Joramu Nkumbi
Joramu Nkumbi
  • Видео 375
  • Просмотров 661 264

Видео

Joramu Nkumbi = WAZIRI Dr. Damas Ndumbaro, Minister for Culture, Arts and Sports - ULUMBI CUBA 🇨🇺🇨🇺
Просмотров 673День назад
Dr. Damas Daniel Ndumbaro PhD Member of Parliament for Songea Urban Constituency Minister for Culture, Arts and Sports.
JORAMU NKUMBI = BI CONSOLATA MUSHI (BAKITA) na DR. MWANAIDI ALLY JUMA ( BAKIZA)
Просмотров 1,7 тыс.День назад
MAKATIBU WAKUU WATENDAJI
Joramu Nkumbi = Hon. Dr. Kisembo RonexTendo CEO, The Head of Youth in EAC and Hon. POLEPOLE CUBA 🇺🇸
Просмотров 334День назад
Joramu Nkumbi = Hon. Dr. Kisembo RonexTendo CEO, The Head of Youth in EAC and Hon. POLEPOLE CUBA 🇺🇸
Joramu Nkumbi = Hon. Dr. Kisembo Ronex Tendo CEO, The Head of Youth in EAST Africa
Просмотров 782День назад
Joramu Nkumbi = Hon. Dr. Kisembo Ronex Tendo CEO, The Head of Youth in EAST Africa
Joramu Nkumbi = PLATO, FALSAFA YA MSTARI ULIOGAWANYIKA- The Divided Line
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
Mstari Uliogawanyika wa Plato ni mfano unaotumika kuelezea nadharia yake ya maarifa na ukweli katika kazi yake The Republic Plato anagawanya mstari huo katika sehemu nne, zinazowakilisha viwango tofauti vya uelewa na mtazamo wa ukweli. Viwango hivi vinagawanywa katika makundi mawili makuu: ulimwengu unaoonekana (ambao tunaufahamu kwa kutumia milango yetu ya fahamu) na ulimwengu wa akili (ambao ...
Joramu Nkumbi = The Allegory of the Cave - Pango la Plato
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
Pango la Plato
Joramu Nkumbi - MABALAGHA, WALUMBI, MATILABA, MAARUBU, JAHARA, HENEZI, MAKI NA UKETO, FUSULI, KIADA.
Просмотров 626Месяц назад
Joramu Nkumbi - MABALAGHA, WALUMBI, MATILABA, MAARUBU, JAHARA, HENEZI, MAKI NA UKETO, FUSULI, KIADA.
JORAMU NKUMBI - Na King Salim Kikeke - CROWN MEDIA - Uzinduzi
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
JORAMU NKUMBI - Na King Salim Kikeke - CROWN MEDIA - Uzinduzi
Joramu Nkumbi = Nyerere, The Humanist, Politician and Thinker
Просмотров 8742 месяца назад
Hadi Wanafalsafa wawe wafalme, au wafalme na wakuu wa dunia hii wawe na roho na nguvu ya falsafa ... miji haitapata pumziko kutokana na maovu yao, - hapana, wala binadamu, naamini, - na ni hapo tu ndipo taifa letu litakapokuwa na uwezekano wa kuishi na kuona mwanga wa mchana.”
Joramu Nkumbi = Leadership and Social Media
Просмотров 4992 месяца назад
Joramu Nkumbi = Leadership and Social Media
JORAMU NKUMBI -BE GREAT, SERVICE BEYOND SELF,
Просмотров 4,7 тыс.2 месяца назад
JORAMU NKUMBI -BE GREAT, SERVICE BEYOND SELF,
Joramu Nkumbi - The Next Generation of leaders, Destiny Helpers
Просмотров 2,9 тыс.3 месяца назад
Joramu Nkumbi - The Next Generation of leaders, Destiny Helpers
Joramu Nkumbi = Aombea Taifa la Tanzania.
Просмотров 7783 месяца назад
Joramu Nkumbi = Aombea Taifa la Tanzania.
Joramu Nkumbi = Shule inaua Ma “Genius” Utafiti wa Prof. George Land and Prof. Beth Jarman
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
Joramu Nkumbi = Shule inaua Ma “Genius” Utafiti wa Prof. George Land and Prof. Beth Jarman
