POLISI KUZUWIA MUHADHARA WA WAISLAMU NA WAKRISTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 93

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 3 часа назад +3

    Kushindana ukristo na uisilam niujinga, giza uisilam, njia ya kweli ni Yesu pekeee.

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 3 часа назад +1

    inshaallah allah atajalia
    Sikuitafika mkutano uafanyika

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 15 часов назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo

  • @GabrielMwambungu-uw6bk
    @GabrielMwambungu-uw6bk 8 часов назад +3

    Tubishane mpaka tutoleane mapovu, ukweli utabaki ukweli tu. Yesu ni njia kweli na uzima, mtu hawezi kwenda mbingini bila kupitia kwake. Yesu pia ni neno la Mungu aliyefanyika mwili soma Yohana 1:1 -14.
    Yesu Yupo hai mpaka leo na aliagiza kwa jinq lake tutaponya wafonjwa na kutoa mapepo(Majini ambao nimeshangaa kusikia eti nayo yana dini)

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 7 часов назад

      Nilichogundua wakristo elimu yao ya dini ni finyu mbele ya Waiislam

  • @onesphoryndomba6115
    @onesphoryndomba6115 4 часа назад +1

    Ww huwezi kwenda peponi hata kwa dawa

  • @kizomontana5918
    @kizomontana5918 3 часа назад

    Alhad Mussa
    Kadogoo😂😂😂😂😂😂

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 3 часа назад

    Kusema nikipaji nakuonge nikipaji kakujalia ALLAH

  • @allymussa4646
    @allymussa4646 3 часа назад

    Watu hawapendi ukweli lkn mungu yupo pamoja nasi uislam ndio dini ya haki na

  • @silasmponeja
    @silasmponeja 17 минут назад

    Wewe huaminiwi na serikali Dr sully mbona hawekewi pingamizi?

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 часов назад

    Shehe mwampopo. Allah akulipe heri akuepushe na maadui

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u Час назад

    Sis tunajua timotheo wewe tu kwa kua mjinga

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Час назад

    Pepo ya shetani ataenda lakini siyo ya mungu

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 15 часов назад

    Nimekufahamu shekhe unaongea kwa uchungu sana, fanya munakasha tuko pamoja mungu atakulipa kheri shekhe mmwaipopo,niko nchini yemeni nakupata vizur nakufatiliaa sana mwalimu achana na hao wanafiki

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 15 часов назад +1

    Uislam ni dini ya Allah na atakae kua adui wa Allah,malaaika,na mitume hakika ya Allah no adui wa makafiri

  • @allymussa4646
    @allymussa4646 3 часа назад

    Watu wamependa Dunia tatizo ndio Hilo ndio maana Dunia matatizo hayaishi

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 7 часов назад

    Mwaipopo apewe ulinzi popote alipo nampenda kwa ajili ya ALLAH ❤ sema nn ukweli unauma 😂

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Час назад

    Mo hammered siyo mtume wa mwisho huyo ni kama watu wengine tu

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l 8 часов назад

    Yeye kaisha apa ndugu zangu hili swala la kua ame aa Kwa uongo wewe umo ndani ya moyo wake jamani hebu ondoeni husuda sio nzuri

  • @WakalaWabukala-f1l
    @WakalaWabukala-f1l 6 часов назад

    Leondo nimeamini wewe mchumia tumbo umemsahau mazinge mkuuwenu wewe liongo sana

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Час назад

    Yaani mtu aZini awe na wanawake 8 harafu awe mtume hivi we una elimu gani hyo pole sana

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l 8 часов назад

    Kweli hauja sema majina ili Kwa maelezo Yako tu huyo Wacha dema ni kadogoo Tena kama kweli kafanya hivyo ata kuwa kakosea bwna mdogoo

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 2 часа назад

    Bakwata

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 8 часов назад

    Wewe ni mwongo!, umemkimbia Ndacha

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 5 часов назад

    Askofu Alhadi huyoooo

  • @onesphoryndomba6115
    @onesphoryndomba6115 4 часа назад

    Wote wanafki bwana kama ww ndio mnafki mkubwa taja kama sio mnafki

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 5 часов назад

    Muhadha ya kushindana dini nyingine na nyingine ni ukafiri mkubwa maranyingi hugombanisha watu wa dinihii na dini hii

