiongeza aaah😂😂😂 yatamkuta
@fatmaubwa-z8s hahhhha atajuwa hajuwi
nakwako pia
Mm sijapenda kabisa najma kumuacha chado kwenda kwa huyo manywele movie inakosa utamu
we malasita ole ulale na najima mhiiii chado atakufanya bi mdogo fatuma wewe😢😢
Nilijua ntakuwa wa kwanza,,, daaah mpo vizur wadau mlikuwa mnasubir kwa hamu
Sijapendaa😢😢 mnamuonea sana wajina wangu bwana Emma
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mdomo tatzo
😂😂😂bwana imma mdom unamponza
Tatizo kamdomo 😂😂😂😂
Aaa kumbe emma ni emanuel
Kaka wa pakachu unamjuwa chado au mzee wa misumali 😊😊😊😊
Baba huyu ashakula boga la chado kwa hiyo ameyatimba atajua chado ni Nani 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Mjomba ngwengwe bd kaz unayo tu jaman utakufa Mikononi mwatu siuna pumu wew 😂😂😂😂😂
Pumu sasa 😅
@@jamilamohamed4307 tuko nae sambamba mpaka zimbane
😂😂😂😂😂😂
Woooh mapema sana Leo adi raha jmn hongera sana chado kwa kazi nzuri 👏👏
Chado mastet hongera na timu yak kwa kaz nzur 😊😊😊
Kama unampenda ngwengwe gonga like ❤🎉big up bro
Ahsanteni
Mambo
Jamani bona chando kapungusha ukali wake apa agalieni msiaribu picha
Chado masta mimi nakubali sana naomba iz like zangu😂😂
Ila mjomba wa ngwengwe ,hatari Ile mbaya. Kafanya mipango kwa Hela za hisia 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Mnzehe wamisumali unanikosha jamani🥰🥰🥰
Wote tuna tazama chado master nawaombea 2vuke mwaka salama
Live from Kenya,,,kitengo jaribu utuekee episode daily manze
Kwa kweli tunaimiss master fanya jambo
😂😂😂😂😂😂😂we rasta chado anakuaga km mzimu shwaaaaaaaa huy apa ngoj akukute na chinjo wake
sema nakupenda mama ngwengwe na ngwengwee munatisha
Weeeuh hayawi hayawi huwa ..leo mapema ndio best chado master 😊
ay kidem jau kutaka kumkomoa chado ay uxhauponza kwa lass wa zenji😂😂😂😂😂
Chadooooooo, mchuchu kapata shombeshombe huku😂😂😂💃💃💃💃💃💃💃
Nakubali San bila kuchoka✊✊✊✊✊✊
Daah mmenishinda tabia najua wa kwanza kumbe wa mia mbili duh😂😂
Jamani hii nyimbo naipenda aki cjui inaitwaje 😂😂😂
Haina haja
Ndo jina lake
Zein utakufa vibaya 😂😂😂😂😂uongopi chado 😂
😅😅😅 yaan apo kidemu jau izo bia apo ndy unajifunza sasa pata picha ndy inanikuta mm iyo ishu 😅😅😅 alafu ujazoea
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Waalikum Salam waramatullalih WABARAKATUH
Aamiiyn 🤲
❤❤❤❤
Amen
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatu Allhamdulillah hofu kwako nawe pia
Mapenzi ya dady mbn yamefika pazuri kuliko chado 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 pambe sana yani
😂😂😂hatari
😂😂😂
God bless you to finish this year in a good way 🙏🙏🙏
❤❤❤napenda sana kazi nzuri Chado kutuburudisha🎉🎉🎉🎉
Hii noma sana nilijuw wakwanza kumbe wamiambili nakumi natano🥲🥺🥺🥺
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣na mimi niseme wa ngapi
Following from Kenya Mombasa,we love the movie ❤❤❤❤
Adika kiswaili acha ushamba wa Kenya ww😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kumbe tuko hapa wa msa
Naitwa afande edo kutoka kituo cha kati nimeelezwa apa kuwa kuna watu wanaomba like badala ya kutoa maoni xax natoa angalizo atakaeomba like nakamata naweka ndan pumbavu kama unakubaliana na mimi like apa😂😂😂
Saaf xn afande
Jambo afandeee😅
🎉🎉🎉🎉popote mlipo nipoo, mnawezeaa sna Big up
