GPS: Kwanini ISRAEL haitaki PALESTINA iwe TAIFA linalojitegemea! FAHAMU historia ya Mzozo Huu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 306

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 6 месяцев назад +30

    Free free Palestine ❤

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 6 месяцев назад +15

    Same story as zanzibar ni muingereza ndie alieyaponza mataifa km haya ambayo yalikua ni member ktk U.N ambayo yalipotezwa kw makusudi na mfano ya haya na kw kiasi flani pia tusikwepe sana kuwa haya mambo pia yanakwenda kiimani.yaani hawa watu ni weupe tu lkn roho zao ni nyeusi zaidi ya kiza .

  • @reginamayuto1357
    @reginamayuto1357 6 месяцев назад +7

    Men mupo vizuri sana ❤ tuna wakubali zaidi kutoka Danmark 🇩🇰

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 6 месяцев назад +37

    Inaumiza kuona Palestina wanauliwa na Israel kwasababu ya matakwa binafsi ya nchi baadhi za Ulaya,na Marekani ni tatizo ambalo linaumiza saana Israel kapewa eneo na halidhiki

    • @mamilooutukufu3516
      @mamilooutukufu3516 6 месяцев назад +3

      Soma biblia itakuambia kila kitu

    • @omariadidja5600
      @omariadidja5600 6 месяцев назад

      @@mamilooutukufu3516kwahiyo biblia imesema Israël iuwe watu 😢na kama ndio aliye andika biblia ni kweli Mungu kampa amri binadamu wafe tena watoto wadogo 😢binamu mnaroho mbaya mno

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 6 месяцев назад

      ​@@mamilooutukufu3516Acha ujinga wew

    • @josephissa4406
      @josephissa4406 6 месяцев назад

      Sawa mwana wa israel

    • @Bahati47
      @Bahati47 6 месяцев назад

      Kwahiyo bibilia ndio inaruhusu mauwaji ?​@@mamilooutukufu3516

  • @asyajey3479
    @asyajey3479 6 месяцев назад +7

    Henry mwinuka yuko vizuri

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 6 месяцев назад +8

    Asee bando langu lote nawakabithini sns kazi nzuri sky

  • @kulindwazakaria9741
    @kulindwazakaria9741 6 месяцев назад +8

    Hii maada ni tete sana bado haijajitosheleza tunaomba iwe na part2 awepo Thabith Mlangi, Dj Sma na huyo kijana wangu hapo pamoja na mwanasheia.
    Hapo kazi itamalizika

    • @GraceMashinga-be9wb
      @GraceMashinga-be9wb 6 месяцев назад

      Kabisa thabit mlangi anatakiwa sana siku Moja moja

  • @raphaelgeorge517
    @raphaelgeorge517 4 месяца назад

    Henry Mwinuka kachambua vzuri sana kwa facts na akiwa neutral big up Mr Henry

  • @bilonlestar7378
    @bilonlestar7378 6 месяцев назад +11

    Nabii Mussa ndio katangulia kabla ya Daudi na Suleimani. Na kiongozi ambao Allaah amemchagua ni Taluti (Sauli). Baada ya kufariki Taluti ndio Daudi akachukua nafasi ya ufalme. Rejea kwenye Quran Surat al-Baqara Aaya 246 - 251

    • @djsma255
      @djsma255 6 месяцев назад +2

      Asante

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад +1

      2:246 - Hukuwaona watukufu katika Wana wa Israili baada ya Musa, walipo mwambia Nabii wao: Tuwekee mfalme ili tupigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Akasema: Je, haielekei ikiwa mtaandikiwa vita kuwa msipigane? Wakasema: Itakuwaje tusipigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na hali tumetolewa majumbani kwetu na watoto wetu? Lakini walipo andikiwa kupigana waligeuka, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Na Mwenyezi Mungu anawajua madhaalimu.

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад +1

      2:248 - Na Nabii wao akawaambia: Alama ya ufalme wake ni kukuleteeni lile sanduku ambalo mna ndani yake kituliza nyoyo zenu, kitokacho kwa Mola wenu Mlezi, na mna mabaki ya waliyo yaacha kina Musa na kina Harun, wanalichukua Malaika. Bila shaka katika hayo zimo dalili kwenu ikiwa nyinyi mnaamini.

