Assalam Aleykum Warahmatullah wabarakatu...Masha Allah Tabaraka Allah....Allah amjalie thabit kwa kila jambo....Allah isim Allah IPO Masha Allah hata Nuru ya uso yaonyesha....Allah akuhifadhi Hashim akujalie istikama kwenye Ibada...Na atujalie khusnul khatma yarabby...Karibu sana ndugu yetu katika iman kwenye dini ya haki
Nawaombea sana mnao wafundisha watu dini, mazinge,meaipopo,kishiki,Dr sule,Athumani ,Yahaya mungu amuhifadhi,na wengine wote, wengiii ambao wanafanya shughuli za kidini( uislam) mwendelee msichoke wapo wengi wanaoslim kupitia ninyi.
MashaAllah, mafunzo yako na ufafanuzi zaidi kuhusu dini yetu ya kislamu inanipa imani zaidi shukran shekhe, toka nimeanza kufwatilia chanel yako nimeipenda zaidi shukran
jamani matajiri wa kiislam pepo hiyo.acheni kufadhili mipira tu.siku ya tatu leo bado tu hajapata mfadhil.angekuwa msanii huyu zamani tu.ashafadhiliwa.ALLAH KAREEM.
Pambana Sheykhe mapaka kitaeleweka , Pindi itakapo kuja nusra ya Allah na kushinda utawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi makundi. Allah awalipe kheri.
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Mwenzenu ameiona haki kaifata wakristo mtafukuzwa siko hiyooo ya mwisho. Luka 13:25-28 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako; 26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu. 27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu. 28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.
Usijali ndugu yetu katika imani’ ...Yesu alisema “ADUI WA KWANZA NI WATU WA NYUMBANI KWAKO...AMPENDAE BABA AU MAMA KULIKO MIMI BASI HATAUONA UZIMA WA MILELE” Kwa hivyo usihofu ndugu yetu ‘ ALLAH kashakuridhia ‘ ndugu au wazazi wasikuzuilie katika njia ya ALLAH...!
Tukisema waarabu wabaya kwanza hatumaanishi raia wao au waarabu wa rangi na nywele walokua kwenye nchi tofauti japo kua lugha hawajui au km huyo mtu wa Pemba ulosema ww alokufadhili (hao watakua na ubaya ule wa maumbile ambao kila mwanaadamu haijalishi kabila wala rangi atakua nao) lkn Tunamaanisha wale viongozi wao wa nchi na ubaya wao. Mtume (s.a.w) alikua muarabu lkn alikua kiongozi muadilifu, hakua mnafik, na hakua adui wa waisilam wenzake. Na km utalazimisha kua kwakua Mtume (s.a.w) alikua muarabu ndio huezi kusema waarabu wabaya basi na Abuu Jehel alikua muarabu pia. Unahesabu uarabu wa Mtume (S.a.w) na kufananisha na hichi kizazi cha Makuraishi wa Makka kilichochanganyika na Mayahudi, wazungu nk ambao wengi wao hao Wafalme wa nchi za kiarabu wamechanganyika navyo na ndio maana hata imani na waisilam wenzao hawana?
Ukiangalia visa ya Omani hao makafir wa Ulaya wanaingia bure Omani hawalipi hata sent moja, tena kwenda kwao km unavyokwenda ww kariakoo. Just unachukua pasport yako unapanda ndege ukifika Omani airport unagogewa bure. Nambie Tnz/Znz ukienda Omani unaenda km hivyo? Si mpaka utafute mfadhili, ndugu...na lazma ulipe hakuna cha bure. Na safari yako uanze kuandaliwa hapo ulipo km miezi, mwaka na sio unajitoa tu km wanavyokwenda wazungu/makafi na kwenda utarudi ulipotoka.
