mungu atawalipa mashekhe wangu, wahindi wengi ndio ujanja wao kujipendekeza waonekane wanaisadia jamii kumbe hakuna kitu , halafu unakuta mwislamu anatetea mtu wa kuja hatari sana naaamini raisi ameliona hili inshaalah
Subhanaallah Innalillah Waynnaillah Raggium polen sana ndgu zangu ktk Iman ukwl nimeumia sana Ila Allah awafanyie wepec na Awajalie mwisho mwema ishaallah
@@bekwashabani5260 Tatizo pesa ndugu. Mwenye hakki ananyanganywa anapewa mwenye pesa. Ata kama ushaidi uko wazi. Makama ya kweli ni ya الله 2. Cku ya mwisho ni ngumu sana, ila watu unaichukulia poa.
@@laylayl5166 Yani watu hawamuogopi الله kabisa, wakionyeshwa 2 pesa wanakuaga na ndoto za kuishi milele. Hawajui moto wa الله cwakawaida, unaongea hule.
😭😭😭😭😭😭Allah hasimami na dhwalim in shaa Allah ipo siku mungu atadhihirisha ubaya wao utageuka moto na utawachoma wenyewe ipo siku mungu halali Wala hasinzii
WAISLAMU SHUULIKENI MKO WENGI TANZANIA JAMENI TETEENI UISLAMU HIKO SIKU MTARUDI KWA ALLAH SUBRA SUBRA ALIEWAAMBIA SUBRA UJA KWA KUJIKALIA NANI .HATA ALLAH MWENYEWE APENDI DHULUMA AMKENI WAISLAMU WACHENI HUOGA MTAULIWA NA PEPO PIA MUIKOSE TAFAKARI NI KWA HILI.AMA KWELI KENYAN KATIKA UISLAMU ALLAHAMDHULLILAH RABILAALAMIN HATI WATU WALETE VURUGU MSIKITINI WEEEEEE HATA WAWE NI POLISI AHAAAAA WALETENI MOMBASA HAO TUWAEKE SAWA NKT.WAISLAM WACHENI HUOGA TOKENI HATA KAMA NIKUADAMANA RAISI HII STORY UMFIKIE WACHENI KUDHALILISHA DINI YETU MWAUTHI SANA NYIE
Serikali inathamini.wahindi sana na kuwanyanyasa watanzania, Hilo ndio tatizo kubwa la Serikali yeti, Hata like Saadan Costo Yuko Muhjndi anawanyanyasa raia wa Tanzania sana na Serikali imo kimyaa shauri yapesa.alizozipata hapohapo, Saadani kwa kubinafsishiwa campany, ya sea salt Saadan ,.kwa hiyo.poleni,
Magufuli mungu akulipe kinachostahiki huko ulipo....kesi kama hizi kwako zingepata muafaka mapema lakini Selekali yetu ya sàsa haya ngoja tuone maajabu ya mungu.... Haki za watu 1000 kaziwia muhindi mmoja Duh mungu simamisha dunia nishuke...
Jaman waislam tuko tayari kufunga siku 3 mlulizo tumulilie Allah amshikishe awashikishe adabu hao wote wanaoshiriki kuwadhulumu ndugu zetu inauma Jaman 😰😥😢😭😭😭😭
Mngeuwawa wote ingekuwa vizuri zaidi.Kupata shahada katika Njia ya Allah ni kheri zaidi.sasa hapo mnaonesha hamtaki kufa kwajili ya Allah basi endeleeni kunywa supu Mjini
Yani waswahili sijui tunanini sisi tbaadhi ya watanzania tuko nnje ya TANZANIA ndio tunawajuwa hawa ngozi nyeupr kwanza hawatupendi wanatunyanyapaa pia wakikukamata wanakupiga ikibidi kukuuwa wanakuuwa wanatutukana na nivigumu kupata ardhi ktk nchi zao na ulinzi mkali wa raia wao dhidi ya nchi yao lkn tanzania ni nchi ya ovyo watu wanakaa tuu hakuna ulinzi tunawababaikia hao ni watu wakuwapiga km mmbwa mwizi nchi ya hovyo.yani raia hawana uhuru wageni wanatamba yani ujinga ujinga siku watu watavamia maeneo muhimu ndio mtajuwa hamjui police vibaraka .