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад +1

      2:249 - Basi Taluti alipo ondoka na majeshi alisema: Mwenyezi Mungu atakujaribuni kwa mto. Atakaye kunywa humo si pamoja nami, na asiye kunywa atakuwa pamoja nami: ila atakaye teka kiasi ya kitanga cha mkono wake. Lakini walikunywa humo isipo kuwa wachache tu miongoni mwao. Alipo vuka mto yeye na wale walio amini pamoja naye, walisema: Leo hatumwezi Jaluti (Goliati) na majeshi yake. Wakasema wale wenye yakini ya kukutana na Mwenyezi Mungu: Makundi mangapi madogo yameshinda makundi makubwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu yu pamoja na wenye kusubiri.

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад +1

      2:250 - Na walipo toka kupambana na Jaluti na majeshi yake walisema: Mola wetu Mlezi! Tumiminie subira, na isimamishe imara miguu yetu, na utusaidie tuwashinde watu Makafiri--

  • @petrokayanda5361
    @petrokayanda5361 6 месяцев назад +9

    Hiki kipindi kinanipa marifa sana love the GPS

  • @fatmabukuku5384
    @fatmabukuku5384 6 месяцев назад +5

    Hongera sana sns kwa kutuletea geopolitics nafurahi sana kupata wachambuzi wa nyumbani maana huku tulipo tunapata wachambuzi wa magharibi tu.

  • @JosephatJohn-rv8cp
    @JosephatJohn-rv8cp 6 месяцев назад +1

    Umetafsiri vzrrrr xnnnn kk ila marekebixho kdg Kwa pendekezo ni vzr sana mkajianda kabla ya kutupa historia ilikutoa histori pasipo kukoxeakosea Ila historia ni nzrrr Asante xnnn

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 6 месяцев назад +8

    SNS is the best youtube channel in Tanzania,Nawafuatilia sana kutoka hapa 🇬🇧

  • @niyonkuruasman
    @niyonkuruasman 6 месяцев назад +6

    Nice story today

  • @Emanuelfrankasei
    @Emanuelfrankasei 5 месяцев назад

    Hongera sana kaka tupo pamoja kufatilia

  • @salunhokhan0386
    @salunhokhan0386 6 месяцев назад +4

    Mtafute sheikh Imran nadhar Hussein ana taarifa nyingi sana kuhusu escatology.

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 6 месяцев назад +6

    Mm na dj sma ❤. 🤗🤗

  • @BowowWoo
    @BowowWoo 6 месяцев назад +2

    Kutoka Congo DR nakufata sana

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 6 месяцев назад +4

    Exacly sma

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 6 месяцев назад +1

    Yesu aliuawa na Warumi.

  • @diamondkaigili1291
    @diamondkaigili1291 6 месяцев назад +3

    ni kweli wayahudi walihusika kuuwawa kwa Yesu, na baada ya hapo wanatumikia adhabu isiyonamwisho

  • @2KGrapher
    @2KGrapher 6 месяцев назад +2

    What an amazing content 💥🇹🇿

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 месяцев назад +3

    Dj. Smaa apo ndo umefanya conclusion ya kwamba uwo mgogoro hautaisha mpaka mwisho wa dunia...ayo ni maneno ya mungu na mtume Muhammad s.w...kwaiyo dj smaa apo tupo pamoja

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 6 месяцев назад

      Uko sahihi mpk khihama😢

    • @Daifar100
      @Daifar100 6 месяцев назад

      Quran gani iliyosema hivyo?? Au hadithi gani? Au umezungumza tu? Katika hadithi sahihi mayahudi watapigwa na waislamu katika vita ya mwisho mpak jiwe mti utakuwa unamuita muislamu na kumwambia huyu hapa yahudi njoo umuuwe.
      Somen dini yenu waislamu mwisho mwema na nusura ni ya waislamu hata kama sio leo wala kesho, kubwa rejeeni katika dini yenu, haya matatizo yote ni kwa sabba tunamuasi alietuumba.

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад

      3:65 - Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?
      3:66 - Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui.
      3:67 - Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
      3:68 - Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale walio mfuata yeye na Nabii huyu na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.
      3:69 - Kipo kikundi katika Watu wa Kitabu wanao penda kukupotezeni; lakini hawapotezi ila nafsi zao, nao wenyewe hawatambui.
      3:70 - Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu ilhali nyinyi mnashuhudia?
      3:71 - Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua?