Na jengine hv inaingia akilini kafiri anatoka anapotoka anakwenda kumpiga muisilam ambae kazungurukwa na nchi za kiisilam, Na nchi za jirani ambazo ni zakiisilam ndio wapokezi ili mwenzao apigwe avurugwe? Na anakwenda na mizinga, mabom, silaha kubwa kubwa, vifaru nk au ww ulikua u afikiri Kafiri akitaka kumpiga musilam Iraq, Libya nk...hutoka kwake na ndege ya kivita mpaka kwenye nchi anayoitaka kuipiga? Halafu ulazimishe ww tuwaone wazuri kwa kua tu jamaa wa Pemba raia wa kawaida kakukaribisha ww ukala pilau na kukupa malazi?
Hao Waarabu wa Omani hata raia wa kawaida wengi wao umewaona wanavyowafanyia wahindi? Mtu anapigwa mikwaju kibanda cha simu kwa kua muarabu kafika na yy anaendelea kuzumgumza na simu, au mwengine kishatandikwa makofi air port kwa kujibizana na mwarabu tena wa Znz anaishi Omani. Kakutana na muhindi transit nimesahau alikua akitoka wapi wakazozana kitu kidogo yakesha. Bahati mbaya yule muhindi kumbe anakwenda Omani. Yule Mznz muomani alivyofika na kumuona anashuka Omani kampiga yule muhindi na hakuna chchte kilichofanyika. Na haya anahadithia kwa fakhari mwenyewe huyo mznz halafu unasema nn na wkt hao waarabu kuna Mtume (s.a.w) na kuna kina Abuu Jahel. Viongozi wa nchi za kiarabu wote hawana mana hata ukiwatetea vp lkn uovu wao upo wazi kabisa na kila mtu anaujua.
MWAIPOPO HUYU KIJANA UWE NAE KWA SASA . ANAHITAJI BUSARA ZAKO ILI APATE UTULIVU WA AKILI. Kwa SABABU ANAKOTOKA NI MBALI . SIJAMBO JEPESI ANAHITAJI ELIMU ILI AUONE UKWELI.
Hata sura yake imeanza kuonyesha nuru mashaallaa mwenyezi mungu amuongoze
Aamin
Kweli nuru inawaka
Mashaallah Allah akuliepen ma sheikh wetu kwa kazi kubwa mnayoifanya Allah yupo pamoja na nyie ameen
Mashallah mwaipopo unafanya kazi nzuri ALLAH akulipe kheiry
Shekh Mwaipopo wewe ni mtu makini sana
Waislamu woote❤takbiiiiiiiiìiiir❤❤
Allah akupe mwisho mwema sheikh mwaipopo hongera umemuukoa mja wa Allah kuwa ktk haki na yeye namuomba Allah amuongoze inshaallaah
Assalam Aleykum Warahmatullah wabarakatu...Masha Allah Tabaraka Allah....Allah amjalie thabit kwa kila jambo....Allah isim Allah IPO Masha Allah hata Nuru ya uso yaonyesha....Allah akuhifadhi Hashim akujalie istikama kwenye Ibada...Na atujalie khusnul khatma yarabby...Karibu sana ndugu yetu katika iman kwenye dini ya haki
Nitafurahi sanaaa sheikh mwaipopo njooo Zanzibar njooo Wallah tunawapenda 👏🏻
Mwenyezi mungu akukinge nakila shari yaarabi mungu akukingenamabaraa
Lazima kijana huyu asaidiwe kwa kwa hali yoyote Tujitokeze waislam Acheni kuwekeza kwenye mpira
Nipo tayari
Inshaa Allah
Namm niko tyr
Masha Allah, Allah akupe umri mrefu ili uwendelee kuendeleza uislam mble na sisi tupate kunufaika kutoka kwak
M'mungu atakuhifadhi inshaAllah. Yote mazuri yatakufwata kwa uwezo wa ALLAH .
