- Видео 501
- Просмотров 798 508
IsleBlogTv
Танзания
Добавлен 18 май 2020
#isleblogTV Media House
#ZANZIBAR KUCHUKUA NAFASI YA DUNIA KUHOST TUKIO KUBWA LA ULIMWENGU 2025
#isleblogTV Serikali ya Zanzibar kujiandaa na Mwaka 2025 kwa ujio wa Wageni zaid ya Mia Tano kutoka matifa mbalimbali duniani kushiriki mkutano mkubwa uliopiku nchi takriban mia na kuchaguliwa Zanzibar, Serikali ya Zanzibar inajipambanua namna ilivyojipanga. Kama bado Hujasubscribe Chanal yetu fanya hivyo sasa kwa Kususcribe ili uwe wa kwanza kuwajuza wengine kwenye mambo mbalimbali Zanzibar. Asante
Просмотров: 2 712
Видео
#MSAKO USIKU WA MANANE WANAOPIGA MZIKI KATIKA MAHOTELI NA KUMBI ZA STAREE BILA YA KUFATA MASHARTI
Просмотров 1,7 тыс.День назад
#isleblogTV Kamisheni ya Utalii kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Utamaduni wamefanya msako Mkoa wa Kusini Unguja, Paje Jambiani, Kizimkazi pamoja na Makunduchi katika kukamata wanaopiga mziki ovyo bila ya kufata masharti yaliyowekwa pamoja na kutoa onyo kwa baadhi ya wamiliki wa hoteli wanaopiga mziki bila ya kuwa na vidhibiti sauti katika maeneo yao ya burudani.
#VIJANA WA PEMBA FURSA MIKONONI MWAO
Просмотров 551День назад
#isleblogTV Kauli ya Rais Mwinyi kutekelezwa kwa vitendo na hii ndio mikakati ndani ya Kisiwa cha Pemba kusogezewa fursa za ajira kwenye Ualii
#NDEGE YA TUI YAJA NA NEEMA MPYA ZANZIBAR
Просмотров 3 тыс.День назад
#isleblogTV Takriban miaka sita iliyopita hatimae shirika la ndege kutoka Netherland kurudisha safari zake visiwani Zanzibar, na hii ni mipango mipya iliyopangwa ndani ya Terminal III Zanzibar. Usisahau kusubscribe chanal yetu ili uwe wa kwanza kupata habari zetu na kuwajuza wengine. Asante
#MIKAKATI YA KUMALIZA KERO YA UMEME ZANZIBAR
Просмотров 97414 дней назад
#isleblogTV Serikali kuzalisha umeme zaidi ya volt 300 kupita chini ya bahari Unguja na Pemba. Kama hujasuscribe hujachelewa subcribe chanal yetu upate habari zetu na uwe wa kwanza kuhabarisha wengine.
#KAULI YA RAIS MWINYI YAWAGUMZO MITAANI YA MWAKA 2025
Просмотров 1,6 тыс.14 дней назад
isleblogTV Rais Mwinyi anasema kama kununu watanuna sana Mwaka huu ndio wenye miradi mingi kuliko miaka minne iliyopita. Kama huja subscribe chanal yetu fanya hivyo sasa ili uwe wa kwanza kupata habari zetu. Asante
#BARAKA SHAMTE AKIRI MAZITO MBELE YA RAIS MWINYI
Просмотров 59921 день назад
#isleblogTV Soko la Jumbi lamrudisha Baraka Shamte ambae ni kada wa Chama cha Mapinduzi CCM amekiri na kuomba msamaha mbele ya Rais Mwinyi baada ya kutoa kauli za kurudisha nyuma Miradi ya Maendeleo, ikiwemo ujenzi wa soko la Jumbi miradi inayosimamiwa na Serikali ya awamu ya nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na hapa Baraka Shamte anatoa kauli nzito iliyoshangaza we...
