Hii think tank ni nzuri hasa kwa vijana wa Africa ila naomba cku zijazo waaliken wanadipromasia wetu kama mabaloz kama kuna namna yakuwapata watu wa usalama hasa vijana kama kinapolepole waje tuongee na mshauliane hapo
Gps nimeipenda sana. Naomba sana mjitahidi mtumie kiswahili fasaha , mnajisahau mnajikuta mnachanganya sana kiingereza wengine mnawaacha maana zingine hawajui. Kwa ujumla Gps kweli inaona Kila Kona . MB zangu naona inaisha Kwa chakula Cha faida.🙏
Sio kwamba hawajui, wanajua vizuri tu ila baadhi yao kasoro Ally huyo wanaweka upendeleo zaidi, yaani hawabalansi story.Ila yote kwa yote hongereni sana.
Ally Masubi, unchambua vizuri....Wape wenzako nafasi maana Sometimes unakuwa Unarudia rudia Maneno....Labda kama Wana kumentor. All in All your Doing Great 👍
Ahsanteni saaana kwa uchambuzi makini. Mimi nasikiliza kutoka nchini Bahrain 🇧🇭, kwanza kabisa ningetamani kuona mnaizungumzia NORTH KOREA kwa urefu na upana na ushirika wake na Urusi na China lakin pia hali yake ya ndani ki biashara, wanafanya Biashara na nani na wanaishije ikiwa wana vikwazo vingi na vipi kuhusu biashara zao kama nchi!! Yangu ni hayo na nadhani GPS itakuwa ni mwanga sana kwetu sisi wapenzi wa hizi mambo🎉❤
Ukizungumzia mahusiano ya China na Russia moja kwa moja unazungumzia Umoja wa BRICS ambao umelenga dedollorization na kuwa mbadala wa Jumuiya ya Madola, World Bank na IMF. Natamani kujua Tanzania tumefikia wapi kuwa Wanachama wa BRICS
Naomba kipindi chetu cha Global Position System mjadili Hali nzuri ya Uchumi wa Angola na Zimbabwe baada ya China kuingia katika Nchi hizo. Zimbabwe na Angola wanakimbiza mwizi kimya kimya. Natabiri baada ya miaka 10 watakuwa na Uchumi mkubwa kuliko South Africa, Bostwana na Nambia
Watanzania hatuna msimamo na hatuna uchungu na maisha ya vizaz vyetu vya baadae,pia elimu yetu ni duni na hatuna uelewa but i thnk mwanga unaanza kutuangazia kuelewa ukubwa wa mambo mnatungua kiaikl na kutufundisha tusio yajua,miaka ijayo kipindi hk kitakumbukwa na mtakumbukwa harakat zenu za kutuelimisha SHUKRANI KWA WOTE
I real like Henry anatumia lugha rahisi na inayoeleweka .. Sma, Ali wote wapo smart .. Next sesion tufungueni akili waafrika hasa kundi letu la vijana..
hapa kenya wakati uhuru kenyatta ali sign mikataba na mchina wa SGR na unjezi wa mabaraba kila mahali apa kenya baada ya apo ulaya na wamerekani kata misaada yote. RUTO PUPPET wa mwamerika alipo ingia kama raisi kitu cha kwanza kufanya ali simamisha miradi yote yenye ilikua ina fanywa na mchina na kuwafunza injini na kuleta mjapani HIZI FACTS
Vita ya Taiwan na China wala haiko mbali naona China amejiandaa kimya hata uzinduzi wa Aircrfat Carrier Marine Ship, Hypersonic Kenzall Missiles, Balistic Missiles na Mitambo ya J.L0_2 ya kutungua Makombora. China anailengaTaiwan ili aichape vizuri. Mungu ibariki Simulizi na Sauti na Mungu Ibariki Tanzania🇹🇿
Sio rahis kwa leo mkuu.China akija kujitegemea zaidi hasa upande wa teknolojia hasa za chip, ndipo ataivamia Taiwan.Ila kwa sasa anasoma mchezo wa urusi na namna vikwazo vinavyomuumiza urusi kwa kiasi kikubwa
Nawapata vixur from doha Qatar 🇶🇦 kuhusu issue ya western kuaminiwa akuna tena ntakupa mfano mmoja, zamani unaweza change dollar mpka uchocholoni lkn now no. Kila sehemu ukienda utambiwa akuna dollar why, coz nafikili akuna akiba za dolla tena na sio kwa bahati mbaya just imagine, nazani now kila mmoja ameona madhala ya kuweka akiba ya dollar
Ni sahihi maisha yetu yanaswitch kutokana na global social media inaongoza maisha yetu na kuacha muongozo sahihi wa muumba wa ulimwengu but me naamini sns itafika hatua ya kumsha brain za vijana tuliolala kubwa tuweni wazalendo wa kweli
Hicho unachokisema Ali niuwoga na tukiendelea kuwa waoga hatutafika, nibora tukakosa sisi ila tutengeneze mazingira ya baadae kwa ajili ya watoto wetu, kwasababu tutaendelea kuumia pasipo na faida leo wala kesho, nibora tukakubali kuumia leo kwa faida ya baadae
Huku mtaani kiuhalisia wazungu wamefanikiwa kuwamaliza vijana wa kiafrika kwa nguvu ndogo sana ya social network,inasikitisha uhalisia wa maisha umepungua kwa asilimia 95%,ni waoga sana mostly wamekua puppets kwa viongozi na watu wenye uchumi wa juu,inasikitisha..we need a solution,most of us are ready ila hatujui tuanzie wapi kuchange the situation..Iyo mada inayofuata naisubiria kwa ham.
