Waimbaji angalieni msiendelee kuuza nafsi zenu kwa Shetani shusho nilizipenda sana nyimbo zako lakini sasa naziona kama ni za kidunia ila nitakuombea kwa BWANA WETU YESU KRISTO AKUOKOE tena Amen
Don't judge Yesu alikuja kwa walio wenye dhambi na tunaishi kwa neema.Hadi Yesu alipokula na watosha ushuru aliambiwa hivo tu so don't judge sisi sote ni watoto wa Mungu na tunaitaji neema
Gentleman, do you know what you do in the spirit when you say you and your family love Diamond? You have been covenanted to him; Be quick to fast and separate yourself from that covenant in Jesus name
Don't ever say that again..eti this is what God wants... really???! God is HOLY. HOLY HOLY sio huu mchezo wa sexual dances n dressing... it's all nonsense...
Yesu alikula nakahaba na machozi ya kahaba yalimdokea miguuni yesu na akayanawa kwani shusho yeye kafanya nini baya Mungu ameagiza upendo sisi tunaleta ubaguzi uwezi jua yesu kamtumia nini kwa nasibu yawezekana nasibu akazijua njia sahihi kupitia shusho pia imeandikwa tusihukumu
Diamond All in all tabia zake here shows he has respect for Jesus,mavazi,upole,mistali,kulipo secular,roho inataka lakini mwili inakataa.....Jesus loves u i wish u know.
Big up shusho kwa kulisha watu neno la mungu utapata tuzo mbinguni maana ata yesu hakubaguwa napenda nyombo zako zote maana hakosehi unatuweka karibu na uwepo wa mungu na kutupaka mafuta ya insparation ya ufalme wa mbinguni
Kenya 🇰🇪 we love sister Christina chapa kazi ya mungu 😊 1JOHN 4:8-16 God love❤is love and whoever lives in love❤God loves in him. Please Christian ✝️ God is love show others love stop Chritizing our sister Christina ,hata yesu angekuwa angefanya exactly hivyo sister Christina amefanya lets show others love ❤of God,God is love who ever doesn't have love is not from God
I love you Christina shushu and nasibu fo this necessary example every one we just compare the example of nasibu and Christina shushu God bless you because all we have a one goal to archive the paridiso😊
Utukufu ni wa Mungu Peke yake. Giza na nuru azina mausiano kabisa. Huyu Shusho siyo kondoo wa Yesu Kristo, huyu ni mfuasi wa madhabau za giza. Chochote kilicho kinyume au akimsifu Mungu, basi tambua icho ni giza. Huyu mama tiyari kauza nafsi gizani. Muwe makini mziki mnazo sikiliza, mziki ni roho. Mungu airumie roho yako.
Wandugu Mungu alietuumba sote kunajambo anasema em tunyamaze maana yeye ndie mwenye tick au kosa..... God is saying something and He has the right mark for this....
Hakuna ushirjka kati ya bongo fleva na injili ,hii siyo siasa. Nuru na giza havikai pamoja.Huku ni kuchanganyikiwa tu kwa sababu ya kutafuta umaarufu. Christina ajtafakari. La sivyo kesho Diamond atamwekwa kwenye orodha moja na kina zari the bosy lady.
Watu tusipinde pinde. Freemason (diamond )na shusho wapi na wapi? Huyo kaishaingia huko. Hakuna Mungu hapo, ni ushetani tu. Naomba Mungu aingilie kati mwenyewe. Hasa kuliokoa kanisa lake, hiki ni kipindi kigumu Sana kanisa tunachopitia. Kupitia yeye wengi wanaweza kuanguka, Tena hasa kwenye makanisa anayokwenda. Naumia Sana.
1 Wakorintho 5 8 basi na tuifanye karamu, si kwa chachu ya kale, wala kwa chachu ya uovu na ubaya, bali kwa yasiyochachika, ndio weupe wa moyo na kweli. 9 Naliwaandikia katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi. 10 Sisemi msichangamane kabisa na wazinzi wa dunia hii, au na wenye kutamani, au na wanyang'anyi, au na wenye kuabudu sanamu; maana hapo ingewalazimu kutoka katika dunia. 11 Lakini, mambo yalivyo, naliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang'anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.