  • @Eng2460
    @Eng2460 6 месяцев назад +5

    GPS🔥🔥

  • @Siasia209
    @Siasia209 6 месяцев назад

    Tunawapenda wote Djsma, Henry na Aliy masubi shukrn kwa elim mnayotupa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад +5

    Ugomvi wa waisrael na wapalestina uko kwenye vitabu vya Mungu hususani Biblia.Biblia imeandika kila kitu kuhusu vita hivyo.Nyie pigeni kelele tu ila ni mpango wa Mungu mwenyewe.

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 месяцев назад +6

    Hao wayahudi gani hao mbwa ibrahim ni mwarabu na hapo hawataishi kwa raha milele kwa nn wasitafute ardhi ulaya waje kuwaua wapalestina

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад

      NI KWELI IBRAHIM NA MAYAHUD WALA HAWANA UHUSIANO,IBRAHIM KAFARIKI MIAKA MINGI NDIPO UYAHUDI UKAJA,HALAFU WANAMFANANISHAJE IBRAHIM NA UYAHUD,WANATUNGA TU

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 6 месяцев назад

      QURAN 3
      3:65 - Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?
      3:66 - Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui.
      3:67 - Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
      3:68 - Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale walio mfuata yeye na Nabii huyu na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.
      3:69 - Kipo kikundi katika Watu wa Kitabu wanao penda kukupotezeni; lakini hawapotezi ila nafsi zao, nao wenyewe hawatambui.
      3:70 - Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu ilhali nyinyi mnashuhudia?
      3:71 - Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua?

    • @FrankKashamakula-xb1pc
      @FrankKashamakula-xb1pc 4 месяца назад

      Suleiman & David walitawala wapi sasa tuanzie apo 😂

  • @evodiusbahegwa6557
    @evodiusbahegwa6557 6 месяцев назад +3

    Ally ni wa Ukweli sana,He knows what he is talking,
    Sma talks what he knows

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 6 месяцев назад +2

    GPS inatufumbua bongo zetu ❤

  • @jeremiajohaziel4927
    @jeremiajohaziel4927 4 месяца назад

    Mwinuka uko vizuri sana

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 6 месяцев назад +3

    Bwana ndiye aliye mpa Ibrahim, Isaac na Yakobo nchi ya kanani.

  • @YaredMtiko
    @YaredMtiko 6 месяцев назад +4

    Hujui chochote, Israel huwezi kuitambua bila kuijua biblia takatifu

    • @faizG254
      @faizG254 6 месяцев назад

      Wee umedanganywa.You're brainwashed

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 Месяц назад

      Siku Ukigundua Kua Unaongea Mavi Kuhusu Wale Wamarekani Walioko Kwenye Ardhi Ya Watu . Utajiona Mpumbavu Halafu Unasukuma Na Habari Za Mungu Kwenye Huu Upumbavu

  • @onesmoKimaro
    @onesmoKimaro 6 месяцев назад +4

    Moses ni wa zamani sana kuliko king David na king Solomon

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 6 месяцев назад +4

    Wa Israel ni watoto wa yakoub wapo makabila kumi na Yusuf ndio mdogo wao

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 6 месяцев назад

    ❤ SNS family move ya mose inaitwaje

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 6 месяцев назад

    Nakuelewa sana

  • @godrickbategeki
    @godrickbategeki 6 месяцев назад

    Ally Masubi kuwa proffessional bro utafika mbali....... jitahid kuwa na subira ya usikivu pale mwenzako anapozungumza

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 6 месяцев назад +2

      I never talk mwingne anapoongea isitoshe huwa napenda waanze wenzangu nimalize huo ndo mfumo wangu fuatilia.

  • @RaphaelHhari
    @RaphaelHhari 4 месяца назад +1

    huu mgogoro ni swali la kiimani si la kisiasa kwa hiyo hakuna suluhisho la kisiasa kwa sababu hakuna binadamu anayeweza batilisha swala la Mungu

  • @johnmutemi4950
    @johnmutemi4950 6 месяцев назад +2

    Musa alikua mbele sana kabla ya David na Solomon

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 6 месяцев назад +3

    Free free Palestinian ❤

    • @samiraali1632
      @samiraali1632 6 месяцев назад +1

      From the river to the sea falestine will be free ❤

  • @inogelapixels
    @inogelapixels 6 месяцев назад +1

    GPS is the best Heritage

  • @RayMakini
    @RayMakini 6 месяцев назад +4

    Aliii anamadin mengi adi anatokaaa injee ya keeey.

