Mohammed umesema kweli tupu ndugu yangu. Mwenyeji nae hajitambui kabisa. Makovu ya ukoloni hayo. Matokeo yake ni zero katika taaluma. Kachanganya Nyama, Samaki, maharage, twende. Kwa maana hiyo hakumtendea haki Nkumbi.
Safi sanaaa! Una mazungumzo na Joram Nkumbi na bado unachanganya Kiingereza na Kiswahili? Baadhi ya maneno hapo chini, ungeweza kuyatamka kwa Kiswahili. Segments Ideas Ku’support Ku’ reach out Comments Homework Kuji’introduce
Asante sana! Natumaini kuna kimoja ama viwili umeweza kujifunza na utatumia vigezo hivyo kufanya MALENGO yako huu mwaka yatimilike❤️. Kama umeipenda basi naomba pia ushee na mwenzako!
Joram anahekima sana, muulize atagombea kwenye nafasi yoyote ile ya uongozi 2025 au anampango wakuwa kwenye siasa
@ellihaulr2467 @jorumnkumbi
Superb
Thanks 🤗
Ulumbi
Kila Pahala!
Hongera sana
Hongera sana
Shukran sana!
Bless Him
Amen
Mlumbi wa ulumbi
Amen!
Hello may you help please.
❤
🙏🏼
Mohammed umesema kweli tupu ndugu yangu. Mwenyeji nae hajitambui kabisa. Makovu ya ukoloni hayo. Matokeo yake ni zero katika taaluma. Kachanganya Nyama, Samaki, maharage, twende. Kwa maana hiyo hakumtendea haki Nkumbi.
Popote anapo kwenda mlumbi lazime nitafute ....napenda anavyo zungumza kwa fisuri , yaana hata mda unavyo kwenda hata sijui
Safi sanaaa! Una mazungumzo na Joram Nkumbi na bado unachanganya Kiingereza na Kiswahili? Baadhi ya maneno hapo chini, ungeweza kuyatamka kwa Kiswahili.
Segments
Ideas
Ku’support
Ku’ reach out
Comments
Homework
Kuji’introduce
Taratibu nitafika. Nadhani katika mazungumzo haya niliomba radhi kutokana na hilo. Asante kwa sapoti yako🙏🏼
Hongera sana
Asante sana! Natumaini kuna kimoja ama viwili umeweza kujifunza na utatumia vigezo hivyo kufanya MALENGO yako huu mwaka yatimilike❤️. Kama umeipenda basi naomba pia ushee na mwenzako!