#HUU HAPA MKASI WA Dkt MWINYI LIVE
Просмотров 63921 день назад
#isleblogTV Rais Mwinyi amesema kuanzia sasa atatembe na mkasi kila anapokwenda ili kuwaondoshea usumbufu wa kutafuta mikasi kila mara, kwenye ufunguzi wa miradi hivyo atakuwa na mkasi wake mwenyewe kwenye mkoba wake. Usiache kususcribe chanal yetu ili uendelee kupata habari zetu, kama hujasuscribe fanya hivyo sasa usipitwe na matukio muhimu
#RAIS MWINYI AIHABARISHA DUNIA FURSA ZILIZOPO ZANZIBAR
Просмотров 60721 день назад
#isleblogTV Rais Mwinyi amesema Zanzibar itakuwa ni kituo bora kwenye fursa za Uwekezaji Unguja na Pemba na ukizingatia sasa tunakwenda kuifungua Pemba, ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari mara tu baada ya kufungua Maonesho ya Uwekezaji na Utalii kwenye viwanja vya Nyamanzi. Kama bado hujasubscribe chanal yetu basi fanya hivyo sasa ili upate habari zetu na uwe wa Kwanza kupata Taarifa m...
#MWINYI ALETA MSHINDO MPYA KWA VIJANA
Просмотров 14521 день назад
#isleblogTV Rais Mwinyi kutembelea vijana wa makachu forodhani na kusema maneno yenye faraja kwa vijana hao
#SIKU KUMI NDANI YA SOKO NA DIKO LA SAMAKI MALINDI
Просмотров 1,9 тыс.21 день назад
#isleblogTV Diko na Soko la Samaki Malindi siku kumi za kishindo zinakuja ndani ya Soko la Samaki Malindi
#KAULI YA KWANZA KWA SHEIKH OTHMAN MAALIM
Просмотров 55028 дней назад
#isleblogTV Sheikh Othman Maalim amekuja na muarubaini wa kuondoa tatizo na kupunguza msongo wa mawazo kwenye mambo ya kheri kama anavyoelezea.
#Dkt MWINYI AELEZA MAMBO MATATU YALIYOFANIKIWA ZANZIBAR
Просмотров 2,6 тыс.Месяц назад
#isleblogTV Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imefanikiwa mambo mengi moja wapo kurudisha meli zilizositisha huduma ndani ya visiwa vya Zanzibar kutoka na changamoto za huduma ndani ya bandari ya Malindi, lakini sasa mambo matatu yaliyofanyika na kusimamiwa vema imekua tija sasa ndani ya bandari zetu, na kubainisha utayari wa Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika...
#DUNIA IMETAMBULISHWA RASMI YALIYOPO ZANZIBAR
Просмотров 1,8 тыс.Месяц назад
#isleblogTV Tukio lililomkosha Rais Mwinyi, Zanzibar kuanza kupokea wageni baada ya Mufti Menk kutamka maneno juu ya Zanzibar na kuitanabahisha dunia juu ya Zanzibar
#TAARIFA TULIZOZIPATA MDAA HUU ZA ZRA
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
#TAARIFA TULIZOZIPATA MDAA HUU ZA ZRA
#BADO ZANZIBAR YAENDELEZA UBABE KIDUNIA INASHIKA NAFASI YA TATU,AFRIKA INASHIKA NAMBA MOJA.
Просмотров 1,8 тыс.Месяц назад
#BADO ZANZIBAR YAENDELEZA UBABE KIDUNIA INASHIKA NAFASI YA TATU,AFRIKA INASHIKA NAMBA MOJA.