  • @kingpunzy194
    @kingpunzy194 6 месяцев назад +1

    Wazungu Warasilimali (Capitalists) ndio waharibifu wa dunia. Wayahudi, Wakristo na Waislamu hii jamii huiwezi kuitenganisha. Ilishawahi ishi pamoja katika kivuli cha uislamu. Kuanzia zama za serikali ya Mtume Muhammad (s.a.w) hadi dola ya mwisho ya Ottoman. Wayahudi na Wakristo wenye elimu wanajua hili.

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 6 месяцев назад +3

    Hwawa mayahudi washalaniwa na mungu token wakati wa mitume

  • @Tanzaniatribune
    @Tanzaniatribune 6 месяцев назад +1

    Bahati mbaya sana huyu jamaa hajui historia.

  • @koudrashabani1912
    @koudrashabani1912 6 месяцев назад +1

    Tunashukuru Saana
    Inshallah Palestine watapata Haki Zao

  • @lodricophd728
    @lodricophd728 6 месяцев назад +1

    Fact and logic ✋🏼🤚🏼

  • @ChukuMrido
    @ChukuMrido 2 месяца назад

    Mko sawa

  • @AmbweneKaini
    @AmbweneKaini 23 часа назад

    Ila nyie mimi nawakubali sana tena nawafutilia sana mko vizuri sana na hamna udini

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 6 месяцев назад +2

    DJ sam alishaga visema ila sisi kuelewa nishinda 😂😂😂😂

  • @HamzaMakobanice
    @HamzaMakobanice 6 месяцев назад +1

    Dj sma nakukubali cn ila mnge mtafuta dokta sulle kidogo anajitahid cn katk history

    • @HamzaMakobanice
      @HamzaMakobanice 6 месяцев назад +3

      Kama unamkubali masubi nataka like

    • @Kzm-c9u
      @Kzm-c9u 6 месяцев назад +2

      Sule yuko bize kuwashawishi watu watumie majini kuwaletea pesa

    • @MackDizo
      @MackDizo 6 месяцев назад

      Respect

    • @dudumankidume3046
      @dudumankidume3046 6 месяцев назад

      ​@@MackDizoShida

  • @raymrash
    @raymrash 6 месяцев назад +3

    Uispania kama wako serious na swala la Palestina na Israel kuishi pamoja, yakiwa mataifa mawili tofauti...inabidi na wao walipe uhuru jimbo la Cataluna

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 6 месяцев назад +1

      HHHH Ndiooo_🤦🏿‍♀️

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 6 месяцев назад

    Uchambuzi mzuri sana SNS ni bonge la platform...

  • @JamuhuriIsaya
    @JamuhuriIsaya 6 месяцев назад +2

    DJ smaa unajitahidi lakini soma vzr torati ya Musa ndani ya baibo

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 6 месяцев назад

    Alafu yeye Israel ndio kachukua Arzi ya palestrina Alafu Ataki kutambua palestrina taifa 😢MPAKA MAHAKAMA ICC WAMETENGENEZA KUWASHITAKI VIONGOZI WA AFRICA TU😢😢😢

  • @AlbertKassa-l4b
    @AlbertKassa-l4b 6 месяцев назад +1

    Tatizo hapa wote wayahudi na waarabu walimkataa Yesu. Waarabu wana nia ya kuangamiza wazayuni na wazayuni wanataka kuangamiza waarabu. So is not easy to change their mindset. It doesn't matter if Palestine will be nation, the ideology of cleansing Israel that's problem.

    • @bakaribakari8972
      @bakaribakari8972 6 месяцев назад

      Waarabu hawajamkataa yesu kwenye Quran katajwa sana tu

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 6 месяцев назад

    Hapo leo hauko sawa

  • @ndotoyakolsl7217
    @ndotoyakolsl7217 6 месяцев назад +1

    Wao wenyewe Palestine wanataka nini? Do they want two states solution

  • @hassanpashua
    @hassanpashua 6 месяцев назад +4

    Hakuna taifa linaitwa Israel katika ramani ya Dunia

    • @fredlugome7952
      @fredlugome7952 6 месяцев назад

      We ndo umesema

    • @raymrash
      @raymrash 6 месяцев назад

      Sasa kama halipo acheni kusema Israel inaua watoto ... maana taifa halipo 😂😂😂😂

    • @hassanpashua
      @hassanpashua 6 месяцев назад

      @@raymrash tunaanglia history na hawatashinda ata wafanye nn kina netanyau

    • @raymrash
      @raymrash 6 месяцев назад

      @@hassanpashua kama hawapo kwenye ramani ya dunia kama usemavyo swala la ushindi au kushindwa halipo

