Vijana Kama Jeremy serikali hawaoni. Tuna vijana Wenye akiri lakini surname zawo sio Kikwete , Munaule ama Makamba. Vijana wanateuliwa sio kwa maarifa, akiri wala elimu zawo bali kwa majina yawo. kuendelea kwa uongozi wa ubaguzi tulio nawo
Umesema jambo muhimu sana ndugu. Tatizo tulilonalo nchini ni kuwa na viongozi wabinafsi. Unapoongelea kuona technology Tanzania Ina watanzania wengi sana walionahatika kusoma nje ya nchi na ni maprofesa na wengine ni engineers. Na mnaweza kukumbuka hata ndege tulizonunua aliyeleta ni mtanzania baye ukiachia urubani yeye ni engineer wa ndege. Tumekuwa tukiomba urais pacha ili kuleta technology nyumbani tukiangalia kuwa tunaweza kurudi nje tulikojiendeleza lakini kwa sababu ya viongozi wabinafsi wanakataa waliogopa challenges za wasomi tulio nao nje ya nchi.
Very power! Hongera sana mwana wa Pan African movement .
Siku unakutana na prof. PLO naomba unialike.
I saw the new solidarity spirit in tanzania. Be bless Mr Joram.
nimekuelewa sana
Umesema safi sana ila Tz yetu viongozi akili ndogo japo wengine wana elimu kubwa.
Kumbe wazalendo wadogowadogo wapo!!! Jamani polepole wamuona huyu
Good idea bwana nkumbi.
Wamekalia kuwapromote dp world hakiri mgando. Umenena vema bro
safi sana haya ndio mawazo chaya ! kwani leo umeleta mipango nyeti sana,😂😂
Good my brather
Vijana Kama Jeremy serikali hawaoni. Tuna vijana Wenye akiri lakini surname zawo sio Kikwete , Munaule ama Makamba. Vijana wanateuliwa sio kwa maarifa, akiri wala elimu zawo bali kwa majina yawo. kuendelea kwa uongozi wa ubaguzi tulio nawo
Nondo mzito hizi Tanzania ni Bongo land lakini sasa ni bongo lala
Kwa Tanzania yetu haiwezekani
Mlumbi mwenyew.
Joram wote tuna Mawazo hayohayo vijana wote lakini aya majambaz ya Karam kam akina samia ndo kikwazo
Hakika mlumbi umetoa madini adhwim sana
Umesema jambo muhimu sana ndugu. Tatizo tulilonalo nchini ni kuwa na viongozi wabinafsi. Unapoongelea kuona technology Tanzania Ina watanzania wengi sana walionahatika kusoma nje ya nchi na ni maprofesa na wengine ni engineers. Na mnaweza kukumbuka hata ndege tulizonunua aliyeleta ni mtanzania baye ukiachia urubani yeye ni engineer wa ndege. Tumekuwa tukiomba urais pacha ili kuleta technology nyumbani tukiangalia kuwa tunaweza kurudi nje tulikojiendeleza lakini kwa sababu ya viongozi wabinafsi wanakataa waliogopa challenges za wasomi tulio nao nje ya nchi.
Du
😂😂
Tumechoka porojo zenu kila mtu bandar bandar hamna shughuri nyinyi
Hujielewi, jitafakari
ndio mitanzania tulionayo kuclash vitu vya akili