Professor Lumumba ni Zaidi ya wengine Nakukubali zaidi ya Zaidi wewe ni Bora Bora Bora mno wewe ni Mhimili wa Africa..watakaoshindwa kukuelewa tuwazike hawana Faida hata tukiishi nao hawatafaa kwa lolote...❤❤❤
I really admire the way he is delivering his messages when he takes the podium,. The way he is organizing all his speeches, I admire and deeply love this man, well knowledgeable in both theological ideologies, social, economics, historical and political things.🙌🏾. 👏🏾. . . May the Lord keep him for us, Africans.
Jambo mtumishi wa Mungu, nashukuru, kuona unaongeya kiswahili safi, maana kila nikikufatiliya, naona kingereza sana, uwe natuchangiya kiswahili kwa hutuba zote popote unapo hutubu, ili wa Africa wengi tuwe na changiya na wengine wana kiswahili. Asante
Mungu ibariki Afrika, pamoja na watu wake, wabarki wazalendo wetu wt waliothubutu kuipigania Afrika yao kwa moyo wa dhati kbs. Wasamehe pia madhambi ya wapumzike kwa amani. Tusamehe waafrika wt na kulifanya bara letu kua lenye nguvu na huru ktk imani na fikra.
Hotuba nzuri sana kwa kuisikiliza lakini ina mapungufu mengi kwenye utekelezaji. Kwa mfano, nani wa kulaumiwa kwa vijana wetu kukimbilia ulaya? Nani asiyependa maisha rahisi? Wanaolaumu vijana wameshindwa kutengeneza mazingira rafiki ambayo yatawawezesha vijana kujipatia mkate wao wa kila siku. Wengi wanawaambia vijana wajiajiri mbona wao hawajiajiri. Bahati nzuri nina uzoefu wa kuajiriwa na kjiajiri. Kujiajiri hasa kwenye kilimo sio rahisi kama wengo wanavyosema. Hata hivyo, mapungufu hayo hayaifanyi hutuba hiyo kuwa moja ya hotuba bora sana kutoka kwa mtu bora sana Afrika.
namkubali saan hyu Prof,nataman apew nafas kuelimisha vijana zaid kwan ni mtu makini saan na anaongea kiswahil sanifu zaid.ana madin saan ktk bongo yake
MANJALA LIBERATION OF AFRICAN ASSOCIATION LEGACY (LAAL)2024 tha are main purposes are to Advocate of human rights and their resources in TANZANIA and African in general, to emphasize the people of Tanzania and African in general to avoid any entrance of climinal,to maintain peace, unity, independence, solidarity, rights, and responsibilities in case of Economic development especially in Tanzania poorly people living standard
Huyu mzee anachokisema anajifungua upande huu na wakati huohuo anafunika upande wa pili,,tu anasema kuhusu cc vijana tumepunguza uzalendo,,noo,c kweli,,yeye aongee na siasa za Afrika na viongozi wetu na kasumba zao za ubinafc ndiO zinatufny vijana tuwe hivi,,vyama tawala vinaona wao ndio watawala milele ,,,Ihanda ni mfano hai, Rwanda pia,,mbona hazungumziagi hizi tawala zakiafrica?
MUNGU akubariki sana Professor hakika nimebarikiwa sana na mafundisho yako, Uko vizuri hata katika kufundisha Neno la MUNGU. Hakika wewe ni mwana Afrika mzarendo kweli kweli, na Kiswahili chako kimeokoka. Wewe ni zawadi ya Wana Afrika.
Unataka akusaidie nini kukupa kazi au kukurahishia maisha yako?Yeye anakupa muongozo,na kukufungua akili.Mengine utafanya mwenyewe coz hata mabadiliko huanza na wewe mwenyewe.
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Professor Lumumba ni Zaidi ya wengine Nakukubali zaidi ya Zaidi wewe ni Bora Bora Bora mno wewe ni Mhimili wa Africa..watakaoshindwa kukuelewa tuwazike hawana Faida hata tukiishi nao hawatafaa kwa lolote...❤❤❤
Asante kwa kuienzi lugha safi ya kiswahili inayojitosheleza bila kuchanganya kizungu.
