Joramu Nkumbi = The Transformative Power of Mentorship, pata kitabu changu “Uongozi na Unasihi”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 20

  • @filbertmutiganzi3390
    @filbertmutiganzi3390 2 месяца назад +1

    Nikisikiliza naona Mungu ameweka kitu cha ziada ndani yako. Nakulinganisha na Baba wa Taifa Ayati Mwl. J.K.Nyerere.
    Nakuombea upate nafasi zaidi naona kuna sehemu utatuvusha nasi tuko karibu yako zaidi.
    Mungu akulinde daima.
    Leo naenda kutafuta kitabu hiki.

  • @jamiinaafyanjema2966
    @jamiinaafyanjema2966 Год назад +2

    Siokwamba nasikiliza hapana bali naona kama ninakula na ninashiba, Mungu akuongeze zaidi na zaidi Mr Joramu

  • @LAMECKGWANCHELE
    @LAMECKGWANCHELE 6 дней назад

    upo vzr kakaa.

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 2 дня назад

    🙏🙏🙏

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 Год назад +2

    Wewe ni mashine ya kazi, hongera sana Joramu.

  • @joramunkumbi
    @joramunkumbi  Год назад +4

    Pata nakala ya kitabu changu, kwa Ukarimu wako pata nakala ya kitabu
    “LEADERSHIP AND MENTORSHIP”
    TSH 15,000/=
    TUNAPATIKANA
    KENYA - NAIROBI
    +254712542763
    MOROGORO MJINI
    0764326626
    DAR - OPPOSITE MLIMANI CITY MALL
    0757464874
    DAR - BAMAGA, Destity BOOKSHOP
    +255762312171 @joelnanauka_
    ARUSHA KIMAHAMA
    0742061810 / 0677154001
    ARUSHA FRIENDS CORNER
    Joshua Shop
    0766909150 / 0711916518
    KILIMANJARO - MOSHI FM
    0675840286 /+255759538954
    *CITYMAX BOOSHOP - DODOMA Majengo* sokoni 0755100503 / 0753690907
    *CITYMAX BOOKSHOP IRINGA BRANCH*
    Tunapatikana karibu na bank ya
    ABSA:0753690907 / 0755100502
    *CITYMAX BOOKSHOP MBEYA BRANCH*
    +255743080401
    *CITYMAX BOOKSHOP DAR ES SALAAM* +255747293094
    *Bibble point Kahama* 0754056968
    SINGIDA - KKKT MSALABA MREFU
    +255758625151
    MWwANZA CHUO CHA SAUT
    +255768335812 / +255712539994
    KIGOMA - KASULU
    +255746717059
    USA, CANADA, EUROPE etc - AMAZON 📚📚📚
    www.amazon.com/s?i=stripbooks&rh=p_27%3AJoramu+Nkumbi&s=relevancerank&text=Joramu+Nkumbi&ref=dp_byline_sr_book_1
    “The more you read the more you get enlightened”
    🔴🔵🟢🟣⚫️⚫️🔴

    • @elikundameela3046
      @elikundameela3046 Год назад

      Habari ndugu joramu
      Nakufuatilia sana kwenye you tube na mitando mingine. Nafikiri una kitu na Mimi Nina kitu tukikaa pamojaa tutafanya kitu kikubwa Africa
      Jina langu ni elikunda christian meela kutoka dodoma JIJi
      Hapa dodoma sec
      Je tunaweza kukutana

    • @elikundameela3046
      @elikundameela3046 Год назад

      I have a project to share with you can I meet with you..

    • @chachamagoiga490
      @chachamagoiga490 9 месяцев назад

      Nahitaji kitabu Niko mbeya nafanyeje kukipata,,,

  • @fransisigulu9761
    @fransisigulu9761 Год назад +1

    Hawa ndio wanatakiwa serikarini.

  • @alainnduba9000
    @alainnduba9000 7 месяцев назад +1

    Asante sana 🇨🇩

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 Год назад +2

    Always your speech us convincing change life in a positive way may God bless you

  • @marcoemanuel6892
    @marcoemanuel6892 Год назад +2

    ❤❤good performance

  • @29WavesTV
    @29WavesTV 7 месяцев назад

    you're my mentor Mr.Joram

  • @JeremiahChacha
    @JeremiahChacha Месяц назад

    Thx bro

  • @zakariarantsim1064
    @zakariarantsim1064 8 месяцев назад

    ❤❤

  • @kayitesikayitare1844
    @kayitesikayitare1844 Год назад

    You always inspired me...

  • @alizeokatuta3963
    @alizeokatuta3963 11 месяцев назад

    Kitabu hicho kipo kwa lugha ya kiswahili au

  • @erastoirenge7459
    @erastoirenge7459 Месяц назад

    hii ndio jeuri ya chama ambayo Nyerere alitaka.sasa Hawa machawa ndani ya ccm yametoka wapi?

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 Год назад

    Pongezi sana kaka Joramu. Je kuna nakala ya lugha ya Kiswahili?