Tusifanye Makosa haya itatugharimu, hiki ndicho kinachoendelea Marekani na kwingineko - Dj Sma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 109

  • @nicenice3881
    @nicenice3881 Год назад +24

    Dj SMA tunaomba utuletee ishu ya DR SEBI yule raia wa Honduraz hasa ishu yake ya miti shamba

  • @othumanahmad
    @othumanahmad Год назад +6

    Leo nimekuwa wa kwanza kaka Dj Sma

  • @Aysha_ally
    @Aysha_ally Год назад +2

    😅😅😅mashelisheli hayo 😂😂😂hatari kwa kachumbariii😛😛😛😛😛

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 Год назад +5

    Waalaykum salaam Dj smaaaaa#nakupata vizuri kutoka nchini esrael#Mungu amekubariki akili mingi sana Dj Smaaaa❤❤❤❤

  • @othumanahmad
    @othumanahmad Год назад +4

    Waleikhum Salam tupe vitu Dj Sma

  • @ChidyKenny-dc1ue
    @ChidyKenny-dc1ue 10 месяцев назад

    Dj unajua sana mungu akuweke utupe darasaaa

  • @SumaTunda-bs4fp
    @SumaTunda-bs4fp Год назад +2

    Hogera nakukubali sana

  • @ramansitv3292
    @ramansitv3292 Год назад +3

    umeongea kikubwa zaidi ya wengi watakavyo kupokea, these words are the best treasure of all time..

  • @abdallahmakumbato6688
    @abdallahmakumbato6688 Год назад +4

    Umetoa darsa kubwa sana dj sma

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Год назад +2

    Asante sana dj smaaa

  • @rajabjuma6454
    @rajabjuma6454 Год назад +1

    Allah akupe afya njema dj sma ili wasio elewa waelewe , From Zenj'bar

  • @trindadejacho6384
    @trindadejacho6384 Год назад +1

    Djsma upo smarter Sana ,,🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 Год назад +1

    Safi sana aisee darasa limeeleweka

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 Год назад

    Ustadh smaaa uko vizury

  • @salumnassor9330
    @salumnassor9330 11 месяцев назад

    Maneno maxima sana

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Год назад +1

    ❤ djsma umeongea kwa huzini na makini umeona mbali mbeleni ni hatari Sana harafu Africa isitumike Kama daraja kwa manufaa yao Africa tumkumbatie urusi hao jamaa wangine wanatuletea GMO kwa kumiza na watumiza Sana Asante kwa kazi nzuri

  • @laurnyandwi-sb1gu
    @laurnyandwi-sb1gu Год назад +1

    Hii ni fulsa Kwa sisi tunaohitaji kutoka kiuchumi kupitia kilimo.,

  • @Aysha_ally
    @Aysha_ally Год назад +1

    Waalaykum msaalam

  • @ZalfaJongo
    @ZalfaJongo 3 месяца назад

    Naomba tujuwane wanao subili kusikia kiswahili

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 Год назад

    Waleykum Salaam mpemba mwenzetu

  • @mackdonaldalex7162
    @mackdonaldalex7162 9 месяцев назад

    Dj sma. Tunaomba, utulete simuliza ya financial crisis ilitokea 2009. Ishu za makampun ya AIG, lehman and brothers and Mary lynch..

  • @fatimawazeer701
    @fatimawazeer701 Год назад +4

    Waleykumsalaam warahmatullah wabarakatuh

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Год назад +2

    Yeah ukweli kabisa kaka 🇰🇪🇰🇪💪

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii Год назад +2

    Heee tobaaaa marekani.hii Tz tuwekeze kwenye kilimo jamani Serekali waone waelekeze bajet kwenye kilimo Hai
    .

  • @khalidmzamiru2444
    @khalidmzamiru2444 Год назад +4

    Waalaykum Salaam big up brother kweli wewe ni chimbo la maarifa 🇹🇿💪💪

  • @JosephMsonga-wj4ol
    @JosephMsonga-wj4ol Год назад

    Ubarikiwe kaka

  • @Jumasefhu
    @Jumasefhu 5 месяцев назад

    Uko vizuli sana alha atakulipa

  • @shau78
    @shau78 Год назад +2

    leo Djsma umeweka ushabiki pembeni ukaongea pure logic. nahisi leo utasaidia watu wengi sana.