Professor huyu huw namkubali sana kwa speech zake
professor is eloquent in both english and swahili. wakenya hua hatumpi heshma anazo stahiki
I really admire the way he is delivering his messages when he takes the podium,. The way he is organizing all his speeches, I admire and deeply love this man, well knowledgeable in both theological ideologies, social, economics, historical and political things.🙌🏾.
👏🏾.
.
.
May the Lord keep him for us, Africans.
Asante Sana Professor, umeongea Kiswahili kizuri Sana kuliko waswahili
Kwani Lumumba sio mswahili?
Profesa huyu ananivutia kila mala ninapomsikiliza...Mungu ampe maisha marefu
I really admire how Plo has content in his speech,,, congrats man of wisdom 💪
Waaa! PLO umegonga ndipo. Umezungumza Kiwahili safi sana kweli. Sisi wakenya tunakupenda sana.
Bora bandari tumpe huyu prof❤
We need him to be president of Zanzibar
Jambo mtumishi wa Mungu, nashukuru, kuona unaongeya kiswahili safi, maana kila nikikufatiliya, naona kingereza sana, uwe natuchangiya kiswahili kwa hutuba zote popote unapo hutubu, ili wa Africa wengi tuwe na changiya na wengine wana kiswahili. Asante
Thank you for your intellectual
Mungu akupe umri mrefu Prof.Lumumba.
Hongera sana profesa kwa speech inayoeleweka sana na elimu ya kutosha
Professor lumumba is an African hello.
Ww ni magufuli mtupu🥰
Da kipawa Cha pekee ,barikiwa
This is Real meaning Of Professor, More Appriciate PLO,
Proffessor wewe ni kichwa pia kwa Africa...Mungu akutunze.
Atlist professor leo umeongea kiswahili nami nimekuelewa vzri
Son of Africa - Proud and love your work PLO-Lumumba.
Asante mwalimu nakutakiya maisha malefu
Ningependa sana awe anaongea kiswahili katika hotuba zake zote inapendeza sana ataeleweka zaidi
Long live our African leader
Mungu akubariki sana
MUNGU akubariki limumba, MUNGU ibariki Tanzania
Huyu ni Prof kweli
Mungu ibariki Afrika, pamoja na watu wake, wabarki wazalendo wetu wt waliothubutu kuipigania Afrika yao kwa moyo wa dhati kbs. Wasamehe pia madhambi ya wapumzike kwa amani. Tusamehe waafrika wt na kulifanya bara letu kua lenye nguvu na huru ktk imani na fikra.
Be more blessed
Nice work,you are a real Professor🎉🎉🎉
PH. LUMUMBA 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Nakupenda xan mkuu mambo yko ni mwanga
Good speech
Kiswahili saaaaaaafi sana ameongea prof utadhani ni mTZ duhh
Mungu akubariki
asanteni sana
I do admire this professor 👏👏
PLO huyu anatakiwa kupewa uraia wa Tanzania na tumjengee sanamu la kumbukumbu
Ishi miaka mingi mtu Wa Mungu.
Mungu mkuuu
Hotuba nzuri sana kwa kuisikiliza lakini ina mapungufu mengi kwenye utekelezaji. Kwa mfano, nani wa kulaumiwa kwa vijana wetu kukimbilia ulaya? Nani asiyependa maisha rahisi? Wanaolaumu vijana wameshindwa kutengeneza mazingira rafiki ambayo yatawawezesha vijana kujipatia mkate wao wa kila siku. Wengi wanawaambia vijana wajiajiri mbona wao hawajiajiri. Bahati nzuri nina uzoefu wa kuajiriwa na kjiajiri. Kujiajiri hasa kwenye kilimo sio rahisi kama wengo wanavyosema. Hata hivyo, mapungufu hayo hayaifanyi hutuba hiyo kuwa moja ya hotuba bora sana kutoka kwa mtu bora sana Afrika.
namkubali saan hyu Prof,nataman apew nafas kuelimisha vijana zaid kwan ni mtu makini saan na anaongea kiswahil sanifu zaid.ana madin saan ktk bongo yake
Huyu ni professor wa ukweli😊
Tatizo viongo wa kiafrica hasa hawa wa Sasa wapo kimasrahi Yao na vizazi vyao tu,, ndo maana tunatoka kwenda ng'ambo ✋
Wewe mzee MUNGU akubaliki uwe na Maisha marefu
Ni kweli waasisi wa mwanzo wa nchi za Afrika walikuwa ni vijana wenye uazalendo, uaminifu na nidhamu
Suprised he knows kiswahili🙆🏾♂
Kuna kijana yupo hapo ameshiriki kuuza bandari ameingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi na sasa ni waziri.
