MISSION IMPOSSIBLE [28] SEASON 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 3,5 тыс.

  • @Casmirors
    @Casmirors 12 дней назад +277

    Wote tunaofatilia mission impossible mungu atubariki tumalize mwaka salama 🎉🎉🎉

  • @adeliusraphaely8629
    @adeliusraphaely8629 12 дней назад +81

    Mwanangu chado ww ni mfano wa kuigwa ais katika maisha ingawa uhuni mwingi lakin uaminifu 100% kubali sana @chado master

  • @NasmaRashidy-l9g
    @NasmaRashidy-l9g 10 дней назад +7

    Chadoo master daaa wenoma kaka hilinifunzo kubwa sana kwetu daaah umeweza kaka

  • @RahmaSadick-zl6zp
    @RahmaSadick-zl6zp 12 дней назад +488

    Najimaaa kaniboaaa sanaaaa,,,kma na wewe kakuboaa gonna like apaa

    • @YusufOmary-c8c
      @YusufOmary-c8c 12 дней назад +4

      Kazingua kinoma ani mapepe sana una muachaje kitengo😢😢

    • @AshaMohd-se4ur
      @AshaMohd-se4ur 12 дней назад +1

      Hatamm kanibowa mana kasahau utu

    • @YusufJuma-m4l
      @YusufJuma-m4l 12 дней назад +2

      Najma ni malaya tuuuu.....
      Kani boa vibaya sanaaaaaa

    • @YusufJuma-m4l
      @YusufJuma-m4l 12 дней назад

      Yani wasema wewe Mimi Kani boya sanaaaaa

    • @EssrAmita
      @EssrAmita 12 дней назад

      Sasa wezee msimaidi jua wezenu wanaigiza

  • @HellenMathias-b8n
    @HellenMathias-b8n 12 дней назад +151

    😂😂cheus Leo umenikosha popote ulipo kunywa pepsi kubwa nitalipa😅😅😅😅😅

    • @mariamngonyo6252
      @mariamngonyo6252 12 дней назад +1

      Cheusi tobaaaaa Leo cheti na chako

    • @rephaothula5672
      @rephaothula5672 12 дней назад +1

      😂😂😂😂 Leo kasema ukweli

    • @Official-sj6kw
      @Official-sj6kw 12 дней назад +2

      😂😂😂😂media ya cheusi Leo imeongea ukwel

    • @MonicaNathanael
      @MonicaNathanael 11 дней назад +3

      Ahahahaa huyu mgeni anamuita chado eti huyu chizi katokea wapi😄😄😄😄

    • @NicelyTinuga
      @NicelyTinuga 11 дней назад

      😂😂😂😂 hamjui vizuri​@@MonicaNathanael

  • @JoelOkelo
    @JoelOkelo 9 дней назад +9

    Chado pole sana umenipa somo kwa hii maisha one love from Kenya ❤

  • @ZenaIddy-f4m
    @ZenaIddy-f4m 12 дней назад +235

    Kaka chado inatosha kaka inatosha utatuuwa kaka yani du we noma kaka unajuwa unajuwa kaka hatari sana mnaomkubari chado towa makopa kopa hapo❤❤❤❤

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 12 дней назад +329

    Atakae soma koment hii mungu ampe maisha malefu nakila hitaji lamoyo wake na amarze 2024 salama mana Bado siku2 tyuuu Amin

  • @fortulunyili5138
    @fortulunyili5138 12 дней назад +54

    Daaaah ,,,leo nimeumia sana,,,,Chado master polee sana,,,yaan sijawahi kukomenti ila leo hakika limenigusaa penyewee,,,,Najima ni mfano wa wanawake wengi sana wengi wao hutumia hisia na sio akili kufanya maamuzii na kuwapelekea hatia baadae,,,Ila bigup san Chado Master kazi nzuri san ,,,unastahili tuzo za TMA