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 Год назад +1

    Inshallah, umetoa ushauri mzuri na Allah akubariki

  • @zabibuparker472
    @zabibuparker472 Год назад +1

    Mashallah Mashallah kwa nini maelezo hayo yasiende kwenye vyombo vya HABARI

  • @hassanpashua
    @hassanpashua Год назад +1

    Pamoja sana madini yko tunaelewa Sana from Kenya DJ sma bigup

  • @weahfeint3406
    @weahfeint3406 5 месяцев назад

    wa misri waliweka chakula miaka 7, na ushauri ulitafsiriwa na yusuph kipenzi cha Mungu.

  • @Dokson5817
    @Dokson5817 Год назад +2

    Unachosema nikweli
    Kipindi cha corona watu hapa usa 🇺🇸 walikimbilia kufanya stoke ndani bei ilipanda sana ukifika grocery unakuta shelfu ziko wazi.

  • @EducateTz
    @EducateTz Год назад +13

    Natamani nijue language yenu ya swahili ili niwape njia zakuweza pata fedha, because i like Tanzanian culture HAKUNA MATATA, ## this is my new channel soon taanza fundisha in swahili❤❤❤❤

    • @mohdmohd8428
      @mohdmohd8428 Год назад +4

      Njia yako nzur na inajulikana ila umekuja kitapeli, unachafua industry

    • @EducateTz
      @EducateTz Год назад +1

      @@mohdmohd8428 wewe maanisha yako ni scum. no Don't send money online and sihitaji hela hata moja kutoka kwa mtu moja. life is easy men

    • @godlovejohn5907
      @godlovejohn5907 Год назад

      ​@@EducateTz kama una mda nitafute nikufundushe

    • @chesterbrand6723
      @chesterbrand6723 Год назад +2

      Huyu Ni scam tapeli mtu anatamani kujuwa lugha yetu na anaandika kiswahili sanifu huyu Ni tapeli na Sasa watanzania si wale wa CCM Tena ...

    • @godlovejohn5907
      @godlovejohn5907 Год назад +1

      @@chesterbrand6723 kumbeee ndoo Njama yake hampati mtu.

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 Год назад +1

    Nakupata vizuri nikiwa border kasumulu.

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 Год назад +1

    Barakallah feekum

  • @AminMtinge
    @AminMtinge Год назад +1

    Good job bro

  • @BilaliMuhammad
    @BilaliMuhammad Год назад +4

    Good brother dj sm❤❤❤❤❤❤

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 Год назад +2

    Well said brother

  • @seraphinsteven3559
    @seraphinsteven3559 Год назад +1

    Madini mengi sana ndugu yangu Mungu akupe nguvu

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Год назад +1

    Good DJsma no1 from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunakupenda saana tulikuatumekumissi san ilove SNS tuponanyi gonga 👊👊👊 tujuane wanangu waurusi❤

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Год назад +1

    India imegoma kussuply mchele no wonder we see this happening, i love you bro @dj sma may God keep you safe nd healthy to open up our minds ❤

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw Год назад

    Ubarikiwe

  • @phanuelmkenda2621
    @phanuelmkenda2621 Год назад +1

    Fact sana

  • @zaitunifamao7777
    @zaitunifamao7777 Год назад +2

    Nice one thanks

  • @AbuunumanBakar-pf8lw
    @AbuunumanBakar-pf8lw Год назад +2

    Wakulima hii ni nafasi limeni mupate soko

  • @seraphinsteven3559
    @seraphinsteven3559 Год назад +1

    Wakorinto 13 ukisoma yote utajua aupo mbali na ulicho sema

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 Год назад

    Ustadh smaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 Год назад +2

    Nimejifunza kitu kikubwa haswaa leo

  • @ramadhansheikh9135
    @ramadhansheikh9135 Год назад +1

    Safi kaka, umeongea madini mengi sana. Binafsi naomba utupe update kinachoendelea russia kuhusiana na mkutano na viongoz wa africa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад +1

    👊✌👍.