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 6 месяцев назад

      Wew hujaangalia Google map Vizur hem I zoom ndo utaelewa Kuwa Haipo au ipo

  • @klmhardware2993
    @klmhardware2993 6 месяцев назад +2

    Ukisoma biblia baada ya gharika, Nuhu alikunywa divai akalewa Hamu kijana mdogo wa Nuhu akamchungulia baba yake kwahiyo akalaaniwa akaambiwa atakuwa mtumwa wa ndugu zake hamu ndio baba wa kanaan.NUHU alikuwa na watoto wa tatu SHEM, HAM na YAFETH, ukisoma mtiririko wa vizazi Uzao wa SHEM ndiko alikotoka ABRAHAM.

    • @samxx411
      @samxx411 6 месяцев назад

      Acha kuwatusi mitume Nuhu hakuwa mlevi, hayo matabu yenu waandishi wenu wanatoa vichwani mwao

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 6 месяцев назад +2

    Matendo 2:5 Na walikuwako Yerusalemu Wayahudi wakikaa, watu watauwa, watu wa kila taifa chini ya mbingu.

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 6 месяцев назад +8

    Israel Haina nguvu yoyote bila ya mataifa ya magharib

    • @fredlugome7952
      @fredlugome7952 6 месяцев назад +1

      Sio kwel

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 6 месяцев назад

      Ndio walioianzisha nandio wanaoilinda
      Wt wezi wa ardh ya waarbu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 6 месяцев назад +1

      ​@@fredlugome7952wewe nawe aya basi izrael wanaowana wanaume na wanaume soon nyau atakuja kukuoa

    • @MODEKAI
      @MODEKAI 6 месяцев назад

      Ni ukweli kaka.Kwenye bajeti ya America Israel Huwa inapewa hela na vifaa vya kivita

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 6 месяцев назад

      @@MODEKAI nchi yakwanza kwkupewa pesa nyng na marekan
      Ni israel ya pili ni misri
      Majesh ya nchi izo ndio yanayongoza
      Misri paliwai tawaliwa na wayahud mshenzi farao
      Ndio mana hawaelewek

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 6 месяцев назад +2

    Anayetaka vita iendelee mashariki ya kati sio Israel bali ni Marekani ana maslahi yake mashariki ya kati

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 месяцев назад +1

      Yale mafuta na gas Iko pale gaza

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 месяцев назад +2

    Ùyahudi ulikuepo na ufalme wake ndio mana waligawanyika wayahudi waliomkataa Yesu kuwa Masihi,wakamsulubu. Wayahudi waliomkubali Yesu wapo,na waliomkataa wapo. Na waislamu na wakristo walitokana na Ibrahimu na Hajir(mjakazi) kumzàa Ishmael,kisha Ibrahimu na Sara(mkewe)kumzaa Isaka, Isaka akawazaa Yacobo na Esau wajukuu wa Ibrahim. Wapalestina walihamia zama za Wayahudi kupelekwa utumwani Misiri.... wakati huo Waingereza wakawaleta maJuzz kutawala Israel ili kuwang'oa wapalestina kutoka nchi za waarabu. Waarabu sasa(sio waislam)ndio wanataka utaifa wa Palestina

    • @technicalgearboxenginebysc1360
      @technicalgearboxenginebysc1360 6 месяцев назад +1

      Kajambe hujui lolote mnakalilishwa tu na makanisa ya michongo

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 6 месяцев назад

      Tech ni mbishi hatari

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 6 месяцев назад +2

      Hao mayahudi ni bada ya ibrahim jiulize ibrahim walitoka irag na sara kwenda phalestin inamanisha palikua na watu hapo ujue

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @thejacktatoo2136
    @thejacktatoo2136 6 месяцев назад

    Atali sana

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 6 месяцев назад +2

    Kwenye hii mada mgemtafuta bishop ngonyani the geneous, wote wako vizur kitechnologia ILA Kwa historia bado Sana , kumbuka parestina imekua taifa mwaka 135 after Christo baada ya Kaiser Adrian kuwauwa wayahudi na kubomoa mji na hekaru na kubadili jina la izrael na kuita parestina na mji WA Jerusalem akauita hariya kapitarena , kabla ya hapo parestina haikuepo na lengo la kufanya hivyo kaisari Adrian alitaka kuifuta kabisa izrael