Yaani YESU KRISTO KABLA HAJARUDI TUTAONA MENGI AMBAYO YATAWACHANGANYA WATEULE WATEULE TUWE MACHO NI SIKU ZA MWISHO TUTAFAKARI NJIA ZETU YESU KRISTO YUKO MALANGONI SHALOOM SHALOOM
Lets keep praying for Diamond . A prophecy was made by Pastor Andrew Truelight and Pastor Ian Ndlovu . Lets pray that he gives his life to Jesus Christ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Christina Anavua Kuvua.. Diamond Simba Mungu anataka wewe ubadilishe njia umtumikie ❤️❤️🙏Diamond Shusha Nyavu Umtumikie ❤️❤️❤️
The first comment that is making sense. People glorify others falling why can't they learn from Jesus himself
kama unamuona huyu dem eti ni mtakatifu basi wwe huelewi -- huyu anataka mume anamtaka diamond
Diamond Platnumz ataendelea kufanikiwa kwa style kama hii. Anawaombezi wengi sana kuliko wanaomtakia mabaya. I love him and pray for his prosperity.
Iko wazi Dini sio vita iman bora zaid kuliko Dini
Unaongea vema lakini katika mwili,,,ulimwengu wa KIROHO haujakufunulia mambo ya Rohoni lakini naomba siku moja ROHO mtakatifu akufungue
@@JULIUSOLUOCH-xf8ki sawa Mungu
@@EzzyK438Wachekesha aise. Uungu wake @JULIUSOLUOCH-xf8ki umekuja vipi sasa??😂
kulingana Na wazo la biblia,hakuna mausiyano Kati ya nuru Na giza.ao sote tupo gizani ao sote tupo nuruni.hamueni kwenye urafiki huu
Dear God,we need more of you, our confusion is getting more complicated 🤦♂️
Big ups platnumz.. Allah akuzidishie moyo hyo ..na uzidi kufanikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Diamond Platinum is another level.
Hata wamuombee mabaya,hawezi kumufikia
God can change anyone and anything He is God. Sitashangaa Diamond akimkubali Yesu. Glory be to you Lord Jesus at your time it will happen
Ooooh lord thanks
One day Yes
Long Live @diamondplatnumz huna ubaguzi bro, Nakubali 👏
Waimbaji angalieni msiendelee kuuza nafsi zenu kwa Shetani shusho nilizipenda sana nyimbo zako lakini sasa naziona kama ni za kidunia ila nitakuombea kwa BWANA WETU YESU KRISTO AKUOKOE tena Amen
Do you have proof
Don't judge Yesu alikuja kwa walio wenye dhambi na tunaishi kwa neema.Hadi Yesu alipokula na watosha ushuru aliambiwa hivo tu so don't judge sisi sote ni watoto wa Mungu na tunaitaji neema
Shusho lost direction. She's for Silver now Saving Souls is out of her hands
Amen ila ni maombi kweli kweli
Ni ukweri diamond kweri nime shituka😢
Kweli uyu jamaaa Mungu aendeleye kumubariki kwakila Jambo ❤️🇨🇩
Very nice!! That is why me and my family love diamond 💎
Gentleman, do you know what you do in the spirit when you say you and your family love Diamond? You have been covenanted to him; Be quick to fast and separate yourself from that covenant in Jesus name
Diamond may you be protected by the blood of Jesus siku zote za maisha yako. Well done....from Holland 🇳🇱
Amen
You will be surprised on that day when Jesus says He doesn't know who diamond is
Holland ya temeke😂😂
This is what God wants us to b like, love to everyone despite his/ her religion. Respect Diamond!
Give a suggestion don't command people to Respect Diamond: Be blessed and I too respect your opinion
Agreed but what shall benefit a man to be loved by millions of Christians and lose the kingdom of eternity? We pray for him too realize that. Peace !
Hosea 7:8
Is that majaliwa?yes we respect all the abramic religions and not idol worshippers.
Don't ever say that again..eti this is what God wants... really???! God is HOLY. HOLY HOLY sio huu mchezo wa sexual dances n dressing... it's all nonsense...
