Jitihada za kutokomeza kiswahili kasuku, kiswahili Shelabela zinahitaji utondozi wa mara kwa mara kwa usimamizi wa walumbi. Hakika kiswahili sanifu na mufti kinaleta chata na tandwa zilizojaa tabasamu taanusi.
hahahah hakika na wewe umeshakuwa ni mlumbi mbuji. Yaani sikutarajia kuwa Joramu kumbe ni mwanasayansi kindakindaki japo amekuwa ajuwali katika kiswahili mufti
Serikali inatakiwa kua inanasa mapema vijana kama hawa na kuhakikisha hawapotei na kuchukua mawazo yao dhidi ya anacho kijua wakifanyie kazi, kitaifa na kimataifa
Mwalimu Joram nakukubali Sana,nipe bei ya kila kitabu naweza mwakani jalali akijalia nami nipate kimoja nikuze ulumbi
Jitihada za kutokomeza kiswahili kasuku, kiswahili Shelabela zinahitaji utondozi wa mara kwa mara kwa usimamizi wa walumbi. Hakika kiswahili sanifu na mufti kinaleta chata na tandwa zilizojaa tabasamu taanusi.
hahahah hakika na wewe umeshakuwa ni mlumbi mbuji. Yaani sikutarajia kuwa Joramu kumbe ni mwanasayansi kindakindaki japo amekuwa ajuwali katika kiswahili mufti
Misamiati ya kiarabu mingi sana sana kwenye kiswahili " Usuuli,"
Young shaaban Robert amezuka kimkatini
Joram you are a powerful speaker. Keep on.
Morning Greetings/Salam ya Asubuhi 😃💯
Chewa nana
(Good morning madam)
Chewa Nina
(Good morning mom)
Waambaaje?
(How are you)
Answer/itikio la salam
Chewa (Fine)
Sina la kuambaa/Salama (Fine thank you)
Safiiiiiiiiiii.... Mungu awe nasi wakati wote. Kiswahili ni lugha muhimu sana.
Safiiii brooo
Duhh yaani kwa style hiyo mimi sijui kiswahili hali ya kuwa ni mzawa😢
Sheria bela.mimi napenda niwe Mlumbi mdogo wa kiswahili.
Joram una burudan sana 😄🤣😂😆 thanks
TAANUSI = a kupendeza
Kumbe diamond alitumia kiswahili fasaha ..nana
Huyu jamaa namkubali sana kwa udondozi wake
Hii ni hazina kwa Taifa. Serikali inapaswa kuitumia katika kukuza lugha yetu ya Kiswahili
KUZA MLUMBI
Naeneza kiswahili hapa Kenya,
God bless you bro
Hii tabia ya kuletewa vinywaji katkat ya interview.. embu badilikeni..
Watu wanywe baada au kabla..
Mlumbi hulumba,halumbwi.
Serikali inatakiwa kua inanasa mapema vijana kama hawa na kuhakikisha hawapotei na kuchukua mawazo yao dhidi ya anacho kijua wakifanyie kazi, kitaifa na kimataifa
Hicho kicheko 😂😂😂😂😂dah
Jama ni shupavu ,
Lugha huwa ina badilika kila kizazi kila mkoa hazi fanani
ASANTE JORAM. MTAALAM.
🎉🎉🎉
I want to learn Kiswahili from Nkumbi.
Kama Nana wangu
hakika nimekutana Mlumbi, wewe
🤣🤣🤣🤣