Hiyo sio dini, huwezi jua hao wanaojiliza hapo ni ya kweli au laa,, msikurupuke tuu, na wewe unapoingiza ngozi nyeupe na nyekundu kumbuka yote muumbaji wake ni allaaah , na huko usingeenda tu ungebaki kwenu upambane, msiwe na akili za kushikiwa, hawa majamaa ninawajua vizuri na huyo mwaipopo kibaka jambazi nambari moja juzi si kakamatwa kenya huyo
Hayo machoxi yaliotoka kakaangu hayo yatawagarim wote waliohudka halafu hichokituo. Cha buguruni nizamaani sana kinalalamikiwa wakati wa makonda kidogo kikawa afadhali alipotokatu makonda kukarudia ukatiliwake mungu tusaidie
Yaan Bado najaribu kuwaza hao watu walikua wangapi... Na huyu muhindi anafanya nini nchini kwetu na Kwa nini hao mapolisi hawatendi haki.... Yaan wafanya fujo mashekhe... Innallillah wahnalllilah raaajun 😭😭Allah nakuomba shughulikia hili Hawa ni wadhurumiwa yaallah nakuomba simama nao... Naamini huyo muhindi ataondoka bila kutaka🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Albadiru bayana inasachi mpaka alotoa ushauri yaani huyo mkuu wa kituo hata kama ana Kinga zq waganga albadiru inapasua anabaki mwepesi na inapenya mbwa huyo
Sasa sikama ukoloni 2? Wenye nchi tunapigwa na wakuja, weepesa weee, 😭😭😭😭😭😭 hivi tunaifikiriaga kesho waja? Jamani tungekua tunaifikiria kesho nakuiogopa adhabu ya الله tusinge ya fanya haya.
@@undisputedali3452we mmbwa nyamaza punguza hashuo litakupata jambo usije nikakusimamia visimamo viwili tu ukajikuta inanuka kama mavi ukakimbiwa mpaka na wanao
Waislamu ni imani ndio hatuna wallahi tena inakuwa wwe ndio kiongozi waitwa mufti lakn kifuani hauna msimamo wa dini ila tujue mungu yuwatuona kwa unafki wetu...ukija kwa raisi n muislamu haya yuwayashuudia lakn hata nafsi yake haishtuki wala hataki kujua ila marehemu magufuli c muislamu lakn angelishuulikia hili poleni mashekh wetu mungu yuko pamoja nanyi mjue kwamba manabii pia walipata misukosuko kama ndugu zangu mungu yuko pamoja na wenye kusubiri
Ukweli ni kuwa baadhi ya ndugu zetu Wahindi wanatubagua sana.Sio wote lkn hata wasiotubagua hawawakemei ndugu zao ipasavyo.Mpende msipende huu ndio ukweli.
Jamani ee, ifahamike kwamba Misikiti ndio Ofisi za watu wa Daawa na Tablighi. Na hii ndio Mila na Desturi ya Bwana Mtume Muhammadi ( rehma na amani zimfikie)na kama hutaki tueleze Ofisi ya Mtume ilikua wapi?.
allah awanusuru waislam na hatofanikiwa madhwalim laanatullah alaihim
Chozi lako sheikh ..😥 Allah! Ypo pmj nanyi🤲🤲
Poleni sana wahindi wana roho mbaya sana popote walipo,pia usiombe hata ufanye kazi sehemu moja na muhindi atakufitini tu utatoka
Umesema kweli ndugu yangu
Poleni sana ndugu zetu allah
Atawafanyia wepesi
mungu atawalipa mashekhe wangu, wahindi wengi ndio ujanja wao kujipendekeza waonekane wanaisadia jamii kumbe hakuna kitu , halafu unakuta mwislamu anatetea mtu wa kuja hatari sana naaamini raisi ameliona hili inshaalah
Subhanaallah Innalillah Waynnaillah Raggium polen sana ndgu zangu ktk Iman ukwl nimeumia sana Ila Allah awafanyie wepec na Awajalie mwisho mwema ishaallah
Allah awalaan wote waliowadhulu na ambao wanaendelea kuwadhulum ndugu zetu uzuni kweli 😭😭😭
Mola atajibu tu hamna shaka lakini waislamu mmeona waislamu wanavyonyanyaswa kwenye ardhi yao
Hamna kitu humo tonge tu
Poleni Sana Mungu Atawasimamiya Kila Wakati Insha Allah
Hongo inatumaliza cc Waislamu.Tuzidi kumuomba AllaAh Atuondolee mtu huyu,AllaAh ndio Mtendaji.
