VUMBI LATIMKAA MWAIPOPO KUFANYA MJADALA NA MASHI'AA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025
  • #sheikhmwaipopo #ibnjauztv #muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopotv #islamicuniontv

Комментарии • 105

  • @MasimbuMgaya
    @MasimbuMgaya 23 дня назад

    Mwaipopo allah akupe maisha marefu yasiyokuwa na mtihani Fanya kazi ya allah kaka usirudi nyuma

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Год назад +2

    Haise Allah anajua lugha Moja tu ya kiarabu mwaipopo umemfata mungu anayejua lugha moja ukisali kwa lugha yako ya kinyakyusa Allah ajui hiyo lugha ya kichina kiswahili kichaga kihaya kisukuma kimakonde kizalamu kigogo kiha huyo ndo mungu wa waislamu wakristo tunamkataa milele na milele

    • @alimau7939
      @alimau7939 Год назад

      Ipo siku utamkubali Allah kama si duniani basi itakua akhera na muomba Allah ikifika siku ya hukumu niweze kukuona unavokula adhabu endapo utakufa hujamsujudia Allah

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Год назад

      @@alimau7939 utamuona Allah akila adhabu kwenye jehanamu ya moto akiingiza muguu wake kama adithi alivyo toa mtume wake Muhammad njoo Kwa Yesu krito hupone hachana na Allah Yesu krito ndo mwokozi WA ulimwengu

    • @JazilaAbdala-x2k
      @JazilaAbdala-x2k 7 месяцев назад

      Shekh mashia hauwez wasomi sana na wanaweza kukufundisha Yale wayasemayo Kwa vitabu vya Hadith vya kissuni tu...Ili uwe msomi unatakiwa usome manhaji zote kisha akili yko iifanyie juhud bila kuidanganya ifahamu manhaji sahihi na iyo itakuwa sahihi kwako mbele ya Allah Wala hautaadhibiwa lakin ukifuata mkumbo mbele ya Allah ni adhabu ....sasa swali hapa hawa watu wameikiuka Quran au Sunnah Kwa kusema Hussein yupo hai Kwa maana Hussein kaacha kumbukumbu au mafunzo yasiosahaulika?

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Год назад +1

    Tupo pamoja sheikh Mwaipopo lnsha Allah

  • @KhalidiSamata-gv8gq
    @KhalidiSamata-gv8gq Год назад

    Mashaallah shekhe Allah Akupe umri mrefu achana na hao makafiri wanaokudhihaki

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 Год назад +2

    MASWAHABA WOTE RADHIALLAHU ANHUM

  • @SadatiDauda
    @SadatiDauda 7 месяцев назад

    Mashia watakupokea kielimu na kichamungu uwenda ukaongoka shallah.

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf Год назад +1

    Well done mwaipopo may Allah please with you

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 Год назад +1

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN QADIR WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI.
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Год назад +2

    Mbona unachanganya Mada hueleweki.

  • @accrambishekoyunus6162
    @accrambishekoyunus6162 Год назад +3

    Kweli Elim yako kidogo jijue kwanza we nani na Kwa nini upo na

  • @SuleimanLukas-d6p
    @SuleimanLukas-d6p Год назад +2

    Acha unafiki mwaipopo MUNGU anakuona subiri kiama

  • @ShabanAbdulrahman-b6r
    @ShabanAbdulrahman-b6r Год назад +1

    We unaweza kubishana na wakristo tu

  • @accrambishekoyunus6162
    @accrambishekoyunus6162 Год назад +3

    We,mwenyewe wapiga kelele Historia umesomea wapi na vitabu Gani vya Historia vip umesoma

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 Год назад

    Haya mashia ni makafiri

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 Год назад

    Mwamba nakukubali sana

  • @alternativeislamicmedicine8396
    @alternativeislamicmedicine8396 Год назад +2

    KWA HIYO BAREKHEYAN NDIO KAKUTUMA USIMAME DHIDI YA SHIA! NDIO MAANA UKAWEKA PICHA YAKE HAPO. AMEWASHINDWA MASHIA SASA ANAKUTUMIA WEWE USIEJIELEWA.