  • @IbrahimMkwama-m3n
    @IbrahimMkwama-m3n 12 дней назад +710

    Nimependa sana Najma kuliwa...!!! Hii inatwa acyeckia la mkuu....!!! Wanawake tunawapambania sana lkn wanahic sisi tunawasaliti wanaume tunauza utu wetu na kudharauliwa mfano chado kapambana xna na familia ya Akina Najma kisha najma kaliwa kirahisi xna kwa upuuzi wake na haya ni maisha halisi yanayotukuta sisi wanaume na familia zetu... funzo kubwa xna big up chado na team yako nzima tukutane tena 1-1-2025 Insha allah

  • @EliakimuKipeta
    @EliakimuKipeta 12 дней назад +93

    Tukumbuke na Ibada Ila. Ngwengwe namkubali sana Allah amuhifadhi

  • @abrahamsifa4322
    @abrahamsifa4322 11 дней назад +15

    Kadri tungojeapo mwaka mpya Mungu atuajalie afya,pumzi na uhai
    Amin🙏❤️

  • @RajabSufian
    @RajabSufian 12 дней назад +158

    Ipo siku utkuja kuzikumbuka hizi kelele zangu 🎉🎉mungu atubariki tuone mwaka mpya Amin🎉❤❤pole Chado...kupenda xna kubaya...

  • @DhulfikarAbdalla-i7v
    @DhulfikarAbdalla-i7v 12 дней назад +77

    Hapo ndy najuw kila unsvojiksza kuwapenda wao wanskubdilikia anayemuinea huruma chado like hap

  • @MwanaishaFikiri
    @MwanaishaFikiri 11 дней назад +40

    Najma umenibo sana,, yaani ulivyoliwa ukiwa ujijuhi ukaona haitoshi ukaamua kwenda tena asubuh ukaliwe tena duuuh! Chado komaa na huyo mzanzibar akurudishie milion kumi zako huyo 😢😢😢😢😢 kama unampenda chado kama mimi ninavyompenda gonga like hapa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @juma5465
    @juma5465 12 дней назад +48

    Jamaa nahisi hii series ajafikilia ameoteshwa tu idea maana inagusa maisha ya kila mtu tuna angalia kwa hisia sana mungu akuweke kaka chado ❤

  • @abeidridhwan7727
    @abeidridhwan7727 12 дней назад +90

    Cheusii mwamb nkubali sana ( wanaingia geto wale

  • @NasrahLydia
    @NasrahLydia 11 дней назад +9

    Pole Sana chado najima ww nimekuchukia sana😢😢❤❤

  • @Steverrobert
    @Steverrobert 12 дней назад +174

    Kwa mara ya kwanza cheusi media nimemuelewa 👏👏👏👏😅😅😅😅😅

    • @fatumasaleh60
      @fatumasaleh60 12 дней назад +5

      😅😅Leo kasema kweli

    • @HabibaAmani
      @HabibaAmani 12 дней назад

      🤣🤣​@@fatumasaleh60

    • @Alghamamy
      @Alghamamy 12 дней назад +2

      Sana leo hajanikera mi ikifika sehemu yake huwa nina post mbele ila leo😂😂😂 nimeangalia

    • @mwajuxjr8788
      @mwajuxjr8788 12 дней назад +2

      😂😂😂kabisa

    • @Special_tz
      @Special_tz 12 дней назад +2

      Leo umbea wake umekamilika😂😂

  • @HappinessJonas-b9i
    @HappinessJonas-b9i 12 дней назад +29

    Safi sana chado yan hiki kipengele kumenilizaaa hasa nyie mapenzi uwiiii😮😢😅😅😅

  • @nabilahali7072
    @nabilahali7072 11 дней назад +6

    Najma ameniskitisha sana. Anasahau rahisi sana Chado alivyojitolea kwake na uaminifu aliokua nao. Anakuja kumsaliti mwenzake kirahisi sana. Ila hili ni funzo kubwa sana