DJ SMA kashiba sana Madini, Facts and Logics
Mashallah yn mmeupiga mwingi mpk unamwagika GPS haichoshi mungu awabariki Sana tumeyajua mengi 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Masha Allah sma kwa aya yako ya hofu
Masha Allah, u guys mmetisha!! Henry nae yupo vzr krb sns
listenimg from kenya, sns, the only place i get to learn from, the world... yani mnajua hadi bax tu
Hii think tank ni nzuri hasa kwa vijana wa Africa ila naomba cku zijazo waaliken wanadipromasia wetu kama mabaloz kama kuna namna yakuwapata watu wa usalama hasa vijana kama kinapolepole waje tuongee na mshauliane hapo
Nawakubali Sana Hawa jamaa na uchambuzi wao
Gps nimeipenda sana.
Naomba sana mjitahidi mtumie kiswahili fasaha , mnajisahau mnajikuta mnachanganya sana kiingereza wengine mnawaacha maana zingine hawajui.
Kwa ujumla Gps kweli inaona Kila Kona .
MB zangu naona inaisha Kwa chakula Cha faida.🙏
Umenena kweli mswahili
Wewe unafikiri ni rahisi kutafsiri kila neno la kingereza to kiswahili?
😢Ninyi vijana mko vizuri Sana sijaona kama Ninyi mnavyodadavua Uzarendo wenu uko vizuri Sana mnahiyaji kuungwa mkono kila Kona.
Pamoja kutoka Kenya
Nilikua nimekaa nasubiri hii part 2 ❤
Hawa jamaa wanaijua Geopolitics aisee,shout out to 'em
Uyu mchambuzi aliye ongezeka nimkali kabisa respect
Sio kwamba hawajui, wanajua vizuri tu ila baadhi yao kasoro Ally huyo wanaweka upendeleo zaidi, yaani hawabalansi story.Ila yote kwa yote hongereni sana.
Bro nmeamka saa 8 midnight i cant believe nmesikiliza hadi imeisha now ni saa 10 …. Broo never stop doing this content
Nawaelewa vzr,haya ndio mambo tunayopenda kuyasikia
Vizur sana
Mohamed Mchopa mko vizuri ningependa hata mwaliko au kupata mawasiliano zaidi ili niwapongeze still blessed brothers
next topic naomba ikuwe la bara la AFRICA please
much love from kenya
GPS, full tim.
Mwenyez Mungu awajaalie maisha marefu yenye afya njema.
Allah awaongoze Wana sns wote awape maisha marefu nawafuatilia nikiwa south Africa cap town makala zenu nazipenda saana hasa kipindi kipya cha gps❤❤❤
Masubi anajua
Hongereni. Sana mpo vzr sana mnaonekana kira mmoja kajiandaa sasa muichambue East Africa
Mnajua sana honger kwenu
Henry upo vizuri snaa big blaza,
Safii sana nawafatlia sana wakuu
Hongereni sana..hili ni bonge la show
Ally Masubi, unchambua vizuri....Wape wenzako nafasi maana Sometimes unakuwa Unarudia rudia Maneno....Labda kama Wana kumentor.
All in All your Doing Great 👍
Hongera sana uncles you are the cream Brain
Mmetisha sana. Salute...!
Daaah hapo kwa Afrika yetu naomba muiongelee kwl hatujui inakwenda wp tunataka ukombozi wa Afrika viongozi ndy sababu
Best discussion so far hongera sns family
Waafrika bado sana.Sisi tunafikiria mpira na mambo mengine ya kipuuzi kuliko maisha yetu wenyewe.
DJ simaa I love you 🎉🎉 Allah akulinde inshaallah
mko vizuri bro ..all the way from Mombasa kenya . Nawafatilia sana.