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Год назад +1

    Unasema ukweli japo unauma Allah akujaalie pepo ya juu kabisa

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Год назад +2

    Bure utajidhalilisha ukitaka kupambana na Shia.kuwa mpole Mwaipopo.

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Год назад

    Jalala kazidi kujifurahisha.

  • @iddidunia5548
    @iddidunia5548 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 mtihani kweli kweli. Elimu ni muhimu sana....
    Mwaipopo ukiulizwa baada ya mtume kufariki vita vya kwanza walikua nani na nani ?! Na kwanini hao maswahaba wapigane ilihali wana Qur'ani. Kama muongozo wao. ?!!

  • @hassaniyahya1054
    @hassaniyahya1054 Год назад +1

    Ww kahubirie bibilia sheikh suala la mashia hautaliweza kwanza uwezo wako ushaasema ni mdogo

  • @accrambishekoyunus6162
    @accrambishekoyunus6162 Год назад +2

    Miskini Damu imekuchemka kaende kalime sheikh

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 Год назад

      Kakupa ukweli lakin bade unaleta keli zako za kikafiri kazi yake ni kukupa maneno ya kweli kutoka kwa Allah na ukweli w huu ukiupuuzia utauona ukifa na hapoel utakuwa huna nafasi tena ya kusilimu.

  • @AbulFadhilQummy
    @AbulFadhilQummy 6 месяцев назад

    Mwaipopo hahahhahaha😂😂😂😂 umefel vikubwa

  • @mossesbhaliyanka
    @mossesbhaliyanka Год назад +1

    HILI LIJAMAA NILILEVI MSILISIKILIZE...KWANZA HALINA ELIMU HATA KIDOGO SEMA NJAA NDIO INALISUMBUA. KWANZA UNAONEKANA UMELEWA. NANI ATAKUSAPOTI WW MLEVI. NA ATAKAE KUCHANGIA NI MWEHU PIA.

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 Год назад +4

    Kila siku tunasema Ushia ni ukafiri ulio wazi kabisa.

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm Год назад

      Hii watu wajue (ushia) na(mshi
      a) nitofauti ushia ndio ukafili,
      Mashi
      a wengine hawaujui ushia wanafata mkumbo kama ushia niukafiri usipate tabu kuhusu mtu kawa mshia hafai

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Год назад +2

    Mashia ni makafiri hao

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 Год назад +1

    Kwa Aya hii ya biblia Isaya 21:13 kwamba unaitumia kuthibitisha kutabiliwa kwa mtume muhamadi ndani ya biblia hapo mwaipopo umetulisha matango pori.

    • @desderiushaule4264
      @desderiushaule4264 Год назад +1

      Muhamadi alipoharamisha asali ili kutaka radhi za wakeze hivyo ulikuwa ni wahayi kutoka kwa. Mola wake? Maana unasema muhamadi hasemi kwa kukurupuka

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Год назад +1

      Asali ni Maria bint Kibitiah ni mjakazi wa mke wa Muhamad aitwae Hafsa bint Omar ....... Wenye akili wanafahamu Nina maana gani!! 🚶🚶

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Год назад

      Wewe ndoa za kikristo achananazo wewe sio kama zenu za mkeka za kufumaniana wewe tuambie Muhammad nani alimfungisha ndoa na bibi Khadija na Kwa dini Gani maana Muhammad uislamu ameupata akiwa na miaka 40 jibu Hilo msituchokoze wakristo

    • @saidali9255
      @saidali9255 2 месяца назад

      ​@@paulmushi2428shukran sana sana swadakta

  • @accrambishekoyunus6162
    @accrambishekoyunus6162 Год назад +1

    Mnakasha utaweza au ukasome kwanza ujue kwamba Maswahaba ni akina nani

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy Год назад

    Mwaipopo,naomba hao mashia mufti awatoe ktk bakwata wanatuharibia dini.

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 Год назад +1

    ...Mpumbavu sana huyu mwaipopo ataka umaarufu na kutapeli watu kwa kutumia mahubiri...

