Prof.unaongea kiswahili fasaha. Hongera sana! Wewe ni mahiri katika matumizi ya Msamiati na misemo ya Kiswahili. Hakika wewe ni Profesa kweli kweli. Mungu akubariki sana katika uelimishaji wako.
Congratulations 👏 to you pro.honnorable Patrick Lumumba,,, for the good Job And to show you the good participate in Tanzania by really And in actually we are supporting to be a one things forever and i needs support to you and African in general by my notion states that " MANJALA LIBERATION OF AFRICAN ASSOCIATION LEGACY (LAAL)2024 which have the main purposes; to advocate of human rights and their resources, to emphasize the people of Tanzania and African in general to refusion corruption, to maintain peace, unity, independence, solidarity and responsibilities in case of continue to make our economy improvemen especially poorly living standard people in Tanzania and African in general
Very eloquent presentation from a true Pan-Africanist. It's very touching to listen to this Kenyan, who speaks very grounded Kiswahili Kiswahili fasaha), just he does speak very elaborate English! Amazing 😊. Big up Prof -- I am one of your admirers and I sincerely hope you will have the energy to keep educating the African elite on Pan- Africanism, whenever and wherever you get the slightest of opportunities. May God bless you Sir 😊.

Huna mfano kaka Lumumba. Tunazidi kukuombea uzidi kuwaelimisha waafrika kwa ujumla wake. Pogenzi kaka wangu
Kiswahili kizuri profesa.umejieleza kwa ufasaha sana.pongezi
I wish to meet you
Lumumba nakupenda kuliko watu wote
Profesa Lumumba ana hoja na anaongea kiswahili kizuri sana
Afirika nzima Hana wakumfikia
Kizazi Cha Prof Lumumber kinapotea ,Sasa kizazi hiki Cha Leo Cha smart4n kinabaki bila maono ,RIP wazarendo mliotangulia ,Ahsante pro Lumumba
Mwanaujamaa mwenye uchungu na bara letu la Africa
Mjomba nimekuelewa kwa kiinnnaa asante mjomba
very strong , speech ,
Siugombe ulaisi mbona unafaa Sana baba yetu
Jembe limeongea kiswahili bila ya kutumia neno au sentens ya kiengereza
Najiuliza sisi wa Tz kiswahili sahihi kama hiki tunashindwa nini???
Bro unite is the answer
Kiswahili sanifu huwezi amini mwanaujamaa Alie na uchungu na bara la Afrika mwenye uzalendo
Daudi mlamka kizazi kisichopenda kufikiri hakukosea raisi Mkapa un reasoning minds
Karume mwenyewe ulimshinda katangaza hadharani kuuvunja wakamvunja yeye
Wewe unganisha Ruto na Laila isije kuwa BIBLIA😂
Tunajivunia prof lumumba kama wakenya
Na waafrika
Huyu ni ngwinji na falsafa zake ni za busara mno.
WAZANZIBAR hawataki MUUNGANO hata kuona
Hakuna hata MTU mmoja wa bara anaetaka muungano kwasabu sisi pia hatutegemei chochote kutoka kwenu
Sikilizeni hotuba kwanza, Ili muweze kuzitafakari fikra zenu
Kama huutaki muungano katuletee ule mchanga uliochangabywa uugawanyishe ule wa zanzibar na wa Tanganyika hapo utaweza kuugawa muungano.
Muungamo mpya was Afrika jameni😮
Muungano gani huu ?? Zanzibar ipo Tanganyika imejizika ktk kivuli cha muungano
Acha ubinafsi hizo ndo siasa za kihuni