A speech with content maana na mathumuni.Hayati Nyerere asante sana kwa kuwa kielelezo na mfano bora kwa wote katika bara letu ?Mwenyezi mungu akubariki
Napenda Sana kusikiliza hotuba za baba yetu wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Japo sikuwahi mwona maana nilikuwa sijazaliwa au nilikuwa mtoto nanyonya
Mwalimu Julius kambarage Nyerere alikuwa ni kiongozi wa kweli na aliyekuwa na maono . Na alikuwa akili , hekima, busara, utu na kipawa kikubwa cha uongozi . Mungu azidi kumpa raha ya milele peponi. Hatuwezi kumsahau
@fatmakitine7674 usihadalike na maneno ya kisiasa na kumuombea kafiri asamehewe na Allah nakushauri isome Qur an itakuzindua kiakili kwa Allah anasema kwenye surat Muhammad Aya ya 34..kwamba....wale ambayo wamekufuru na kuzuia watu kuelekea njia ya Allah Kisha akafa na ukafiri wake basi hatasamehewa na Allah ....Sasa Nyerere alikufa na ukafiri wake vp wewe unamuombea kwa Allah kuwa amsame na mtie peponi wakati pepo umewekwa ajili ya wachamungu sio makafiri ...
@@OmarJuma-og4kd Acha mtu aombe dua anavyojisikia Mungu mwenyewe ataamua hata Mtume wetu Muhammad alimuombea ami yake kwa sababu Dini ni kati ya mtu mwenyewe na Mungu, utajuwaje kafa na Dini gani.
Mungu wetu ingilia kati kusaidia watanzani wako. Mungu ULITUWEKEA nchi hii UTAJIRI MKUBWA sana lakini mbona viongozi wetu hawana akili kubwa za kutosha kugeuza UTJIRI huo WA ASIKI uwe na manufaa kwa watanzania na hata afrika kwa ujumla? Hao Wanasiasa wetu hawaji na sera zenye mashiko ya manufaa kwa taifa hili. Tunawatafuta sana viongozi wenye mitizamo hiyo na tunajua wapo ila ni vigumu kupenya ngome ya CCM. Ee mungu tunaomba msaada wako utusaidie wana wako. Sisi siyo masikini wa mali bali akili.
Tanzania ya wanasiasa wa leo inakumbuka hayo maneno kweli? Au ndio yanaigilia sikio hili yanatokea sikio la pili. Mungu wetu uko wapi? Usituache wenyewe hatuwezi
umesema kweli baba ni kweli nchi hii haipaswi kuwa ya MATAJIRI. Ni nchi ya watu masikini lakini ni nchi yenye utajiri kuliko nchi nyingi duniani. Wanasema ni nchi ya pili afrika kwa kuwa na utajiri mkubwa wa asili. na tutakuwa juu kabisa kidunia kwa utajiri. Swali....kiongozi gani anaamini katika hilo na kulitetea bila woga? Uzalendo huo umeenda wapi? Wanasiasa walio wengi wamekuwa wabinafsi sana wanaangalia maslahi yao binafsi wanasahau maslahi ta taifa. wanasahau kuligeuza taifa hili kuwa matajiri kama ambavyo inavyostahili. Tanzania siyo masikini wa mali asilia bali fikra. Mungu wetu tusaidie Tanzania yako
Baba yetu uliwahi kusema chama kitakachoweza kuitoa CCM madarakani lazima kitoke ndani ya CCM. Tunaamini ukweli huo. Mungu awape ujasiri watu waadilifu wajitoe ndani ya CCM waanzishe chama kipya kitakacholeta matumaini kwa watanzania. Hicho chama kitachukua nchi kirahisi sana. Watu hao wasafi wapo na wanajulikana kwa wananchi. Wajipe moyo wa ujasiri wajiongeze wataungwa mkono.
Nyerere na Aristotle wanatofautiana kwenye utumwa tu. Lakini, Hatuna wasomi wanaenzi mawazo ya Nyerere sawa na wanavyotunza ya Aristotle. Siku Nyerere akipewa heshima yake kama Mwanafalsafa, Tanzania itaongoza umoja wa afrika mashariki (political federation) na kisha ya afrika nzima.
Baba wa taifa uliwambia lkn hawakusikia yote wameyakanyagia chini hwasikii hata kidogo hotuba zitokzo kichwani kweli zitadumu milele acha hz za wapendwa wa sasa hv za kukopi na kupesti Mungu wetu endelea kuhifadhi hki kiumbe ili cku hyo tukutane nae uso kwa uso tumemkosa kwa mda mrefu.
