Nafurahi ustadh guru wallah bin wallah kwa kusisitiza kwa kutunzwa kwa kiswahili kwani wengine huidharau hii lugha kwa kujiongelea mambo ya sio ongelewa
Kaka hujambo ,asante kwa kutufunza lugha hii ya kiswahili.Nikitafakari mwaka wa 2005 katika kipindi cha ukarabati wa lugha mafunzo yako pamoja na ya mwalimu Walla yalinifanya nielewe kiswahili sana, mungu awabariki na awapatie nguvu ya kuenedeleza kiswahili.
Tafadhali KBC 'upload' video vya jamvi la lugha hasa natafuta ya mwaka uliyopita desemba wa wanaume wawili walimu, jina la mwisho nadhani lilikuwa ni Njoku
sisi huku somalia tunawaangalia munavo kichafua lugha ya kiswahili lakini tunaomba ishuke amani somalia naona kutakuwa na mapambano na mijadala ya lugha hii ilivo chafuka kiwango hichi.
@@davidngwesa suala lako nimeliona leo lakini huenda ukapata majibu yangu. Kiswahili chimbuko lake lilianzia huku kwetu somalia hadi sasa tupo hata kama ni minority tribes.kuanzia mogadisho,Barawa. kismaiyu, na visiwani- koyama, chula, chovae , mdowa, kudai, Burkavo, Raskiamboni mpakani baina ya somali na kenya hizi ni sehemu utapata kiswahili kiki zungumzwa hadi leo.
@ShutterDe DON hujakosea kuwa nimbajuni ama Wambalazi abao kwa jina lengine wanaitwa Wabarawa. Lakini wabantu wamepotza lugha yao ya kizugua wengi wanaongea kisomali japo kuna wengine kidogo wanaongea lugha ya kizuguwa. Huku somalia wanaitwa jareer ama wagosha a.k.a Bantu. Majina walio bandikizwa na wasomali.
@@davidngwesa kiswahili kinaongwa sehemu nyingi sana japo sisi somalia ni minorities lakini lugha yetu bado tumeidhabiti. Kuanzia mogadisho, Barawa, kismaiyu, na visiwani -mchooni, Koyama, Fuma, chula, mdowa, Chovaye, Burkavo, na Raskiamboni mpakani kenya na somalia.na ukija kwa nduguzetu wabajuni wa kenya kuanzia Ishakani Pate, chundwa, faza, na visiwa vengine mpaka lamu na wengine wanateremka mpaka mombasa ufuo mzima. hawa ni ndugu zetu tulogawanyika sababu ya mipaka waloweka wakoloni.
@@ramyali6347Mimi ni Mkenya lakini nimeshangaa Sana kauli yake. TZ ina waalimu wengi Sana waliotukuza Sisi Wakenya Kiswahili. Said A. Mohammad, Shaaban Robert, John Simbamwene, Euphrase Kezilahabi na wengine wengi Tu.
ASATE SANA MWALIM GURU NATAMANI UTUFAHAMISHE LUGHA YETU YA KISWAHILI INAYO TAFOUTI NA WASWAHILI WA WASOMALI NA WARABU WA OMANI (HAYO MANDISHI NI LUGHA GANI ???KISWAHILI AU KIARABU ???)KWA KIARABU ( احسنت صنيعا معلم جوروا أتمنى ان تفهمنا لغتنا لها من تفاوت من سواحلية الصومال و عرب عمان ) SASA NIMEANDIKA KWANZA KWA KISWAHILI NA NIMEDIKA KWA KIARABU NANI AL KUAWA AMEKUJA KWANZA QURAAN TUKUFU KWA KIARABU AU KISAWAHILI ?????? KISAWAHILI NI LUGHA IMEZALIWA KUTOKA KIARABU KWANI VIDEO HI YAKO ZAIDI YA NUSU MANEMO YAKO NI LUGHA YA KIARABU ASANTE SANA

The best teacher in the country
Safi sana. Leo nime onja utamu wa Lugha fasaha
Asiyejua ngeli hajui Kiswahili,heko sana Walla bin Wallah
Makala mazuri sana...hiki kipenda kilikwenda wapi katika runinga?
Guru Neno LA kihindi cha Punjabi maana yake mkuu WA dini ya masinga singa. Mfano guru Nana
Kiswahili hakina udhaifu wa maneno, tunapojaribu kutunga misamiati tuangalie zaidi lahaja za kiswahili.
Kaka hujambo ,asante kwa kutufunza lugha hii ya kiswahili.Nikitafakari mwaka wa 2005 katika kipindi cha ukarabati wa lugha mafunzo yako pamoja na ya mwalimu Walla yalinifanya nielewe kiswahili sana, mungu awabariki na awapatie nguvu ya kuenedeleza kiswahili.
Hongera kwa kazi kuntu! Naomba Mola Akupe umri.
kaka jos tafadhali tutangazie kambumbu banaaaaaa! mashabiki tunaumia
Bidii yako naikubali. Ahsante Ustadh Walla bin Walla
Hongera sana Guru.. mwanafunzi wako milele
Nakubali kiswahili kitamu
Guru kongole .....Maaaasneeeno hayo
Galacha wa kiswahili ambaye mimi hutamani kukutana naye ana mnato jinsi anavyozungumza na kuwastadiwa kiswahili.
hongera ustadhi walla
Mjuzi
Nimefurahi sana kwa ajili ya guru
Heko guru,nami nimemakinika vyema kutokana na kazi zako..
