Nime penda simulizi my brother, Toka Kenya 🇰🇪 na napenda kazi unayo fanya. Mungu ametupa kuishi maana kubwa ndo tuwe na " impact" Kwa kizazi chetu , tunaweza kama tuna amini. Mungu na akupe afya, maarifa , ushupavu na miaka nyingi za kuya tenda mapenzi yake. #We-Are-Africans-And-Africa-Is-Our-Business.
Ndugu yangu, mwalimu wa maisha yangu, sio leo wala jana kukufatilia, siku zote tangu nikufahamu kuwa ni chombo bora zaidi hakijawahi kutokea. Nasikia kila jambo unalo-post. Kwanza nikupongeze kwa kazi kubwa na nzito unazofanya. Kuhusu hilo la leo limekuwa bora zaidi kwa sababu unazungumza mambo mazuri yaliyofichika, popote pale huwezi pata, tunakuomba uendelee na kazi hii tena hata dakika uongeze maana ni habari nzuri sana. Tunakuomba uendelee kutupatia habari nzuri kama hizi tena ziwe za dakika 40 au lisaa.
Kwa kuongezea, Chedieli Yohane Mgonja aliwania ubunge huko kwao Same katika uchaguzi wa mwaka 1980. Alitangazwa mshindi. Lakini Mahakama Kuu ya Arusha ilitengua ushindi huo kwa sababu alinunua kura. Zaidi, aliadhibiwa kutoshiriki siasa na uchaguzi kwa kipindi cha miaka 10. Lakini Mwalimu alimchagua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kabla ya kumaliza adhabu yake. Waziri Mkuu, Edward Sokoine, na Wakili/Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Joseph Sinde Warioba, waliingilia kati hadi Mwalimu akatengua uteuzi huo.
@@joramunkumbi Swali: Unajua Taasisi ya mstaafu Rais Barrack Obama? Inajihusisha na maswali, matatizo na kero za vijana, globally. Mengi yanafanana na hayo unayofanya. Anatafuta vijana, kama wewe; sisi wengine ni wazee saaaana! Najua kijana mbunge wa zamani wa Aru Meru Joshua Samweli Nassari aliwahi kufanyakazi na taasisi hiyo mjini Chicago baada kupoteza ubunge wake.
Asante sana kwa habari haya mazuri, tunahitaji vijana wenye ushujaa kama Gideoni. Waongoze nchi ipasavyo, bila kutumia mambo yasio halali, by Jhoan PINTO
Wewe ni lulu katika taifa letu. Mwenyezi Mungu akulinde ufikie pale alipokusudia ufike
Kongole sana kaka
Hakika tunayeyuka huku tukiweweseka kiwendawazimu(The ecstacy of critical thinking)
#farmersofthiughts
Nime penda simulizi my brother, Toka Kenya 🇰🇪 na napenda kazi unayo fanya. Mungu ametupa kuishi maana kubwa ndo tuwe na " impact" Kwa kizazi chetu , tunaweza kama tuna amini. Mungu na akupe afya, maarifa , ushupavu na miaka nyingi za kuya tenda mapenzi yake.
#We-Are-Africans-And-Africa-Is-Our-Business.
Kaka, wewe ni mtu potential kuwahi kuzaliwa nchini kwetu, Mungu akutunze uishi sana
😂😂😂Haya bana kama sizipend hizo habar bas unazipenda mwenyew? Umetisha kaka Nakupenda sana kaka
Keep it up brother....nakuelewa sana na semi zako! One day utakuwa juu sana na mtu mashuhuri ....belive me.! By Ahmed .
Ulumbi kila mahali! Shukrani tumbitumbi kaka Joramu.
Joram Nkumbi vitabu vyako nitavitafuta...sijui kama ziko kwenye Amazon...manake unanifurahisha mnoo..ukiweseka kiwendawazimu
Ndugu yangu, mwalimu wa maisha yangu, sio leo wala jana kukufatilia, siku zote tangu nikufahamu kuwa ni chombo bora zaidi hakijawahi kutokea. Nasikia kila jambo unalo-post.
Kwanza nikupongeze kwa kazi kubwa na nzito unazofanya. Kuhusu hilo la leo limekuwa bora zaidi kwa sababu unazungumza mambo mazuri yaliyofichika, popote pale huwezi pata, tunakuomba uendelee na kazi hii tena hata dakika uongeze maana ni habari nzuri sana.
Tunakuomba uendelee kutupatia habari nzuri kama hizi tena ziwe za dakika 40 au lisaa.