Joramu Nkumbi = Capilano Suspension Bridge Park Vancouver Canada 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Просмотров 3453 месяца назад
Joramu Nkumbi = Capilano Suspension Bridge Park Vancouver Canada 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Joramu Nkumbi = Speaking to the Great NGUGI WA THIONG’O and Prof. SULTAN SOMJEE
Просмотров 2,4 тыс.3 месяца назад
Joramu Nkumbi = Speaking to the Great NGUGI WA THIONG’O and Prof. SULTAN SOMJEE
JORAMU NKUMBI - 🇨🇦🇨🇦 VANCOUVER - BRITISH COLUMBUA - CANADA 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Просмотров 7693 месяца назад
JORAMU NKUMBI - 🇨🇦🇨🇦 VANCOUVER - BRITISH COLUMBUA - CANADA 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Joramu Nkumbi - ATEMBELEA BUSTANI “Butchart Gardens” Vancouver- BRITISH COLUMBIA- CANADA
Просмотров 1874 месяца назад
Joramu Nkumbi - ATEMBELEA BUSTANI “Butchart Gardens” Vancouver- BRITISH COLUMBIA- CANADA
JORAMU NKUMBI - ATEMBELEA MALAHAT Skywalk - Tourism Vancouver Island - CANADA 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Просмотров 2554 месяца назад
JORAMU NKUMBI - ATEMBELEA MALAHAT Skywalk - Tourism Vancouver Island - CANADA 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
JORAMU NKUMBI -MAPISHI na Anatamani Kuwa Raia Mwema,
Просмотров 7354 месяца назад
JORAMU NKUMBI -MAPISHI na Anatamani Kuwa Raia Mwema,
Joramu Nkumbi = Dua na Sala Juu ya New York City - USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Просмотров 5925 месяцев назад
Joramu Nkumbi = Dua na Sala Juu ya New York City - USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Joramu Nkumbi = Mariamu mwenye Sura Nyerezi, Mtu Ajibu, Ni jambo sheshe kuipokea Barua.
Просмотров 8235 месяцев назад
Joramu Nkumbi = Mariamu mwenye Sura Nyerezi, Mtu Ajibu, Ni jambo sheshe kuipokea Barua.
JORAMU NKUMBI - Praying at UN HEADQUARTERS- NEW YORK CITY - USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Просмотров 4286 месяцев назад
JORAMU NKUMBI - Praying at UN HEADQUARTERS- NEW YORK CITY - USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
JORAMU NKUMBI = CENTRAL PARK, NEW YORK CITY, USA 🇺🇸 🇺🇸
Просмотров 3536 месяцев назад
JORAMU NKUMBI = CENTRAL PARK, NEW YORK CITY, USA 🇺🇸 🇺🇸
Joramu Nkumbi = BALAGHA, BAGHAMI, MAAMUMA, BURUJI, KIADA, MUWALA
Просмотров 2,3 тыс.9 месяцев назад
Joramu Nkumbi = BALAGHA, BAGHAMI, MAAMUMA, BURUJI, KIADA, MUWALA
Joramu Nkumbi = Bildi, Timazi, Bighairi, Baghairi, Fauwa, Ukuruba , Usuhuba, Ghanima
Просмотров 1,1 тыс.9 месяцев назад
Joramu Nkumbi = Bildi, Timazi, Bighairi, Baghairi, Fauwa, Ukuruba , Usuhuba, Ghanima
JORAMU NKUMBI MWANDISHI, LEADERSHIP AND MENTORSHIP
Просмотров 1,4 тыс.9 месяцев назад
JORAMU NKUMBI MWANDISHI, LEADERSHIP AND MENTORSHIP
JORAMU NKUMBI = MH. EDWARD LOWASSA NA UONGOZI
Просмотров 9 тыс.9 месяцев назад
JORAMU NKUMBI = MH. EDWARD LOWASSA NA UONGOZI
Francenstein 3 WE ARE NOT AFRICANS BY ACCIDENT! Pan African lectures
Просмотров 1,1 тыс.9 месяцев назад
Francenstein 3 WE ARE NOT AFRICANS BY ACCIDENT! Pan African lectures

Комментарии

  • @mgombozi
    @mgombozi 3 дня назад

    Joramu kazi safi ninakufuata nikiwa jijini Nairobi.