Mwandishi wa vitabu mufti,,,bwana ulinisaidia sana katika somo la kiswahili
mwambie hao watu waache kuchafua kiswahili chetu, tunahitaji mazungumzo mengi kama haya
Kiswahili lugha tamu ikitumika kwa ufasaha ...kiswahili kitukuzwe.
Kiswahili Mufti,mwalimu kavyandika vitabu vingi
Safi sana Mwalimu
Iko haja kutambua lahaja tofauti tofauti zilizoko
hongera zidi kutuelimisha
Na ogopa kujikashifu nikiandika maoni yangu. Lugha ya mtaa haina thamani tunyamaze tu.
aise kaka mbona wakenya hawana hulka ya kusoma vitabu vya kiswahili
Tafadhali KBC 'upload' video vya jamvi la lugha hasa natafuta ya mwaka uliyopita desemba wa wanaume wawili walimu, jina la mwisho nadhani lilikuwa ni Njoku
Huyu Guru Wallah Bin Wallah ni mjaluo. Luos can speak swahili.
Kipindi wapi tena?
❤
Fasaha ni kiswahili? Kiswahili cha uguja kimetatiana na kiarabu..
sisi huku somalia tunawaangalia munavo kichafua lugha ya kiswahili lakini tunaomba ishuke amani somalia naona kutakuwa na mapambano na mijadala ya lugha hii ilivo chafuka kiwango hichi.
Somalia Kiswahili kinazunguzwa wapi? Naomba kuelewa kama hautajali!!
umewahi kusikia Galka’yo? Huko ndipo uvumbuzi mpya unaendelea hivi sasa.
@@davidngwesa suala lako nimeliona leo lakini huenda ukapata majibu yangu. Kiswahili chimbuko lake lilianzia huku kwetu somalia hadi sasa tupo hata kama ni minority tribes.kuanzia mogadisho,Barawa. kismaiyu, na visiwani- koyama, chula, chovae , mdowa, kudai, Burkavo, Raskiamboni mpakani baina ya somali na kenya hizi ni sehemu utapata kiswahili kiki zungumzwa hadi leo.
@ShutterDe DON hujakosea kuwa nimbajuni ama Wambalazi abao kwa jina lengine wanaitwa Wabarawa. Lakini wabantu wamepotza lugha yao ya kizugua wengi wanaongea kisomali japo kuna wengine kidogo wanaongea lugha ya kizuguwa. Huku somalia wanaitwa jareer ama wagosha a.k.a Bantu. Majina walio bandikizwa na wasomali.
@@davidngwesa kiswahili kinaongwa sehemu nyingi sana japo sisi somalia ni minorities lakini lugha yetu bado tumeidhabiti. Kuanzia mogadisho, Barawa, kismaiyu, na visiwani -mchooni, Koyama, Fuma, chula, mdowa, Chovaye, Burkavo, na Raskiamboni mpakani kenya na somalia.na ukija kwa nduguzetu wabajuni wa kenya kuanzia Ishakani Pate, chundwa, faza, na visiwa vengine mpaka lamu na wengine wanateremka mpaka mombasa ufuo mzima. hawa ni ndugu zetu tulogawanyika sababu ya mipaka waloweka wakoloni.
You are good for nothing brother. Wallah Bin Wallah ni mwalimu wa walimu na Tanzania hamna mwalimu kama yeye.
Ooh Stephen mukangai !
Je uchunguzi huo ulifanywa na nani huku ndo kumejaa ufanisi na utendeti Wa lugha
Unasema nini wewe na Wallah bin Wallah amesomea Tanzania?? Shukuru Tanzania imesomesha huyo hadi kuwa Gwiji.
@@ramyali6347Mimi ni Mkenya lakini nimeshangaa Sana kauli yake. TZ ina waalimu wengi Sana waliotukuza Sisi Wakenya Kiswahili. Said A. Mohammad, Shaaban Robert, John Simbamwene, Euphrase Kezilahabi na wengine wengi Tu.
ASATE SANA MWALIM GURU NATAMANI UTUFAHAMISHE LUGHA YETU YA KISWAHILI INAYO TAFOUTI NA WASWAHILI WA WASOMALI NA WARABU WA OMANI (HAYO MANDISHI NI LUGHA GANI ???KISWAHILI AU KIARABU ???)KWA KIARABU ( احسنت صنيعا معلم جوروا أتمنى ان تفهمنا لغتنا لها من تفاوت من سواحلية الصومال و عرب عمان ) SASA NIMEANDIKA KWANZA KWA KISWAHILI NA NIMEDIKA KWA KIARABU NANI AL KUAWA AMEKUJA KWANZA QURAAN TUKUFU KWA KIARABU AU KISAWAHILI ?????? KISAWAHILI NI LUGHA IMEZALIWA KUTOKA KIARABU KWANI VIDEO HI YAKO ZAIDI YA NUSU MANEMO YAKO NI LUGHA YA KIARABU ASANTE SANA
Fanani si mtu wa kuigwa. Hapo amekosea.
Sawa nipe nikupe