  • @Gamar-m9f
    @Gamar-m9f 12 дней назад +22

    Wanawake tuache uwamuzi wa haraka,pili tuwe na subra katika mausoano,tatu tusiwe rahisi tunapo takiwa katika mausiano na ulie muona kwa mara kwanza,humjui tabia Wala muondoko wake. Kwa kweli hii filamu Ina mafunzo mengi,naipenda sana❤

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina 12 дней назад +179

    Kama una amini Najima ata kuwa na mimba ya yule jamaa mzanzibar like hapa😢😢😢😢😢

    • @AzizaJuma-p7x
      @AzizaJuma-p7x 12 дней назад

      Hata mm nahic hivyo

    • @Sniper-pMc
      @Sniper-pMc 12 дней назад

      Pamoja Na ukimwi Kasia Takataka

    • @zarkawiomar
      @zarkawiomar 12 дней назад

      Usishangae...maybe chado alkua anatumia protection ila hyu amemuingilia biila

    • @VictoriaJuriass
      @VictoriaJuriass 12 дней назад +1

      🎉🎉

    • @IreneAdam-g5z
      @IreneAdam-g5z 12 дней назад

      Neno la mzee wa misumali litimie

  • @RehemaShembilu
    @RehemaShembilu 11 дней назад +5

    Daah imeniuma sana chado alivyomfumania najma, chado sio wa kufanyiwa vile na najma

  • @FetrishaFatuma
    @FetrishaFatuma 12 дней назад +42

    Nimechukia najma ulchokufanya na hayo ndio matokeo ya ubishi wako nakujfanya mjuaji mpaka hapo wanawake tujifunze kitu kuptia najma jaman kama unakubaliana na mm gonga like hapo

  • @Seleman-m4e
    @Seleman-m4e 12 дней назад +76

    Chuma kikali cha leo hatarii chado gang tuko pamoja gonga like kwa chado

  • @KhalifaAbdul-q4d
    @KhalifaAbdul-q4d 10 дней назад +4

    Daah hii yaleo imeniumza San aisee big up kaka chado

  • @abelmweri8744
    @abelmweri8744 12 дней назад +31

    Series Bora 2024 tz,gonga like kama unasapoti kazi ya hawa jamaa

  • @athumanmtegwa6045
    @athumanmtegwa6045 12 дней назад +23

    Chado eee unajua sana master afu cheusi ni noma kasema hiii huyu jamaa ka farasi

  • @Peter-j3r2w
    @Peter-j3r2w 11 дней назад +4

    Najma wewe ni malaya❤,yanaumiza moyo

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 12 дней назад +33

    Lahaulaaa najma😂😂😂 mtoto kakubuuuu😊 🙌...ila cheusi # najma hujafanya poa,mi mwanamke ila sipendi kumuumiza mwanaume kimapenzi😢

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina 12 дней назад +51

    Pole sana mwanangu chado daaaah una pitia magumu sana mwanangu ila uta shinda tu kichaawangu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @nemethmichael3582
    @nemethmichael3582 11 дней назад +3

    najma kanikmbisha mbali sana

  • @jasminirajabu6865
    @jasminirajabu6865 12 дней назад +90

    Imeniliza sana hii scene 😢 kuna muda sisi wanawake hatueleweki tuna taka nini daah pole sana chado master

    • @rashidgona1808
      @rashidgona1808 12 дней назад

      Shida ya nyinyi wanawake hamjui nn mnachotaka Kwa maisha yenu mko taar kuuza utu Kwa sababu za kijinga

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 12 дней назад +1

      Sio wote ila sio poa aki,tuthamini utu wanawake

    • @MwanakomboKenga
      @MwanakomboKenga 12 дней назад +1

      Ooo chado poleeeeeee

  • @Ilham-rc3zm
    @Ilham-rc3zm 12 дней назад +120

    Oy hichikipende kimenigusa sana kama wewe kimekugus kama mimi like ata tano tu 😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤

    • @SeniorKhan-w1o
      @SeniorKhan-w1o 12 дней назад +1

      My life iki kipand

    • @Nasriyahaya-s1k
      @Nasriyahaya-s1k 12 дней назад

      Kwely kabisa ✍️

    • @Mwanah-cg3ie
      @Mwanah-cg3ie 12 дней назад

      Sana😢😢😢😢😢

    • @ZamdaDjuma-g5w
      @ZamdaDjuma-g5w 12 дней назад

      😢😢😢😢

    • @VictoriaJuriass
      @VictoriaJuriass 12 дней назад

      Sana najima kaxingua ata kam wivu ndo usaliti tena chado alijizui
      Akwa mrrmbo jojo mwenye pesa yeysasmzanzibar sio mt😅😢😂

  • @RashidAbrahman
    @RashidAbrahman 12 дней назад +4

    Chado leo kapandisha shetani 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @MzakiruKapita
    @MzakiruKapita 12 дней назад +22

    Kwa mara ya kwanza tangu Cheusi azaliwe kafanya jambo la faida na la maana😂

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 12 дней назад +80

    Kubabake kiuno chako mie wa kwanza leo😢😢ole wenu msilike
    Daaaaaah mungu awabariki wote mnaosoma comment hii tuone mwaka mpya 2025😢

  • @TrihponiaJakobo
    @TrihponiaJakobo 11 дней назад +4

    Nimeumia sana najma jaman😂😅

  • @PendoChenga-l1q
    @PendoChenga-l1q 12 дней назад +85

    Kweli cheusi media ni media kubwa leo umetisha 😂😂😂😂

    • @aishasuleimanchigamba
      @aishasuleimanchigamba 12 дней назад +3

      ❤😂😂nkamkubali cheusi media yani acheleweshi😅

    • @PendoChenga-l1q
      @PendoChenga-l1q 12 дней назад

      @aishasuleimanchigamba leo katisha sana cheusi

    • @NadsmaaliAli
      @NadsmaaliAli 12 дней назад +1

      Nilijuwa tu cheusi habari ameziona lazima azifikishe weee patamu

    • @Fatuma-e8z
      @Fatuma-e8z 12 дней назад

      Leo kafanya Jambo la maana haswa 😂😂😂😂

    • @Mwanasha-i9l
      @Mwanasha-i9l 12 дней назад

      Kabisa

  • @AbdallahIsmail-vh1tb
    @AbdallahIsmail-vh1tb 12 дней назад +37

    Wa kwanza jaman from Tanzania 🇹🇿 likes zangu jaman

  • @salmingeana-v8x
    @salmingeana-v8x 11 дней назад +2

    Mademu wanaojifanyaga wanapenda Masela sisi matozi tuna walaga kirahisi sana..
    Alafu hivi videmu vyembamba ize tuu🤗

  • @ElizabethWanyama-j3g
    @ElizabethWanyama-j3g 12 дней назад +34

    Mapenzi nimeyavulia shart, mapenzi nimeyavulia kofia nimeamini sio muchezo wa wanyonge,pole chado najua maumivu ya mapenzi,na pia nawapenda Sana kutoka 🇰🇪

  • @EzekielKyara-i1x
    @EzekielKyara-i1x 12 дней назад +10

    Ukisikia Muhuni akipenda ujue amependa kweli..!!!!❤🎉🎉🎉

  • @Bintngozi209
    @Bintngozi209 12 дней назад +2

    Chado umeniliza sana jaman,,, kweli unacho kipenda ndo kitakachokutoa machozi,, najmaa mbwa ww una shukulani😢😢

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 12 дней назад +7

    Cheusi una bahati yaku kupeleka umbea😂😂😂🎉🎉❤❤kazi xuri

  • @Neuvemzaliwa5
    @Neuvemzaliwa5 12 дней назад +15

    From congo toujour 🇨🇩🇨🇩🍭ila misumari kaza mwanangu

  • @LeonardSilungwe-x7d
    @LeonardSilungwe-x7d 9 дней назад

    Nakubali boss chado
    By Leonard silungwe from sumbawanga kijiji cha tunko

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 12 дней назад +69

    Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @dianamlinge
    @dianamlinge 12 дней назад +22

