YARABI anisamehe thambi zangu na atujaaliye tupendane kwaajili ya ALLAH na mtume wake kipenzi chake naniki penzi chetu MOHAMMAD (S.A.W). Amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲.
Asalam Ayelkum warahmatullah wabarakatuh ndugu zangu ktk imani. Alhamdulilah kwa Allah kutujalia kuwa waislamu. Uislam ni Neema. Allah amuongoze mzee wa Upako atoke ktk giza na shirki aje ktk Dini ya kweli na Dini ya haki In shaa Allah.
Wallah tumeyaona mwanamke alisilimu Kwa ajili ya kuolewa kazaa na mumewe watoto takriba 7au8 familia Ikawa ya kiislam lakini alipofariki mume Sasa yule mama aliesilimishwa ili aolewe yeye na watoto wote wanavaa vimini na ndio viongozi wa kwaya kanisani. Nakupongeza saaanaa Sheikh Mwaipopo ALLAH azidishe hikma uendelee kutupa na kiyasema haya. Mashekhe wazawa ni mahafidhina kazi silimisha Leo Leo na hapohapo fungisha ndoa! Mwanamke wa hivo haingii dini ya uisilamu Bali dini yake inakuwa ile ndoa ikivunjika tu uisilamu bye bye somba watoto kanisani na haya pengine inakuwa kinyume wanawake nao wanasilimisha waume waolewe ikisha ndoa au hata kabla matatizo makubwa mwisho unaskia jamaa kaachana na mwaju na kasomba watoto Sasa wako sabato halafu hivi mashekhe hawaoni jamani acheni kusilimisha kwaajili ya ndoa silimisheni kwaajili ya Imani kwani Ali akimpenda joisi mnashindwa nini kumnasihi na kumsaidia apate katika familia ya kiislam!
@@prochesernest5439 majini ni viumbe wa Mungu, nao wanajua kuna Mungu... na wana maamuzi yao,kama umeona kuna jini ni muislamu Ujue anafuata sheria ya mungu kama kumuabudu Mungu peke yake, kutahiriwa kwa mume , kutokula nguruwe na kadhalika kama tulivyo waislamu...
NYOTA NA MWEZI KTK UISLAM JOSEPH, NYOTA NA MWEZI MUANDAMO Ni ALAMA ILIYOANZA KUTUMIWA NA OTHMAN BIN ERTUGRUL GAZI AMBAYE TAMTHILIA YAKE MNAIANGALIA AZAM TV, ALAMA HII ALIANZA KUITUMIA WAKATI WA DOLA LA KIISLAM LA OTTOMAN EMPIRE ALILOLIASISI NCHINI UTURUKI AMBALO LILIUNDWA NA MABARA MATATU ASIA, ULAYA NA AFRIKA, DOLA LILILOTAWALA DUNIA KWA ZAIDI YA MIAKA 800 KWA KUSAWA NA UADILIFU MKUBWA KWA WANADAMU WOTE ULIMWENGUNI, DOLA AMBALO LILIDONDOSHWA NA MADHALIMU WA KUZUNGU KWA HILA NJAMA ILI KUANZISHA USHENZI, UNYAMA NA UNYONYAJI WA UKOLONI KWA AFRIKA NA MAENEO MENGINE YA DUNIA, ALAMA HII YA MWEZI MUANDAMO KWA UPANDE MWENGINE KTK UISLAM NI MWEZI MUANDAMO UNAYOONESHA KUBADLIKA MAJIRA YA MIEZI KTK KALENDA YA TEREHE YA KIISLAM,. KWA HIYO ALAMA HII HAICHUKULIWI KAMA NDIYO MSINGI WA IMANI YA UISLAM KAMA ILIVYO ALAMA YA MSALABA KTK UKRISTO. INGAWA KWENYE UKRISTO ALAMA YA MSALABA INAINGIA MOJA KWA MOJA KTK MAMBO YA YA MSINGI KIIBADA KTK IMANI YA KIKRISTO, KWA MFANO KWENYE SALA, MAZIKO NA KADHALIKA JAMBO AMBALO KWENYE UISLAM NYOTA NA MWEZI HAZITUMIKI MAHALA POPOTE PALE KWENYE UISLAM NA WALA SIYO SEHEMU YA MAFUNDISHO YAKE KWENYE MAMBO YA KIROHO.