CCM yake ilikua #1 Bada yake kumekuja CCM kabambe kuliko yake haijui hata kuendesha Uwanja 😢wake😢Kiya Kilimanjaroo airport 😢😢😢 Masikini baba wetu wataifa . CCM yako hayo ndio mabadiliko yao yanadhihirisha kwenye Ripoti ya Mkaguzi waserekali...😢😂😂
Gonga like Kama unamkubali huyu mwamba
Jigongee mwenyewe
Sana mkuu
Nimerudi kuangalia Tena BABA WA TAIFA HOTUBA ZAKE KUUU❤❤❤❤2024
One of the most popular and the best speakers in Africa and the world. Miss you Mwalimu.
❤i
I can't get enough of this GUY!
mwalim j,k ulikuwa unaweza kazi ya uongozi mungu akulinde ulale maali pema peponi
Baba wa taifa Mungu azidi kukukirimia mwema Yako hakuna wa kufanana nawe 🙏🙏🙏🙏 Amen
Dah yaani kama kaongea Jana kama unakubaliana Nami ginga like hapo chini
Niambie nimekosea
🎉❤@@ChalesMatelu
@@ChalesMatelu
❤🎉
Dahh hotuba nmeixkia mwaka nazaliwa mm mbona haziachan najinsi dk jn pombe maguful alivokua anatuogoza mung aziweke roozao mahala pena pepon aamin
A speech with content maana na mathumuni.Hayati Nyerere asante sana kwa kuwa kielelezo na mfano bora kwa wote katika bara letu
?Mwenyezi mungu akubariki
Huyu ni mtu
Daaaaaaaaah hakika baba wa taifa alikuwa ananena ya kwel tutayatafuta nje na sio ndan tutakukumbuka daima
Asanter kwa kuturetea uhuru ktk taifa letu na sasa tunaishi kwa amani na tunakukumbuka sana ,mungu ailaze roho yako kwa AMANI mahari pema peponi AMINA
Kweli Mzee ❤ tulipenda sana mpaka leo tuna kukumbuka mungu atusaidie kutupatia kiongozi bora sii bora kiongozi hapana😂
Greatest speech ever by former excellency
Nimejaribu kufuatilia hotuba zake ni nzuri San ❤❤❤❤❤
Napenda Sana kusikiliza hotuba za baba yetu wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Japo sikuwahi mwona maana nilikuwa sijazaliwa au nilikuwa mtoto nanyonya
Hotuba iliyojaa utajiri wa kifikra na uzalendo wa ukweli👏👏 👍
Mwalimu Julius kambarage Nyerere alikuwa ni kiongozi wa kweli na aliyekuwa na maono . Na alikuwa akili , hekima, busara, utu na kipawa kikubwa cha uongozi . Mungu azidi kumpa raha ya milele peponi. Hatuwezi kumsahau
Daah sidhani kama tutampata mwamba mwingine Mungu aiweke roho yake mahali pema
Peponi Amina
Hotuba za baba wa Taifa Mwalimu Julius Nuerere ni uhai wa Taifa letu na kwineko duniani.Zidumishwe Kama urithi wetu.
Sijawah kuchoka kuangalia hotuba za baba wa Taifa, Mungu akupe pumuziko jema😢
Asante sana kwamuongozo
Innallah Wainaillah Rajuun. Mwenyezi Mungu amrehem amsamehe makosa yake inshallah ampe pepo
@fatmakitine7674 usihadalike na maneno ya kisiasa na kumuombea kafiri asamehewe na Allah nakushauri isome Qur an itakuzindua kiakili kwa Allah anasema kwenye surat Muhammad Aya ya 34..kwamba....wale ambayo wamekufuru na kuzuia watu kuelekea njia ya Allah Kisha akafa na ukafiri wake basi hatasamehewa na Allah ....Sasa Nyerere alikufa na ukafiri wake vp wewe unamuombea kwa Allah kuwa amsame na mtie peponi wakati pepo umewekwa ajili ya wachamungu sio makafiri ...
@@OmarJuma-og4kd Acha mtu aombe dua anavyojisikia Mungu mwenyewe ataamua hata Mtume wetu Muhammad alimuombea ami yake kwa sababu Dini ni kati ya mtu mwenyewe na Mungu, utajuwaje kafa na Dini gani.
Mungu wangu nisaidie kumuenzi Baba Wa Taiga Langu LA Tanzania!! Hayati MwL. Julius Kambarage Nyerere.
Mungu ampe makao ya milele baba yetu wa taifa hili la Tanzania wapo wawili 2 wote atukonao
The real father of Tanzania and Africa by general
Mungu wetu ingilia kati kusaidia watanzani wako.
Mungu ULITUWEKEA nchi hii UTAJIRI MKUBWA sana lakini mbona viongozi wetu hawana akili kubwa za kutosha kugeuza UTJIRI huo WA ASIKI uwe na manufaa kwa watanzania na hata afrika kwa ujumla?