#MWINYI NA RAMANI YA MAENDELEO BARANI AFRIKA
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
#MWINYI NA RAMANI YA MAENDELEO BARANI AFRIKA
#HALI ISIYOVUMILIKA NDANI YA VIUNGA VYA MJINI UNGUJA
Просмотров 4,3 тыс.Месяц назад
#HALI ISIYOVUMILIKA NDANI YA VIUNGA VYA MJINI UNGUJA
#ZANZIBAR NA VIP LOUNGE YA KWANZA BARANI AFRIKA NA DUNIA
Просмотров 14 тыс.2 месяца назад
#ZANZIBAR NA VIP LOUNGE YA KWANZA BARANI AFRIKA NA DUNIA
#UBOVU WA CUSTOMERCARE BADO KANSA INAYOTAFUNA HUDUMA
Просмотров 1512 месяца назад
#UBOVU WA CUSTOMERCARE BADO KANSA INAYOTAFUNA HUDUMA
#THE REASONS OF HALAL TOURISM IN ZANZIBAR
Просмотров 7662 месяца назад
#THE REASONS OF HALAL TOURISM IN ZANZIBAR
#MWINYI ATOA VIFARANGA VYA MAJONGOO BAHARI BURE
Просмотров 4002 месяца назад
#MWINYI ATOA VIFARANGA VYA MAJONGOO BAHARI BURE
#RAIS MWINYI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA ZIARA YAKE NCHINI INDONESIA
Просмотров 1,2 тыс.2 месяца назад
#RAIS MWINYI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA ZIARA YAKE NCHINI INDONESIA
#MATATU MUHIMU NA MAGUMU YA BABUDUNI KWENYE SIASA
Просмотров 1452 месяца назад
#MATATU MUHIMU NA MAGUMU YA BABUDUNI KWENYE SIASA
#MWINYI AIFUFUA BUSTANI YENYE KARNE KADHAA ZANZIBAR
Просмотров 4,4 тыс.2 месяца назад
#MWINYI AIFUFUA BUSTANI YENYE KARNE KADHAA ZANZIBAR
#WEE HUWOGOPI, AIRPORT YA ZANZIBAR YAENDELEA KUISHANGAZA DUNIA
Просмотров 3,4 тыс.2 месяца назад
#WEE HUWOGOPI, AIRPORT YA ZANZIBAR YAENDELEA KUISHANGAZA DUNIA
#FURSA MPYA ZA UCHUMI WA BULUU ZANZIBAR
Просмотров 1,2 тыс.2 месяца назад
#FURSA MPYA ZA UCHUMI WA BULUU ZANZIBAR
Unazidi kuwauwa ACT wazalendo wa zanzibar wanaodai mamlaka kamili,hawapendi hada kusikia ujenzi wa hii nchi.
Hatutaki Munatuletea machafu znzibar na laaana
Neema kwa sote ❤❤❤❤
Msisahau kuomba kibali Bara
Watu hawana chakula znz maisha mabaya wewe wajenga barabara
HOTELI MMEIFUNGA ILA MMEWAKUTA WAGENI WAWILI KILICHOFUATA NI NINI?DAH ZANZIBAR BHANA MAMBO YAO KIENYEJI ENYEJI NDIO MAANA MNAENDELEA KUISHI KWQ MAZOWEA ,ONDOKENI KWENYE MAGOROFA MABOVU SERIKALI IKUJENGEENI MPYA OOH MAJUMBA HAYA YANA HISTORIA SASA YAKOVUNJWA HISTORIA ITAONDOKA BUUUUSHIIIIT
@@R10_Rajab Hii issue naifahamu sana maana hao wenyewe mradi ni jamaa zangu na kweli yule manager anatembeza pesa sana ndio maana ana kiburi hasa ila mambo ya ngoswe!!!
@@hatibbaraka3956 Umeonaeee hiyo ndio Zanzibar na hapo wapo wanaomsaidia Muheshimiwa Raisi ila dah kuwa Raisi sio masihara hata kidogo
I APPROVE OF THIS MESSAGE 🇺🇸
Hatutak baki uko uko kwenu ungja na utalii wenu pemba ytu mutuachie t kma cku zte
Acheni kutuchora
Musituletee utalii sisi.
