Alafu Sky jambo jingine ambalo nadhani wengi hawafahamu ni kuwa Iran ndio nchi Duniani yenye wasomi wakubwa wa Kemia na Fizikia na pia Hesabati.Bwana Sky wale wazee wa vilemba vyeupe si mchezo.Mabongo yao yanafanya kazi!
#Sky na #SnS kwa pamoja jueni kwamba sio wa Tanzania tu ndo wanapenda details na update ya mambo mbalimbali but ata apa Congo Na inchi zingine tunafatilia sana vipindi vyote vya SnS. You guys are the best ever. Ni World channel media kwa Sasa.
Hongera sana Mchambizi wetu . Unafanya vizuri ila correction tu, Ballistic missile inakwenda 2400km/hr. Maana yake kwa Iran mpaka Israel ni Dakika 15 tu mzigo umefika
Yuko vizuri lakini Naomba aelewe kwamba hayo mazuio ni muunganiko wa nchi zaidi kubwa zaidi ya 3 UK, USA, FRANCE . Lakini Israel ingekuwa yenyewe isingetoboa, na hii kitu Iran ime win imeonyesha kuwa ule ulaghai wa maneno eti Israel haigusiki sasa tumeona na kujifunza ukweli.
Usichokijua ni kwamba hilo ni shambulizi na kuuhadaa mfumo wa ulinzi wa Israel hapo iran wanajua wapige aina gain zingine za kuongeza nguvu zaidi ya hayo
❤studio mpo vizuri kwa kutuletea wasomi wako hongereni kwa kifupi watanzania tunaitaji tusihishi kwa mazoea kama huyu mtaalamu anasomea maswala ya afya ila anajua maswala ya kivita na kidunia hongereni sky
Huyu kaka kafanys nikumbuke yule albino, sikumbuki jina but alufanya hapa hapa sns na mr sns though alushstsngulia mbele zahaki Yni they really motivate and inspire me to listen kimakini 😂😂Yni niliyvo tegea sikio hapa wacha tu
Hongera sana Mr Ali kwa uchambuzi wako, you are the best. Swali, hivi Iran kama watatumia hypersonic weapons mfumo wa iron dome unaweza kuyazuia? Au hiyo mifumo miwili iliyobakia kati ya mifumo yao mitatu?
Naona kama kajibia kwenye maelezo yake kuwa hypersonic huwa zinatembea chini chini usawa ambao rada haiwezi kuzigundua ujio wake na iron dome hutumia rada kusoma bomu lililotumwa. Nimemuelewa ivo
Yuko sawa mafafanuzi ya milango mitano, ya fahamu na mlango wa sita wa Imani lsrael ni mshidi kama wakoma Kwa washami ndiyo nguvu na njia itamwezesha maana hakuna jambo gumu Kwa Mungu.Amem
broo assalaam alayka nakukubali sana yani wewe nikama unaivumbua elimu ALLAH akupe nguvu naimani yakuwajulisha watu wenye elimu wafahamike na serikali iwatumie tunufaike nao kwenye ujenzi wa nchi yetu
Elimu tosha.kaka Aly haujakosea .upo sawa ila Israel kwa sasa hana uwezo tena .kama iran katuma makombora hadi ndani .maaaana yake mi kwamba kipigo kwake hawezi kukiepuka.laaa haishi nao kwa wema vinginevyo tutaona maaajabu.tusiyoyataka kuona.
Sawa ila akishapigwa na kuchakazwa haya maneno hamtayasema. Tuongee ukweli tu. Iran hawezi kuwa na silaha hatari kuliko Israel. Israel jamani hawa watu hatari mno.
Asalaam aleykum mimi nilikua baharia ambae tulikua tunasafirisha mahindi kutoka America kuja Iraq Wakati wa vita ya Iran na Iraq 1984 mbona Iran ilishindwa kuzuia misafara ya Meli sisi tulikua tunasindikizwa America je sasa atawezaje ebu tuchambulie Akasnte
Kama Iran ina silaha nzito kiasi hicho, Israel ingekuwa marehemu kitambo maana toka miaka mingi wanapigana kupitia vibaraka wake kama vile hizbullah na hamas, kwani kama ni anayepigwa ni Iran maana viongoz wake wengi wanauawa na waisrael kwenye vituo vyake vya nje ya mipaka ya Iran
Hapo naona anamuelezea Iran lakin ajaongelea Israel naten nazani wakupongezwa hapo n Israel kwa kuzuia hyo makombora yote kw kiasi kikubwa , na pia Israel ina teknologia kubwa kuliko Iran ndomana urus jeul yake ni Israel, marekan ,nk sifa ya Iran nikuwa na uranium nyingi sana lakini mrutubishaji bora dunian ni urusi hata marekani inanunua urus uranium iliorutbishwa zaidi
Ali yupo vzuri Maa shaa Allah, Namuombea dj smaa kwa Allah amfanyie wepes aweze kurud katika Hali yake ili tupate Madini zaidi🤲.
