Noma sana aisee ata ile ya kumuua Pac ilinifanya nimchukie didy ila sasa naanza kuona itakuwa ilitengenezwa na FBI agents iliomtaja yy kudhamini gang lake la kina Orlando na keff D
Watu inabidi muelewe kwanini imechukua zaidi ya miaka 10 ili Cassie amlipue. Diddy anajulikana kuwa na connections za nguvu na mapolisi. Sasa hapo utaripoti kwa nani? Na sio tu huyu mwanamke. Kuna wanawake aliwalawiti pia kwa miaka kadhaa na hao wameanza kuongea pia. Diddy alimlawiti Usher alipokuwa anaishi naye tangu alipokuwa na miaka 13, yani bado mdogo. Inasemekana Justin Bieber alilawitiwa pia alipokuwa bado msanii chipukizi. Kuna wengine. Alimwambukiza mwanaume na malengelenge akamlipa dola milioni moja akae kimya. Na alimlazimisha huyo mwanaume alale na Cassie huku yeye akiwatazama na kuwarekodi. Kuna muda Cassie alijaribu kufita hizo video, lakini Diddy akamuonyesha kwamba ana sehemu nyingi za kuzihifadhi. Inasemekana kwamba Didy anekorofishana na Clive Davis ambaye slikuwa meneja wa Whitney Houston. Huyu meneja ni shetani kuliko hata Diddy mwenyewe. Yani ukilinganisha, Diidy anaonekana kama msamaria mwema wa kwenye biblia. Whitmey alimuua na mpaka leo anakula pesa za urithi wa marehemu. Clive ndo aliyekuwa anamlinda Diddy kwasababu Diddy alikuwa mpenzi wake na business partner. Hiyo stori ta biggie kuuwawa ni ukweli. Biggie alikuwa chini ta bad boy records. Clive alishawishiwa na Diddy kuwekeza kwenye hip hop. Nina maaniaha kwamba Clive na Diddy ndo waliomjenga Buggie kuwa mkubwa. Biggie ikafika akataka kuondoka kwenye label. Clive mpenda pesa myahudi shetani hakuweza kukubali. Kwahiyo akamuua. Na sasa miziki ya Diddy zinamilikwa na hao wawili.
@@judyngowi391 Hakika hayana tofauti maana sisi wanaume hatujaumbiwa kuremba. Kwa sheria hizi hata mm nikitazama ninamakosa,mademu wengi bikra zao zinatoka kwa mbinde huwezi ukakubaliana naye lazima mpambane kama vita lkn pia kusex ni suala la kuforce hata mbuzi lazima wakimbizane sio simple,muangalie hata jogoo anavyo saffer so sheria zingine tungieni watu sio mnatungia malaika
Kosa Kubwa Watu Weusi Kupenda Wanawake Wa Kizungu Hata Harmonize Na Yule Mke Wa Kizungu Ingekua Ndio Uko Hapo Hamo Angejua Kama Shobo Na Wazungu Azina Mana Wala Faida
Diddy hachomoki hata akina Mase,Loon kuachana na Bad Boy label kuna mengi ya kinyama na ushetani mwingi Diddy kawafanyia. achilia mbali watu kama Omarion,Raz b kushindwa kusema ukweli,Diddy ni mnyama tena shetani acha yamkute
Tukumbuke Nasib anaejiita simba anasema aliwahi kukutana na p diddy nyumbani kwake chakushangaza nasib anadai walifanya mambo ambayo hayangeweza kupostika!!!!🤔🤔🤔ama nasib alifanyiwa ile kitu jamani!
