Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Joram Mungu akuongoze katika nia yako njema.
Hiki ndicho Kiswahili tunachokitaka! Kijana uko vizuri sana!
Joram ukovizuri sana kifikra na kimtazamo mpana wa MamboSonga mbele kijana 👏👏👏
Genius wa taifa God bless you
Jorahm kumbi 🤝
Kijana uko vzuri unikuna maeneo mengi sana ya maisha yangu
Hongera sana MUNGU Baba Wa Mbinguni Akubariki
Go higher brother
Huyu jamaa akicheka Tu aniacha Hoi kinoma aisee😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mshukulu mungu
namkubali sana jamaaa
noma sana🙌🙌🙌
Kudos Joram
mbona kama wakuu wa nchii hii hawakuoni..kka wakati unafnya mambo makubwa sana ya taifa hili...
Hata mimi nashangaa... Sijui wana muonea jealous
@@yusufmohamed8874mda sahihi utafika tu, mtamuona katika ukumbi wa serikali
Sababu wengi sio wazalendo
Viongozi wa nchi hii ni wachoyo na walafi hawawapendi watu wa namna hii
Hongera sana kaka
Museveni ana akili sana ndomana ana sikiliza joram
taifa linataka vijana kama Hawa,sio Hawa machawa
Safi
Pole bwana
Nice🙏🏾
❤
lau bahati ya mwenzio hii.
mbona kama mchungaji mzee au una kanisa nini
😂😂😂 Smart man
Ooha huwa nafurahi sana kukusikiliza Songa mbele siku Moja Mama S. Atakuona na kukupa majukumu mapya ah hahaha😂
Paa mara teuzi!
Naona wamalizia kwakucheka kama yeye hehhehhe😂😂
😁
Sio genini nilangoni kumbe kiswahili hujuwi
Kiswahili chako ni halisi kabisa!
Wabadu wakatabau fakiri maana yake ni nini
liongo hilo lijamaa
Wivu, mbaya xanaa
Wivu mbaya mnooo babeki😂😂
Una roho ya kichaw ndg mtu hata humjui unamchukia
Ukimfutilia ndiyo utajua ninani mi mwanzo niliona kawaida lakini nikamfuatilia nikanyoosha mikono
Unaroho ya kichawi
Joram Mungu akuongoze katika nia yako njema.
Hiki ndicho Kiswahili tunachokitaka! Kijana uko vizuri sana!
Joram ukovizuri sana kifikra na kimtazamo mpana wa Mambo
Songa mbele kijana 👏👏👏