Poleni sana masheikhe wetu Allah atawalinda daima inshaAllah
Mungu atawalaani hao na huyo mkuu wa kituo mungu mjaalie afukuzwe kazi yaa raabi huyu mkuu wa kituo mshushe chini kuliko walio chini
Shekhe usirie be strong, c mnamuona Shekhe Rogo Shekhe makaburi Walivyo strong, haki itapatikana tu,
Inshallah
M.mungu atazidi kuwalinda nakuulinda uislam
Mama Samia tafadhali wanusuru ndugu zetu zidi ya huu unyanyasaji Mungu atakulipa mama
Poleni
Mashe.mungu.yup.
Allah atawalani hao ni makati wauji inshaAllah Allah atalipia hapahapa duniani kabla ya Akhera
Poleni sana ndugu zetu.allah ndie atawaukumu nawapata nikiwa uwarabuni mungu awalindi kila wakati
Aludishe kwao
Subhana لله , amakweli tz imekua shina la dhulma.
sisi waislamu hatuna nguvu amani iliopo zidini kuiimarisha
@@bekwashabani5260 Tatizo pesa ndugu. Mwenye hakki ananyanganywa anapewa mwenye pesa. Ata kama ushaidi uko wazi. Makama ya kweli ni ya الله 2. Cku ya mwisho ni ngumu sana, ila watu unaichukulia poa.
😭😭😭😭yaani weachatu lakini kwamungu Hakuna baunsa
@@laylayl5166 Yani watu hawamuogopi الله kabisa, wakionyeshwa 2 pesa wanakuaga na ndoto za kuishi milele. Hawajui moto wa الله cwakawaida, unaongea hule.
In shaallah mwenyezi-mungu atawalipa
Ameen🙏
Allahumma AMIYN 🙏 yah
Subhanallah inaumiza Kwakweli tumuombe Allah kwa umoja Allah Amuondoe duniani
😭😭😭😭😭😭Allah hasimami na dhwalim in shaa Allah ipo siku mungu atadhihirisha ubaya wao utageuka moto na utawachoma wenyewe ipo siku mungu halali Wala hasinzii
Mwenyenzi mungu awafanyie wepis na inshalah Allah ataleta nusra yake tuuu dah subhanalah
Serikali ya kipuuz sana usiyokuA na utu...poleni mashekh inshaallah haiwezi kupotea haki mbele ya Allah tabaaraka wataala
Kwa kweli inaskitisha sana. Mungu awape laana iwashukie
Subuanallah mungu atalipa
Mungu awalipe haki nzuri kama ndoanacho kifanya namungu atalipa😢
Poleni mashekh mnyonge hana haki haki yake ni ngumi na mateke Allah atasimama na haki poleni sana huzuni sana
Maustadhi wangu poleni tenapoleni sana Allah ni hakimu wayotemola ni hakimu wayote
Allah atuzidishie subra
WAISLAMU SHUULIKENI MKO WENGI TANZANIA JAMENI TETEENI UISLAMU HIKO SIKU MTARUDI KWA ALLAH SUBRA SUBRA ALIEWAAMBIA SUBRA UJA KWA KUJIKALIA NANI .HATA ALLAH MWENYEWE APENDI DHULUMA AMKENI WAISLAMU WACHENI HUOGA MTAULIWA NA PEPO PIA MUIKOSE TAFAKARI NI KWA HILI.AMA KWELI KENYAN KATIKA UISLAMU ALLAHAMDHULLILAH RABILAALAMIN HATI WATU WALETE VURUGU MSIKITINI WEEEEEE HATA WAWE NI POLISI AHAAAAA WALETENI MOMBASA HAO TUWAEKE SAWA NKT.WAISLAM WACHENI HUOGA TOKENI HATA KAMA NIKUADAMANA RAISI HII STORY UMFIKIE WACHENI KUDHALILISHA DINI YETU MWAUTHI SANA NYIE
SUBRA GANI KAMA AMSHUULIKI
@@zenajimmy6603 Je unamjua wanaomsema ni nani? Mbona wasisikilizwe kama hao ni wa kweli tafakari
Serikali inathamini.wahindi sana na kuwanyanyasa watanzania,
Hilo ndio tatizo kubwa la Serikali yeti,
Hata like Saadan Costo Yuko Muhjndi anawanyanyasa raia wa Tanzania sana na Serikali imo kimyaa shauri yapesa.alizozipata hapohapo, Saadani kwa kubinafsishiwa campany, ya sea salt Saadan ,.kwa hiyo.poleni,
@@aly_asgar Serikali haiwezi kuwasaidia wanyonge inalinda matajiri, wewe sema.ila so kwa Tanzania hii
Magufuli mungu akulipe kinachostahiki huko ulipo....kesi kama hizi kwako zingepata muafaka mapema lakini Selekali yetu ya sàsa haya ngoja tuone maajabu ya mungu.... Haki za watu 1000 kaziwia muhindi mmoja Duh mungu simamisha dunia nishuke...