  • @mgombozi
    @mgombozi 3 дня назад

    CHONDECHONDE MAGWIJI❤❤❤

  • @kanutmassanja6897
    @kanutmassanja6897 3 дня назад

    Uko vizuri Joram unafanya kazi nzuri sana, ila René Descartes ni mfaransa

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 4 дня назад

    Hongereni sana

  • @JoramRooneyNkumbi
    @JoramRooneyNkumbi 5 дней назад

    Joram , kwanza nakushukuru sana kwa harakati ulizozifanya ili uendeleze ulumbi,ubalagha na umbuji . Pia ningependa kuhimidi Yarabi ambaye alituhuruku na kuturuzuku aziza ya uzima. Kwa hiyo ni tajamala kubwa mno kuwa nawe. Nami ingawa ni mnyarwanda lakini nataka kuiendeleza lugha ya kiswahili. Mimi nilianzisha kundi la Mlumbi wa Walumbi hapa chuo kikuu cha Rwanda. Na nakuomba kwa unyenyekevu mkubwa unisaidie nione nambari Yako ya WhatsApp. Kwa chata na tamwa ni matumaini yangu kwamba wewe utatuunga mkono kama wanyarwanda ambao tunataka ulumbi kila pahala. Asanteni

    • @mukhsintwaha5909
      @mukhsintwaha5909 3 дня назад

      MashaAllah naamin Mwenyezi Mungu atafungua njia

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 6 дней назад

    Nimejiburudisha sana na maudhui haya kabisa, Joramu vile unaleta mswano na furaha au mzaha kwenye lugha hii yetu adhimu.Mimi ninaona changamoto kubwa ni hata kabla ya kusambaa Kiswahili duniani nzima, kwanza tuanze na mchakato wa kushawishi bara letu la Afrika kuambatana na lugha ya Kiswahili, ili Kiswahili kiwe lugha rasmi ya biashara, namawasiliano barani nzima.

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 6 дней назад

    Kiswahili kitukuzwe kabisa. Kimombo kidondoke.

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 6 дней назад

    Mbozi na mbize ni Lugha gani?

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 6 дней назад

    Lakini bongoflava wanakiharibu Kiswahili

  • @baydonamran9285
    @baydonamran9285 6 дней назад

    Ubarikiwe sana!🎉 Miaka 2000 iliyopita ni kipindi Kristo amezaliwa, miaka 4000 iliyopita ni tangia kipindi cha Ibrahimu na miaka 6000 iliyopita ni kipindi tangia Adam ameumbwa (Life application study bible Time line Third edition, 2000's)

  • @jofreysinchenje1995
    @jofreysinchenje1995 6 дней назад

    Vizuri sanaa.

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 6 дней назад

    Najivunia sana wewe joram mtanzania mwenzangu ❤

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 6 дней назад

    Hazina ya taifa joram

  • @jofreysinchenje1995
    @jofreysinchenje1995 6 дней назад

    Vizuri sana mkuu , unatuwakilisha vizuri sanaa

  • @saimonifredi4653
    @saimonifredi4653 6 дней назад

    Miongoni mwa watu muhim sana ni Joram.

  • @AllanMkama
    @AllanMkama 6 дней назад

    Mimi nakufurahia sana joramu naamini kwa kudra za mwenyezi Mungu jaalia siku moja nitakua kama wewe..unanihamasidha sana joramu

  • @gaspardkisokisumaili7521
    @gaspardkisokisumaili7521 7 дней назад

    Joramu, Ingalikua vizuri ku kijenga kiswahili Congo DR, sababu kime fariki uku! Nina kufwata kwa youtube... Kazi njema mdogo.

  • @syfros2218
    @syfros2218 7 дней назад

    Ulumbi kila pahala

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 8 дней назад

    Hongera sana Joram

  • @ZuberiSalehe-em1bq
    @ZuberiSalehe-em1bq 8 дней назад

    Mlumbi hongera sana Ila Cuba Nchini Canada umechapia

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 8 дней назад

    Hongera mkurugenzi Wa BAKITA Kwa juhudi kubwa ya kukikuza na kukiendeleza pia.

