Tanroad tunawaomba kuziba mashimo yaliyopo Barabarani..pia tunapendekeza kuwe na utaratibu wa kukagua barabara japo kuweka sign post za dharura katika maeneo yenye mashimo!..Mungu Awafanyie Wepesi Wahanga wa Ajali..Pumziko jema kwa Walifariki..Amen
Sijajua hili shimo ni lipi ila km ni la lile la pale ukitoka kilapula km unaenda muheza kabla hujafika kwenye Sheri pale chini lipo mwaka Jana mwezi wa kumi likitaka kutiwa mimi na mume wangu 😢 nikikumbuka mpaka leo sisahau 😢
Saiz ukiamka ajali ukilala vifooo alooo kama mola bado anakilinda usijione we ni mkamilifu tuzidi kumuomba yeyeee 🙏🙏🙏
Mungu awajaalie majeruhi wote wapone na pia waliotangulia mbele ya haki awapokee kwa mkono wa kuume. Aaaamiin
Tanroad tunawaomba kuziba mashimo yaliyopo Barabarani..pia tunapendekeza kuwe na utaratibu wa kukagua barabara japo kuweka sign post za dharura katika maeneo yenye mashimo!..Mungu Awafanyie Wepesi Wahanga wa Ajali..Pumziko jema kwa Walifariki..Amen
Yarbb mola wetu 🤲🤲
Poleni sn WATANZANIA wenzetu inaumiza sn .
Poleni sana watanzania wenzetu😢😢
Poleni sana
Jaman polen ndugu zangu lkn tutie tahadhari za usalama barabarani🙏🙏
Pole sana
Mwisho wa mwaka😢😢
Inalillah wainailayh rajiuun
Shetan yupo anavuna jaman 😭😭😭
Kakwepa shimo anaend kuwekwa kweny shimo
Mungu tusamehe waja wako
Jmn poln xaaan
Barabarani sio rafiki acheni kuwalaumu madereva kila kukich
Huu mwaka jaman Mungu tusamehe tulipo kosa
Ajali zinatisha ndio kipindi cha madereva kuhakikisha wanafuata taratibu zote za kiusalama bila shuruti
Allah awarehemu atulinde na sisi
Amiin
A
Tatizo ni ubovu wa barabara
Sijajua hili shimo ni lipi ila km ni la lile la pale ukitoka kilapula km unaenda muheza kabla hujafika kwenye Sheri pale chini lipo mwaka Jana mwezi wa kumi likitaka kutiwa mimi na mume wangu 😢 nikikumbuka mpaka leo sisahau 😢
Tuwe makini kwenye ajali hizi
Eh mueshimiwa umepigaje apo
Duuuuh wapumnzike kwa Amani 😭😭😭😭
Barbara ina Mashimo makubwa kama mahandaki
Duh
Inna lillaah wainaaillah raajiun
Innallillah wa lnna ilah rajuen 😭😭😭
Sadaka time
😭😭😭 r.i.p jmn MUNGU wapumziahe pema peponi amen 😢
Polen sana
daaa nlkoswa koswa Wiki iliyopita sina ham na safari
Kumbe chanzo ni barabara mbovu unaona sasa
🕊️🕊️🕊️
Hesabu zinaendelea
Daa umwaka uishe tuu
Eeeee jamaniii mbona maajali hivi jamani uwiiiii
Sio mwisho wa mwaka Umakini unatakiwa kuwa mda wote barabarani kwa madereva ata Kama shetani yupo kazini.
ila madereva wa mafuso sijui wana akili gan
Shida ni dreva wa gari ya abiria sikiliza vzr taarifa
Ila pia barabara ni nyembamba wazee .. wangeweka mkakati wa kutanua barabara@@iddimngazija1957