Kwani diamond kusema vile ajakosea utaenda kwa mtu na kutoa taarifa za maisha yake bila izini yake ni kosa ata ww mtu kaja kwako kapiga picha unavyo ishi na family yako alafu atoe mtandaoni utamfanyaje
True 💯, nakuunga mkono. Wanawake wengi wana tamaa na wanapenda kuwa na wanaume wenye pesa, huyu cassie alikuwa na diddy toka 2007 hadi 2018! Miaka yote mtu anavumilia sababu ya pesa na maisha mazuri
@@nightwishisthegreatestband6355acha kutetea ujinga wewe,ata kama ana connection kivipi,sio sababu yakuto mrepoti.kwahiyo saivi hana tena connections?wamesubiri atemwe na walio mpa utajiri na umarafu ndio waanze kumfungulia kesi hizo.jamaa ni mbaya kweli,ila wale umbwa hawaja lazimishwa kitu,wamepewa pesa ili kusaidia freemason kumuangusha Diddy
Hapa issue ni tamaa ya mafanikio na fedha tu,kwann hawakusema kipindi hcho wanataka kutoka ,saa hz wamepoteza dira, mi naamini walifanya kwa starehe zao
Ndo zao kina dada kutaka watu maarufu, wenye pesa, watanashati na kutuona sisi tusio na umaarufu hatuna letu, bila kufikiria yatakayotokea, mwache yamkute
Sio Mtoto si angekataa?mbona haku sema siku hiyo.wanawake wengine huenda Kutombwa Kisha wanalia wamebakwa😢😢😢si alien joy Kutombwa huyo Cassie aaje shtuma za kujitakia
Aripoti kwa nani wakati diddy alikuwa na connections za nguvu na polisi? Hata wanaume aliofirwa nao hawakuweza kuripoti. Unafikiri pesa ni mchezo? Fanya utafiti kabla ya kuongea ujinga.
Niuongo mwaka 1991 ni mda mrefu sana, hiyo ni kampeni ya kupunguza kazi ya utafutaji fedha wa puffddd, casse anadhulumiwa kwa miaka 10 bila kujitoa ktk hiyo shida huo ni uongo ,kwanini asiondoke ktk hiyo nyumba ya puffddd? Wakati hajafungwa kamba ? Hiyo haiingii akilini,
wanawake wa marecan wanatabiya ya kunyanyasa wanaume ju wanajuwa wako na sauti mm ni mwanamke ila hakuna kubakwa ni kutaka ju wanajuwa watatetewa na wanamenda wawaipe pesa hamuwajuwi wanawake wa marecan ni wajuwaji wanapenda kuipwa
Ni saw lakin najiulza kwnn hiz kashfa huwa zinawaangukia watu weusi tu ina maan wazungu wao huw hawana tatzo au kuna namna hawa watu weusi wanafanyanyiwa figisu😮
@@AishshibnShibani Kwamba wewe ni shetani au ww sio mtu mweusi, sishangai lakin hii yote ni kwavile tushafundishwa hivyo, wazungu washatuwekea fikra kwamba wao ni bora zaid na ni wastaarabu, hata mitume na manabii pamoja na watakatifu wote tukaaminishwa ni wazungu tu hakuna mtu mweusi. Waafrika tuna kaz kubwa kubadili huo mtazamo
usione wadada wanaokaa kwenye good life wanapitia mengi sana hawawezi sema
Kamwe sitoweza kisa Nini nikae na tajiri au!? Fyuu
Sky kaka ucje acha kutuletea makala kama izi mungu akubariki sana broo unasimulia vzr sana yani makala zako hazichoshi kabsa
Sky hz ndioooo makala zako hakika mungu amekupa kipaji na sauti adimu kama ulivowasaidia hawa wafungwa wewe ni mzarendo
❤
Tunaishi kwenye Dunia yenye watu wa ajabu sana😢Mungu atusamehe 🙏
Haya mambo ya Imani za kishetani ili tupate pesa.....
Du. Inaonekana puff daddy alikuwa anawafumua kweli.kweli
Usione watu kwa nje ukafiri ndivyo walivyo kwa ndani.hii mitandao inadanganya watu saana hasa unapoona watu kwa nje ukafikiri wana amani kumbe loooh!!
Noma sana aisee ata ile ya kumuua Pac ilinifanya nimchukie didy ila sasa naanza kuona itakuwa ilitengenezwa na FBI agents iliomtaja yy kudhamini gang lake la kina Orlando na keff D
Ndomana wanaanguka vibaya na mwisho jela na kupotea katika maisha dunia
Duh naona ya r.kelly yamemgeukia p dd
Mbona haya yote yameanza baada ya kuzunguana na Diageo?..hii naona kuna kitu behind kuhusu Ciroc ya Diageo
Watu inabidi muelewe kwanini imechukua zaidi ya miaka 10 ili Cassie amlipue. Diddy anajulikana kuwa na connections za nguvu na mapolisi. Sasa hapo utaripoti kwa nani? Na sio tu huyu mwanamke. Kuna wanawake aliwalawiti pia kwa miaka kadhaa na hao wameanza kuongea pia. Diddy alimlawiti Usher alipokuwa anaishi naye tangu alipokuwa na miaka 13, yani bado mdogo. Inasemekana Justin Bieber alilawitiwa pia alipokuwa bado msanii chipukizi. Kuna wengine. Alimwambukiza mwanaume na malengelenge akamlipa dola milioni moja akae kimya. Na alimlazimisha huyo mwanaume alale na Cassie huku yeye akiwatazama na kuwarekodi. Kuna muda Cassie alijaribu kufita hizo video, lakini Diddy akamuonyesha kwamba ana sehemu nyingi za kuzihifadhi.