Mungu akupe mwisho mwema Ashimu
Mashaallah Mashaallah sheikh Allah akupe maisha marefu lnshaallah
Nawaombea sana mnao wafundisha watu dini, mazinge,meaipopo,kishiki,Dr sule,Athumani ,Yahaya mungu amuhifadhi,na wengine wote, wengiii ambao wanafanya shughuli za kidini( uislam) mwendelee msichoke wapo wengi wanaoslim kupitia ninyi.
Ramadan kulya na Salim ngugi wa nyoike na wengne weng Allah awape nguv
Mashallah mashallah mashallah SHEKH MWAIPOPO ALLAH AKUPE MAISHA MALEFU ZAIDI. NA HUYO KINANA TUMSAIDIE
MashaAllah, mafunzo yako na ufafanuzi zaidi kuhusu dini yetu ya kislamu inanipa imani zaidi shukran shekhe, toka nimeanza kufwatilia chanel yako nimeipenda zaidi shukran
jamani matajiri wa kiislam pepo hiyo.acheni kufadhili mipira tu.siku ya tatu leo bado tu hajapata mfadhil.angekuwa msanii huyu zamani tu.ashafadhiliwa.ALLAH KAREEM.
Mashallah karibu sana kaka. Shehe nakukubali sana Allah akulinde
Sheikh SHEIKH MWAIPOPO ALLAH AKUZIDISHIE na ulinzi wa kila jeshi analomiliki na Walinganiaji wenzako
asalaam aleykum jaman wewe sheikh mwaipopo ALLAH akuzidishie
Mashallah!! Allah atakuwezesha! Nia inashinda kafara!!
Allah akuongoze kwa kila lilozito ktk ndini liwe jepesi na kulielewa , allah akulinde na kukuifadhi ndugu yetu ktk imani karibu sn ktk dini ya aki
Mashlh kakangu mungu akupe mazuri y dunia n akhera
Maashaallah Allah Akulinde
Aamin
Mola amuongoze kakaaetu katika dini iliyo ya haki amsamehe dhambi zake za Siri na za dhahiri,, Amiin 🤲🏾
MashaAllah mie nakuombea dua nyingi sana kaka yety ktk iyman wallahi twakupenda kwa ajili ya ALLAH
Maashaallah mwenyezi mungu akujalie ufe katika uicilamu
Part 1 niliifatilia siamini Kama ameshahadia mashalaaah ustadh hasheem Allah kakuchagua
MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏🙏
Well come to Islam.. brother Hasheem Allah akupe afya akuongozi akuwezeshe Ameen...
Pambana Sheykhe mapaka kitaeleweka ,
Pindi itakapo kuja nusra ya Allah na kushinda utawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi makundi.
Allah awalipe kheri.
Allah Akbar mashallah mwenyez Mungu atawajalia kila la khel mnafnya kazi kbwa sn
Masha Allah mwenyezimungu akutie nguvu na subra katka dini ya haki Insha Allah.
Yesu kama kwa imani ya mungu au mtoto wa mungu hatuhitaji msamaha wake, lkn kama mtume tunaomba barka kutoka kwa Allaah
Allah sw awazidishie sheh mwaipopo inshallah 👏
Mansha Allah 🤲🤲 karibu karibu kaka hashimu💕💕💕💕💕🤝🤝🤝 tutakulinda utasoma mansha Allah 🤲
Mwaipopo mungu akupe subra...utafaulu inshaAllah
sheqhe mungu akupeher duniyan na kesho aqhera
Mwenyenzi Mungu subukhana Allah azidi
Kumuinua katika dini ya kiislamu.
Mashallah kape deza kisha mtulivu toka mwanzo aliulizaaa kuhusu dini ya kislam na kajua ukweliiii
Pole yako Dickson,Hashim kwa sasa
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH Sheikh wangu Mwaipopo
Safi sana shekh wetu maa sha allah
Inshaa Allah Dua njema tunamuombea
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Mashaallah shekhe Allah akuongoze
Amiiin,masha Allah
Masha Allah , JazakAllahu kheyran ...