Namuombea pia mzee wa facts n logic Allah amponye haraka
Alafu Sky jambo jingine ambalo nadhani wengi hawafahamu ni kuwa Iran ndio nchi Duniani yenye wasomi wakubwa wa Kemia na Fizikia na pia Hesabati.Bwana Sky wale wazee wa vilemba vyeupe si mchezo.Mabongo yao yanafanya kazi!
Usisahau israel na yeye ndio master wa network unayotumia ni yeye
Usisahau israel na yeye ndio master wa network unayotumia ni yeye
Usisahau israel na yeye ndio master wa network unayotumia ni yeye
@@modekaijamesKwenye network ni Huawei, ZTE, Ericsson,Cisco,Nokia, lucent, Netcracker na Amdocs. Ipi ni kampuni ya Israel hapo ?
@@modekaijames juzi alikuwa hacked mifumo yake ya ulizinzi. sasa hiyo network kwa sasa ni propaganda tu
Jamaa ni Mtaalamu Sana. Mungu amlinde yuko vizuri Sana. Sana. Hongera sana
#Sky na #SnS kwa pamoja jueni kwamba sio wa Tanzania tu ndo wanapenda details na update ya mambo mbalimbali but ata apa Congo Na inchi zingine tunafatilia sana vipindi vyote vya SnS. You guys are the best ever. Ni World channel media kwa Sasa.
Asante sana, tunafarijika mno kusikia hivyo
Ukweli kabisa. Personally nawafuatilia Sana kutoka kenya
@@SimuliziNaSauti ❤️🙏
@@ericnzaro9138 ndio 👍
SimuliziNaSauti all the way from Namibia 🇳🇦, asanteni wajomba 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Brother SKY Na SNS
Fanyeni mtuletee App tuweze kupata habari zaidi GOD BLESS YOU
This Guy is very intelligent, nimependa hadi raha.
SnS is in my blood ❤
Thank you guys for the update 😊 we really appreciate your service, been a fans since 2018 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kuna mzee wa mwanza niliwahi kumsikiliza kwa Alex gwido yuhoma tv huyo mzee yuko vizuri sana mtafute ufanye nae interview anajua sana kwa kiasi chake
Sahihi yule anafahaa
Kweli @yuhomatv yule mzee yupo vzurii
Alex gwido apendi kuonekana
jamaa yupo vizuri sana big up sana nimemuelewa vizuri tu
Jamaa yuko vizuri aisee mpaka Sky maswali yamemuishia kabaki tu dah aisee😂😂. Tume enjoy sana aisee mrudishe tena brother Sky 🎉
Sky hongera sana umekua mbunifu Kila siku una tuletea mtu sahihi kwenye uchambuzi wa siasa za kivita
Huyu kaka yuko vzr mashaallah anachambua vizuri
Hongera sana Mchambizi wetu . Unafanya vizuri ila correction tu, Ballistic missile inakwenda 2400km/hr. Maana yake kwa Iran mpaka Israel ni Dakika 15 tu mzigo umefika
Yuko vizuri lakini Naomba aelewe kwamba hayo mazuio ni muunganiko wa nchi zaidi kubwa zaidi ya 3 UK, USA, FRANCE . Lakini Israel ingekuwa yenyewe isingetoboa, na hii kitu Iran ime win imeonyesha kuwa ule ulaghai wa maneno eti Israel haigusiki sasa tumeona na kujifunza ukweli.