SubhanAllah 😭😭😭😭😭 Allah atawalipia
Akuna mijamaha inajiosha tu inaroohoooombaya muhindi changanya Hao tuwajuwe wanajuwana sana
Dunia ni jela ya waislam, Dunia ni pepo kwa makafiri...
Jaman waislam tuko tayari kufunga siku 3 mlulizo tumulilie Allah amshikishe awashikishe adabu hao wote wanaoshiriki kuwadhulumu ndugu zetu inauma Jaman 😰😥😢😭😭😭😭
Wallahi tena
Poleni Sana Allah atakulipeni malipo ambayo hamuto sahau fadhila zake .
Hao mnao wategemea ndo maadui wakubwa wa Uislamu..Mtegemeen Allah atawanusuru.
Mngeuwawa wote ingekuwa vizuri zaidi.Kupata shahada katika Njia ya Allah ni kheri zaidi.sasa hapo mnaonesha hamtaki kufa kwajili ya Allah basi endeleeni kunywa supu Mjini
We ni adui wa waisilam mungu mwenyew kasema pigana na anaye kupiga sio ufe kwa ajili yangu apan
Mama samia...Rais wetu.. wasaidia waislaam wezetu😥😥😥
Jamani japo angekuepo magu angewenza kusikika tuombe mungu atajaria kupata mwenyemoyo wa kutetea watanzania
Poleni ndq zetu
Wahongana wenyewe kwa wenywe subhanallah
Hao ni wakristo na chuki zao ndo wanafanya hivyo acha kujitoa akili
Dah polen ndugu zangu salekali inachangia ila inshaa allah mungu atawazibu tyu
Pengine Ni Sirikali Yenu Inakula Na Waalifu Ndio Maana Ila Simameni Kwa Mungu Ndie Akimu Wa Yote Insha Allah 😢😢😢😢
Yani waswahili sijui tunanini sisi tbaadhi ya watanzania tuko nnje ya TANZANIA ndio tunawajuwa hawa ngozi nyeupr kwanza hawatupendi wanatunyanyapaa pia wakikukamata wanakupiga ikibidi kukuuwa wanakuuwa wanatutukana na nivigumu kupata ardhi ktk nchi zao na ulinzi mkali wa raia wao dhidi ya nchi yao lkn tanzania ni nchi ya ovyo watu wanakaa tuu hakuna ulinzi tunawababaikia hao ni watu wakuwapiga km mmbwa mwizi nchi ya hovyo.yani raia hawana uhuru wageni wanatamba yani ujinga ujinga siku watu watavamia maeneo muhimu ndio mtajuwa hamjui police vibaraka .
Inauma sana Sanaa unachozungumza ni ukwel upate tu wachache wao Ndio Wana ubinaadam
Laana tollahi. Pollc. Walokupigeni
Hiyo sio dini, huwezi jua hao wanaojiliza hapo ni ya kweli au laa,, msikurupuke tuu, na wewe unapoingiza ngozi nyeupe na nyekundu kumbuka yote muumbaji wake ni allaaah , na huko usingeenda tu ungebaki kwenu upambane, msiwe na akili za kushikiwa, hawa majamaa ninawajua vizuri na huyo mwaipopo kibaka jambazi nambari moja juzi si kakamatwa kenya huyo
Fanya istighfaar dada, unapata dhambi kwa hayo maneno machafu,
Alaa amuwadhibu na kila anae shangiya adhibike hapa duniyani apate fedheha kubwa yote wanao tumiya lushwa hiyo mungu nimkubwaa alaa amuwadhibu kila.anaeshangiya subhana dhaa malipo nihapa duniyani adha washukishe majibu hapahapa
Polen sana ndugu zetu
Poleni sana mashekhe wangu
Allah atuhurumie,.hilijambo Ni zito Sana.