Ahsanteni saaana kwa uchambuzi makini. Mimi nasikiliza kutoka nchini Bahrain 🇧🇭, kwanza kabisa ningetamani kuona mnaizungumzia NORTH KOREA kwa urefu na upana na ushirika wake na Urusi na China lakin pia hali yake ya ndani ki biashara, wanafanya Biashara na nani na wanaishije ikiwa wana vikwazo vingi na vipi kuhusu biashara zao kama nchi!!
Yangu ni hayo na nadhani GPS itakuwa ni mwanga sana kwetu sisi wapenzi wa hizi mambo🎉❤
Kiukweli tuna mushukuru mungu sana kumuona tena dj sma n'a afia pia yule jamaa anaonekana yupo vizuri sana tunamuitaji pia brother sky
Nikewakubali ile mjichunge kuna baadhi hawapendi mnavyo toa eleimu viv sns🎉🎉🎉
Well done guys....mpo vizuri katika uchambuzi. Keep it up
THERE'S ONLY PODCAST I CAN LISTEN FROM THE BEGIN TIL THE END IS THIS❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Thank you Serah
Ni mjadala mmoja amazing sana wallah, brothers keep it on Sina tu money ninge wa congratulate mpate maji ya kunywa.
Allah atuongoze sisi vijana wa kiafrika
SMA ni AI ya TZ anajua kila kitu ata bla kusoma coz he can connect dots to get answer
Pia napenda unyenyekevu wake na kujiamini kwa kile anachokipenda, na kujenga hoja, logic na facts. Asante sana Sma.
Hongereni sana wataalam.
Ebana brz sky unatisha sana kwa hiki kipindi mnacho kirusha kiukweli mpewe tu mauwa yenu 🌹🎉🌹🎉🌹🎉
Tunaitaka sana iyo topic kuhus Africa
I love the show, thank you so much guys. You are amazing analysts. Mwinuka should try and I give others space to talk as well
Asante sana
safi sana nawafatilia sana wataalamu. big up sana SMA MZEE WA KIDIG DIP DIGAA😆
Nimesubiri sana yan hii party two 😂
Mm nawakubali sana
Sky, Sma dj, Ally na mwinuka. Brothers Allah awaweke sana tunapata elimu kubwa ya utambuzi na mnatujenga kuufahamu uzalendo.
Hawa jamaa nawakubali sana nimekua naifutilia sana sns nawala sitaicha mpaka mwisho wa maisha yangu yote
You are next level
Natisha sanaa wakuu respect
Nondo🔥👌
Tunafurahia sana kipindi hiki
mko vizuri
Ukizungumzia mahusiano ya China na Russia moja kwa moja unazungumzia Umoja wa BRICS ambao umelenga dedollorization na kuwa mbadala wa Jumuiya ya Madola, World Bank na IMF. Natamani kujua Tanzania tumefikia wapi kuwa Wanachama wa BRICS
Mzee kwa uchumi upi huu waupigaji afu waizi twawaficha nyuma yamlango, atutaki mateso wanamchi wa dola 1 xie
Nawakubali sana wakuu by julius from dareslaam
Mungu jaalia mmoja wenu aje aiongoze tanzania
Sns mko vizuri nafatilia nikiwa ZANZIBAR KISIWA CHA PEMBA
Naomba kipindi chetu cha Global Position System mjadili Hali nzuri ya Uchumi wa Angola na Zimbabwe baada ya China kuingia katika Nchi hizo. Zimbabwe na Angola wanakimbiza mwizi kimya kimya. Natabiri baada ya miaka 10 watakuwa na Uchumi mkubwa kuliko South Africa, Bostwana na Nambia
Ally Masubi Unaboa sana ....Acha ujuaji Wape na wengine Nafasi waongee
Napenda sana hii group jamani
Hongera
Good content
Good stuff
Dj nakukubali sana huko vzr ukweli ndio huo
Very nice guys big up
Sky Karibu Crown media .Nadhani king kiba ameona isi comment Na atalifanyia kazi . Kaka Sky Na mkubali Sana anajua kutangasa . Nikiwa Nairobi gikombaa
Watanzania hatuna msimamo na hatuna uchungu na maisha ya vizaz vyetu vya baadae,pia elimu yetu ni duni na hatuna uelewa but i thnk mwanga unaanza kutuangazia kuelewa ukubwa wa mambo mnatungua kiaikl na kutufundisha tusio yajua,miaka ijayo kipindi hk kitakumbukwa na mtakumbukwa harakat zenu za kutuelimisha SHUKRANI KWA WOTE
smaaa akukbali sana
Dj Sma and Henry 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Brothers, unyama mnaoufanya hapa SNS ni mwingi sana 🔥🙏
Aisee naikubari sana sns
Nawakubali sana wadogo zangu nopo zangu Tokyo Japan na wapata vizur sana kilasiku
Nilikua nasubiri part 2 kwa hamu .
