KAZI IMEAMZA WAISLAMU NA WAKRISTO USO KWA USO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 8

  • @feizalmas
    @feizalmas День назад

    Mashaallah sheikh wangu nitachanga nia na madhumuni watu wapate elimu ya mungu.

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 День назад

    Kwann msijaribu -ukumbi wa dyccc ni mkubwa -

  • @BinHakim
    @BinHakim День назад

    Matapeli ndani ya dini

  • @schniderlivin
    @schniderlivin День назад

    Mwaipopo mtu mwema sana ila uislam Mimi hapana ila kuchangia ntachangia 🙂

    • @feizalmas
      @feizalmas День назад

      Dah mungu akulipe Kila jema sikutegemea maneno haya Kwa mkiristo. Mungu akuongoze uje kwenye dini ya haki

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 22 часа назад

      @@feizalmasDini gani ya haki?! Hii ya wafuga majini

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 12 часов назад

    Leo unejistukia swala la mafuta ila bado umetumia platform yako kubrand biashara yako ya mafuta kwa kutumia akili kidogo😂

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 12 часов назад

    Unajue nyie viongoz wa dini muda mwngine mnafeli kwani wew Mungu unaye muamini unataka ufanane na imani ya mtu mwingine? Mungu wako wew unataka awe Mungu wa kila kiumbe?! Shikiria imani yako na atakaye hitaji kuja kwako atakuja kadri yeye atakayeona inafaa.