Inasemekana kwamba Didy anekorofishana na Clive Davis ambaye slikuwa meneja wa Whitney Houston. Huyu meneja ni shetani kuliko hata Diddy mwenyewe. Yani ukilinganisha, Diidy anaonekana kama msamaria mwema wa kwenye biblia. Whitmey alimuua na mpaka leo anakula pesa za urithi wa marehemu. Clive ndo aliyekuwa anamlinda Diddy kwasababu Diddy alikuwa mpenzi wake na business partner. Hiyo stori ta biggie kuuwawa ni ukweli. Biggie alikuwa chini ta bad boy records. Clive alishawishiwa na Diddy kuwekeza kwenye hip hop. Nina maaniaha kwamba Clive na Diddy ndo waliomjenga Buggie kuwa mkubwa. Biggie ikafika akataka kuondoka kwenye label. Clive mpenda pesa myahudi shetani hakuweza kukubali. Kwahiyo akamuua. Na sasa miziki ya Diddy zinamilikwa na hao wawili.
youtube.com/@lexusnambasita3086?si=IuoAa9YdikxzoNB0
Lkn hao wanawake pia walikua na tamaa sanaa mbna waliendelea kumdate licha yakuskia hayo yote...
Aisee ni balaa
@@sharonanisha8949waliyasikia wapi sasa? Ndio yanasikika sasa,
Diddy Hana kosa ni venye hao wanadada walipenda fame na pesa sana.
Haya mambo yasije kumkuta Mondi na Zuchu baadae
Mpe muda utaona
Ndio hao hao tu
@@judyngowi391 Hakika hayana tofauti maana sisi wanaume hatujaumbiwa kuremba. Kwa sheria hizi hata mm nikitazama ninamakosa,mademu wengi bikra zao zinatoka kwa mbinde huwezi ukakubaliana naye lazima mpambane kama vita lkn pia kusex ni suala la kuforce hata mbuzi lazima wakimbizane sio simple,muangalie hata jogoo anavyo saffer so sheria zingine tungieni watu sio mnatungia malaika
Wanawake a kibongo bado hawana bongo
@@Ndaizee hata marekani haya yamefukunyuliwa tu sio ya sasa.
Ushauri wangu wende kwa wana muziki waki bongo..
Naomba mukae mbari na wanawake
Ushauri wa kipuuzi sana kama wewe mwenyewe ulivyo,
Masandawana mungu anawaona VAR ya mchongo
Dunia Ina mengi sana jamani
Kosa Kubwa Watu Weusi Kupenda Wanawake Wa Kizungu Hata Harmonize Na Yule Mke Wa Kizungu Ingekua Ndio Uko Hapo Hamo Angejua Kama Shobo Na Wazungu Azina Mana Wala Faida
Unamtetea nn wakati anakosa na Ana fi.r.a watu😮
Didy anaonewa nimefatilia sana hili hasa interviews nyingi, be strong didy , ukiwa tajiri mweusi marekani ni shida sana.
Ata mimi naona hivyo
Mbina Diddy yupo kimya naona mambo mengi yanamkuta yeye . Ogapa ukiwa juu watu wanataka kukushusha
Haya mtuambie Bado anaonewa?
Duh anaonewa kivipi 😅nyie mnawaza vibaya TU eti watu weusi wanaonewa kwahiyo hata mtu akifanya kosa kiss mweusi mnahis akishtakiwa anaonewa😂🤦
@@christinewomanoffaith5479😅😅😅😅
Bro tunafarijika sana na simulizi 360🙏🙏🙏
Now i know the meaning of BAD BOY
Tuliokuja leo kusikiliza tena hii makala gonga like 🎉
Hapa pi ddy kashatengenezewa zigo la misumari hapa mpaka aseme kuna mashariti kakosea uko hollywood
Watu weusi na ngono😀😀😀 sjuuh hii sheria ikifika tz itakuwwaje
Diddy hachomoki hata akina Mase,Loon kuachana na Bad Boy label kuna mengi ya kinyama na ushetani mwingi Diddy kawafanyia.
achilia mbali watu kama Omarion,Raz b kushindwa kusema ukweli,Diddy ni mnyama tena shetani acha yamkute
Tukumbuke Nasib anaejiita simba anasema aliwahi kukutana na p diddy nyumbani kwake chakushangaza nasib anadai walifanya mambo ambayo hayangeweza kupostika!!!!🤔🤔🤔ama nasib alifanyiwa ile kitu jamani!