Kabisa 👏👏👏👏Israel anajivunia izo inchi:France,UK na U SA
Usisahau Jordan na iraq
MashaAllwah, kijana yuko sawa kwa uchambuzi, amenielimisha nikiwa Kenya
Kaka hongera sana umeelezea vizuri na mungu akulinde uzidi kutupa madini mengi zaidi
Siwezi sinziya sijatizama kama kuna updated kwene sns,huwa nawapenda saaana . mimi ni mcongomani niko South Africa, cape Town ❤
Jamaa yuko vzr japo alianza kwa woga ila ana madini aje mara nyingi huyu ally🎉
This is the best Chanel ever sio topic za umbea
Asante sana
Usichokijua ni kwamba hilo ni shambulizi na kuuhadaa mfumo wa ulinzi wa Israel hapo iran wanajua wapige aina gain zingine za kuongeza nguvu zaidi ya hayo
Naona mko vizuri hongereni sana
❤studio mpo vizuri kwa kutuletea wasomi wako hongereni kwa kifupi watanzania tunaitaji tusihishi kwa mazoea kama huyu mtaalamu anasomea maswala ya afya ila anajua maswala ya kivita na kidunia hongereni sky
Mashaallah 🎉
Sns ndio familia yangu daima hainiangushi
Anajua sana Hongera
Huyu kaka kafanys nikumbuke yule albino, sikumbuki jina but alufanya hapa hapa sns na mr sns though alushstsngulia mbele zahaki Yni they really motivate and inspire me to listen kimakini 😂😂Yni niliyvo tegea sikio hapa wacha tu
Mwamba yuko Vizuri, Ukiendelea kumleta kama hivi atajiamini zaidi na kuendelea kutugaia Madini.
Shukrani Bwana ALLY . Visiwa Kama vya KOMORO , inamaana Askari Abebe Bunduki Ayilinde ntsi ? . Ali Adam. Visiwa vya KOMORO 🐏🐅
Dj Smaa, alituambia kuhusu Irane Dome, tukampinga lakin alikua sahihi
Hili ni zaidi ya darasa hakika mnatujusa Mambo ya maana huyu jamaa ni very talented
Jamaa Ni nomaa anajua kuchambua habari ya kivita Sky ..next time tuletee uyo mwamba atupe uhondo.much love from Finland 🇫🇮🇫🇮
Kwann kama lina teckonolojia kubwa ya ulinzi na kijeshi mbn wanamgambo wa hizbollah wakirusha makombora yanafika ,
Daaah! Jamaa Yuko smart balaa aiseee mungu ambariki sanaa
Mimi ni mdau mkubwa sana wa sns yani hata siku moja sijawahi kuwakosa tupo pamoja hadi kieleweke.
Tupo pamoja
Hongera sana Mr Ali kwa uchambuzi wako, you are the best. Swali, hivi Iran kama watatumia hypersonic weapons mfumo wa iron dome unaweza kuyazuia? Au hiyo mifumo miwili iliyobakia kati ya mifumo yao mitatu?
Naona kama kajibia kwenye maelezo yake kuwa hypersonic huwa zinatembea chini chini usawa ambao rada haiwezi kuzigundua ujio wake na iron dome hutumia rada kusoma bomu lililotumwa.
Nimemuelewa ivo
Hongera sana kwa elim.huyu mchambzi anataaluma gani.
Hongera kaka ongezajuhudi
Hongera san analysis yko iko poa sana
@sky i think you should put subtitles of english in these sections....people will woulf listen all over the would
Today is a blessed day, coz l so the person behind great content
good job,hongereni sana
Sky wewe ni kali nakufuatilia sana❤
Uchambuzi mzuri sana big up bro sky na Ally.
Mchambuz yuko vizur sana sana sanaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ana data za kutosha ..Kudos
Well done, this guy is extremely smart and well articulate
A.Alykm sistr
Yuko sawa mafafanuzi ya milango mitano, ya fahamu na mlango wa sita wa Imani lsrael ni mshidi kama wakoma Kwa washami ndiyo nguvu na njia itamwezesha maana hakuna jambo gumu Kwa Mungu.Amem
Mchambuzi upo vizuri, Dj smaa namba 2🔥🔥🔥🔥
Mchumbuzi Mzuri hongereni sana
Safi sana.
broo assalaam alayka nakukubali sana yani wewe nikama unaivumbua elimu ALLAH akupe nguvu naimani yakuwajulisha watu wenye elimu wafahamike na serikali iwatumie tunufaike nao kwenye ujenzi wa nchi yetu
Kuhusu petroli kumalizika arabuni. Nikweli Africa itakuja juu sanaa
Fred.kibuta siikai.misere king 👑⚔️🥷
Jamaa yupo vizuri sana
Jumuiya ipi ya kimataifa au Marekani maana hao ni wanafiki sana
Elimu tosha.kaka Aly haujakosea .upo sawa ila Israel kwa sasa hana uwezo tena .kama iran katuma makombora hadi ndani .maaaana yake mi kwamba kipigo kwake hawezi kukiepuka.laaa haishi nao kwa wema vinginevyo tutaona maaajabu.tusiyoyataka kuona.
