Joram Nkumbi nimehamasiki sana kwa juhudi yako ya mufunua kawa la tamu ya lugha ya kiswahili.Mazungumuzo ya leo TBC 1 ni funzo adhimu hasa kwa wana habari kwenye runinga na radio waonyeshe umahiri wa kuzungumza. Kwa kweli nao wengi wao bado dhaifu.
Habari ya kazi kaka sky nimependa sana kipindi chako na mahojiano uliyo (ulio) yafanya na kaka JORAMU ila kuna vitu ambavo(ambavyo) haviko sawa katika mfumo wa lugha ya kiswahili kupitiya(kupitia) kile alichokisema kaka JORAMU, Kwamfano : matumizi ya neno ndio alipolitumiya (alipolitumia) kwenye ziwa kwakusema lile ndio ziwa hii kimsingi haiko sawa na kwauwelewa wangu. Namengi na mengineyo. LAKINI NAPENDA HARAKATI ZAKE ZA KUFUATILIYA LUGHA YA KISWAHILI. Ahsante sana
Mm nimkongo naishi marekani nimefuatilia sana uyo ndugu yetu hapo tena kijana mwenzetu kiukweli ameniamasisha sana,,, ila naom ba mtufanyie nasi soft copy ili walioko nje ya tz tupate vitabu vyake, ninaamu sana yakusoma ivyo vitabu vyake. Please tunaomba.
kweli kod ni nying sana kweli mazingira ya sio rafiki sana sana ukiwa wakala wa fedha kila mwezi kod ukiwa unapata Mfano voda 30000 halotel 20000 tigo 15000 jumla 65000 kila tujiulize kweli tutafika acha kod ya mwaka na lesen apo umetoka tu chuo lakn kweli kuwa watu kwenye inch yetu
HONGERA SANA LEO NIMEKUTANA NA WEWE PALE MLIMANI CITY NIKIWA NA BODABODA KAMA UNAKUMBUKA NIMEFURAHI SANA MAANA NIMEONGEA NA WEWE KABISA SAFI SANA JORAM NKUMBI NAKUPENDA SANA.
GDP ya Tanzania ni dola bilioni 61. Si ya tano. Tumepitwa na Nigeria, Misri, Afrika Kusini, Algeria, Morocco, Ethiopia, Kenya, Sudan na Ghana imetupita mwaka jana. Just for a record.
I come to like if not to love this guy...
Unajua mambo mpaka unavutia. Nimevutiwa nawe.
Young man, I speak the glory of God upon you. Tanzanians, this young man will be your president and he will transform your country.
Joram Nkumbi nimehamasiki sana kwa juhudi yako ya mufunua kawa la tamu ya lugha ya kiswahili.Mazungumuzo ya leo TBC 1 ni funzo adhimu hasa kwa wana habari kwenye runinga na radio waonyeshe umahiri wa kuzungumza. Kwa kweli nao wengi wao bado dhaifu.
Hongera mnyaturu kwa maarifa hayo. Utuletee na historia ya kabila la Oromo nchini Ethiopia wanaokisiwa ni ndugu wa wanyaturu/Warimi.
This guy is a genius a true salty of the earth and light of the world 🙌
Yeah, i feel the same.
Hii ni kitu nzuri Sana na imenikosha kuwajulisha watu kuwa si lazima uwe msomi wa chuo kwa fani flani kujua mambo
This dude is a genius I love him ❤️💖💖💖🏴🏴🏴
This guy is trending in Kenya now
Habari ya kazi kaka sky nimependa sana kipindi chako na mahojiano uliyo (ulio) yafanya na kaka JORAMU ila kuna vitu ambavo(ambavyo) haviko sawa katika mfumo wa lugha ya kiswahili kupitiya(kupitia) kile alichokisema kaka JORAMU, Kwamfano : matumizi ya neno ndio alipolitumiya (alipolitumia) kwenye ziwa kwakusema lile ndio ziwa hii kimsingi haiko sawa na kwauwelewa wangu. Namengi na mengineyo. LAKINI NAPENDA HARAKATI ZAKE ZA KUFUATILIYA LUGHA YA KISWAHILI. Ahsante sana
This Guy Is a Version of Nyerere+Magufuli.....I guess ni Raisi huyu wa Baadae In Sha Allah
Leader = Reader
I second you. A true leader and is going to be a legend.
Unataka watu wamuhusudu bure mtu hajawahi kuwa hata katibu kata unataka mtu awe Rais😅😅😅
Unapanda ufahamu sana mwalimu kwetu asante
Natamani sana kukutana na huyu mwamba joram Nkumbi
Matumizi sahihi ya bundle langu
This dude got old soul bro i mean he's genius 😊
Heshima yako kaka Joram
Nampenda sana huyu big rai
Great mind..