Mbona imeishia nusu bana dah GLOBAL TV vp tena
Remember mooroko mole shhh secret squirrel 🐿️🐿️🐿️🐿️🐿️
Yuko wapi natamani nikutane naye..anipe elimu kidogo
Kuna vijana wenye akili za wizi humo ndani naona hawamwelewi😆😆
Lumumba ongelea mkataba wa bandari wa tanzania na dubai.
Natafuta videos zake za kiswahili.
Natafuta videos za Kuza za kiswahili
😭😭😭😭😭😭daaaaaah
Huyu proffesor kiswahili ni hatari kiingereza ndio udiseme kabisaa
Hawa ndio ma professor waafrika walio Bora baba anaongea kiswahili huyu hachanganyi lugha ya kikoloni
Waobinafsisha bandari wanaelewa speech hii kweli?
Ulaya hakuna maisha kwa mwafrika😅
Ni mateso tu 😂😅😂
NaOmba kupata link ya hii ibada full
Huyu ni mwafrica halisi
Bado sisi utumwa unatung'ng'ania kwa mfano ukiangalia kama mama zetu wanakimbizana na kununua nywele ili tu wafanane na wazungu
❤
kumbe unajua kiswahili barbara
Anajitahd kuongea lugha mbili kww ufasaha kiswahili na English
Mwalimu angeuchanachana kwa hoja mkataba wa dhalimu wa DPW 😢..
MANJALA LIBERATION OF AFRICAN ASSOCIATION LEGACY (LAAL)2024 tha are main purposes are to Advocate of human rights and their resources in TANZANIA and African in general, to emphasize the people of Tanzania and African in general to avoid any entrance of climinal,to maintain peace, unity, independence, solidarity, rights, and responsibilities in case of Economic development especially in Tanzania poorly people living standard
Huyu mzee anachokisema anajifungua upande huu na wakati huohuo anafunika upande wa pili,,tu anasema kuhusu cc vijana tumepunguza uzalendo,,noo,c kweli,,yeye aongee na siasa za Afrika na viongozi wetu na kasumba zao za ubinafc ndiO zinatufny vijana tuwe hivi,,vyama tawala vinaona wao ndio watawala milele ,,,Ihanda ni mfano hai, Rwanda pia,,mbona hazungumziagi hizi tawala zakiafrica?
Huyu Prof nchini kwao wanamchukulia poa poa sana,lakini nje na nchi yake ni lulu kabisa sisi tunamuona.
Phd
Maprofesa wetu wanafanya utafiti wa watu wenye nguvu na kiume na kusaini mikataba ambayo hata mwanchi wa kawaida hawezi kusaini
MUNGU akubariki sana Professor hakika nimebarikiwa sana na mafundisho yako, Uko vizuri hata katika kufundisha Neno la MUNGU.
Hakika wewe ni mwana Afrika mzarendo kweli kweli, na Kiswahili chako kimeokoka. Wewe ni zawadi ya Wana Afrika.
Yaaan kawapiga nainjili? Saaafi
Plo kiswahili unakielewa barabara si mjaluo wakawaida
Uyu mtu ameongea kitu ambacho mwenye kusikiza inagonga kwa moyo
Atakufa hana alichotusaidia zaid yakulipwa kwenye haya makongamano
Unataka akusaidie nini kukupa kazi au kukurahishia maisha yako?Yeye anakupa muongozo,na kukufungua akili.Mengine utafanya mwenyewe coz hata mabadiliko huanza na wewe mwenyewe.
Kwani Shida Iko wapi, ww unalipwa wap
@😀😀😀😀😀😀😀
Wilfred wewe ni shenzi sana. Akili yako iko wapi? Ubongo wako ni ubongolala!
Fuuuu