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 Год назад

    Mutakwedanyiyetu kwenye hiyo arubain yenu walanifu wakubwa na malebayenu kama maringiyagari aloyaona kaka angu mwaipopo

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju Год назад +1

    Uongo mwingi maada ya leo

  • @shabaniumande
    @shabaniumande Год назад +1

    Hawo makafiri wakukwa mashia walimuuwa Hussain uko Karbala hivi sasa wanajifanya kumuabudu Hussain

  • @alternativeislamicmedicine8396
    @alternativeislamicmedicine8396 Год назад +2

    Huyu bwana ni mropokaji saaana, mfano wake ni mfano wa mbwa. Ukimhujumu hupumua na kutoa ulimi na ukimwacha pia hupumua na kutoa ulimi. Qur'an sura:7, aya: 176. Lakini sishangai kwa kuwa lengo lake ameshalitaja hapo kuwa anataka misaada ya watu. Sasa kwa upande wa kupambana na wakristo inaonekana misaa tena hapewi, ndio maana inabidi agundua shimo lingine la ulaji. Sasa hapo kwa mashia ni maji marefu. Tafuta njia nyingine ya kula. Fanya kazi acha kutegemea jasho la watu wengine.

    • @mwanaidiissa10
      @mwanaidiissa10 Год назад

      Na wewe ni Shia nn

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 Год назад

      Ushia ni ukafiri km ukafiri mwingine tu, Eti Jalala kamuona Hessein😅😅😅,

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 Год назад +1

      Karopoka nini hapo?99% ni kweli tupu kama wewe ni mkweli.

    • @YUSUPHUABDALLAHBayuu
      @YUSUPHUABDALLAHBayuu Год назад

      Unajua vipimo vya mataira havija pita mtaani lakin ungekutwa na wewe umo kwasbb una akaunti Google ndio una comment upunguani

  • @ahlul-kisaamedia6280
    @ahlul-kisaamedia6280 Год назад +1

    Wewe Mashia huwawezi muulize Mziwanda

  • @jumasalafi9886
    @jumasalafi9886 Год назад +1

    Mashia mimakafir

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju Год назад +1

    Pepo humtoa pepo acha uongo

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju Год назад +1

    Dini yenyewe malumbano tu maugomvi

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Kwa nn unaangalia channel za kiislam?

    • @Alexthadey-lm3ju
      @Alexthadey-lm3ju Год назад

      @@RamadanPaul nashukuru kwa ushauri nikweli kabisa sikutakiwa kabisa kuangalia Chanel za nmna hii

  • @omarizuberi7163
    @omarizuberi7163 28 дней назад

    Shekhe wewe unapepesa macho Hawa mashia nimakufari wakubwa sana

  • @AbdumalckRamadhani
    @AbdumalckRamadhani Год назад

    على الاسلام السلام tz uislam unasemewa namtu amesilim juuuuzi kweli huyu anajua kitu ktk uislaaam ?huyu anaweza kusoma qur,-aan akafatilia raai za mufassiriin akajua tofauti za wanachuoni ktk mas-ala mbali mbali???15:39

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Hivi wewe unashida gani? Sasa hujui huyo ndo anajua mengi maana yeye alishawah kuwa mkristo.. sasa ss binadam tunashida gan?. Unamdharau , mbona unakuwa hvyo jaman

  • @hamynas
    @hamynas Год назад +1

    mwaipopo mbona hata kusoma kiarabu hujui?
    kutamka pia maneno hujui?
    mzee mwaipopo unawezaje kumchalenji Sh jalala ilihali hata Wudhu wako huujui?
    unajitafutia aibu wewe?
    kama unataka mjadala na mashia jaribu kufanya mnakasha usitishie tena uwe live mbele ya camera?upo tayari tukuandalie?

  • @AbulFadhilQummy
    @AbulFadhilQummy 6 месяцев назад

    Sasa kuna kipi unacho kosoa au unacho fundisha apo mwaipopo

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju Год назад +1

    Mbona wewe unachanganyikiwa hueleweki yaani hujui kupangilia maada Mara unaongelea hili Mara lile nenda na maada moja tukuelewe

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Sasa shida nn, sasa si anatuerewesha, vitu mbalmbal tusiovijua..