Yuko vizuri jamaa
Bundala nimekuona huwa nasikia sauti yako, hongera kwa kutupa habari
Safi Sana sky ila ushauri fungua kituo Cha uchambuzi wa maswala ya kivita na wasanii na vilevile matukio Dunia nzima
Asante sana kwa ushauri huu Bwana Chacha
Akifanya ivo tutaenjoy saidi
ila huyu jamaa wapatane na sma wataongea 12hrs daaah na sitachoka hawa usiwaeke kipindi moja sky all in all big congrats sns
#SNS never dissapoints,,always coming with some perfect contents🔥 #SKY #SMA #GIANTMAN 🔥🔥🔥🔥🔥 Noma sana io combo
Mbona tusiwe na maenginer na machanic tukaunda dron zetu baada ya kuwaza kununua? Kwani Tz hatuwezi?
Mr ally naitwa abdulmalik ISSA nauliza kama jzrael mshika ni USA Irani ni putini kwa hiyo ikianza vita Putin atamsaidia Iran?
Mashaalah akhii
Sky unaenda vema, SNS itakuwa zaidi
jamaa anajua sana kufanya analysis
Ndiyo Msomi Mhandisi! Tupe updates basi tujue nini kinaendelea huko?
Ally uko vzr sn
Duh, HUYO chalii yupo vizuri..
mpe sana polee kaka sma poleee
Huyu mwamba yuko deep sanaaa hongera sana
Hamjabo watalam, umesema Iran wanajenga shini ya milima, je, kuna jia yakuingia ama gate? Mimi ni kirugumi kutoka kenya
dah kweli elimu bahari
Heshima kwako SKY sijui hii miamba unaitolea wapi na hapo ndo unawapiga gepu wengine ni watu smart sana kwenye hizo nyanja
Dogo anajitahidi atazoea🚀🔥🔥
Jamaa ni nomaa sana ase
Bro naomba utiletee na Thabit Mlangi eseeyule pia nimchambuzi mzuri wa mambo yakivita tena amesomea kabisa naomba sana utuletee anamadini mengi sana
Jama yuko vizuru sanaaa kizuri ana upande yeye ako katikati
kaka frank mbona urusi anatengeneza nuclier bomb kwa wingi sana jeee hawajawekea vikwazo zaid?????
Sawa ila akishapigwa na kuchakazwa haya maneno hamtayasema. Tuongee ukweli tu. Iran hawezi kuwa na silaha hatari kuliko Israel. Israel jamani hawa watu hatari mno.
Iran baba lao
Big up
Ubaya wa Israel ikirenga haikosei imageni shambiliz moja imeua makamanda wao Iran.
Asalaam aleykum mimi nilikua baharia ambae tulikua tunasafirisha mahindi kutoka America kuja Iraq Wakati wa vita ya Iran na Iraq 1984 mbona Iran ilishindwa kuzuia misafara ya Meli sisi tulikua tunasindikizwa America je sasa atawezaje ebu tuchambulie Akasnte
Nawaza hapa teknolojia ya kivita kwenye jeshi letuuu
Kama Iran ina silaha nzito kiasi hicho, Israel ingekuwa marehemu kitambo maana toka miaka mingi wanapigana kupitia vibaraka wake kama vile hizbullah na hamas, kwani kama ni anayepigwa ni Iran maana viongoz wake wengi wanauawa na waisrael kwenye vituo vyake vya nje ya mipaka ya Iran
Jamaa genius. Naelewa kwa nini umemleta ashirikiane na DJ Sma
Yupo vuzuri ila dj sma ni baba lao
😢😢noma Sana kaka sky
Good job from 🇧🇮💐🌹 tunakupenda san
Acheni kutudanganya ivyo mnajua izirael kwenye ayo mambo imepobea
Alahu aqibaru
Hapo naona anamuelezea Iran lakin ajaongelea Israel naten nazani wakupongezwa hapo n Israel kwa kuzuia hyo makombora yote kw kiasi kikubwa , na pia Israel ina teknologia kubwa kuliko Iran ndomana urus jeul yake ni Israel, marekan ,nk sifa ya Iran nikuwa na uranium nyingi sana lakini mrutubishaji bora dunian ni urusi hata marekani inanunua urus uranium iliorutbishwa zaidi
musati hainalolo mayaudi walisamba ulimwengu mzima kwa azabu mungu aliwapa hawana ardhi
Safi kabisa watu wana burudika wana elimika na kupata matumaini
Big up sana jamaa
Vip una enjoy ? Me naenjoy
Wanabomoa majengo ili wachukue ardhi ya watu waipore
Kwa mfano marekani na uingereza wasipokuwa nyuma ya Israel unaona wanaweza kuishinda irani?
Hawana uwezo wa kuuwa wanajeshi mashoga hao jeshi la israel linaua wanawake na watoto