Hao Wanasiasa wetu hawaji na sera zenye mashiko ya manufaa kwa taifa hili.
Tunawatafuta sana viongozi wenye mitizamo hiyo na tunajua wapo ila ni vigumu kupenya ngome ya CCM.
Ee mungu tunaomba msaada wako utusaidie wana wako. Sisi siyo masikini wa mali bali akili.
Tunakukumbukeni watetezi wa nchi yetu bad tunawakumbuka😭😭😭
Tanzania ya wanasiasa wa leo inakumbuka hayo maneno kweli?
Au ndio yanaigilia sikio
hili yanatokea sikio la pili.
Mungu wetu uko wapi? Usituache wenyewe hatuwezi
Daa mungu amlinde huko aliko naroo yake aipumzishe mahala pema pepon amen maana maono yake yataishi milele daima
mwenyezi mungu hakufanyie wepesi mwalimu Baba wa taifa letu
ndugu kwa muislam haifai kumuombea dua mtu aliekufa hali ya kua si muislam
@@mrmuba7330ila kukuombea wewe shoga ni sahihi
Heeh! Kumbe uislam ndio uko hivyo. Basi hapo hakuna dini ni ushenzi tu.
@@amazing_life696 Dua umuombe ndugu yako, na hakuna undugu wa Muislam na asiyekuwa Muislam. Ni HARAM kumuombea pepo asiye Muislam.
Mt Nyerere ulikuwa ni baba kweli na Kila aliyepita kwenye nyayo zako alifanikiwa Kwa haraka zaidi, pumzika kwa amani, msalimie JPM
nikweli
Hiindiyo ilikuaga mashine ya Tanzania , Mungu akubaliki akutie wepesi na laha ya milele
umesema kweli baba ni kweli nchi hii haipaswi kuwa ya MATAJIRI. Ni nchi ya watu masikini lakini ni nchi yenye utajiri kuliko nchi nyingi duniani. Wanasema ni nchi ya pili afrika kwa kuwa na utajiri mkubwa wa asili.
na tutakuwa juu kabisa kidunia kwa utajiri. Swali....kiongozi gani anaamini katika hilo na kulitetea bila woga? Uzalendo huo umeenda wapi? Wanasiasa walio wengi wamekuwa wabinafsi sana wanaangalia maslahi yao binafsi wanasahau maslahi ta taifa. wanasahau kuligeuza taifa hili kuwa matajiri kama ambavyo inavyostahili.
Tanzania siyo masikini wa mali asilia bali fikra.
Mungu wetu tusaidie Tanzania yako
Nyerere ni zawadi toka kwa Mungu Misingi aliyo iweka yeye na wazee wetu ndio faida ya muungano wetu sasa.
Nyerere ulikiona hichi kitu Kuna Nyerere mwingine alitokea ila amekufuata huko mungu awaweke mahara pema!!
Yule msukuma alikuwa mwenda wazimu
Unaweza kufananisha Magufuli mnyonyaji na huyu Mzee magu alikuwa fisad
Huwezi kumlinganisha. Huyu wa pekee zaidi
Mwaka 2024 speech za mwalimu zinaishi milele ❤
Rest in peace our dady
This is how leadership is
He inspires me all the time
Mungu ailaze loho ya baba yetu mahali pema pema peponi na apumzike kwaamani
this speech my roll mode
Great speak
Mh tunakumbuka sana baba wataifaletu
Mungu awabariki na viongoz wetu
Viongozi gani hawahawa waliopo au waliotangulia mbele ya haki?
Wabarokiwae watendao kwa haki wanaofata msingi wa Baba wa Taifa. Tofsuti na hapo Mungu Baba Aseme nao .
Baba yangu huyo! Nampenda sana baba, na JPM....hawa ndio waasisi wapenzi wa watanzania, walitupenda kwa mioyo yao yote.
Nyerere kama Jpm
Mwl. Akirudi leo atashangaa sanaa
Mungu akulipe kwa mazur ulio tupigania kwenye nchiyetu heshima nyingi kwako mwalimu daima hatuta kusahau 🙏🙏🙏
Amina mwl na Baba wa taifa letu ulikua na maono mema ya nchi yetu Tanzania Mungu ailaze mahali pema peponi pumzika salama
Safi alikua akionambalisana mwalimu
mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi amini
Huyu muze Mungu amuraze mahara pema naona Burundi tunashida hiyo kikabira na kidini tena hatutomboi
Mzee......upo.....sahihi.....kbs......lkn......leo.......ndoyanayo.......ishiiii.......hapa......tz.......watu.......Wana......kula......tuuuu......hakuna.......ranqi.......tumeacha.......kuona..........Asante........mwandishi........Mambo.......ya.......msinqi......kwelikweli.....ubrkw.....Sana..."""!