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul Год назад

    Shehe usisite kutangaza na kutuambia ukwer. Kwan wengine tunajifunza kwako shehe.. ukisoma comment za watu hakika, unakata tamaa... Makafir wakisikia maneno hayo wanaanza kusema huo ndo uislam, tulimsikia shehe anasema,. kumbe masikin hao sio, ni makafir kama wengine

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 Год назад

    Huyo hapo pembeni ni Salim Barahyan. Nacinaonekana Barahyani anahofu ya kuenea ushia tz kwahiyo anahonga masheikh njaa ilikuupinga ushia. Ushia haupingwi kijahili ,kama mnaweza toweni hoja za kielimu siyo propaganda

  • @ahlul-kisaamedia6280
    @ahlul-kisaamedia6280 Год назад

    Nensa kasome kwanza huna elim ya kujadiliana na Mashia wewe hata mwanafunzi wa Madrasa ya kishia humuwezi kwanza kusoma Quran hujui

  • @accrambishekoyunus6162
    @accrambishekoyunus6162 Год назад

    Hivi huyu nani kamwambia kwamba Kila mwenye kuvaa kanzu na kofia ni sheikh

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 Год назад +1

    Shia ni makafiri

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 Год назад

    Apo umesema waarabu na waafrika hujasema waliheshimika wapi

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 Год назад

    Wenye kuandika Quran alikuwa mulevi wa kupindukia nikweli Hama niuongo sema ukweli ukweli hinauma

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 Год назад

    Wapendeni sana waarabu, ndio maana unapigia debe wapewe bandari zetu zote, lakini sio zile za visiwani ,je wale wa visiwani wao hawawapendi sana waarabu mbona wao hawataki kuwapa bandari zao?

    • @hamzamwaya463
      @hamzamwaya463 Год назад +2

      Elimu iliyotolewa na serikali imetosha. Wenye ubongo ulio salama, wameshajua tayar. Kwa sasa hatudili na wanaojifanya hamnazo haliyakuwa wanazo

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 Год назад +1

      Hahaaa michongo ya kanisa itakua imekwisha , kuingiza mikontena bure bila ushuru

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy Год назад

      ALLAHU AKBARU ALLAHU AKBARU. SHEKHE WETU MWAIPOPO TUKOPAMOJA ISHA ALLAH.

  • @khalidjamadi6016
    @khalidjamadi6016 Год назад

    mwaipopo shehe wa mchongo anaejiita Muislamu,
    Asiyejuwa kutamka Bismillahi wala salamu ya Kiislamu.
    Anatamka,
    BISMILWAHI LLWAMMANI LLWAHIM.
    Na
    BUSLLWAHI LLWAMMANI LLWAHIM.
    Muislamu wa kwanza Duniyani asijuwa kutamka lafdhi za Kiislamu kama hizi!

  • @RichadTenga-ze4vp
    @RichadTenga-ze4vp Год назад

    Usitukane watu.usifoke.ULIINGIZWA CHAKA.TUBU TUKUBATIZE.HAWATAKUPA HIZO PESA UNAZOOMBA.

  • @LikokoSalum
    @LikokoSalum Год назад

    Nandomana watu wasuna wanabainisha haki wanachukiwa na masufi

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv Год назад +2

    Njaa itakuuwa wewe

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 Год назад

    Soma isaya 21_13-17soma vizuri kafiri mukubwa

  • @JazilaAbdala-x2k
    @JazilaAbdala-x2k 7 месяцев назад

    Shekh bado haujasoma dini Bali umesoma usuni. ....maana hauji maana hauji maana Hussein hajafa maana mafunzo yake yako hai

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 Год назад

    ...huyu si alikamatwa Kenya kwa utapeli ...

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Alikamatwa kama wanavyokamatwa mashehe wengine na makafili, kwa sababu wanatangaza Allah

    • @isaackmwakapala8663
      @isaackmwakapala8663 3 месяца назад

      Ndio alikamatwa kwa utapeli akarundikwa ndani.