anaongea kwa mujibu wa kitabu chenu chukulia mfano kuongena na mtoto huwezi kumwambia "wewe ni mtoto hatuna la kuongea" lazima utabalanz kuongea ili akuelewe,,, ndio kilichotokea hapo ulichotakiwa ufahamu mfumo wenu ni mila za kizungu na muwache unafki
@@josephwilliam5813 kupanda gari sio kubadili sheria ya mungu, hiyo ni kurahisisha safari: mfano: kumbukumbu:12:21 inazungumzia safari ya hija huenda ikawa ni mbali sana kwako... ona sasa vyombo hivyo vinaturahisishia safari:::
😂😂😂 ilo jeneza la jiwe ndo jeneza gani?? Lipoje??..bhas sawa tuseme ivyo ivyo ilo jeneza la jiwe nyie mbona amzikani kwenye jeneza la jiwe kawafundisha nani kuzika kwenye jeneza la mbao. Sometime ni vzuri kutumia akili kuchanganua mambo na sio imani
MUNGU wenu kumbe alizikwa kwenye jeneza la jiwe, aaah sawa sawa 😂😂😂. Sasa hapo dunia alikuwa akiendesha nani .....? Sawa yule Mungu mwingine ndo alikuwa anaendesha hapo sawa, wakat huo Mungu roho mtakatifu alikuwa bado hajaja...
Sasa hapo maana yake Nini mbona kaongeza Sawa,wewe mwaipopo kiki ya Nini unatafuta wateja Kwa uganga wako wA kienyeji Kwa kutafasili uongo,mbona sioni kosaa,huo ni wivu wA umaskini wA kichwani
KUFA KWANZA WEWE ILI TUONE KAMA UNACHOKIONGEA KIKO SAWA, MBONA HAUONYESHI IMANI YA DINI, MAKE HATA KUANGALIA KAMERA UNAOGOPA,,,,,,WAONGO SIKU ZOTE HUWA HAWATAKI WAANGALIWE MACHONI MAKE MACHO HAYADANGANYI.
Mwaipopo umekwama Mzee wa upako akajiunge na mapepo wachafu anawatoa kila siku majini mwaipopo unaota ndoto ya mchana alikwambia nani ukristo ni juzikwa kwenye jeneza alfu wewe unajiita ulikuwa mchunja mwaipopo mnafiki wewe
hospitali na vyuo vikuu, inahusiana vipi na dini kuwa ni ya haki? kama unamanisha mbona manabii wote walijenga vyuo vikuu na mahospitali... hivyo ni mbinu tu za kurahishisha mbambo.. sio sehemu katika dini
@@josephwilliam5813na hiyo kauli ni kweli endelea kuichekelea kiunafiki Hauwezi kwenda peponi kwa kumuita yesu bwana wakati sheria umeshaipiga teke Mathayo 7:21-23 “Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni..
NDOA YA KIISLAMU HAINA NGUVU..MAANA KUNA RUHUSUA YA KUMWACHA KWA TALAKA 3. NA UNAWEZA OA PAKA WA NNE ...NA WIKI IJAYO UKAWAACHA WOTE...MWEZI UJAO UKAOA WENGINE😂..
Hakuna Ndoa za ivo kuacha tu bila ya sababu ya maingi istoshe kuow wake wengi ni sheria ya Mungu ila kwa yule mwenye uwezo wa kimwili na kifedha sheria ya kuowa mke mmoja tu bila ya kuongez ni sheria zilizoletw na wazungu na ndoa hao saiv wanatk ndoa za jinsia Moja.
Tatizo wakristo wanafuata uzungu mwngi, bibilia yenyewe imekubali kuoa wanawake zaidi ya mmoja . Mambo ya nyakat 2.13:20_21... Wameshindwa kuukubali ushoga tu. Ila wakubw wao wamekubali, papa kaukubali na makanisa yapo mengi tu ya ushoga....😂😂😂
Huyu sheikh au mchochezi ..polisi kamateni huyu.. MSIKIE ET WATU WAPIGANIE DINI ANATOA NA MIFANO YA WALIOKUFA KWA KUPIGANIA DINI..KWAMBA WATAPEWA BIKRA 72.. dini zingine za ajabu sana ..kwa hapa tz wote mtaozea jela..
wewe una unalo lijua ktk dini ya kislam kupigania dini sio vita ustafsiri maneno kwa uwelewa wako mbovu anamanisha kusimamia na kuyafuta anayo yataka mungu na kuacha mambo mabaya. kwaiyo ww unataka police wakate watu wadini kwani wewe uchochezi unavyo elewa wewe ni nini.