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 15 часов назад

    Ally kadogoo cio😂😂😂😂😂😂

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 5 часов назад

      Mshkaji mropokaji sana, wenye akili tunakaa kimya

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Час назад

    Wewe ni muongo sana ibilisi mkubwa wewe nauwatambue wewe kama nani

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Час назад

    Yaani wewe kuhusu lq Huna unacho kijua tena wewe ni pepo mbaya %100 Huna lolote ng'ombe wewe eti naujua ukristo unafikiri ukristo mapenz umekufa kwa jina la yesu

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 2 часа назад

    Unamsifia yesu alafufu unamtaja yohana kasema yeye yesu mwenyewe alikua hajui kuandika mbona kila andiko hakuna linalosema yesu 2 mstali wa 6 alikua hajui kuandika? Hapo ndio utpata jibu kwamba bibilia haijulikani kwa yesu

  • @Hancymtembo
    @Hancymtembo 6 часов назад

    Wewe pambana na hali yako unataja wakristo wa nini, mikutano ya wakristo anahubiriwa Yesu tu hakuna mijadala ya dini mbili, nyinyi amfanyi mahubiri mnafanya mijadara, mahubiri ubilini dini yenu tu bila kutaja wakristo

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 12 часов назад +1

    Katika uongo mkubwa ulishawahi kuusema ni huu eti wewe upelekwipelekwi eti wewe unapenda haki wewe chawa mkubwa

    • @pabloLOOKMAN-m4j
      @pabloLOOKMAN-m4j 3 часа назад

      Walitukunywa mnabiii sembuse masheikh nioneshe kafiri gani hajatoa matusi kweny page za waisilam ???

  • @celisurio3206
    @celisurio3206 16 часов назад +1

    Fukumun bukumun

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 8 часов назад

    Ungejua biblia usingeslimu

  • @samjosh12
    @samjosh12 8 часов назад

    Utaki kutaja majina? Mbona unawataja sasa. Je, tushike lipi sasa. By the way source ya mkutano huu unatokana na mtumishi Timotheo (Ex imamu wa Kenya) baada ya kukuambia kwamba wewe Sheikh Mwaipopo si msomi.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 10 часов назад

    Mwaipopo unaapa viapo vya UONGO, kusema ukweli debet ya sasa uliiandaa kwa sababu ulimwona Mwalimu Ismael akisoma soma vitabu vya khadith vya Kiislamu kuwa Qur'an ina makosa ukaenda kwa Kishik akakwambia atakupa wanafunzi wake waje wapambane naye punguzeni UONGO

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 6 часов назад

    mwaipopo tunakuelewa sana ulipo tupo na wewe kaka

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 16 часов назад +4

    Uislam n din ya majin mtume muhamadi hn sifa za kuw mtume w mungu alie hai mj alizin na mtot yes akuzin,alieoa mabint weng kristo akuoa,aliuwa wat yes akuuwa,alifundish chuk na visas kristo alifundish upendo,alilogwa yesu akuwah kuumwa chcht,ajafufuk yes alifufuk ypo hai,ajui htma yk kristo anajia htm y viumb vyte amken wa isram

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 16 часов назад +1

      Muhammad saw ni mtume wa Allah nyny makafiri mnaemkataaa ni bure tuu mnataka Kawa hamtaki kashakua maluuunina nyny

    • @innocentndikumana8928
      @innocentndikumana8928 15 часов назад

      Makafiri amuna irimo eti wislam ni dini yamajini uko mjinga sana mungu ajuwi dini inayitwa ukristo iyo nijina muriyitwa nawapagani uko atokia

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 15 часов назад

      Allah akufishe hvy hvyo ukiwa kafir alaf punde tu utajua ukwel wa utume wa muhamad

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 часов назад

      Sasa uyo yesu wako amie fufuka yuko j'ai ndio anakutumaga uje ukapige ngoma kanisani nakumchafuwa mtume Muhammad kiasi chute hicho.ama kweli wakristu hamna adabu. Nakumchafuwa uislam.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 часов назад

      Sasa nasema hivi koma Mara tatu shika atab zako kafiri pumbavu weee. Muhammad sio Sawa Yako.juwana n'a ngoma zako uko kanisani.