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu Год назад +4

    Allah é grande 🙏

  • @Hija.F.A
    @Hija.F.A Год назад +1

    Estou aqui em mozambique acompanhado o seu video da historia,,, nice you

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Год назад +1

    @dj sma sina cha kkulipa but i really pray hard for you and look ray for your beloved family and whatever you doing ❤

  • @IbrahimMohamedi-so1vu
    @IbrahimMohamedi-so1vu Год назад +1

    Allah grant you 4ever

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 Год назад +1

    Masha Allah. Dj smaa we mtu wa mkoa gani? Samahani

    • @djsma255
      @djsma255 Год назад

      mwanza ila naishi dar

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 Год назад

      @@djsma255 Shukran Masha Allah. Allah aku bless sana. Unatoa nondo sana. 🙏🏾🙏🏾

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Год назад +1

    sheli sheli

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt Год назад

    Maelezo haya uliyotoa, niyakisomi sana. Noyakweli kabisa, sisi Wakristo hatuwezi kupinga. Ila kwamba ukificha bidhaa kwa muda mrefu ili upate hiyo faida, ni makosa kwa Mungu na binaadamu pia; utakapoacha ubaya huu na kumuomva Mingu akusamehe kupitia kwa jina la Yesu, Mungu atakusamehe kabisa. Kwa wakristo hakuna kisichosamehewa ukitubu; isipokuwa Kumkufuru Roho Mtakatifu.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад +1

    Shukran DJ SMA

  • @mediagates4274
    @mediagates4274 Год назад +2

    Dj sma tunaomba mchanganuo kuhusu Dr. Seb kuhusu tiba mbalimbali zinazofichwa na mataifa makubwa

  • @Yassirhamad-t6l
    @Yassirhamad-t6l 2 месяца назад

    Linaitwashelisheli

  • @stephanaugustine4655
    @stephanaugustine4655 Год назад +1

    ❤❤

  • @mwinyitajir1924
    @mwinyitajir1924 Год назад

    Dj sma thajir apa from Mombasa county Kenya naomba utuchambulie vita sudani coz hata sisi Kenya naona haiko mbali kutufikia raisii wetu ruto ameenda kuyachokonoa hadii jana kuna kikundii kutoka sudani wali dukua mitandao yetu kama E.ctizen

  • @hajinachembe4310
    @hajinachembe4310 Год назад +2

    Brother nanakuahidi be idhinnllwah nitakutumia hela ambayo nitajaaliwa na allwah nikuwekee kwenye account yako kwaajili ya kukupa nguvu ya kutoa elimu kubwa kwa ummma nikiwa mimi ndani yake.

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 Год назад

    Focus kwenye kuchambua ndio kikichotuleta hapa sio kutupa wosia

  • @kimeajuma3267
    @kimeajuma3267 Год назад +1

    Kaka ninakuelewa mno

  • @BADILIKA
    @BADILIKA Год назад

    Ndio Mana tunasena Uislam ni mfumo wa Maisha, Kwasabab una Tarartibu zote za Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii, Jeshi, Mahakama na mengineyo

  • @GeraldAndrew-be9pg
    @GeraldAndrew-be9pg Год назад

    Hata mabepari hawataki waafrica kushirikiana na URUSI but tumechelewa

  • @Happy-be8hh
    @Happy-be8hh Год назад

    Kwenye kikao cha putin na nchi za Africa kilichofanyika Moscow, hata waziri mkuu wa Tanzania alienda kuongelea kuhusu mbolea wanavyo ihitaji sana

  • @ALOYCE007
    @ALOYCE007 Год назад +1

    Wewe Brother bila kuikosoa marekani huna amani nikama wasanii Wa bongo mwijaku bila kum ataki diamond hawa frahi 😂😂😂

  • @KHAMISIMUNGI-w7e
    @KHAMISIMUNGI-w7e Год назад

    Alaf dj smaa unalizungumziaje suala la mkutano wa africa leaders kule st.petersburg russia na mustakabali wa bara letu mkononi mwa russia