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 6 месяцев назад +2

      Bro kama umesikiliza vzuri historia iliyotolewa.cha kwanza ni summary kwasababu kama ikimalizwa yote ingeongelewa masaa hata ma5 lakini kiufupi waisraeli kuondolewa na kuchambuliwa na wafalme mbali mbali imeongelewa lbda tu haujuasikiliza kwa umakini ila pia unalolisema ni jambo muhimu.pia ila ambayo hayajasemwa ni mengi zaidi kifupi hii ilikuwa ni summary

  • @kingpunzy194
    @kingpunzy194 6 месяцев назад

    Farsafa za kutenganisha dini na maisha (Secularism) ni mbaya sana. Na ndio fikra za kimisha zilizotufikisha hpa Dj Sma. Zaman maisha yalikuwa yameunganishwa moja kwa moja na Uungu. Then wakaja watu wa maslahi (mabepar) wakasema Mungu asihusike kwenye Serikali. Kwa sisi Waislamu Dini yetu inamahusiano moja kwa moja na Serikali. Hivi ndio ilivyokuwa katika zama za utawala wa dola ya kiislamu. Kuanzia kwa Mtume hadi dola ya mwisho ya Kiislamu, Dola ya Ki Othuman (Ottoman). Sasa Wamagharibi wameharibu dunia kwa kuleta fikra zao chafu za kukataa muumba ndani ya serikali, na ndio chanzo cha michafuko mingi katika serikali nyingi hivi leo.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 6 месяцев назад

    Henry yuko sahihi zaidi kuliko wote waliotangulia kuzungumza.

  • @fauziaalmaamry8360
    @fauziaalmaamry8360 6 месяцев назад

    Takbir

  • @popiya2368
    @popiya2368 День назад

    Itakuja kuwa Taifa 100%

  • @ShijaNshunju
    @ShijaNshunju Месяц назад

    Unamuudhi sana chawa wa Ilan ukisema Israel ilishinda

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 месяцев назад +1

    Sasa hao wazaonist kwa nn wasilipze kisasi kwa mjerumani anaua wapaletina waliwaua wana roho mbaya

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 6 месяцев назад

    Wapelestina watoke tu, mwenye aridh asha rudi ,hilo swala ni la Mungu aliyehai, siyo huyo mungu wenu mnao mtegemea

  • @charlesassey5642
    @charlesassey5642 6 месяцев назад

    Wasimuliaji bado hawaijui historia vizuria vizuri , I think it'd better mkasoma in detail then mkaja na clear history, this must start from 635 BC , unless mnaonyesha bado wachanga kwenye story ya relationship btn Palestina and Israel

    • @Eng2460
      @Eng2460 6 месяцев назад +1

      ndio maana wamesema wao sio kwamba wanajua kila kitu hata sisi watazamaji tunaweza kutoa maoni yetu

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 6 месяцев назад

      Acha chuki toa history Yako ww

  • @ridhiwankanjoe2078
    @ridhiwankanjoe2078 6 месяцев назад

    Mimi naona alio sababisha hayo matatizo ni mwingereza na anaesababisha mgogoro huo kuendelea ni marekani na washirika wake kama marekani akiacha tabia zake za kuchochea migogoro dunia itakuwa na amani na hiyo two state solution inaweza fanikiwa.

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 месяцев назад +1

    Wazaonist wana roho mbaya sana eti papa kasema sio wao alikuako wakati huo wakati mandiko iliwalaani

  • @julienmozartalinoti3527
    @julienmozartalinoti3527 6 месяцев назад

    Honestly huwa napenda sana uchambuzi wa dj sma, ila Ally Kisubi Kama huwa a fit kwenye aya mambo. Ma dini anayo ila Kama huwa anatafuta maneno anapokuwa naongea

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 6 месяцев назад +1

    Palestine lazima ikuwe free

  • @MciKuntamya
    @MciKuntamya Месяц назад

    Lkn nyinyi so mnasema Israel so ilipwingwa sana dunia yote Leo ndio unaona sio sawa wenyewe kupiga wapalestina

  • @emanuelmwihambi7994
    @emanuelmwihambi7994 6 месяцев назад

    Ali masubi yupo sahii

  • @MkhayaSogadari
    @MkhayaSogadari 6 месяцев назад

    Skhay nakufadiliya Sana asa dj sma nikiwa southa Africa druben sori ya pale sthan na izirael mtalam apo na dj sam sababu vita iyo nisthoriya ipo kwekitabu cha wa isilam Kwan mwesho wa Dunia cha ithakuwa izirail naomba sikumoja mbene alionge uwa anaficha sababu ataki ubaguzi wa dini