YARABI anisamehe thambi zangu na atujaaliye tupendane kwaajili ya ALLAH na mtume wake kipenzi chake naniki penzi chetu MOHAMMAD (S.A.W). Amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲.
Asalam Ayelkum warahmatullah wabarakatuh ndugu zangu ktk imani. Alhamdulilah kwa Allah kutujalia kuwa waislamu. Uislam ni Neema. Allah amuongoze mzee wa Upako atoke ktk giza na shirki aje ktk Dini ya kweli na Dini ya haki In shaa Allah.
Asalam alykum www safi sana sheikh Mwayipopo kuonesha haki
Wallah tumeyaona mwanamke alisilimu Kwa ajili ya kuolewa kazaa na mumewe watoto takriba 7au8 familia Ikawa ya kiislam lakini alipofariki mume Sasa yule mama aliesilimishwa ili aolewe yeye na watoto wote wanavaa vimini na ndio viongozi wa kwaya kanisani. Nakupongeza saaanaa Sheikh Mwaipopo ALLAH azidishe hikma uendelee kutupa na kiyasema haya. Mashekhe wazawa ni mahafidhina kazi silimisha Leo Leo na hapohapo fungisha ndoa! Mwanamke wa hivo haingii dini ya uisilamu Bali dini yake inakuwa ile ndoa ikivunjika tu uisilamu bye bye somba watoto kanisani na haya pengine inakuwa kinyume wanawake nao wanasilimisha waume waolewe ikisha ndoa au hata kabla matatizo makubwa mwisho unaskia jamaa kaachana na mwaju na kasomba watoto Sasa wako sabato halafu hivi mashekhe hawaoni jamani acheni kusilimisha kwaajili ya ndoa silimisheni kwaajili ya Imani kwani Ali akimpenda joisi mnashindwa nini kumnasihi na kumsaidia apate katika familia ya kiislam!
SADAQTA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Napenda unapo ongea ukweli
Kuna watu wanaona kama dini ni
Yao wao wengine ni wafuataji tuu
Uislamu ndio dini ya haqqi
KWA mujibu WA NANI?
@@josephwilliam5813
mujibu wa
mungu mwenyewe
3:19
Ni dini ya haki Kwa majini sio Kwa watu mapepo wachafu wanadini hiyooooooo!!!!!!!!!
@@prochesernest5439
majini ni viumbe wa Mungu, nao wanajua kuna Mungu...
na wana maamuzi yao,kama umeona kuna jini ni muislamu Ujue anafuata sheria ya mungu kama kumuabudu Mungu peke yake, kutahiriwa kwa mume , kutokula nguruwe na kadhalika kama tulivyo waislamu...
@@josephwilliam5813Uislamu ndio dini ya Mitume wote
SHEKH vipi na familiya ya USTADH ilunga. Inaendeleaje.
KITENDO CHA KUONGEA NA HAUANGALII KAMERA UNAMAANISHA UNACHOKIONGEA HAKINA MASHIKO, KUFA KWANZA WEWE ALAFU WALIOBAKI WATAKUWA WAFUASI WAZURI
HATA NYOTA NA MWEZI KIMAANDIKO SIO ALAMA YA UISLAM
NYOTA NA MWEZI KTK UISLAM
JOSEPH, NYOTA NA MWEZI MUANDAMO Ni ALAMA ILIYOANZA KUTUMIWA NA OTHMAN BIN ERTUGRUL GAZI AMBAYE TAMTHILIA YAKE MNAIANGALIA AZAM TV, ALAMA HII ALIANZA KUITUMIA WAKATI WA DOLA LA KIISLAM LA OTTOMAN EMPIRE ALILOLIASISI NCHINI UTURUKI AMBALO LILIUNDWA NA MABARA MATATU ASIA, ULAYA NA AFRIKA, DOLA LILILOTAWALA DUNIA KWA ZAIDI YA MIAKA 800 KWA KUSAWA NA UADILIFU MKUBWA KWA WANADAMU WOTE ULIMWENGUNI, DOLA AMBALO LILIDONDOSHWA NA MADHALIMU WA KUZUNGU KWA HILA NJAMA ILI KUANZISHA USHENZI, UNYAMA NA UNYONYAJI WA UKOLONI KWA AFRIKA NA MAENEO MENGINE YA DUNIA, ALAMA HII YA MWEZI MUANDAMO KWA UPANDE MWENGINE KTK UISLAM NI MWEZI MUANDAMO UNAYOONESHA KUBADLIKA MAJIRA YA MIEZI KTK KALENDA YA TEREHE YA KIISLAM,. KWA HIYO ALAMA HII HAICHUKULIWI KAMA NDIYO MSINGI WA IMANI YA UISLAM KAMA ILIVYO ALAMA YA MSALABA KTK UKRISTO. INGAWA KWENYE UKRISTO ALAMA YA MSALABA INAINGIA MOJA KWA MOJA KTK MAMBO YA YA MSINGI KIIBADA KTK IMANI YA KIKRISTO, KWA MFANO KWENYE SALA, MAZIKO NA KADHALIKA JAMBO AMBALO KWENYE UISLAM NYOTA NA MWEZI HAZITUMIKI MAHALA POPOTE PALE KWENYE UISLAM NA WALA SIYO SEHEMU YA MAFUNDISHO YAKE KWENYE MAMBO YA KIROHO.