Yesu alikula nakahaba na machozi ya kahaba yalimdokea miguuni yesu na akayanawa kwani shusho yeye kafanya nini baya Mungu ameagiza upendo sisi tunaleta ubaguzi uwezi jua yesu kamtumia nini kwa nasibu yawezekana nasibu akazijua njia sahihi kupitia shusho pia imeandikwa tusihukumu
Sana Sasa iweje wamshangae naseeb
Mbona hii nchi ina vibes nyingi Tanzania ni Bora mno naipenda Tanzania nchi yangu ya pili
We kama mm nawaza ivi wanchi nyingine. Nao wanainjoy kweli kama sisi
Si ndio assignment ya taifa
Simba lamasimba Dangote Noma saanA good boy good music 🎥🎧🎹📷🎙️
In Hell you will know the goodness of that Music
he is forgetting The LION of lions is KING JESUS CHRIST
Hili ni jambo kubwa sana kwetu kuna wengine inche za inch wanatamani inch zao ingekuwa kama Tanzania 🇹🇿 mungu aendelee kututunza na tuwe na amani sana
Amen 🙏
Pamoja sana
Tanzania ni nchi nzuri sana wakristo na waislamu Wana kula Pamoja 🙏
Amiina
Vizuri alakini nyinyi piya Muna tamaniya Ichi mengine kama Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 apa ni fally. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Alakini kwenu napenda harmonize
If this guy decides to sing for Christ,, I know he'll win many souls to the kingdom❤
Uwongo.. He will win many women to the kingdom. God doesn't need smooth boys, He uses real men who fear Him
Unfortunately he hasn't decided and we pray he decides so that his praises won't be noises to God as Hosea puts it.
@@BuyDipSellTop a u high
Very true but impossible
@@BuyDipSellTop Absolutely true and deligent
Nuru lazima ibali Giza,l love this woman of God❤❤❤❤
Safi sana nimependa kila ulimi utamkiri Yesu ni Bwana
Diamond All in all tabia zake here shows he has respect for Jesus,mavazi,upole,mistali,kulipo secular,roho inataka lakini mwili inakataa.....Jesus loves u i wish u know.
So nice ❤️❤️❤️ who else realise Diamond has no rings on his hands😅😅I love Tanzanians so much❤❤
Big up shusho kwa kulisha watu neno la mungu utapata tuzo mbinguni maana ata yesu hakubaguwa napenda nyombo zako zote maana hakosehi unatuweka karibu na uwepo wa mungu na kutupaka mafuta ya insparation ya ufalme wa mbinguni
Tzd yetu aina ubaguzi wa dini pongezi sana mwalimu nyerere
Am happy fr that aki kwingine wengine hututusi sisi wa kristo aki but mungu c mawe
Kabisaa
Hongera sana Christina my dear kwa kupambana kuwa karibu na huyu mtu ili kumsogeza kwa Yesu. Hii ni njia ya kumleta.
Purely bizness,,,,tulianza na roho tunamaliza na mwili😂😂😂😂
Ni kweli.
True
Nope macho nione: macho ya roho Dear Lord Jesus Christ help us run the race faithfully 🙏🏻
Omba Mungu akupe macho uone pia Ludia kumwambia Bwana Yesu akukumbuke tena kama ulivyoimba unikumbukee Yesu
Simba Simba Simba Simba Dangote
God bless you Naseeb
Christina You are such a good mother. I know one day Nasibu will give his life to Christ.
Between the two right now , one can easily influence the other. Reason why the vulnerable one should stay away and guard her salvation.
Kenya 🇰🇪 we love sister Christina chapa kazi ya mungu 😊
1JOHN 4:8-16 God love❤is love and whoever lives in love❤God loves in him.
Please Christian ✝️ God is love show others love stop Chritizing our sister Christina ,hata yesu angekuwa angefanya exactly hivyo sister Christina amefanya lets show others love ❤of God,God is love who ever doesn't have love is not from God
Majaliwa my friende be blessed bro mdodu from Chugga aisee 🎉
I love you Christina shushu and nasibu fo this necessary example every one we just compare the example of nasibu and Christina shushu God bless you because all we have a one goal to archive the paridiso😊
Diamond naomba aifanyie remix
Usijitafutie umaarufu Kwa jina la Yesu. Ole wako .usimdhihaki Mungu
Hii ndo Tanzania ninayo itaka hatubaguani kidini kikabila mungu awabariki sana
Wote wanatumikia mungu moja hapa duniani hamna cha kushangaza hapa
Hiyo ndo kweli alisi ndugu yangu.hakuna maasiano kwa kambi mbili.