Mmesikia
Baba yetu uliwahi kusema
chama kitakachoweza kuitoa CCM madarakani lazima kitoke ndani ya CCM. Tunaamini ukweli huo.
Mungu awape ujasiri watu waadilifu wajitoe ndani ya CCM waanzishe chama kipya kitakacholeta matumaini kwa watanzania. Hicho chama kitachukua nchi kirahisi sana. Watu hao wasafi wapo na wanajulikana kwa wananchi.
Wajipe moyo wa ujasiri wajiongeze wataungwa mkono.
Nilikupenda sana
❤😂mungu akurudishe
kweli BABA LA TANZANIA alikuwa mbunifu sana
Ccm waisikilize kwa makini hii hotuba.
awesome
Sawa sawa babu. Tukutane november. CCM daima.
Kwa yanayoendelea sasa ? Sidhani kama yanayofanyika sasa yanaendana nsa Baba wa Taifa
R.I.P BABA WA TAIFA TUNAKUKUMBUKA SANA ALWAYS WEARE WITH YOU HONGERA TEACHER
A great leader...
Mungu akusamehe makosa Yako akupokee mbinguni.
Hiyo Ni Tanzania yazamani sio ya sasa ya sasa imejaa ukabila
Asante sana baba YETU mpendwa hakika baba wewe mtetezi wa wawanyonge
Babu baraka za Mungu zilikuwa nawe na
Mzee ana hotuba nzuri sana
Hutubahii imetoa machozi uhakika Baba wa Taifa alikuwa chuma
My Political hero.
Hutuba inayotoka kichwani sio ya kuandikiwa na still hotuba inayoishi hata miaka milioni ijayo
Rest easy legend of Africa
Baba wa TAIFA ALIKUWA anaona mbali Sana. RIP
VIONGOZI WOTE WA SERIKALI MTAZAME HII KITU KILA SIKU ✍️ MNAJISAHAU SANA📌📌
Eee mungu ibaliki Tanzania ayangu nawatuwake
Nimemkubali
Babaaaaa🕺🕺
Mungu amlaze mahali pema peponi wanaharibu nchi yetu washindwe
Kweli
Namkubal sana baba yetu wa tanzania ,,,,,,nyerere
Nami kazi ulio fanya
Hi
Thank you for educating African continent. God help us.
his philosophy will exist forever
Nyerere na Aristotle wanatofautiana kwenye utumwa tu. Lakini, Hatuna wasomi wanaenzi mawazo ya Nyerere sawa na wanavyotunza ya Aristotle. Siku Nyerere akipewa heshima yake kama Mwanafalsafa, Tanzania itaongoza umoja wa afrika mashariki (political federation) na kisha ya afrika nzima.
Kweli kabisa mungu atulinde
Baba wa taifa uliwambia lkn hawakusikia yote wameyakanyagia chini hwasikii hata kidogo hotuba zitokzo kichwani kweli zitadumu milele acha hz za wapendwa wa sasa hv za kukopi na kupesti Mungu wetu endelea kuhifadhi hki kiumbe ili cku hyo tukutane nae uso kwa uso tumemkosa kwa mda mrefu.
Mwarimu nyerere umojauriotujengea vijana sasahakuna viwandaurivotujengea vijanasasa vimekufa umojawavijana sasa umekuwa umoja wawazetu
Uyu nyelele alikua nimutu wapekee sasana
CCM yake ilikua #1 Bada yake kumekuja
CCM kabambe kuliko yake haijui hata kuendesha Uwanja 😢wake😢Kiya Kilimanjaroo airport 😢😢😢
Masikini baba wetu wataifa .
CCM yako hayo ndio mabadiliko yao yanadhihirisha kwenye Ripoti ya Mkaguzi waserekali...😢😂😂
Vocation et mon aspirations
Ni kweli , uhalisia rushwa ni adui ya haki.
Wangapi tupo hapa Sept 2024
Viva baba wa taifa
The best president afruxa has ever had. I really respect adore. Nay his soul rest in peace.
Asee kweli mwalim mungu akulinde utabaki kuwa baba wa taifa Bado tyupo msalimie mjomba JPM denger ist Africa
Unakumbukwa Baba wa Taiga, may your soul continue resting in peace
Founder of the mama TANZANIA
Such a brilliant mind that went so soon! Before we harnessed all of it! Tunaomba Rais ambaye atakuja kupindua nchi ya Tanzania kwa falsafa ya Nyerere!
Mwandishi Huyu Vipi?
Tunakukumbuka babawataifa kwakutureavizuri vijana ambao reotumeterekezwa vijana
Leo🎉
Mungu amlinde
Viongozi wetu mjifunze kupitia hotuba za baba wa taifa