KWAIO UNAKUBALIANA NA MZEE WA UPAKO KUA YESU ALIZIKWA NA SANDA😂😂😂😂
anaongea kwa mujibu wa kitabu chenu
chukulia mfano kuongena na mtoto
huwezi kumwambia "wewe ni mtoto hatuna la kuongea" lazima utabalanz kuongea ili akuelewe,,,
ndio kilichotokea hapo ulichotakiwa ufahamu mfumo wenu ni mila za kizungu na muwache unafki
@@omaar5693KABLA YA WAARABU NA WAZUNGU KUJA AFRICA AFRICA ILIKUA NA MILA GANI?
@@josephwilliam5813
Africa ilikuwa na mila ya kiafrika...
sasa ndio iwije
@@omaar5693 MAANA YAKE TULIKUA TUNAVAA MAGOME YA MITI MAVAZI YALITOKEA WAPI , SMART PHONE HUTUMII,GARI HUPANDI? MUHAMMAD ALIACHA IVYO VITU?
@@josephwilliam5813
kupanda gari sio kubadili sheria ya mungu, hiyo ni kurahisisha safari:
mfano:
kumbukumbu:12:21
inazungumzia safari ya hija huenda ikawa ni mbali sana kwako...
ona sasa vyombo hivyo vinaturahisishia safari:::
YESU ALIZIKWA KWENYE JENEZA LA JIWE... kasome historia
😂😂😂 ilo jeneza la jiwe ndo jeneza gani?? Lipoje??..bhas sawa tuseme ivyo ivyo ilo jeneza la jiwe nyie mbona amzikani kwenye jeneza la jiwe kawafundisha nani kuzika kwenye jeneza la mbao. Sometime ni vzuri kutumia akili kuchanganua mambo na sio imani
@@impeccablerito7922 sasa huelewi nini ..kuna wengine wamezikwa kwa majeneza ya dhahabu . Wengine mbao.. HAYO YOTE NI MAJENEZA...
MUNGU wenu kumbe alizikwa kwenye jeneza la jiwe, aaah sawa sawa 😂😂😂. Sasa hapo dunia alikuwa akiendesha nani .....? Sawa yule Mungu mwingine ndo alikuwa anaendesha hapo sawa, wakat huo Mungu roho mtakatifu alikuwa bado hajaja...
@@RamadanPaul mwili ulikufa.. lakin ROHO yake haijawai KUFA.. HATA QURAN 9:31 INAKUBALI YESU NI MUNGU
@@Yesunimwokozi1 😂😂😂haya bwan naona umekosa ya kwamba QUR'AN inakubali yesu ni nani?
Mwaipopo,Kuna Binti alisema,kuzaliwa maskini ni mipango ya mungu, ila kuolewa na maskini ni uzembe.
Baba mdogo na baba mkubwa haitakiwi ni kwa mabinamu
Sasa hapo maana yake Nini mbona kaongeza Sawa,wewe mwaipopo kiki ya Nini unatafuta wateja Kwa uganga wako wA kienyeji Kwa kutafasili uongo,mbona sioni kosaa,huo ni wivu wA umaskini wA kichwani
KUFA KWANZA WEWE ILI TUONE KAMA UNACHOKIONGEA KIKO SAWA, MBONA HAUONYESHI IMANI YA DINI, MAKE HATA KUANGALIA KAMERA UNAOGOPA,,,,,,WAONGO SIKU ZOTE HUWA HAWATAKI WAANGALIWE MACHONI MAKE MACHO HAYADANGANYI.