Nimeipenda hii ziara,ila kwenye upigaji wa huo mziki unakua una siku tofauti,je huo msako utakua endelevu? Ni kweli unakera kwa baadhi ya wageni mimi ni shahidi wa hilo wapo wageni wengi wanaolalamika kuhusu mziki sauti kubwa na kuvunjwa hadi saa 10 alfajir. Kuhusu huo mradi wa Villa malaika kwa kweli serikali imechelewa sana matatizo ya hawa wazawa ni ya muda mrefu na huyu muekezaji amekua kiburi,hataki kutii hata maagizo ya serikali,haileti picha nzuri kwa raia wa nchi hii.
Masheha na wakuu wa wilaya ndio chanzo cha yote hayo ,hapo usikute sheha Ana mgao wake kila siku pia mademu ndio wanapata hapo so why wasiwaachie?
@R10_Rajab ni sawa wanakua wanaramba hela hasa wanakijiji kwa mfano Coral Rock wakipiga crazy Monday wanatoa 200$ kwa wazee inavyosemekena. Hakuna anaekemea ndio unakuta watu wanapiga adhana ya alfajir ndio mziki unavunjwa au barazani walevi wamelala.
Sasa hao wanao endesha biashara bila ya leseni kwani nchi ya kwao au Vipi??? Zanzibar ni njema na atakae na aje..❤ I love Zanzibar..
Hao wanalindwa na Masheha ,mashekha ndio tatizo kubwa Zanzibar
Hongereni wakuu
Sauti ziwe ndani kama ilivyokuwa starehe club zamani. Shangani wakilala raha mustarehe.
Muje na jumba la tren katika budtani mchana kweupee wanalala ovyo ovyo wanajikushanya kojoa ovyo
Ili cultures ichenge lazima infrastructures ziboreshwe kwa vitendo
Asante kwa kutujejea wazanzibari
Wacha ufala uwo
Government should stick on infrastructure. lack of infrastructure is terrible problem which is facing island of pemba so good infrastructure such as road it might change quickly environment and making some of other place alive for too long,
Mijitu mijinga hii cjawah kuona mm
Basi musiiharibu kwa ulafi wa pesa. Health Insurance ni hiari. Mmeona wapi destination ilazimishe Health Insurance. Hebu ulizeni. Halafu hizo huduma za Afya bado sana. Hamnazo. Yaani hayo majengo mapya sio huduma za Afya. Bado sana nafikiri ni 2% ya huduma za Afya za ulimwenguni
Umeongea jambo la msingi sana, ila hiyo health insurance mbona wataitoa tu coz hilo jambo is totally impractically hapa Zanzibar..
Sasa watengezee viwanda Wananchi wapate makazi maisha yao yawe bora. Watakushukuru zaidi.
Soko zuri lakini usimamiaji wa ndani na usafi hasa kwenye vyoo ni muhimu sana. Mavazi ya wauzaji pia yawe mazuri siyo mashati ya kuchanika na kofiya zimetoboka.
Zanzibar bila ya kuiondoa CCM bas tutabaki kuota tu kuhusu maendeleo ya kweli
Muungano hadi umeme wazanzibar wanaonewa kweli wana mikondo mikubwa yakufuwa umeme ila lazima wauziwe kutoka tanganyika 😂😂😂😂😂
Ujinga mwingi zanzibar ina uwezo wa kuzalisha umeme kwa kutumia waves za bahari pekeyake na tukauza nje ya nchi mana hatujafika ata MW 400 za matumizi
Umeme huu tegemezi kwa kweli ni mtihani, jiandaeni kuzalisha wenu.
tunataka umeme wetu wenywe mbn mnatuonea lkn kwan hakuna namna ya kupata kwa njia nyingne lazma tuwategemee nyinyi? izo kodi tunazitaka wenywe tumechokaaaaaa
Haya majamaa hawana akili ,hapo solution ni Zanzibar kufua umeme wake .
