The problem of being a lion in the jungle is that no one will ask you in the morning how are you doing. Kwasababu huwa tuna amini simba haumwi ,simba hachoki , simba haishiwi nguvu, simba Hana matatizo. So if you're strongest person in your family, hakuna mtu atapata muda wa kukuuliza unaendeleaje afya yako, hakuna mtu atakuuliza ulifanya checkup, kwasababu wana amini wewe ni mtu imara na hodari. Matokeo yake you will spend a good time of your life kwenye investment ya watu wengine, alafu utagundua wewe huja invest kwako na muda unapohitaji watu wengine, hawatajitoa kama wewe ulivyojitoa kwao. Alafu utalaumu na kulaani. Lakini tatizo hapo sio Lao ni lako. Binadamu ni wabinafsi so put yourself first wengine watakuja baada ya wewe kuwa umekuwa settled.
Mimi nilikuwa ninadhani watu kama Joel wangepewa nafasi kubwa katika kuelimisha jamii. Mfano kwa sasa wanatumiwa wasanii kuburudisha tu wanaimba nyimbo za matusi tu ambazo hazina mchango mzuri kwenye ubongo wa watu .
Serikali ingewatumia watu kama Joel walau hata mara chache kutembea nao kwenye maeneo tofauti kwenye washa. Wangesaidia vijana wengi kujifunza vitu. Nakumbuka siku ya madawa ya kulevya alichukuliwa diamond kuburudisha ambapo hata nyimbo alizoimba haziendani na kupinga matumizi ya madawa ya kulevya. Badala yake msanii anakuwepo kama ushawishi wa watu kufika ila hakuna wanachojifunza.
Napendekeza uwe unauza ideas za vitabu vyako kwa Makampuni au Mashirika ya Movies na Tamthilia naimani kuna mabadiliko tutayaona kwenye tasnia ya filamu Tanzania

😅
000000
Umejitahidi 😂
Exactly! Powerful said
Comment of the year 🎉🎉🎉🎉
Though it was women conference but we men also have benefited a lot especially me here. God bless you brother. @kenya
Kadri ninavyokusikiliza hatua zangu zinaimalika saaana,,💪💪💪👏👏👏🤝🤝🤝 kira la heri kutoka kwa Mungu liwe juu yako,,, amen.
Mimi nilikuwa ninadhani watu kama Joel wangepewa nafasi kubwa katika kuelimisha jamii. Mfano kwa sasa wanatumiwa wasanii kuburudisha tu wanaimba nyimbo za matusi tu ambazo hazina mchango mzuri kwenye ubongo wa watu .
Serikali ingewatumia watu kama Joel walau hata mara chache kutembea nao kwenye maeneo tofauti kwenye washa. Wangesaidia vijana wengi kujifunza vitu. Nakumbuka siku ya madawa ya kulevya alichukuliwa diamond kuburudisha ambapo hata nyimbo alizoimba haziendani na kupinga matumizi ya madawa ya kulevya. Badala yake msanii anakuwepo kama ushawishi wa watu kufika ila hakuna wanachojifunza.
Nimependa hii sa moja lakujifunza
I am appreciate you letting me know that ,you’re doing great job,be blessed.
Having followed up on your talks, I just realized that your content is very relevant and vivid.
Hakika MB zangu hazijaenda Bure nimejifunza mengi xaaana kutoka kwako Nanauka
Ameen Ameen
This is so powerful
Nimejifunza kitu kikubwa sana katika hili somo
Neem iwe juu Yako Joel
Asante sanaa kwakuniongezea kitu ....
Wewe ndiee kioo changu ,naomba nikuitee mwalim wangu naitaji nijifunze vingi kuoitia ww
Mwenyezi Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA Ndani Ya Nch Yetu Ya Tanzania na Hata Nje Ya Tanzania
Asante mwalimu nimerudia mara 5 ili ikae kichwani kabisa❤
Naskia vzur San kwa maneno yako
Asante sana, Mungu akubariki sana.
Nice mdogo wangu,nakuelewa sana
Kaka Joel Mungu akubariki sana
Nimependa sana hili somo bro!Mungu akubariki sana
Asante kwa somo zuri.....nahitaji kujifunza zaidi kuhusu negotion
Kwanza mungu kwanza alafu ndo mtu sahihi
Stay blessed
Mafunzo yamenyooka JN.
Aiiiiiiiih! Blue ni mimi kabisa😂 asantee kwa somo zuri👏 Mungu akulinde tuendelee kupata madini
Asante sana mr joel hua nakuelewa saana
Mungu akubariki sana
Ahsante Sana kaka
You're Future Awaits You
Sikuzote napenda kujifunza kupitia wewe joel❤🎉
God bless you life coach
❤❤ Ubarikiwe mnoooo
Sawa
Asante sana kaka
Ahsante
Kweli mdogo wangu unakipaji. Nimefurahia presentations zako. Kweli nimenufaika
thanks much
blessings👏
You are a full package
Mashaalah
Mwalimu ahsante
Thank you so much .How can I tell out my wife's colour .
We joel jamani..
Asante
hum vrement 😮
Nimejipata kumbe mimi Blue na Gold😂
Asante sana
mimi napenda nihudhurie mikutano ila sjui inafanyika wap
Pastor Joel mie nqpataje Hilo darasa lako na ili hali sipo Tanzania
☑️
wow
Ni mwamba huyu
❤
Joel nanauka tunakufuatilia American tunatamani sikumoja use huku tukuone.
Akifika nijulishe.
Namahukuru Mungu, tuendelee kuombeana nitafika siku
Moja
@@joelnanaukahuku Kenya na ujuaji wetu twakuthamini sana
@@fredkangethe7497nashukuru sanaa
Napendekeza uwe unauza ideas za vitabu vyako kwa Makampuni au Mashirika ya Movies na Tamthilia naimani kuna mabadiliko tutayaona kwenye tasnia ya filamu Tanzania
I totally agree yaan management yake iwatafute
✍️