Respect to diamond he also respects Christians ❤
Shusho God bless , more grace
Diamond 🎉🎉🎉🎉🎉
NIIICE..Simba alikuwa akienjoy the beats,guys..
Btw this dude is Soo humble
Hongera shusho Munga akulinde sana
Unachafuwa nyimbo zainjili mungu atakupiga fimbo chaguwa kuimba nyimbo zakiduniya amaza mungu😊
Walalala! Hapo ndio tumefika.
God have mercy on us.
Utukufu ni wa Mungu Peke yake.
Giza na nuru azina mausiano kabisa. Huyu Shusho siyo kondoo wa Yesu Kristo, huyu ni mfuasi wa madhabau za giza. Chochote kilicho kinyume au akimsifu Mungu, basi tambua icho ni giza. Huyu mama tiyari kauza nafsi gizani. Muwe makini mziki mnazo sikiliza, mziki ni roho. Mungu airumie roho yako.
Hadi raha ni mtu wa mungu diamond
Mungu hawez kukuacha nasibu
MUNGU ni WA HAKI na REHEMA,,akiomba Toba ya Kweli,atasamehewa,akibaki upande wa Giza ni Mauti
Nami natamani sana aokolewe.
Woman of God Shusho..Mungu akufungue macho dadangu. shetani ni muongo sana. Mimi niponea kwa neema yake...
Wandugu Mungu alietuumba sote kunajambo anasema em tunyamaze maana yeye ndie mwenye tick au kosa.....
God is saying something and He has the right mark for this....
Really love this
God bless diamond platnumz simba la masimba dangote 🙌
Mungu awabariki
Dada mrudie mungu Aliekupa kipaji umeanza lini kuvaa nguo za ajab umekuw kituko dada mungu akurudishe kwa mmeo mungu yup qlotaka umtumikie bilammeo
Diamond my favourite artist from 🇰🇪 nampenda zaidi very humble God bless u Simba.
Hakuna ushirjka kati ya bongo fleva na injili ,hii siyo siasa. Nuru na giza havikai pamoja.Huku ni kuchanganyikiwa tu kwa sababu ya kutafuta umaarufu. Christina ajtafakari. La sivyo kesho Diamond atamwekwa kwenye orodha moja na kina zari the bosy lady.
Ndiko anakoelekea
Level Yako ya wokovu longe Zeke
Shusho this .....mmmmh no
Huyu ni shusho kweli? Wametubadilishia
Hamna sikiliza shambani mwa bwana mazao ni mengi ila wavunaji bado niwachache
Diamond is a chilled man 😊
If you leave your husband to go and serve God. Then it must be another God and not the God of Israel. Lord have mercy.!
Let us all pray for the salvation of his soul in Jesus' Christ name, Amen
Kwa jinsi navyomjua mond hapa ameshakula mzigo tayari
The way Diamond is playing innocent, Wacha tu! Even at dancing, heh
Blaza nakukubali sana niatuwa nzuri sana iyo💯💯 mm atawasemeje sitatowa imani yangu kwako
Galatian 3:1
Read this sister christine shusho and reconsider your ways.god is merciful slow to anger and forgives us on our transhesdond.
am proud to be Muslim tunacomment wapi..😊
Iliaidiwa kuwa Injili itahubiria kwa watu wote dunian hat ww unaye beza uoni upo apo apo
😂😂😂😂😂😂
Hao❤ni ndg tu❤❤❤
Shusho na Cd anaboo Sana,,imba live mama
Christine shusho naomba uangalie huduma mungu aloweka ndani yako na uitumikie kisawa sawa.
Mbarikiwe watu MUNGU 🙏🙏🙏
It's true watu wa dunia ni rahisi kuwavuta watu wa Mungu. . .plz Christians focus on God
Msihukumu msije mkahukumia mwachie alie muhukumu wa haki na hakuna aliye mkamilivu ila Baba Mungu muumba Tz tunawapenda sana
Hongera sana kaka
Uyu dada ni wa viwango Mashaallah
Dada christine 😂😂😂naogopa sana nasibu
Atakushusha nyavu huyo
Light and darkness cannot be together not unless both are dark
Hivi christinna mbona unaishia mwilini dada, Mungu anatupenda sote ndio lakin Hubiri injili acha kupaform, hapo hakuna Roho wa Mungu
Thanks to the HOLY SPIRIT that he has revealed that to you,, continue existing in spirit
Diamond remains my favourite sing of all time. Hata shusho anaweza mshugisha nyafu ukweli🤣😂
Namuona rais wa moyoni mwangu Kassim Majaliwa
Hapo sawa
Christina God bless you
Amin naiwe kama ulivyo itwa paster nasibuu
Amen Amen
Bad company corrupts good morals. A believer must fight daily against the urges of the flesh, the pride of life being one of those urges.
