MUHUBIRI WA KIKRISTO AWAPANIA WAISLAMU SIKU YA MUHADHARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 44

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 6 дней назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh Mwaipopo

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 6 дней назад

    mashallah sheikh Mwayipopo

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 5 дней назад

    Asalam alaikum sheikh mwaipopo tunawatilia shaka hao masalafi

  • @hamisikeneth2332
    @hamisikeneth2332 6 дней назад

    Mdahalo ni mzuri unaelimisha kwa pande zote mbili ila ikitaka kujua kitabu cha mungu anzeni kwenye shina la uandishi na ahadi za mungu na aliahidi kwa namma gani na unabii au utume ulimfikiaje ukijua hapo ndiyo utapata mengineo kuhusu ni kipi kitabu cha mungu

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 6 дней назад +1

      Sawa, Ila usiwaze kuhusu bibilia kiroho hakuna kitabu kinachozidi bibilia.

  • @schniderlivin
    @schniderlivin 6 дней назад

    Daniel mwakemwa...huu mwaka uishee tu 😂 😂

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 5 дней назад

    Asalam alaikum mwakemwa hata kutamka inakupa shida unajifanya unajuwa na kumbe hujui na hujui kama hujui

  • @Naw89
    @Naw89 6 дней назад

    Astaghfirullah yani huyu sijui kasomea ujinini hicho kiarabu😂
    Mana kiarabu hakipo hivyo kabisa

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 6 дней назад +1

    Kran nimeisoma nimekua mwisilam 20 miaka hata kuisikia tu inanipa kelo, bibilia ndio pekee kitabu sio tu Cha MUNGU nimaneno ya uzima, hatakipofu haoni kitabu gani Cha MUNGU mpaka utumie ushilikina Kama ulivo mwaipopo.

    • @SalumMusafiri
      @SalumMusafiri 5 дней назад

      Ama hiyo bibilia yako ndio imesababisha na mimi na kimbiya ukristo kwa kuyipinga hamna lolote kwa bibiliya

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 5 дней назад

      Tuache na Uislam wetu tunajivunia nao mana ni neema kubwa sana

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 дней назад

      Waongopeee Wajinga Wenzio
      Endeleeni Kubski ktk Imaan ya Kuhalalisha Kula Vibudu/Nyamafu, Kunywa Pombe, Kuabudu Viumbe, Kufanya Ushoga nk yasompendeza MwenyeziMungu 🙌
      📌 Unadhani Uislamu unsruhusu Machafu yenu ?! 🙌
      📌Peaneni Barka tu 🙌

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 5 дней назад

    Hana lolote huyo mwakema hicho charabu anaongeya hajuwi hata kutambuka vizuri

  • @IzatiAkida
    @IzatiAkida 6 дней назад

    Kasome kiarabu mwanzo fala

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 6 дней назад

    Asa hata wewe mwenyewe ujiulize ulichofunshwa kuwa Qurani ilishushwa na sio kuandikwa, je bado unaamini hilo? Mbona Story za Musa na Pharao ziko kwenye Biblia na ndizo ziko kwenye Quran ila nusunusu na bado unakubali ilishushwa? Ina maana na Biblia nayo ilishushwa Basi kabla ya Qurani maana story ni zile zile.

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 6 дней назад

      Waislamu hawajui bibilia twajua injil . Leta injil hapa tusome. Bibilia ni mchafuko wa mannish soma hii. Yeremia 8:8 .
      Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
      Qur an 3:78 “ Kuna watu wanaopinda ndimi zao kwa kusoma vitabu ili tufikiri
      kuwa maneno yao hayo ni ya kitabu cha Mwenyezi Mungu hali
      hayakutoka kwa Mwenyezi Mungu nao wanamsingizia
      Mwenyezi Mungu uongo mkubwa……”

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 6 дней назад

      WE acha upotevu wewee !!sema wewe ndo ujipange uvae mbili zikushike

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 6 дней назад

      Sema wewe paster jipange Sawa sawa sio mwaipopo ajipange.wewe ndo ujipange..yeye alishajipanga sikunyingi toka anazaliwa.imebakiwewe.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 6 дней назад

      Paster nakuoneya imani sana ,unataka kujitwisha mzigo wa waislam?kwa taarifa yangu,tafuta kutunga kinene njo kitawaeneya. Mana sio wakutanilisha.wanatisha hawo.sio watoto .njoo tupambane hamuuwezi.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 6 дней назад

      N'a ujibu maswali yote watakayokuhoji uoneshe ushahidi kwenye maandiko hapana ya uyo uongo wenu mnatumiyaga kanisani