  • @yusufuzuberi9884
    @yusufuzuberi9884 Год назад

    Sasa mbona umetuwekea picha ya sheikh salimu barakhiyani huyu ninguli wa sunna kulikoni

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv Год назад +1

    Wewe acha ujinga hujasoma wewe quran hujui kusoma

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Hivi ss binadam tunamatatizo gani. Sasa hapo kakosea nn?

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 3 месяца назад

    Mbona unaacha mafundisho ya dini yako, unahangaika na ukristo?

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 Год назад

    Nadhani mtu kama ww una tatizo la kisaikolojia au una elimu duni ya dini.kabla hujaanza hayo malumbano nakushauri urejee hizo tofauti za Shia na Sunni na majibu yao ili uone kuwa hiyo ni bahari yenye kina kirefu.JITAFAKARI

    • @zuberkasim7150
      @zuberkasim7150 Год назад

      Salma wewe umeona amekosea wapi tufahamishe.

  • @LazaroMollel-lc5ls
    @LazaroMollel-lc5ls Год назад

    Maipopo achaushamba Kuna waarabu wakristo uarabu sio dini ni kabila kama walivyo makabila mengine akitajwa mwaarabu ndio utume acha wewe

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 Год назад

    UISLAM HAKUANDAA VITABU JUU YA WAKRISTO LKN QURAN NA HADITH WAKRISTO WAMETAJWA TENA KWA UBAYA LKN BIBLIA NZIMA HAKUNA UISLAM WALA MUISLAM,,,MIMI NI MKRISTO KWA MUJIBU WA BIBLIA POMBE NI HARAMU KAMA MUISLAM AU MKRISTO YUKO BAA UYO NI YEYE PUNGUZA CHUKI NA WAKRISTO

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Jaman hapo ametaka muerewe tu, sasa shida nn hapo kaongea nn cha uongo?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Год назад

      @@RamadanPaul sheikh anawaambia WAISLAM kua shuka za Bugando hospital zinamisalaba

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju Год назад

    Uarabu sio uislamu wewe acha ujinga wewe

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju Год назад

    Acha upuuzi mwaipopo kupotosha maana arabuni ukienda mwisho wa biblia kule kuna maneno magumu yanametafsiriwa maana arabuni utajua maana ya arabuni halafu wewe mbona mjinga sana ikiwa ni ufunuo kutoka arabuni kwani mitume waliofuata baada ya isaya walikua kabila gani? Acha ujinga wewe uislamu sio uarabu acha umbumbumbu

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Sasa kama unajua mitume baadhi walikuwa waarabu, mbona wamkataa mohamad. Halaf nchi zote walizopita mitume zote zinawaislam wengi,. Wewe unang'ang'ana na waitaly rome. Shehe yeye anajaribu kuwaerewesha muerewe..

  • @AbdumalckRamadhani
    @AbdumalckRamadhani Год назад

    Wewe nimjinga pumbavu waislam wako mpaka ufikie wislama wa mashia nilini??? Iran,iraq, Lebanon kwahio ziyaarah au kutembelea kaburi la masahaba hairuhusiwi?

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Daah binadam ni kaz kwer. Hapo kakosea nini sasa JAMAN?😪 Daah .. wewe unashida gani

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Год назад

    Wewe waarabu wapo kabla Muhammad na Quruan yake ndomaana biblia imewataja waarabu acha unginga waarabu awatokani na Muhammad torati injili imewataja waarabu tokea hapo soma matendo ya mitume 2;11 nyie waislamu mnafikili waarabu ni kipindi Cha Muhammad mmekwama biblia Ina istoria ya watu wote hata wazungu waafrica wamisiri walibya waithiopia kwaiyo waislamu msijidanganye kuwa waarabu wote ni waislamu uho ni ujinga

    • @SuleimanShaanShaaban-hz1mg
      @SuleimanShaanShaaban-hz1mg Год назад +1

      MWAIPOPO BAKI KWENYE KAZI YAKO YA KUUZA DAWA ZA KIENYEJI.
      MJADALA NA MASHIA SI BAHARI USIYOIWEZA KAMWE.
      UMESHINDWA MJADALA NA WAKRISTO UTAWEZA NA MASHIA WEWE.
      KAA PEMBENI WEWE UMESILIMU BADO HUJAAMINI😎😎