MI NILIJUA TUNAZALISHA UMEME WETU SASA😂😂😂😂😅😅😅
Dhulma hailet maendeleo 😅😅 miaka 60 inategemea umeme wakati Zanzibar ilikuwa n umeme kabla y nchi nyingi
Mamlaka kamili lazima umeme tunauziwa kutoka bara miaka nenda miaka rudi kwanini kusiwe na umeme wake ZANZIBAR ilhali vyanzo vyote vipo vya upatikanaji wa umeme visiwani ZANZIBAR aibu viongozi wa zanzibar
Ujinga huu utakwisha lini wa kutegemea umeme kutoka tanganyika. Malengo tumeyajua nikuifisidi zanzibar tu . Mwisho wenu 2025 mutaisoma namba
Acheni ujinga huo wa kutegemea umeme kutoka bara. Zanzibar inaweza kua na umeme wake na imawauzia bara km mipangp mema kwa nchi, huyo mtwana wa bara anakuaje katibu mkuu Zanzibar na kiswahili cha Zanzibar hakijui anawezaje kua na malengo mema kwa Zanzibar. Shenzi acheni njaa hizo
Tuna vyanzo vingi vya kuzalisha umeme kwa harama ndogo sana tukaweza kusambaza barabarani na nchi ikan'gara
Mungezeni njaa izidi
Ilo gari yanatakiwa yawepo walau 3 au matatu mtanikumbuka...
Ulevi si munauza wenyewe munasema pombe hakuna pombe haramu sasa munaonaje mambo ya kuhalalisha pombe ndio matokeo yake Yajao Yametimia na yatatimia kweli tusubiri kuuliwa sasa ndani ya majumba yetu.
Naona watu wote ni wa bara
Hakuna jamo moja wala mawili tunataka serekali ya tanganyika iyonekane isijifiche kwenye muungano sisi zanziba hatujaungana na tanzania tumeungana na tanganyika na kwa nn haipo na hapoawali ilikuepo ili muungano uwepo lazima serekali ya tanganyika iwepo
Swali Gari izo mnazo ngapi?
Huyu mtu kakifanya kipi ambapo walopita hakufanya huyu ndo kazidi kuboronga anabomoa Barabara nzima halafu anajenga Tena kwani sehemu nyengine hakuna pa Kujenga Kodi zimepandishwa Mara dufu wananchi walio wengi ajira hatuna na ndomana tunashindwa kukimu mahitaji yetu hatutaki ccm Wacha wengine tuwaone kaeni pembeni hatuoni Cha mana kilaataekaa hayo hayo njaa
Mlitunze inshaalla
Kiongozi huyuu alikuwa wapii tunavyotaka kuendelea kwa siku moja haitawezekana. Ila ulipofikia upewe kila tano za wananchi. Ni kweli una imani na wananchi wa Zanzibar. Allah akuwezeshe uongeze asilia za maendeleo. Wataelewaaaaaaaaaaa
Miradi mikubwa lakini wananchi wanalia hali ngumu ya maisha
Kama miradi yote iyo bado huoni kama inachochea mwananchi kujikwamua na hiyo hali ngumu ya maisha basi nenda katafute bwana akubanjue maana ndo lililobaki kwako
Safi sana unaweza rais kweli ww jembe
Mtafuta tonge
Mwamba huyo!
Rais utembee na mkasi Tena heehehe nimeeipenda iyo safi hahahaha watablooo sass hahahahahaa mkasi WA mwinyi oyeee
Safi sana
Msikiti upo mdani, mtangazajo ameseme sehemu ya kusalia, c ndo msikiti
Hongera Rais Mwinyi, ila nashauri kulipa compuni ya usafi wafanye usafi, usiwategemee watu binafsi kufanya usafi.wasiwsi wangu ni issue inzima ya usafi. Weka kampuni ya usafi. Ndugu zangu mimi nawajua ktk swala la usafi
Nanaulizatu tu mm iko kibaraza unakodishwa kiasigani maaana miradi kama hii beiyake huwa nikiboko mfanotu darajani sok mlangotu kodiyake unaenda mbiyo