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii Год назад +1

    Kweli Sam leo nimekuelewa sanaa hasa kwa zanzibar hii inatuhusu sisi kila kitu tunaagiza hadi kitunguu maji hapa tulime tu mihogo viazi ndizi hili Sam mm pia nishalisema kwenye magroup yetu zanzibar wakanijibu shombo tusitegemee kuagiza turudi.kwenye asili yetu tusipembejee kitu tuleni mihogo zanzibar asaiv polo la mchele wa mapembe ambao ni cheap sana polo la kilo 50 mapembe kutoka 82000 hadi 99000

  • @dorcasbarazani6001
    @dorcasbarazani6001 Год назад +1

    🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🙏

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 Год назад +2

    SA🇿🇦

  • @adulidhiabduladhaq4605
    @adulidhiabduladhaq4605 Год назад

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 Год назад

    😂😂 nimecheka uliposema mtu akushike shati mbele ya mungu alf Ashtaki mbele ya mungu kw kusema "Dj sma".kw maana uwo mziki wa siku hiyo lazma atakwita kw jina lako halisi. You are 4 life bro.

  • @BADILIKA
    @BADILIKA Год назад +2

    PROUD TO BE MUSLIM
    na Ipo siku hivi karibuni Uislam utasimama na kuongeza dunia

    • @GeremiaShadrack
      @GeremiaShadrack Год назад

      Unandoto zakizembe wewe .. Yani ufkilio na tafakari zako ndozimeishia apo KWENYE suala la dini .. hii nchi Bado tunasafari ndefu kwa peo kama zako

  • @IbrahimMohamedi-so1vu
    @IbrahimMohamedi-so1vu Год назад

    Ukitupa fact kama his tutakuelewa sis waislam

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 11 месяцев назад

    🙏👍

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Год назад

    Tusingefika huko ila ni kiburi cha viongozi wa Marekani na Ulaya Magharibi

  • @battashsports
    @battashsports Год назад

    Hyperinflation due to high supply of money alafu kwa Tanzania tunakopa sana nje ambapo it lead to increases of taxes ambapo pia taxes inapandisha price

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Год назад +1

    Can a kenyan send contribution direct via mpesa nor there a re special ways

  • @nicenice3881
    @nicenice3881 Год назад +2

    ✅🇹🇿🇹🇿

  • @OkotaEkeleze
    @OkotaEkeleze Год назад +2

    Hussein kutokea dubai tuna omba makala ya china,taiwan na marecan

  • @masungadutta3823
    @masungadutta3823 Год назад +1

    Gj smaa tuletee story ya dr sebi

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад

    Kwanza kwanini tunanunua wakati tuna mashamba yakutosha kulima vyakula vyetu vya asili? We Africans are fools. Viongozi wa Kiaafrica wanajali tu na matumbo yao.

  • @damianandrew3074
    @damianandrew3074 Год назад +1

    Tuleteee tarifa za Dr sebi, yule mzee mwafrica bingwa wa tiba asilia aliyegundua dawa ya ukimwi

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 Год назад

    Dolla 10 hadi 15 kwa tani moja, ivi tani unaijua bro au ulimaanisha kilo moja

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 Год назад

    Huu ujumbe mnawafikishiaga serikali? Wakae chonjo

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 Год назад

    Basmati ndionini wana sns??

  • @khalfanabdullahumoud4212
    @khalfanabdullahumoud4212 Год назад

    Punguza kiingereza wngne hawafahamu

  • @KHAMISIMUNGI-w7e
    @KHAMISIMUNGI-w7e Год назад +1

    Alaf dj smaa unalizungumziaje suala la mkutano wa africa leaders kule st.petersburg russia na mustakabali wa bara letu mkononi mwa russia

  • @KHAMISIMUNGI-w7e
    @KHAMISIMUNGI-w7e Год назад +3

    Alaf dj smaa unalizungumziaje suala la mkutano wa africa leaders kule st.petersburg russia na mustakabali wa bara letu mkononi mwa russia