This is it 🔥🔥🔥
SNS, Tuongelee kuhusiana na topic kuhusu Idd amini, jinsi magharibi walivyomwita Dikteka.
🇬🇧 we need more gps
I real like Henry anatumia lugha rahisi na inayoeleweka ..
Sma, Ali wote wapo smart ..
Next sesion tufungueni akili waafrika hasa kundi letu la vijana..
Namkubali sna ally akiwa na skai ila na mkubali dj smaa akiwa katik makala zake binafs
hapa kenya wakati uhuru kenyatta ali sign mikataba na mchina wa SGR na unjezi wa mabaraba kila mahali apa kenya baada ya apo ulaya na wamerekani kata misaada yote.
RUTO PUPPET wa mwamerika alipo ingia kama raisi kitu cha kwanza kufanya ali simamisha miradi yote yenye ilikua ina fanywa na mchina na kuwafunza injini na kuleta mjapani
HIZI FACTS
Munajua sana hatuchoki kuwasikiliza
mimi Nasikiliza kutoka chalinze nakubali Uchambuzi wenu Nawafwatilia vipindi vyenu
sana mko vizuri kuchambua
mambo mbalimbali duniani
❤ SNS kupitia sky na timu hongera napata ratha ya kitu adimu
Russia is the best country I love it ❤❤❤❤
Vita ya Taiwan na China wala haiko mbali naona China amejiandaa kimya hata uzinduzi wa Aircrfat Carrier Marine Ship, Hypersonic Kenzall Missiles, Balistic Missiles na Mitambo ya J.L0_2 ya kutungua Makombora. China anailengaTaiwan ili aichape vizuri. Mungu ibariki Simulizi na Sauti na Mungu Ibariki Tanzania🇹🇿
Sio rahis kwa leo mkuu.China akija kujitegemea zaidi hasa upande wa teknolojia hasa za chip, ndipo ataivamia Taiwan.Ila kwa sasa anasoma mchezo wa urusi na namna vikwazo vinavyomuumiza urusi kwa kiasi kikubwa
Safi
Huyu jamaaa mpya ana tone kama ya Mwana FA
Kuongela Africa in general is very important
Asnt sana,,binafsi nmeioenda chanel hii
Kuunga mkono hichi kpnd ukiona ads angalau acha hata moja please usi skip …. Hvyo ndio tuweza ku support hii show
Nawapata vixur from doha Qatar 🇶🇦 kuhusu issue ya western kuaminiwa akuna tena ntakupa mfano mmoja, zamani unaweza change dollar mpka uchocholoni lkn now no. Kila sehemu ukienda utambiwa akuna dollar why, coz nafikili akuna akiba za dolla tena na sio kwa bahati mbaya just imagine, nazani now kila mmoja ameona madhala ya kuweka akiba ya dollar
Ni sahihi maisha yetu yanaswitch kutokana na global social media inaongoza maisha yetu na kuacha muongozo sahihi wa muumba wa ulimwengu but me naamini sns itafika hatua ya kumsha brain za vijana tuliolala kubwa tuweni wazalendo wa kweli
Mimi Nasikiliza Kutokea Douth Africa
Douth ndo wapi mkuu
GPS TRACKERS GOOD DOOD......
Hicho unachokisema Ali niuwoga na tukiendelea kuwa waoga hatutafika, nibora tukakosa sisi ila tutengeneze mazingira ya baadae kwa ajili ya watoto wetu, kwasababu tutaendelea kuumia pasipo na faida leo wala kesho, nibora tukakubali kuumia leo kwa faida ya baadae
tunahitaji uchambuzi kama uho wa leo wakugusia mambo mbalimbali
Had huaxin unaijua nakubali sana uchambuz mzuri na uwezaji mzuri wa China kwa maendeleo ya nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿
Huku mtaani kiuhalisia wazungu wamefanikiwa kuwamaliza vijana wa kiafrika kwa nguvu ndogo sana ya social network,inasikitisha uhalisia wa maisha umepungua kwa asilimia 95%,ni waoga sana mostly wamekua puppets kwa viongozi na watu wenye uchumi wa juu,inasikitisha..we need a solution,most of us are ready ila hatujui tuanzie wapi kuchange the situation..Iyo mada inayofuata naisubiria kwa ham.
Jamaniiiii kipindi kitamu kweri Yani sasa ubongo unapata chakula sahihi