Atakuwa alifumuliwa
Kwani diamond kusema vile ajakosea utaenda kwa mtu na kutoa taarifa za maisha yake bila izini yake ni kosa ata ww mtu kaja kwako kapiga picha unavyo ishi na family yako alafu atoe mtandaoni utamfanyaje
siyo kila mtu anapoenda kwa mbaya naye anafanyiwa ubaya cyo kweli, diamond muacheni na life yake achane wivu na kumfikilia vibaya
Kwanini iyo myaka yoteee hakusema 😢leo ndo aseme 🤔Wazungu ni watu wabaya sanaaa
😂😂😂😂
Hao wanawake hawajanyanyaswa shobo zao na tamaa za pesa zimewafikisha huko
Usiongee kitu kama huna uhakikia
😮🤔🤔😔😔
True 💯, nakuunga mkono. Wanawake wengi wana tamaa na wanapenda kuwa na wanaume wenye pesa, huyu cassie alikuwa na diddy toka 2007 hadi 2018! Miaka yote mtu anavumilia sababu ya pesa na maisha mazuri
@@neemanyove9130na wewe unauhakika kama kweli alifanya hayo?
@@tausiphiona3711Asante kwann akusema
Yaani hiyo Marekani tunayoisikia mwanamke analindwa hivyo ndo huyu dada aliishi kwenye huo ushenzi mika 10??
Aiseee 🙌
Diddy mbona kama ndugu na jux midomo yao😅😅😅😅😅😅 nasura ndefu
Uyo mdada malaya we miaka kumi unafilika uchungu aone mwakwa huu aseme mengine
Michongo kama hii ndo naielewaga sana sns
Kuna namna mtu mweusi unatendewa aisivyo
Wezi tu hawa myu unavumiliaje miaka yote leo ndo uongee hii ni business
Shida ya Ulaya wakisha ona mwafrika anauwezo wanamtafutia misala ili afilisike mtu mzima analazimishwa kufanya mapenzi waache useche..
Diamond naye pia yatamkuta huko mbele...
Ukweli uliko ni Diamond, Burna boy kalalwa nao baada ya kwambiwa wapande juu upstairs kuwatch movie na p Diddy
Kweli huyu ni bad boy
Inasikitisha kwa kweli
Big up sky
Kwani hamuini kwa zuchu wakati huyo nakumbuka mond alisema hatamani kuona mwanae ajihusishe kwenye mziki
Iyo nikampeni ya wazungu kuwapunguza nguvu watu weusi wenyeushawishi mkubwa
Weusi nimazhetani ona matukio yote ayo 😮😮
Mtu tuliyempenda sana, sasa anashambuliwa, nimesikitika sana. PUF DADY, utavuka salama.
Hawezi, jamaa ana siri kubwa sana behind the curtain. hachomoki fyi
Mliyependa au ukiyempenda🙄
Umempenda wewe sio sisi uyo ni shetani
Mtu umebakwa 30 years ago ndio uripoti sasahivi.
Kisheria kesi ni kesi tu hata kama ingekuwa ni miaka 50 iliyopita,,ili mradi tu ibainike ni ukweli
Hutu malaya mbona miaka yote hakusema wazungu tunawajua wana wivu na mablack wenye mafanikio
Diddy alikuwa ana connections za nguvu na mapolisi kama marais wa bara hili. Unaripoti kwa nani wakati watakurudisha tu kwake akiwaomba?