Utapeli wa pastor Adam Hajj
ruclips.net/video/xh7gF4OY5cU/видео.html
Mashaahllah karbusana Allah akufanyiye wps
ALLAH AKBAR. ALLAH AKBAR. ALLAH AKBAR...huu ndio ukweli na daima ukweli hudhihiri.
Allah akuhifadhi kk upo sahihi yadihuruna fiidini lahi afuwaja wote hap wamesilimu mwaypopo na hashimu
Mwaipopo Allah akuhifadh
InshaAllah maisha yatafunguka...usijali riziki yako haitokukwepa maadamu mungu ameshakuandikia riziki yako...na inshaAllah utasaidika
Mwaipopo mungu akupe firidausi
Hongera ndugu
Mashalla ustaz.alhabdo lilay
Maashallah kaka yetu Allah akujalie ufe ukiwa muislam
Allaah akupe wepesi
allah atakuhifadhi ndugu yetu hashim.
Masha"Allah
Mwenzenu ameiona haki kaifata wakristo mtafukuzwa siko hiyooo ya mwisho.
Luka 13:25-28
Wakati mwenye
nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako;
26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu.
27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.
28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.
Mashaala tunawasubiri wengi wataijua kweli izi ni siku za mwisho
Mashaallah Allaybaarik Yarrab
Sheikh mwaipopo nakkubali Sana kaka mm nipo Kenya na tafadhali nakuombea mungu akufanyie wepesi Duniani na kesho akhera kaka
mubgu akujalie sana shekhe mwaipopo umri mrefu na uendelee kazi iyo
mungu atakuongoza shekhe insharrah na uyo kaka yetu mungu atamjalia sana
Maa shaa Allah Allah akubariq
InshaaAllah kaka Allah akuongoze
مشا الله تبارك الرحمن.karibu Bro kwenye dini ya haki.
Mashaallah, lkni hakuna makafir wabishi kama watanzania nakusilim niwagumu sana hata wakiijua haki
Mashaal
Masha Allah❤❤❤❤❤😅
Maashaa Allah,Mwaipopo Allah akulipe,inshaa Allah,
Mashaallah sura zangara kutokea iliposilimu allah amuongoze ajue dini na aweze kusilimisha wengine ameen
ameen
Safi sana muhaya mwenzangu allah akukubali kalibu kigamboni
Mashaallah allah awazidishie kheri mashehe wote
MashaAllah
Mashaallah kalibu sana kijana
Ma sha allah
Kijana Allah akuhifadhi na akubariki
Waah, kijana umelipwa hela gapi? ujiuge na majini
Masha Allah Allah akulinde na udumu katika uislam
Usijali ndugu yetu katika imani’ ...Yesu alisema “ADUI WA KWANZA NI WATU WA NYUMBANI KWAKO...AMPENDAE BABA AU MAMA KULIKO MIMI BASI HATAUONA UZIMA WA MILELE”
Kwa hivyo usihofu ndugu yetu ‘ ALLAH kashakuridhia ‘ ndugu au wazazi wasikuzuilie katika njia ya ALLAH...!
Mashaaallah mngu hmbariki
Mashallah shekh wetu tupo pamoja
Mungu akuzidishie zaidi ila tunaomba wahadhiri mushirikiane na muwe wamoja
Mashallah
Tukisema waarabu wabaya kwanza hatumaanishi raia wao au waarabu wa rangi na nywele walokua kwenye nchi tofauti japo kua lugha hawajui au km huyo mtu wa Pemba ulosema ww alokufadhili (hao watakua na ubaya ule wa maumbile ambao kila mwanaadamu haijalishi kabila wala rangi atakua nao) lkn Tunamaanisha wale viongozi wao wa nchi na ubaya wao.