Naumia sana kunyayasika na wapita njia
Innaalillahi wainnaa ilyhi raajiun
UJUMBE....UMEFIKA....na nalifanyia kazi mwambieni...yeye si mbabe but I am chronic Chemicals within Africa
Thank you very much, mwenyezi Mungu akupe wepesi,haki ipatikane,na huyo jasus auhukumiwe popote alipo
Pore sana duguzangu waisamu Allah
Awanusuru uyo muhindi bitamuishia ici nidunia
Subhanallah pole sana
Allah! Waqibaru ..Allah atawalipa 😥😥
Yani ukimuana mtu mkubwa analia jua yamefika mwisho lakini Allah yupo ajue ipo siku itafika 2
😭😭😭😭😭mungu awasimamiye nyie wanyonge ndio maana hamsikilizwi lakini mungu yupoo
Hili jambo kuna kitu kikubwa sana nimejifunza {ila allah si mwenye kughafilika}
Serikali zetu zinachangia dhulma hizi kwa sababu hawa madhalimu wana pesa,wanahongana,ni aibu sana.
Pole sana shekhe musa
Hayo machoxi yaliotoka kakaangu hayo yatawagarim wote waliohudka halafu hichokituo. Cha buguruni nizamaani sana kinalalamikiwa wakati wa makonda kidogo kikawa afadhali alipotokatu makonda kukarudia ukatiliwake mungu tusaidie
Subhanalla Allah awahifadhi
Inasikitisha Sana Ewe Allaah Tunaomba Huruma yako Sisi Waja Wako niyatima Kwenye Dini yetu Wallaah inaumiza sana Alhamdullilah
Kwa maelezo yako tu sheikh inaelekea hiyo markazi kuna mgogoro wa kiuongozi, na shida kubwa ya sisi viongozi misikiti au markazi njaa ndio inatuponza
Uislaam ahuna uzawa, hakika misikiti yote ni nyumba za mwenyezi mungu hacha uzawa
Yaan Bado najaribu kuwaza hao watu walikua wangapi...
Na huyu muhindi anafanya nini nchini kwetu na Kwa nini hao mapolisi hawatendi haki....
Yaan wafanya fujo mashekhe... Innallillah wahnalllilah raaajun 😭😭Allah nakuomba shughulikia hili Hawa ni wadhurumiwa yaallah nakuomba simama nao...
Naamini huyo muhindi ataondoka bila kutaka🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Ammiin
Allah anapowapenda watu fulani basi huwapa mtihani.
Mama samiya watazame hawandugu zetu masikini hawana wakuwa saidia
Allah atawalipa inauma sana
Hii ndio ile aliyoisema Mh. Rais wetu kesi za kubambikiziwa
mumelifikisha kwa shekh mkuu
Ustdhi nyinyi muachieni munguhuyo aliwavamia wataiyona adhabu ya mungu hiyo ni kafiri aliye jivika uislamudhumadhlumati yamulkiyama
Shida ni kwamba mashekh mumeacha njia ya mola wenu.