@@nightwishisthegreatestband6355acha kutetea ujinga wewe,ata kama ana connection kivipi,sio sababu yakuto mrepoti.kwahiyo saivi hana tena connections?wamesubiri atemwe na walio mpa utajiri na umarafu ndio waanze kumfungulia kesi hizo.jamaa ni mbaya kweli,ila wale umbwa hawaja lazimishwa kitu,wamepewa pesa ili kusaidia freemason kumuangusha Diddy
Ila jamani mtu ulazimishwi kila kitu kwa muda mrefu hivyo hapana kwakweli huna ndoa huna nn alikuwa anaenjoy pesa sasa anaibika na mengine
Atakama uyu anaroho mbaya utajiri wake anautumia vibaya
Sio pw kabisa ila nimekuwa mtu wa tatu gonga like hapa kwa makala mzuri
Go get a job
Alikuwa anamnyanyasa lakini picha zote anacheka na ameendeza apana vingine anasingiziwa,
Wow can't believe you predicted this 😂😂😂
Kesi za kutunga hizo muda wote Alikuwa wapi hashitaki
Diamond Platnumz Na Yeye Kashaaliwa😃😃Na P Diddy.
Mbona husemi kamnyanyasa vipi maana inaonyesha ulikuwepo
wanahangahika na mamalaya yanayojiuza uko yameona fusa pa kupigia pesa yanaongopa story za kutengeneza.
Kabisa national hili
Hapa issue ni tamaa ya mafanikio na fedha tu,kwann hawakusema kipindi hcho wanataka kutoka ,saa hz wamepoteza dira, mi naamini walifanya kwa starehe zao
Wakija Bongo Diamond hakosekani
Kwa utajri huo ach awafumue watu marinda
Yale Yale ya BROTHER R call wazungu wakiiona unamafanikio wanakutengenezea mizegwe
Kwanza duniani hiyo biashara ina pesa nyingi hadi wengine wanakufa na wanaziacha
Hee makubwa,anapiga punyeto kwa kutazama mwanamke wake akifanya na wengine!
@arafaally2895 si masharti ya njia ya mafanikio
Ndo zao kina dada kutaka watu maarufu, wenye pesa, watanashati na kutuona sisi tusio na umaarufu hatuna letu, bila kufikiria yatakayotokea, mwache yamkute
Kwann alikua anakubali kwa mda wote wa miaka 10
Kwahiyo we unaemtetea Diddy sio😂
Ndo hapo sasa mtu miaka yote upo kimya inamana alikua anafurahia baada ya kuachwa ndo anaanza kujiongelesha 😅
Mi mwenyewe nashangaa. Unateseka miaka 10 bado upo. Shobo za kutaka umaarufu
Acheni ujinga nyie, Didy ana nguvu ya pesa! Na alikuwa anatishiwa akisema au akiondoka atauawawa
Cassie tamaa ilimponza .
Mmh! Usikute kuna kiwango cha utajiri wali kiahidi kuto kivuka kwasabu ni weusi 😅 kama alisimamisha kutowa kafara shauri yake🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hii ni filamu nzuri kabisa walete FBI ndo utayamaliza yote😂😂
mondi analindwa tu ccm ila ni mchafu balaaa
Wanamuonea tu
Unajua Sana Diddy?!
Wapi hawa watu Wanafanya syndicate hawa. Usione tu wako na pesa na kuishi maisha mazuri zenye Wanafanya ni magumu
Asili na ulimbukeni wa mwaafrika ndiyo unaomtesa p did
Malaya tu wote wakishaona unaela wanakutengenezea kesi 😏
Miaka kumiii Kwann usiondokeeee🤌
Siamini
Jamani uyu kaka nampenda sana nimeumia roo sana kusikia hivi hila bado nampenda tuuu mungu msaidiee tuuu😢
Me to
Nikweli lkn naona ameishakuwa mmbaya
Wazungu watu wabaya sanaaa
Kaeni hapo tu mkifikiri wazungu wabaya, hawa wanaingia mikataba mibaya ya kishetani, illuminat ni full ushetani
Mr D itoshe kusema ametisha mnoo😢😢
gonga like ya nyoko watu zunaskiliza vtu vya msingi et nyoko nyoko.🎉
Sio Mtoto si angekataa?mbona haku sema siku hiyo.wanawake wengine huenda Kutombwa Kisha wanalia wamebakwa😢😢😢si alien joy Kutombwa huyo Cassie aaje shtuma za kujitakia
Aripoti kwa nani wakati diddy alikuwa na connections za nguvu na polisi? Hata wanaume aliofirwa nao hawakuweza kuripoti. Unafikiri pesa ni mchezo? Fanya utafiti kabla ya kuongea ujinga.