Mchochezi yeye au wewe kafiri kwani anacho kieleza sikipo kwenye maandiko wewe kafiri huwezi elewa
Shekh,Kuna madhehebu ukisoma Bismillah ktk sura unaitwa kafiri.
Dhehebu gani ilo?
KWAHIYO UNAKUBALIANA NAE KUWA YESU ALIKUFA,???
Mwaipopo umekwama Mzee wa upako akajiunge na mapepo wachafu anawatoa kila siku majini mwaipopo unaota ndoto ya mchana alikwambia nani ukristo ni juzikwa kwenye jeneza alfu wewe unajiita ulikuwa mchunja mwaipopo mnafiki wewe
Kama n dini ya haqq mbona tuko nyuma kielimu?? Mbona hakuna hosptali vyuo vikuu mpaka tukapewa n k
ULISEMA HIVYO HAKAWII KUSEMA DUNIA NI PEPO KWA MAKAFIRI ILA NI CHUNGU KWA MUUMINI😂😂😂
hospitali na vyuo vikuu, inahusiana vipi na dini kuwa ni ya haki?
kama unamanisha
mbona manabii wote walijenga vyuo vikuu na mahospitali...
hivyo ni mbinu tu za kurahishisha mbambo.. sio sehemu katika dini
@@josephwilliam5813na hiyo kauli ni kweli endelea kuichekelea kiunafiki Hauwezi kwenda peponi kwa kumuita yesu bwana wakati sheria umeshaipiga teke
Mathayo 7:21-23
“Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni..
kweli wewe box ivi kweli dini na ivyo vitu vinaingilianaje hospatali shule n.k ivyo nimipangilio ya maisha ya mwanadam.
Hamna elim gan ya dunia au ya akhera mashekhe wanaelim Zaid yauvo fikria mtu anahfadh juzuu 30 kichwan elim gan unaitaka ww
NDOA YA KIISLAMU HAINA NGUVU..MAANA KUNA RUHUSUA YA KUMWACHA KWA TALAKA 3. NA UNAWEZA OA PAKA WA NNE ...NA WIKI IJAYO UKAWAACHA WOTE...MWEZI UJAO UKAOA WENGINE😂..
Hakuna Ndoa za ivo kuacha tu bila ya sababu ya maingi istoshe kuow wake wengi ni sheria ya Mungu ila kwa yule mwenye uwezo wa kimwili na kifedha sheria ya kuowa mke mmoja tu bila ya kuongez ni sheria zilizoletw na wazungu na ndoa hao saiv wanatk ndoa za jinsia Moja.
@@dulividuli5237 mke mmoja ni SHERIA ta Mungu
Tatizo wakristo wanafuata uzungu mwngi, bibilia yenyewe imekubali kuoa wanawake zaidi ya mmoja . Mambo ya nyakat 2.13:20_21... Wameshindwa kuukubali ushoga tu. Ila wakubw wao wamekubali, papa kaukubali na makanisa yapo mengi tu ya ushoga....😂😂😂
@@RamadanPaul wewe umeona ndoa tu..oa upambane na MAGONJWA mengi ya zinaa..😁
Huyu sheikh au mchochezi ..polisi kamateni huyu.. MSIKIE ET WATU WAPIGANIE DINI ANATOA NA MIFANO YA WALIOKUFA KWA KUPIGANIA DINI..KWAMBA WATAPEWA BIKRA 72.. dini zingine za ajabu sana ..kwa hapa tz wote mtaozea jela..
wewe una unalo lijua ktk dini ya kislam kupigania dini sio vita ustafsiri maneno kwa uwelewa wako mbovu anamanisha kusimamia na kuyafuta anayo yataka mungu na kuacha mambo mabaya. kwaiyo ww unataka police wakate watu wadini kwani wewe uchochezi unavyo elewa wewe ni nini.
@@ramadhanitwahili6837 msikilizie tena ..huko kufata ya dini ..ndio kasema KUPIGANIA hadi kumwaga DAMU . Sikiliza na masikio yote
Akamatwe kisa kaongea ukweli na ukweli unauma
@@ramadhanitwahili6837 umemjibu vizur sana mpaka naona donge😂💪