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 месяцев назад +1

    Kaka sky hapo haitawezekana taifa mbili kujitegemea ni uongo..apo ni pa parestina mungu mwenyewe ndo amesema ivyo...nandomana alishasema hatapatikana suluu kupatikana ..na hata iweje wapalestina watakuja tena ndo chanzo cha mwisho wa dunia...apo wote tutaenda wooote uko palestina apo ndo picha The End...kwasisi binadamu hatutapata muafaka ..kwaiyo ni impossible..kuelewana vitabu ndo vinasema ivyo

  • @alimjaka18
    @alimjaka18 6 месяцев назад

    Naomba niweke sawa kidogo,
    Kati ya Nabii Mussa na Nabii Daudi, Mussa ndo alitangulia then ndio Daudi (David) akafatilia.
    Ukisoma Qur-an kama ambavo Sma alisema kuwa Jews waliomba wapewe kiongozi ili awaongoze katika vita, moja ya ishara waliopewa kuhusu huyo kiongozi ni kuwa atakuja na sanduku [ambalo ndo hilo tabook] ambalo limebeba mabaki kutoka kwa Mussa na Haroun.

    • @alimjaka18
      @alimjaka18 6 месяцев назад

      ambao huyo Kiongozi aliitwa Talut [ambae wakristo wanamwita Mfalme Saul] baada ya Daudi kumpiga Jalut [Goliat] yeye ndio akapewa ufalme.

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 6 месяцев назад +1

    Huyu anasimulia muvi wayahudi awamjui yesu ata wewe nenda kule wayahudi wanakutema mate sasa usilete abar za muvi

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 6 месяцев назад

      Kwani myahudi anamjua yesu?

  • @jacksonelisha7307
    @jacksonelisha7307 6 месяцев назад

    Hicho kitu ni sanduku la agano au covenant box ilitunza manna fimbo ya Haroon na tablet ya ten commandments

  • @yohana1242
    @yohana1242 6 месяцев назад

    Mm nikiwaambia myahudi sio mtu hamitaki na ndomana wakapelekew mitume wengi

  • @Floribert5
    @Floribert5 6 месяцев назад +1

    Hii family hata dunia inawaogopa maana dunia nzima hakuna anae pesa kama hawa sijui walizitowa wapi au 6666 😂😂😂😂😂maana dunia nzima inadeni yao 😂😂😂😂

    • @ronniemalima6325
      @ronniemalima6325 6 месяцев назад

      Wayahudi ni wafanyabiashara wazuri ukiachana na kuwa pia ni wanasayansi wazuri,hiyo Rothschild family ilipata utajiri kupitia banking business walikuwa wakopeshaji wazuri wa fedha ujerumani na Baadhi ya nchi za ulaya enzi hizo 18th century huko . walitumia tactic Sana kujipatia utajiri walikopesha Hadi nchi zikiwa zinaingia vitani Kwa kuibia ibia kuwa wapo upande wako kumbe pia wanamkopesha Adui yako🤣 Ila utajiri wao uliongezeka Sana na kuwafanya wapate generational wealth kwa kununua hisa za watu, walicheza na akili za watu wa Uingereza Kwa kuwadanganya hela Yao itashuka thamani maana wameshindwa vita waliyokuwa wanapigana mda huo hivyo walisambaza habari hiyo ya Wao yaani waingereza kuwa wameshindwa vita chini chini ili wawaogopeshe maana hela Yao likuwa na thamani mda huo na kushindwa vita moja Kwa moja ingepelekea Fedha Yao kushuka thamani Kwa kuogopa hili watu wengi Uingereza waliuza hisa zao na hii ndo trend likiwa lengo la Rothschild family ili Wao wazinunie hizo hisa .Hivyo akina Rothschild wakawa ndo wanunuaji wakubwa Wa hizo hisa Kwa bei ya chini hii iliwapa utajiri mkubwa saaana maana kiuhalisia Uingereza haikuwa imeshindwa vita ilikuwa ndo imeshinda ila habari za ushindi zilichelewa kufika hapo Uingereza ndo wakina Rothschild wakatake advantage na kusambaza za chini chini kuwa Uingereza wameshindwa na watu kupandwa nauoga wa kuuza hisa zao mapema wasipate loss .kutokana na wao yaani wakina Rothschild kununua zile hisa huku fikra wakijua Uingereza imeshinda aim Yao ilikuwa ni kupata hela zaidi maana baada ya ushindi kutangazwa Fedha ya Uingereza ingepanda thamani zaidi na kwasababu walinunua hisa nyingi hii ndo iliwapa utajiri saanaana.Hiyo familia ni tajiri Sana ,ila Sisi tunajua ni wakina Elon musk🤣