Sasa kilichomfanya avumilie miaka yote 10 ni nini na leo ndo ashtaki
nguv hun utasema wap ushahid hun
P diddy naona atashinda kesi mapema sana
P diddy role model wangu since wayback ....kumbe ndo maana napenda ngono kumbe kama didi tu😂😂😂😂😂😂
Just comment like a stupid idiot 😠
Umerithishwa, mfuate na wewe akakufumue
HIZI NI NJAMA ZA KUWADONDOSHA WAAFRICA
chief kumbe nawe mwanaharakati mwenzangu😄
Hawa madem walitaka wenyewe tena usishangae walikwenda mpaka na nafuta
Wewe ninkichaaa na nusu, naona na wewe unataka, umeshabeba na mafuta tayari
Daa mwamba sema na leo
😳🙄 makubwa
Kwani kuhama mji?
Duh
Huyu mpumbavu alikuwa amejaza Johnson's baby oil bafuni kisa kuwafira wanaume wenzake. Anafaa aozee jelly nkt!😡
uyu mwamba kumbe alikua anariho mbaya sana
Wezetu hawagari era wara nini ni haki tu
Wazungu washenzi tu mambwaa huwa hawataki mtu mweusi awe juu yao wanampoteza nashsngaa wakija afrika wanampapatikia wy?
Nini maana ya Bad boy
Hii kesi diddy atashinda. I am telling you, he's no going nowhere
I belive
America na Europe kesi kama hizi kutoboa sio rahisi
Hatoboi hata aende kwa mganga, unafilisiwa na unaozea JellA.shenzi Taipu
Sizani kama tunafikiria nje ya box.
Kwenye kilele barafu imeyeyuka
Mr.takethat,takethat#nodiddy
Uonevu kwa watu weusi marekani hautakaa uishe especially ukishakuwa tajiri
Uonevu😲😲
Uonevu gani sasa hapo wakati,unaambiwa kabisa anabaka na kutesa wanawake na wenzake
Bad Boys & Dutty Money oooh Devils
kwa her p.ddy
Huyu anigaidi tu hata auliwe2
Niuongo mwaka 1991 ni mda mrefu sana, hiyo ni kampeni ya kupunguza kazi ya utafutaji fedha wa puffddd, casse anadhulumiwa kwa miaka 10 bila kujitoa ktk hiyo shida huo ni uongo ,kwanini asiondoke ktk hiyo nyumba ya puffddd? Wakati hajafungwa kamba ? Hiyo haiingii akilini,
Angeuawa
Kumbe ndiomana mondi akasema anandoto yabkuwa tajili
Duuuu hatar mbona ni kama shetani sasa
Miaka kumi yote na akakaa kimya
Ashamfungulia case zaidi ya mara mbili puf daddy akamlipa huyo dada
Imagine
@@GudilaAkarona kumlipa ni sawa na kukiri kwamba umefanya hayo.
Black huwa wanatafutiwa mizengwe tu ili kushushwa .Aje afanye leo na si zamani .
Kisie amevimbiwa tu 😅
Kasoma shule ya kikatoriki lkn ni mtu mbadi
wanawake wa marecan wanatabiya ya kunyanyasa wanaume ju wanajuwa wako na sauti mm ni mwanamke ila hakuna kubakwa ni kutaka ju wanajuwa watatetewa na wanamenda wawaipe pesa hamuwajuwi wanawake wa marecan ni wajuwaji wanapenda kuipwa
Jifunze kuandika kwanza acha mhemko
Ni saw lakin najiulza kwnn hiz kashfa huwa zinawaangukia watu weusi tu ina maan wazungu wao huw hawana tatzo au kuna namna hawa watu weusi wanafanyanyiwa figisu😮
Watu weusi ndo mashetani sasa
@@AishshibnShibani Kwamba wewe ni shetani au ww sio mtu mweusi, sishangai lakin hii yote ni kwavile tushafundishwa hivyo, wazungu washatuwekea fikra kwamba wao ni bora zaid na ni wastaarabu, hata mitume na manabii pamoja na watakatifu wote tukaaminishwa ni wazungu tu hakuna mtu mweusi. Waafrika tuna kaz kubwa kubadili huo mtazamo
Sky is limit
Paff dady🙌🏻🙌🏻
Kwani hii biashara kwao c tunaambiwa ruhsa
Iko na pesa in English we call syndicate