Following from 254
Watu tusipinde pinde. Freemason (diamond )na shusho wapi na wapi? Huyo kaishaingia huko. Hakuna Mungu hapo, ni ushetani tu.
Naomba Mungu aingilie kati mwenyewe. Hasa kuliokoa kanisa lake, hiki ni kipindi kigumu Sana kanisa tunachopitia.
Kupitia yeye wengi wanaweza kuanguka, Tena hasa kwenye makanisa anayokwenda. Naumia Sana.
Usijaribu kupimia mwenzako kipimo ila Hali hujui kipimo chako
Tufanye yote ila tukumbuke nje ya uislam na ukristo sisi niwa Tanzania,,,,big up❤
Mondi hana baya. Salute dana shusho.
Nasibu mungu nindani yamoyo wako🎉🎉🎉❤
Congratulations naceeb
1 Wakorintho 5
8 basi na tuifanye karamu, si kwa chachu ya kale, wala kwa chachu ya uovu na ubaya, bali kwa yasiyochachika, ndio weupe wa moyo na kweli.
9 Naliwaandikia katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi.
10 Sisemi msichangamane kabisa na wazinzi wa dunia hii, au na wenye kutamani, au na wanyang'anyi, au na wenye kuabudu sanamu; maana hapo ingewalazimu kutoka katika dunia.
11 Lakini, mambo yalivyo, naliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang'anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.
Siku hizi huyu mwanamke anaimba kwa mashobo mengi, alafu Nia ya kusisitiza huu wimbo sio safi kabisa. Kapotea tena sanaaa katika usherati.
Kwani umezini naye
@@bintimkitosi6187 usherati sio tendo tu, ni tabia pia. Natumai umenielewa sasa kwa kuwa unacho kiereere.
Mungu aziakiw ivyo2
Mungu akubariki sana
Shusho tangu uimbe mm sikuwahi kukupenda. Lakini kwa hili, jinsi unavyopambana kumleta Mondi kwa Yesu!!!! Kuanzia sasa nitakupenda daima.
If God transformed Saul to Paul, He can change Nasib too. His saving grace is not limited with time or eras.
Et kumbe mondi wakike au sho mnalichafua neno la mungu
What has light to do with darkness? Christina rudi nyumbani kwa Bwana yako...Dunia itakulaba😮 La sivyo neema itaondoka na utabalu mahame🎉
Don't be yoked together with unbelievers.. God have mercy.
Shusho nlikubali sana nyimbo zako ila kwa Mondi hapo umepotea
God bless
Hakuna mwenye haki ya kusema fulani n mbaya mwenye mamlaka n mmoja tu. Mungu muimbaji
Na piah yesu alikuja kuwafikia wadhamibi kama mm na diamond guys
Yaani YESU KRISTO KABLA HAJARUDI TUTAONA MENGI AMBAYO YATAWACHANGANYA WATEULE WATEULE TUWE MACHO NI SIKU ZA MWISHO TUTAFAKARI NJIA ZETU YESU KRISTO YUKO MALANGONI SHALOOM SHALOOM
Mkanda umembana Sana dada shusho otherwise good job sisy❤
Kumbe sijaona peke yangu😢
Umeligawa tumbo adi Lina vifurushi
😂😂😂
@@estherwaliaula9132nilifikiri macho yangu mabaya 🤣🤣🤣🤣🤣
Siku hizi anaharibikiwa jamani shusho wangu na mavazi😢 nampenda sna ❤
Mashaallah 💕💞❤
Lets keep praying for Diamond . A prophecy was made by Pastor Andrew Truelight and Pastor Ian Ndlovu . Lets pray that he gives his life to Jesus Christ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Prophecy ilikuwa inadai aje?