    Nimeumia Sana Sana sana😢😢... Pole chado Ila najma umeniboa jmn ,oya misumali iendelee📌📌

  • @JuliusTak
    @JuliusTak 12 дней назад +5

    Hili song lina piga mwisho mwa episode nimelipenda ❤ sana Nani kaimba

  • @AshaLazaro-u9m
    @AshaLazaro-u9m 12 дней назад +22

    Inauma jamani chado hii kitu huwezi kuelewa feeling deep yake paka ikukuteee umekumbusha mbali chadoooo 😭😭😭😭😭🙌

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 12 дней назад +63

    Mwaka ndio huooo Unaishia 📌📌 Naomba Tuzidi kuwa na Upendo pia Tuzidi kupeana Support kwa kila Hatua... All Team Chado Tunawapenda sana na Tunaomba Tuvuke salama huu mwaka tukiwa FITTI kabisaa. 💪💪

    • @ShamsaKalim-tv4jm
      @ShamsaKalim-tv4jm 12 дней назад +2

      Ila me unanikosha sana cheus 🤣😂 lahaullah najmaa 😅

    • @patriciachangawa1754
      @patriciachangawa1754 12 дней назад +1

      Ameeen🤲🙏

    • @mlachake3589
      @mlachake3589 12 дней назад +1

      Cheusi media😂dogo langu I say , more support from kenya

    • @Cuteyjamy
      @Cuteyjamy 12 дней назад +2

      Yan leo cheusi umenifurahisha sana na umbeya wa leo Yan huo ndo unao takiwa na visibitisho love it xnaaaaa❤❤❤

    • @Urahotv
      @Urahotv 12 дней назад +1

      Cheus we noma

  • @BahatiMungure
    @BahatiMungure 11 дней назад +1

    Hii movie meipenda sana very strong ya viwango vya kimataifa inafunza mengi sana

  • @danielsaiguran6888
    @danielsaiguran6888 12 дней назад +35

    Chado Hadi umefanya nimelia na kumbuka mbaili sana hii saluti kwako master kumfumania najima nimeipenda olahi Niko kenya

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p 12 дней назад +6

    Cheuc 😂😂😂😂😂😂 jamanii cheuc cmuwez jaman. Utakuja kusababisha watu wauanee😂😂😂

  • @KomaSavatz-f8y
    @KomaSavatz-f8y 11 дней назад +2

    Leo umenigusa sana chado had nmelia nakumbuka nilio ptia salut kwako

  • @Ominar2024
    @Ominar2024 12 дней назад +17

    😢😢😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ninavyougua mapenzi Sasa adi nimelia chado chado chado😢😢😢

  • @FatumaAbdalah-sj3dz
    @FatumaAbdalah-sj3dz 12 дней назад +5

    Yaleo Kali chado mata 🌹🌹 hongera unaelimieha Sana cheusi kiboko nakuku Bali mwenetu❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelSaka-ub1wm
    @EmmanuelSaka-ub1wm 12 дней назад +11

    Dahh nimelia kama mimi ndo chado ila najma akili huna mdogo wangu hujitambui beach boy atakusaidia nini huyo hana uchungu na wew hata kidogo... ona anayopitia chado inaumiza sana hukumbuki hata mema yake na mlipotoka yan dah najma sikupendi kweliii wew kidem jau wala hajakosea kukuita hilo jina😢😢 sikupendi kuanzia leo #KIDEM JAU kiuno chako kubababako😢😢😢😢😢😢😢

    • @MimaMkuwele
      @MimaMkuwele 12 дней назад

      😅😅😅

    • @samhajuma-q5w
      @samhajuma-q5w 11 дней назад

      😂😂😂😂mbona makasiriko kaka wana act tu hao

  • @Dee_ano
    @Dee_ano 12 дней назад +6

    Wazanzbr walivyo ss huyo najma mara kashanasa mimba tyr...
    ila chado u did fantastic may blessings you inshallah