Ila sasa mzanzibar shemdarlng atia foraaa na ungaa ha ha 😅
😂😂
Afande nae anaomba like kimpango😂😂
Nipewe maua yangu 🎉🎉
Kwa kipi ulichokifanya
😂😂😂@@filbertkoba5193
Jamn jojo n mzee w m nawapend wallah ❤❤❤❤❤
Wakwanza leo🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Anaekubal penzi laa joj na mzee wamisumal like apa❤🎉😂
Kumbe huyu mbongo et Makwachu😅makachu but vizur kuikumbuka na zanzibar team chado
I see kazi nzuri mnajituma kwakweli hongereni tunawapenda sn❤👊👊
Waooh Leo wa tani like tafadhali
Naingia tu nakuta foleni kubwa ivi uwa mnalala uku sio😊
Napenda sana iyi kazi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Unyama ni mwingi kwa chado master
Mnipeni like zenu mimi ndiyo mutu wa kwanza Ku fatiliya épisode ya mupya ngwengwe ndo na mpenda
Mjomba wagwengwe ngenga nguvu aaaa
Nyie acheni mahaba hayaaaa Alidady na mdaiii sooo mwaaaa
😂😂 jamaa anamchokoza chado 😂😂
Wow.imefikia patamu hongereni nyote ❤❤
Nawapenda jaman
Unapotea kidem
Ushaanza michongo ya tamaa
Mpemba atakutafuna alaf akuache
Unatukela
Kidem kama kidem
Mwanaume ndevu mi napenda ndevu huwa zatekenya kimpango mzee wamisumari samwalekuu😂😂😂
😂😂😂😂😂 Acha umalaya
@rehemajulias-p9c 🤣😂😂 we jaribu mubala mwenye ndevu pale anapo lamba kisimi hua nazo ndevu zatekenya haki 🤣🤣🤣🤣
@@thumalove1886 😀😀😀😀 toka usinifundishe uzinzi mm
😂😂😂
Ally Dady umenichekesha zungusha Nyashiiii Nenda ❤❤❤😂😂
Hemed chande subiri kupasuka kwa kitengo😢😢
Sio hemedi chande huyo n mdogo wake
@Sally-j4p ☺
Yan chado hupoi Kaz nzur sana kak
Kazi nzur chado wangu🥰🥰
Kazi nzuri from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Najma anavykunywa pombe sasa😂😂 # mzee wa misumari love want it❤❤❤ 🙌
Jamani nimekuwa wa kwanza leo naomba nijibiwe na najma nampenda sana
Team CHADO MASTER 💥💥💥 big up Sana kwa kazi nzuri
Ishi miaka Mingi 💐💮🌸💐
Kaaaaa nikajua mi ndo wakwanza
Najma weeee,utamletea balaa mtoto waki Zanzibar,kama namwona chado akipata taabu akiwakuta
Nawakubali sana ngwengwe umeupiga mwingi dogo
Sana apewe amauwa yake
@MarthaMajdi-j4n dogo Yuko vizuri matunda ya chado masta
Huyu Zayn sio mtu mzuri ana ni mbaya kwa kidem jau isije akampa mimba ila hapo kulala nae sijui km atatoboa😂 yaeza akuw achado Ako mahali uwaona mpango mzima Zayn chado atakupasua hicho kichwa😅😅😅
Hhhhhhh wa kwanza leo nipe mambo zangu🎉🎉🎉🎉🎉
Zein humuogop chado master 😂😂😂😊
Kalist mbn hatumuoni🎉❤midabangulo😮
Kumbe n ww watamn kalist km mm 😂😂 ..
Oyaa zungusha nyashi rudisha ilikotoka😂😂😂ila mzee wa misumari ww😅
😂😂😂😂😂
Oyaaaa zungushaaa nyashiiii poteaaaa ila nimechekaaa kinomaaa adiii sm imedondokaaaa
@ARONPaul-bz3ws 🔥🔥🔥
😂😂😂
😂😂jumaa qareeem😂😂
Chado kudadek zak naomb like yako hapa kwa lazim😂
Jmon niseme ukwel Chadian napenda na uyu mpemba i like😂😂
Jamn nimefrahia sana penzi la dady na jojo 🎉🎉
Hv huyu Zain Chande tumwambie au tumuache kimkute 😂😂😂😂
Acha limkute jambo😅😅
Nafikili mmeona wenyewe jinsi mashost wanavyo haribu mahusiano ya watu😂😂
Kbs
Wa kwanza leo, naombeni hata mauwa matano wakuu !!
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ambae anaon kuw najma atapata mimba y hyu mshkj virasta n ugomv utakuw kati ya chado n mzee wa misumari kuwa mimba n ya chado gonga like 🎉
Namimi naona ivo mimba is coming soon 😢😢