Katika vipindi vizuri Toka kwako kuhoji hii ni namba moja kwangu kwa mwaka huu
Mwigulu Mchemba angalia huyu kama hatakuwa mwanao basi atakuwa ndugu yako sana.
Hey SNS! Naomba nipate kitabu kimojawapo ya vitabu vya huyu Mnyaturu = Hicho cha Kiswahili Mufti Asante!
Sky umenikosha Sana kumleta huyu jamaa, HONGERA
Safi sana na mm nitaweka kidinini🤣🤣🤣
Thinking tank
Smarty dude
Dah moyo wangu umepata mtimbwiliko Sana
Sawa 😂😂
Nimeipenda
Ana lafudh kama nyerere kwa mbali sana sio ndugu kweli
Kid pronounce words very correctly man. 🙌🔥
JORAMU NKUMBI
Kwa ss wanzanzibar na watu wa pwani hususani watu wa visiwa vya Pemba tunamuelewa vzr xn Joram anapoongea Kiswahili chenyewe
Mm nimkongo naishi marekani nimefuatilia sana uyo ndugu yetu hapo tena kijana mwenzetu kiukweli ameniamasisha sana,,, ila naom ba mtufanyie nasi soft copy ili walioko nje ya tz tupate vitabu vyake, ninaamu sana yakusoma ivyo vitabu vyake. Please tunaomba.
Huyu jamaa anamdini sana high IQ
Huyu jamaa kichwaa ana kitu kikubwa Sana atabadilisha maarifa
Hongera sana
ASANTENI SANA
Hata kingereza ana sound noma sana
Nihatar sana
Mnyaturu 😀 kumbee
Home boy kabisa huyu
Nimtanzania😀akoding tu Mwalimu Nyerere
Wanyaturu ukikaa nao karibu ndio unawaelewa,wana ugenous Fulani,hata wanawake wa kinyaturu ukikaa nao utatambua ni wanawake wa pekee
kweli kod ni nying sana kweli mazingira ya sio rafiki sana sana ukiwa wakala wa fedha kila mwezi kod ukiwa unapata Mfano voda 30000 halotel 20000 tigo 15000 jumla 65000 kila tujiulize kweli tutafika acha kod ya mwaka na lesen apo umetoka tu chuo lakn kweli kuwa watu kwenye inch yetu
Bro sky mpe kipindi hata cha dakika 15 atufundishe kiswahili bro
Hiyo ya mfano wa mto kuingiza maji tu bila kutoa nimeelewa Sana, nimejifunza jambo kubwa Sana
Nahitaji hicho kitabu.
Naitwa Alex dominic kutoka Michigan.
Super genius
Unajua mondelan Moçambique yee good
NIPO HAPA NDUGU YENU - ASANTENI SANA KWA KUNITIA MOYO
HONGERA SANA LEO NIMEKUTANA NA WEWE PALE MLIMANI CITY NIKIWA NA BODABODA KAMA UNAKUMBUKA NIMEFURAHI SANA MAANA NIMEONGEA NA WEWE KABISA SAFI SANA JORAM NKUMBI NAKUPENDA SANA.
BIG MAN, SEE YOU SOON
Wow big up
Hata kwa wazungu Wana tatizo la ajira
Huyu ni mjuzi wa mambo
GDP ya Tanzania ni dola bilioni 61. Si ya tano. Tumepitwa na Nigeria, Misri, Afrika Kusini, Algeria, Morocco, Ethiopia, Kenya, Sudan na Ghana imetupita mwaka jana. Just for a record.
Ni ya tisa , GDP nominal 77 billion usd
Wars of inspiration
❤❤❤
Ananivunja mbavu
Akicheka 🤣🤣🤣🤣😂😂
JAMAA MTAM HUYU.!!!!
Nchi yetu bwana tabu sana vijana wapo mtaani wengi mno na hakuna kazi
Tunaomba tumsikie zaidi huyu jamaa.
Kwenye mpira amezngua
Tunavipataje hivyo vitabu kiongozi
uyu jamaa shule ipo ya kutoshaa.... ✔✔✔
Huyu jamaa anaweza kuja kuwa mtu mkubwa nchini
Naunga mkono
Wa Lweba Fizi D R Congo,Vitabu Vinapatikanaje ?
S I N G I D A N I KING'
Nipo kama Nimepigwa dafrao rovurovu
Kama isiishe
Hiki Kichwa kimesimama
Huyu bwana mbona anafanana na Nelson Mandela
Wabadu wakatabahu fakir ...
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Nahiji hiki kitabu