Mtume (s.a.w) alikua muarabu lkn alikua kiongozi muadilifu, hakua mnafik, na hakua adui wa waisilam wenzake. Na km utalazimisha kua kwakua Mtume (s.a.w) alikua muarabu ndio huezi kusema waarabu wabaya basi na Abuu Jehel alikua muarabu pia.
Unahesabu uarabu wa Mtume (S.a.w) na kufananisha na hichi kizazi cha Makuraishi wa Makka kilichochanganyika na Mayahudi, wazungu nk ambao wengi wao hao Wafalme wa nchi za kiarabu wamechanganyika navyo na ndio maana hata imani na waisilam wenzao hawana?
Ukiangalia visa ya Omani hao makafir wa Ulaya wanaingia bure Omani hawalipi hata sent moja, tena kwenda kwao km unavyokwenda ww kariakoo. Just unachukua pasport yako unapanda ndege ukifika Omani airport unagogewa bure. Nambie Tnz/Znz ukienda Omani unaenda km hivyo? Si mpaka utafute mfadhili, ndugu...na lazma ulipe hakuna cha bure. Na safari yako uanze kuandaliwa hapo ulipo km miezi, mwaka na sio unajitoa tu km wanavyokwenda wazungu/makafi na kwenda utarudi ulipotoka.
Na jengine hv inaingia akilini kafiri anatoka anapotoka anakwenda kumpiga muisilam ambae kazungurukwa na nchi za kiisilam, Na nchi za jirani ambazo ni zakiisilam ndio wapokezi ili mwenzao apigwe avurugwe? Na anakwenda na mizinga, mabom, silaha kubwa kubwa, vifaru nk au ww ulikua u afikiri Kafiri akitaka kumpiga musilam Iraq, Libya nk...hutoka kwake na ndege ya kivita mpaka kwenye nchi anayoitaka kuipiga? Halafu ulazimishe ww tuwaone wazuri kwa kua tu jamaa wa Pemba raia wa kawaida kakukaribisha ww ukala pilau na kukupa malazi?
Hao Waarabu wa Omani hata raia wa kawaida wengi wao umewaona wanavyowafanyia wahindi? Mtu anapigwa mikwaju kibanda cha simu kwa kua muarabu kafika na yy anaendelea kuzumgumza na simu, au mwengine kishatandikwa makofi air port kwa kujibizana na mwarabu tena wa Znz anaishi Omani. Kakutana na muhindi transit nimesahau alikua akitoka wapi wakazozana kitu kidogo yakesha. Bahati mbaya yule muhindi kumbe anakwenda Omani. Yule Mznz muomani alivyofika na kumuona anashuka Omani kampiga yule muhindi na hakuna chchte kilichofanyika. Na haya anahadithia kwa fakhari mwenyewe huyo mznz halafu unasema nn na wkt hao waarabu kuna Mtume (s.a.w) na kuna kina Abuu Jahel.
Viongozi wa nchi za kiarabu wote hawana mana hata ukiwatetea vp lkn uovu wao upo wazi kabisa na kila mtu anaujua.
Karibu ktk uislam ndg yetu
Allah akbar sheikh maipopo Allah atakuripa
Namba zake za xm za ndugu yetu katka uislam,namba zake za xm za WhatsApp sheikh tusaidie
Masha allah khashim
Maa Shaa Allah
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
Yesu kristo wasamehe .
Mashaallah mashaallah mashaallah
Mashaallah tabarakaallah
Inishaallah mungu awe na wewe kijana
Allahu Akbar
Maasha allah
mashaAllah,Allah Akbar
karibu kwenye wislam dini ya haki
Sheikh mwaipopo mwenyezimungu akulipe kila la her
Usikate tamaa kijana
MWAIPOPO HUYU KIJANA UWE NAE KWA SASA . ANAHITAJI BUSARA ZAKO ILI APATE UTULIVU WA AKILI. Kwa SABABU ANAKOTOKA NI MBALI . SIJAMBO JEPESI ANAHITAJI ELIMU ILI AUONE UKWELI.