LISSU ajibu mapigo amvaa MBOWE, amtaja ABDUL na kufichua tusiyoyajua

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 33

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega День назад

    We lissu huwezi kuwa mwenyekiti hata siku moja

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 День назад +4

    Huyu anafaa sana lissu hatakagi ujinga Yuko vizuli

    • @matiredms917
      @matiredms917 День назад

      Wewe ndiye mjinga hujui unachosema. Ni mazuzu wa kudanganywa tu.

    • @matiredms917
      @matiredms917 День назад

      Tundu Lissu ni mamluki na mpenda vyeo na vurugu. Historia itawaamua CHADEMA mkiendelea na mhemuko na jazba isiyokuwa na maslahi kwa CHADEMA.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba День назад

    Lissu umetufungua,,tusiyo yajua tumeyajua kumbe mbowe,,huyu mzee mbowe anatamaa

  • @FrankMusoma-n7b
    @FrankMusoma-n7b День назад +2

    Ni yeyeeeeeeeee mwamba uyu apa

  • @philmonsanka3903
    @philmonsanka3903 День назад +1

    Hakika hitaji la wakati ni mtu wa kaliba ya lisu

  • @AziCure
    @AziCure День назад +1

    Mda wa mafwedha umefika,😂
    Alianza silaa kuw ndiye, sasa Lisu
    The MBOWE naye hatak kutoka
    Time will tell!
    Wapigania upigaji😅😅😅

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu День назад

    Bendera chuma, mlingoti chuma ❤❤❤

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 День назад

    Ww na magufuli wote nyny ni maredical

  • @MerryPoppyFlowers-xz3bu
    @MerryPoppyFlowers-xz3bu День назад

    Usiongee sana maana muda mwingine sisi wente akili zetu tunazidi kukuona ni mtu wa maneno mengi ambayo mwishoe yanakosa busara.

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j День назад

    Uchagu,I wenu usimamiwe na viongozi wa dining wa kikristo na waisram ndio wawe waeesabu kura pupate mtu sahihi kama tundu liissu

  • @AlsonMoses
    @AlsonMoses День назад +1

    Tuko pamoja lisu

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz День назад

    Chama kimekwenda na maji

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 День назад

    Siasa hakuna uadui wa kudumu,mbowe atashinda lisu

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 День назад

    Kwa mlivokuwa disorganized ndo tuwape nchi....thubutuuu!mtabaki kuwa wapinzani mpk mwisho wa ulimwengu

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 21 час назад

      Kama Kuma la mamako ndio linatoa uongozi wa nchi sawa.

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 День назад

    Huyu ndiye lisu ninayemfahamu..alafu anakuja mjinga mmoja aanasema hana busara..Huyu ndiye kiongozi tunayemtaka kwa uhai wa chadema

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 День назад

    Wewe jamaa wa jambo leo mbona umeomba poooo hahahahahahaha

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz День назад

    Na akipita tunamfungulia mashtaka na kesi imesha andaliwa

  • @totonata5384
    @totonata5384 День назад

    Tuambie zaidi ishu ya Abdul???😂😂

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 День назад

    Kula chuma hicho Mwenyekiti mpya

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 День назад

    Kwani huyo anaeambiwa ni mfanya biashara ana biashara gani baada ya birs kuvunjwa

  • @DeborahMgedzi
    @DeborahMgedzi День назад

    Tunaomba sera badala ya maneno yanayokiuta utu. Siasi zinapita.

  • @MerryPoppyFlowers-xz3bu
    @MerryPoppyFlowers-xz3bu День назад

    Hivi lisu amekuwa mtakatifu tuu baada ya kuamua kugombea uwenyekiti?acha kumchafua mwenzio hizi ni siasa tuu na kuna maisha baada ya uchaguzi.Sasa wewe ni mwenyekiti gani ambaye unaonekana kumshambulia mwezio kiasi hicho?ebu uza sera bwana acha malumbano.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko День назад

    Bila lisu mboe potea sio

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 День назад

    Mwamba huyuuu

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 День назад

    yani lisu ni mkweli ndouzuri wake

  • @totonata5384
    @totonata5384 День назад +1

    Myamwongoza nani wakati nyie wenyewe hamjui mnachokifanya. Mnagombea madaraka?? Wananchi wanaongozwa na watu waliotayari kuwahudumia na si kulumbana. Kamalizeni malumbano yenu kwanza ndo mje kutujulisha