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli 12 дней назад +14

    Nilikua nikiisubir kwa hamu big up chadoo master 🎉🎉🎉

  • @MickdadDaniel
    @MickdadDaniel 11 дней назад +1

    Nakukubali sanaaa chado master pia dogo mprosoo Jr daah pokeen 🌹🌹

  • @zabronmagoko
    @zabronmagoko 12 дней назад +9

    Mwnangu cheusi nakubali xan pih mm nilitaka iwe hvyo auxhidwi kitu kichaawangu cheusimedia 😂😂😂😂

    • @ZubedaMbegu
      @ZubedaMbegu 12 дней назад +1

      Me mwenyew kanikoxh balaaa😂😂

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 12 дней назад +16

    Hahaha najma Leo juma ililala ndaniiiiii😂😂😂😂😂😂

  • @KethiaLadouce-u1f
    @KethiaLadouce-u1f 11 дней назад +3

    Chado umetisha sana i movie imekuwa Noma sana ❤❤

  • @Sniper-pMc
    @Sniper-pMc 12 дней назад +28

    Chado master siku zote ..Leo nimeona faida YA cheusi media❤❤ imenaza ndipo..wish to see you guys someday

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 12 дней назад +10

    Pole sana chadooo umeniliza sanaa leyooo najimaa kweli hilindiyo unamlipa .chadoo amepambana sana kwaajili yakoo nimelia sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @AbubakariMchambalous
    @AbubakariMchambalous 11 дней назад +3

    Anaye soma comment hii mungu ampe maisha marefu

  • @Zeynab-vx4bs
    @Zeynab-vx4bs 12 дней назад +9

    Wow wow wow ongera chado nimependa san🎉 🎉🎉🎉

  • @jamilamohamed4307
    @jamilamohamed4307 12 дней назад +26

    Ata saa mbovu kuna mda inakua na maana leo cheusi umetisha

  • @AminaSikwala
    @AminaSikwala 12 дней назад +2

    Leo nimefurah sana Najma kubinjuliwa alikuwa ashanikera sana na gubu lake

  • @mishimohamed5997
    @mishimohamed5997 12 дней назад +8

    Mashallah tabarakallah pongezi Sana Sana chado na team yako,this movie is like a real life story no fake in it at all.congrats mr.chado n big up.blessed abundantly n we love you so very much.❤❤❤❤

    • @AsmasaidiTitu
      @AsmasaidiTitu 12 дней назад +1

      🎉tabarakallah usimtaje Allah kwa mambo yasio na maana

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 12 дней назад +114

    Mungu Awabariki Wote Mnaofatilia Tamthilia Hii Pia Mungu Awajalie Mwaka 2025 uwe Mwaka Wa Mafanikio na Kutimiza Malengo Yenu Ameen ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @faudhiashaban-mx1zl
    @faudhiashaban-mx1zl 10 дней назад +1

    Haka katoto kasenge kweli , kanatuzalilisha sana😢

  • @Naeema-d9s
    @Naeema-d9s 12 дней назад +6

    Dah chado.leo umejua kuniuzunisha ,aisee mapenzi hayana umri walah

  • @FaidhatyDavido-r4q
    @FaidhatyDavido-r4q 12 дней назад +13

    Mpaka damu inauma 😢😢😢(cheusi media) heri ya mwka moya🎉

  • @jabirkassim6249
    @jabirkassim6249 11 дней назад +3

    Big up kwako chado kazi nzuri sana ❤

  • @MbembaLichene
    @MbembaLichene 12 дней назад +5

    Chado namkubaliiii sanaa na kwann hakumuhua tuuu uyu kijana mm ximkubaliiii

  • @GittahFunmtu
    @GittahFunmtu 12 дней назад +7

    Kenya always last, nice one dungu zanguni wakenya mnao endelea kusappoti na kifuatilia chado masta, mungu ampe ujuzi na maarifa aendelee kutuchanua