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 месяцев назад +1

    Waesrael walilaaniwa na mmungu bada ya kwanza kupenda ila walikufuru na mmungu akawallaani

    • @ronniemalima6325
      @ronniemalima6325 6 месяцев назад

      Labda mungu mdogo ndo aliwalaani na ikumbukwe hamna LAANA,uchawi wala uganga juu ya Israel hivyo hiyo LAANA ya huyo kimungu haina sababu hivyo haina Nguvu wala mashiko .MUNGU aliye hai(JEHOVAH) asinzii wala halali juu ya Israel ya Kiroho na hiyo Israel ya kimwili ya mashariki ya kati,hiyo Israel ya mashariki ya kati itadhihirisha kuwa MUNGU aliye hai NI yupo ,Yani Kila mtu atamjua BWANA ni Nani kupitia Israel kwamba YEYE NDIYE MUNGU aliye hai!

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 6 месяцев назад

    Kuna changamoto ya ufafanuzi ktk hoja zao. Wanakosana mnyororo wa hoja kwa maana ya kuunganisha nukta

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 6 месяцев назад

    Dunia itaitambua parestin kama Taifa ndani ya Israel je mwenyezi Mungu amelizia Taifa lake ligawanyike liwe mataifa 2 ndani ya nchi 1 ya Israel kama ni kibali kutoka kwa Mungu itawezekana rakini kama sio mapenzi ya Mungu haiwezekani nawakilazimisha kutatokea tukio kubwa sana la kuushangaza ulimwengu

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 6 месяцев назад +1

      Chizi nn ww wakati mmungu aliwalani hao waesrael nakuambia phaletina ilikuako kabla hata ya hao waesrael na waesrael wa leo sio hao wa leo wazungu

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 Месяц назад

      Upumbavu Mwengine Hauna Mantiki Kila Kitu Unaskiliza Hapo Bado Unajifanya Mjuaji

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 6 месяцев назад

    huyo Aly naona kama amekaririshwa hafanyi reasech anatuhariba atulie kidogo anatuboa sana binafasi

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 4 месяца назад

    Waisrail ndo washenz wasotaka Amani😢

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 6 месяцев назад

    Sanduku la agano rght?🤔

  • @medinaser9712
    @medinaser9712 6 месяцев назад +1

    Hata kama papa kama kasema eayahudi hakumuwa yesu hana mashiko ....kwani wao wenyewe walimwambia mohammed tutakuuwa kama tulivyo muwa yesu

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk 6 месяцев назад

    Israel ifanikiwe milele nakupenda Israel

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 6 месяцев назад

    1. Historical background; kila mtu kujion yeye ni mbora zaid ya mwenzak...hivy ana haki zaid ya kuwa na taifa hilo la israel na sio kuligawa kuwa parestine na israel
    2. Mji mtakatifu
    3. Sababu za Kiusalama..wanakataa kwa kuwa parestine ikisimama kama taifa usalama wao wanahis utakuw matatani
    4. Extenal Influence kutoka nchi au taifa washirika mfano uingereza, marekan, na nchi za kiarabu au kiislam mfano Iran nk
    NB: Na marekan anamlinda sana kwa kuwa hawa waisrael kihistoria ni watu waliokuw na bado wana IQ kubwa ktk uvumbuzi na ugunduzi wa masuala ya kisayansi na kiteknolojia...Na faida nyingin za kibiashara

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 6 месяцев назад

      Hakuna cha IQ wala nini? Ni ujinga ujinga tuuu

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 6 месяцев назад

      @@maulidi8479 hahahah saw ndugu yang ila ndio watu inafahamik wana akili nyingi dunian

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 6 месяцев назад +1

    Hawa mayahud nimagaid kwanza walimuuwa nabii Zakaria Kisha yahya na issa mtoto wamariam yeye alinyanyuliwa mbinguni

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 6 месяцев назад

    Sky.
    Hapo anatosha smaa. thabit mlangi.hilo dawati litapasuka ukiwaweka

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 3 месяца назад

    Ninasubiri kwa hamu kubomolewa limsikiti la al aksa huko Jerusalem