Asante sana ndugu kwa maneno yako ya uungwana
Nashukuru sana Ndugu zangu
Mueshimiwa Joramu mkumbi upo vizuri sana kabisa Allah azidi kukulinda kiongozi
Mswahili mwezangu ningependa na naomba uniambie maana ya neno marahaba na shikamoo tafadhali
Mungu akubariki
Kwa kuongezea, Chedieli Yohane Mgonja aliwania ubunge huko kwao Same katika uchaguzi wa mwaka 1980. Alitangazwa mshindi. Lakini Mahakama Kuu ya Arusha ilitengua ushindi huo kwa sababu alinunua kura. Zaidi, aliadhibiwa kutoshiriki siasa na uchaguzi kwa kipindi cha miaka 10.
Lakini Mwalimu alimchagua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kabla ya kumaliza adhabu yake. Waziri Mkuu, Edward Sokoine, na Wakili/Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Joseph Sinde Warioba, waliingilia kati hadi Mwalimu akatengua uteuzi huo.
Asante Sana kwa Mchango huu makini
Nimehariri para ya mwisho kwa sababu kulikuwa na kosa la uandishi.
Asante sana kwa ufafanuzi
@@joramunkumbi Swali: Unajua Taasisi ya mstaafu Rais Barrack Obama? Inajihusisha na maswali, matatizo na kero za vijana, globally. Mengi yanafanana na hayo unayofanya. Anatafuta vijana, kama wewe; sisi wengine ni wazee saaaana!
Najua kijana mbunge wa zamani wa Aru Meru Joshua Samweli Nassari aliwahi kufanyakazi na taasisi hiyo mjini Chicago baada kupoteza ubunge wake.
@@rommelmauma8081 - tuwasiliane ndugu - unijuze zaidi , 0757464874
Naitwa Yussuf ,Nipo Pemba Zanzibar nakukubali ndugu Joram
Uko safi
Umetisha sana bro! Endelea kutupa vitu adimu kama hivyo bwana Joram
Mimi mwenyewe NAZIPENDA sana habari hizo💯
Mdogo wako nimesikia leo🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Asante sana kwa habari haya mazuri, tunahitaji vijana wenye ushujaa kama Gideoni. Waongoze nchi ipasavyo, bila kutumia mambo yasio halali, by Jhoan PINTO
Singida imetowa kitu joramu
Merci beaucoup pour ce récit historique
Karibu Arusha bwana... Kwani kitu gani bwana. Mimi nakubali Kazi mtu mzima Joramu.
Nzuri sanaa hii mkuu
Kaka Joram tunapataje vitabu vyako tafadhali
Naam! Joram kitabu chako tunakipataje Kilimanjaro
Kitabu changu utakipata pale MOSHI FM REDIO - nenda hapo baba
@@joramunkumbi sawa sawa mzee mchekea mwezi
absolute gems ! we need more stories like this. big up
Tutaleta Story za Kutosha
"Leadership is a solution to the problems of humanity". I can see it.
Nashukuru sana Ndugu
Nice Bro
You are Good Joram, unajibidiisha Natamani Jamii ikutambue na ithamini mchango wako. Ukipewa kazi ya umma ninaamini utafanya vizuri sana.
Asante Sana Ndugu yangu kwa dua yako
Hongera kwa simulizi nzuri kabisa!
Mwenendo wa kiraia huo! 👌🏾
Nashukuru sana Ndugu zangu
Asante raia mwema
😀😀😀Mimi nakupenda na hizo habali
Asante sana ndugu
Nimeipenda hii taarifa kiongozi. Safi sana. Iendeleze hii habari kiongozi
Asante sana ndugu yangu
Ndugu JORAMU NKUMBI, NAOMBA MAWASILANO YAKO UTUWEKEE TUWASILIANE
Unazipataga wapi hizinhabar mkuu
Daaah huyu jamaa kiswahili chake sikielewi kabisa mi huwa naenjoy tu hicho kicheko chako😂😂
Huo ni uvuvio wa roho endelea kutuelimisha walumbi
Zinasisimua!
Kakukubari sana
Kaka napenda kusoma vitabu Ila tatzo vyakiswahili
Jaram nkumbi wewe ni mbuji kweli kweli
Sawa kabisa ndugu nakusikiza nikiwa riadh nataka kuwa mwandishi kama wewe nifanyaje
mtu na nusu
Beigan kitabu
Nipo KWENYE UTAFITI FULANI TUWASILIANE
Ninge penda kuwa mlumbi kama wewe, na kupenda sana niki tokea Bara la Uarabuni 🇶🇦 🇶🇦 😅😅
Inawezekana atakuwa anamzungunzia Wilffred Mwabulambo (R.I.P) Ambaye aliwahi kuwa Mkurugrnzi wa Shirika la Bima wakati nilipokuwa nikimfahamu
Inawezekana kaka
Mbeya kitabu chako kinapatkana wap
Ungesema tu kwamba unaunga mkono maneno ya mbunge mteule ungeeleweka mapema hii zunguka zunguka ya nn
Simulizi zako nzuri sana jamaa yngu
Hongera