  • @saidkajagale3716
    @saidkajagale3716 8 дней назад

    Nampenda sana jamani,kujifunza lugha ya kiswahili ni mufti sana❤

  • @black-tigger172
    @black-tigger172 8 дней назад

    Kaka uko vizuli

  • @nicaskayegamagaya4817
    @nicaskayegamagaya4817 8 дней назад

    Naomba namimi niwe mlumbi bora wa lugha hii taamu adimu ya kiswahili

  • @godlistenmangowi9328
    @godlistenmangowi9328 8 дней назад

    Highly appreciated

  • @apostleemmanuelbeloved
    @apostleemmanuelbeloved 8 дней назад

    China walianza kukuza maendeleo na lugha ikaanza kujikuza yenyewe nnje na ndani. Maombi yangu kwa Mh Dkt Mama Samia Suluhu, kwamba kwa wadau wa lugha yetu naomba serikali iwape nafasi muwe pia wadau wakubwa wa maendeleo. Fahari ya lugha ni pale maendeleo yanapoieneza lugha.

  • @WathiongoKabwe
    @WathiongoKabwe 8 дней назад

    nakubali sana kaka angu

  • @BlackHijabie
    @BlackHijabie 8 дней назад

    Keep Going Brother Joram ❤

  • @joramunkumbi
    @joramunkumbi 8 дней назад

    MAKATIBU Wakuu WATENDAJI

  • @joramunkumbi
    @joramunkumbi 8 дней назад

    Nipo Cuba

  • @Ccmmkoamwanza
    @Ccmmkoamwanza 9 дней назад

    i appriciate lakini haupokei simu yangu

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 12 дней назад

    Singida imetowa kitu joramu

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 12 дней назад

    Tukimpata vijana Kama hawa 4 joramu nkumbi joeli nanauka wachokonozi na Emmanuel elibariki,aisee

  • @magangadashina2176
    @magangadashina2176 16 дней назад

    Amina

  • @demask3423
    @demask3423 17 дней назад

    Hii tabia ya kuletewa vinywaji katkat ya interview.. embu badilikeni.. Watu wanywe baada au kabla..

  • @MosesMulambya
    @MosesMulambya 18 дней назад

    Hongerereni sana taifa la Mwalimu Nyerere

  • @RenatusAnathory-z1c
    @RenatusAnathory-z1c 19 дней назад

    How to join this foundation

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 19 дней назад

    Your are a Born LEADER 🎉

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 20 дней назад

    Young shaaban Robert amezuka kimkatini

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 20 дней назад

    Mlumbi hulumba,halumbwi.

  • @seifhafidhsuleiman3643
    @seifhafidhsuleiman3643 21 день назад

    Jarabati au Mujaraab

  • @alexmayoka5571
    @alexmayoka5571 21 день назад

    God bless u

  • @erastoirenge7459
    @erastoirenge7459 22 дня назад

    hii ndio jeuri ya chama ambayo Nyerere alitaka.sasa Hawa machawa ndani ya ccm yametoka wapi?

  • @nicaskayegamagaya4817
    @nicaskayegamagaya4817 22 дня назад

    Beigan kitabu

  • @nicaskayegamagaya4817
    @nicaskayegamagaya4817 22 дня назад

    Naomba nafasi yako kukuona unipe hekima na baraka zako

  • @Stays_Shopping
    @Stays_Shopping 23 дня назад

    Iruhusu Hii tuidownload bana 😢

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 23 дня назад

    Sio daresalama bro usialibu jina la mji wetu

  • @ProfitonlyIQ
    @ProfitonlyIQ 24 дня назад

    Hata viongizi wa kwenye biblia walikuwa wanapakwa mafuta ndipo Nguvu ya utendaji huanzia hapo Imani yako kwa Mungu ni kubwa hakika unamjua Mungu ndo maana ukaomba pro lumumba Akubariki hakika utang'aa zaidi

  • @Massy-g9c
    @Massy-g9c 24 дня назад

    Four tanzania whom I love professor Patrice lumumba

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 24 дня назад

    NYOTA ya Mashariki NYIKA Iliyo kuza MASHUJAA