  • @PreciousPilla
    @PreciousPilla 8 дней назад

    Kaka I love you Mimi naitwa precious natamani kua kamawewe uko series I love you 💕💕🙆❤️

  • @Zazafilms-257
    @Zazafilms-257 12 дней назад +4

    Cheusiiiiii😂😂 umetuchangamshaa hakiii napenda umbeya wakoo😂😂😂 wallah dhaaa kufumaliwa shidaa mway ina umaa sana chadoo 😢

  • @DaviiyKamande
    @DaviiyKamande 12 дней назад +15

    Najma kaliwa Leo najamaa kakimbia zake

  • @AlikadoGaudence
    @AlikadoGaudence 12 дней назад +1

    ❤❤
    Mikono juu kchau Wang chado master ujengewe sanamu

  • @annaki318
    @annaki318 12 дней назад +7

    Si hata nyie mmeona umbeaaa wa cheusi ulivo na faida😂😂😂😂

  • @JasitnJoseph
    @JasitnJoseph 12 дней назад +5

    lahaula daah kwakwel cheusi nainjoy sana kweny kipindi chako😅😅😅

  • @davidsheka3798
    @davidsheka3798 12 дней назад +15

    Ni movie moja kubwa sanaa pia nikali kuliko hatulali mpaka tumuone chado,respect brother unajua nini unafany 👏 🙌

  • @michaelhhayuma1649
    @michaelhhayuma1649 12 дней назад +8

    Najmaa nakuchukiqa sanaaa umeniumiziaa chado wanguu😢😢😢😢

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy 12 дней назад +9

    Leo nimewahi 6 min ago umetixha xana brother 🤜🤛 kula gwala mushikaji wangu CHADO MASTER 💥💥💥💥💥🎉🎉🎉

  • @samgwazay1208
    @samgwazay1208 9 дней назад

    Chado amezingua..analiaje mazingira Yale..peleka moto

  • @AbdillahOomar-h7l
    @AbdillahOomar-h7l 12 дней назад +24

    leo wa kwanza kabisa from zenji naomba japo kumi tu

  • @dainty-eve
    @dainty-eve 12 дней назад +13

    Hadi nimelia chado why you 😢😢😭 I wish to have a man like you❤, Much love from ke 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤😢

  • @GresMechael
    @GresMechael 8 часов назад

    Daaaah nimeumia San kwa kwel ila sie wanawake tuwe tunafikilia mara mbil mbil tazama chado anavocheka kwa maumivu😢😢

  • @edwardgeofrey-l9u
    @edwardgeofrey-l9u 12 дней назад +7

    Daaaaa hakika imeua xan chado master ila inauma xan chado pon ila najim ww punguz bhan yaan hutomaliz form 4 ushapat mimbaa Daaaaa ila nom xan mwamb na uhun wot huo analia kam anachek jaman jaman anaeamin mapenz ni kibok gong like

  • @Talikishaibu
    @Talikishaibu 12 дней назад +4

    Daaah kweli najma Malaya wa utoto kashindwa kuwa na subra akajua jinc gn chado anapambana Kwa ajili yake duuuuh nyie wanawake mungu anawaona

  • @MwanashaGanzallah
    @MwanashaGanzallah 9 дней назад

    Proud of you Cheusi media,,,Cheusi kama cheusi😂😂😂

  • @maryammaryam7354
    @maryammaryam7354 12 дней назад +11

    Jaman chado ,,anaumia sana,Ila najima utashika mimba, shor zako

  • @jeunnerosékilela
    @jeunnerosékilela 12 дней назад +4

    kazi nzuri ongereni ime niliza sana kwa wema wote wa chado 😢😢😢

  • @asha6783
    @asha6783 11 дней назад

    MashaAllah chado kakangu ...weee mlumenikumbusha mbali kweli aki mapenzi yauma 😢😢big love chado..... from kenya

  • @DaraiDaniel-k5v
    @DaraiDaniel-k5v 12 дней назад +10

    Ngwengwe masta kijana nampenda sana