Hao wahindi wachomwe moto, maana kama serikali imeshindwa basi hukumu ipo kwa Mwenyezi Mungu, amani isizidi uwezo,
iyoalfu achinjwatu .wataenda kufungwa watu wawili ilauislam utabaki salama
Mtihani kwa kweli
Allah atawalipa mashekhe wetu yarrab mnapitia magumu
Masheikh tumewasikia na inasikitisha sana ila Allah ndo mlipaji
Bakwata majibu yapo kwa mungu mtaenda kujibu
Allah atawalipa na Allah yupamoja nanyi
Pole ndugu zangu tu ihimize serikari yetu ikomeshe vitendo viovu kwa taifa letu tumezoea kuishi kama familia ila siasa mbovu ndio zinanazo tuharibu
Yaani hawa wahindi kila sehemu wanatunyanyasa hapa kwetu tz na ukienda kwao ndo balaa Allah tusaidie
Nimekuelewa.sana.tatizo.tz.njaaa.sana
Wanatesa.wa.tz.wezaoo.kweli.sababu.ya.waindi.siwapendi.waindi.ila.mungu.anisame.tu
Police tendeni haki mungu anawaona
Mashehe wang mrudi kwa Allah kwa nia na machoz juu kwa kumlilia yy
Mmmm mtihani
Pole sana
SubhannaAllah , hiyo ni unevu, mapolisi wamelipwa😡. Dhulma kubwa, wasubiri adhabu siku ya kiyma
poleni ndugu zangu
Sana ukoroni yani wa kuja wana nguvu kushinda wenye nchi
Ndio ilivo tz eti mtu wakuja ndio wanampatia nguvu kuliko wananchi sio kama nchi nyingine
Masheikh wanyongeee, poleni nani Atawasikiliza? Muachieni Allah mana hapo mtaitwa magaid saana , Muachieni tu Muanzishe yenu
Isomwe aribadiri areusika imchukue isomwe kwa pamoja
Albadiru bayana inasachi mpaka alotoa ushauri yaani huyo mkuu wa kituo hata kama ana Kinga zq waganga albadiru inapasua anabaki mwepesi na inapenya mbwa huyo
Sasa sikama ukoloni 2? Wenye nchi tunapigwa na wakuja, weepesa weee, 😭😭😭😭😭😭 hivi tunaifikiriaga kesho waja? Jamani tungekua tunaifikiria kesho nakuiogopa adhabu ya الله tusinge ya fanya haya.
Acha maneno ya kashfa, ukoloni kitu gani? Hao watu ni waongo tu wanajuulikana
@@undisputedali3452 hittak لله.
TOKENI msimame na wenzenu wacheni uvivu
@@myunaniniahmad6463 Hata iittakillaah unashindwa kutamka halafu unataka kuhukumu watu, mche wewe allah
@@undisputedali3452we mmbwa nyamaza punguza hashuo litakupata jambo usije nikakusimamia visimamo viwili tu ukajikuta inanuka kama mavi ukakimbiwa mpaka na wanao
Tunapo elekea ni pabaya zaidi........ 🏴
DINA YA AMANI
Madhalimu matajiri wana haki Afrika kuliko Waafrika wasio na pesa..Afrika hatujapata uhuru bado,itachukua miaka mingi sana.
Kwahili bora tuandamane kutafuta haki
Waislamu ni imani ndio hatuna wallahi tena inakuwa wwe ndio kiongozi waitwa mufti lakn kifuani hauna msimamo wa dini ila tujue mungu yuwatuona kwa unafki wetu...ukija kwa raisi n muislamu haya yuwayashuudia lakn hata nafsi yake haishtuki wala hataki kujua ila marehemu magufuli c muislamu lakn angelishuulikia hili poleni mashekh wetu mungu yuko pamoja nanyi mjue kwamba manabii pia walipata misukosuko kama ndugu zangu mungu yuko pamoja na wenye kusubiri
Bakwata kwani munasimamia nini sioni kazi Zaidi ya maulidi tuuuu
Ukweli ni kuwa baadhi ya ndugu zetu Wahindi wanatubagua sana.Sio wote lkn hata wasiotubagua hawawakemei ndugu zao ipasavyo.Mpende msipende huu ndio ukweli.
Raisi wetu samia sururu tusaidie jamani ndugu zetu wanakufa
Acha ujinga wewe Rais ana shughuli nyingi za kufanya sio kufuatilia suala hilo dogo la mkuu wa kituo OCD.
Mh. Rais Mama yetu Mpendwa aunde tume huru kuchunguza hili suala , hii sio hali nzuri katika nchi yetu Pendwa
Kabisa tena aingilie kat
Fanyeni kisomo chakumlilia allah IPO saa namda allah atatoa adhabu
Wanapigwa bila sababu
Inauma sana jamani
Hakiya mungu machozi yanatoko uyu mtu ni wakumuuwatu
Haina haja ya kujitoa jesi tunamhitaji jina tu,
Jamani ee, ifahamike kwamba Misikiti ndio Ofisi za watu wa Daawa na Tablighi. Na hii ndio Mila na Desturi ya Bwana Mtume Muhammadi ( rehma na amani zimfikie)na kama hutaki tueleze Ofisi ya Mtume ilikua wapi?.
Subhana Allah jmn 2sikubali kuwapa nafasi hao wa2 selikali ichukue ha2a na waisilam 2simame usk kumlilia Allah kw damu zinazomwagika
Inanitia uchungu sana