TUHUMA NZITO! WAUMINI WADAI KUPIGWA MAPANGA na KUTISHIWA UHAI, KISA UONGOZI,WAMWAGA MACHOZI....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 184

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      @globaltv_online MWENYE CHANNEL HII UNGECHUNGUZA KWA KINA HILI JAMBO KABLA YA KULIRUSHA, HAWA WANAJILIZA UONGO HAPO, NI WASANII WAKUBWA, WANA KESI KIBAO MAHAKAMANI, AU TUSEME NA MAHAKAMA IMENUNULIWAA?? WANATAFUTA KICHAKA CHA KUTOKEA, NA WEWE WAUNGE TU

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      Cheki linki hiyo, huyu mtu anachapa kazi sana tz,

  • @hussainmasoudsubhannallah3786
    @hussainmasoudsubhannallah3786 Год назад +4

    Subhannallah kikubwa ni nini mpaka yote hayo yatokee

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

    • @mam_salum
      @mam_salum Год назад

      Poleni ndugu zetu

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      @@mam_salum unawapa pole hao wasanii hapo, waongo hao wanatafuta kitu tu

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 Год назад +1

    Wazee simamen Allah atawahifadh kazi namalengo mlonayo juu ya kazi ya daawa nikubwa, juu ummah simamen fanyen kazi ningumu ibirisi haipendi.

  • @jumamaalim601
    @jumamaalim601 5 месяцев назад

    Amir biansi poleni sana,Mimi ni mmoja kati ya kundi ya watu 6 kutoka Mombasa Kenya uliotaarisha zaidi ya miaka 15 iliyopita .twajivunia sisi ni matunda ya kazi zako Allah atawafungulia kama hawawahitaji Kenya na mola shahidi twawatambua na twawahitaji hata leo

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад +1

    Poleni mungu atawanusuru Alah anaona na anasikia na mlipaji ni Allah.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +5

    Subuhanallah subuhanallah. Poleni sana mashehe wetu Allah atawalipa yoote hayo. Hi nchi ngumu inazurma sana. Yani Wahindi wana haki kuliko sisi wa Tanzania daa Amani inapotea Tanzania

    • @thureyyasaid7863
      @thureyyasaid7863 Год назад +1

      Rais aingilie kati tena harakasana

    • @afrahoman2844
      @afrahoman2844 Год назад +2

      Wanagawa helaaa2

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Год назад +5

    SubhanaAllah Mungu wanusuru wenyekuunusuru umma 🤲🏼🤲🏼🤲🏼

  • @edithmushy1010
    @edithmushy1010 Год назад +1

    Polen wenzetu Mungu awatie nguvu na awakingie mkono wake. Hakuna mwenye haki atakaeachwa.

  • @mamaamour9669
    @mamaamour9669 Год назад +1

    Allh atuhifadhi tusomeen na kufungaa kwa pamojaaa kwa pamoja allh atawalipaa wala rushwaaa wotee

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      insha allah

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 месяца назад

      @@aishaalbalushaishabalush8291 amen

  • @noushadmponda1496
    @noushadmponda1496 Год назад

    😭😥😭 mzee wangu mayeye allah akulipe na akupe subra katika mambo yote uliyo pitia .
    Pia sisi wanafunzi wenu wa south Africa tumepata taarifa zenu pia tunawaombea dua allah awape nguvu na awasimamie katika kila zito liwe jepes pia tupo nyuma yenu😭😭

  • @alimau7939
    @alimau7939 Год назад +2

    Assalam alaikum global tunaomba muendelezo hii kadhia kwani kazi kuu ya vyombo vya Habari ni voice of voiceless

  • @fatumamsellem7622
    @fatumamsellem7622 Год назад

    Subhana Llah
    Poleni sana
    Mashekhe wakuu mlifatilie hili jaman mtihan mkubwa😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Год назад +5

    Kama kuwa watu wenye thamani sikuhizi ni wenye kulingania Dini ni laana tusipo waunga mkono na KUWALINDA MUNGU AWALAANI WOTE WANAO HUJUMU JITIHADA ZA KUUNUSURU UMMA AAMIN🤲🏼🤲🏼🤲🏼

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад +1

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 Год назад

    Subhana'Allah bwakwata itawasaidia kama kuna maslai wanayapata kama hakuna maslai sahauni kusaidia na bakwata

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 Год назад +1

    Duh😭😭😭😭😭😭😭 inauma Sana ndugu zetu wanaonewa na muhindi yeye nani katika nji hii

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Год назад +3

    Allah amzurum mtu inshallah watu tunadanganywa na pumzi

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 Год назад +2

    Duuuh nimeumia sana sana Mungu atawahukumu wote waliofanya hivyo

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

    poleni sana waislam wenzetu

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 Год назад +1

    Subhaanallah liadhim

  • @rahma6189
    @rahma6189 Год назад +2

    Watu wanazamini wageni kuliko raia wao Munguyupo ipo siku uongozi utaisha na yatawarudia

    • @TeamKRX
      @TeamKRX Год назад

      Aaaa Tanzania haya ni kama maji huko majela wako wengi kama hawa ila mwenyezi mungu yupo huyu raisi samia hafai bora ya yule magufuli jamani

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Год назад +2

    Mimi najiuliza hivi hizi habari Viongozi wakuu zinawafikia au wao wanaonaga za kuupiga mwingi tu
    Huwa nachukia nikiona baba kama huyu akiwa analiya 😭😭😭😭😭

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Год назад +1

      Weachatu Allah anaona dhurma zihi zinazoendelea Allah atalipa

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz Год назад +6

    Wahindi dini yao pesa, na waAfrika maisha yote tunatawaliwa kwasababu kihindi mjinga kaja kaekwa mpaka bakwata wakati kuna watanzania wenye uelewa wa hali ya juu, nendeni kwao kama hamtofukuzwa kama mbwa

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 Год назад +1

      Ndo maana bakwata tunaipinga kila kukicha, sijui iliundwa na nani.

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      ACHA KASHFA, LEO KAMA KUNA NCHI INASIMAMIA DINI YA UISLAMU BASI NI INDIA, TUNAPOANZA KUTIA URANGI NA UKABILA TUNATOKA KWENYE DINI, ACHA UBAGUZI, KAMA WALIKUNYIMA HELA ISIWE SABABU KAKA

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 Год назад +1

    Jozi la mnyonge hulipwa na Allah

  • @malimmalim5396
    @malimmalim5396 Год назад +3

    Kwani bado Tanzania iko utumwa hamna uhuru dohhh poleni sana ndugu zetu binadamu kama wengine ila hatupewi haki

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Год назад

    Mungu atawasimamia

  • @noushadmponda1496
    @noushadmponda1496 Год назад

    Pia nilikua miongoni mwa hao wanafunz wa darul irshaad hapo markaz na hayo yote unayo ya sema ni kwel😭😭😭😭

  • @mwananassor8602
    @mwananassor8602 Год назад +2

    Wahindi wanapenda sana unyanyasaji jamani tunanyanyasika nchini kwetu wenyewe 😭😭😭😭😭

  • @Desireyakubu
    @Desireyakubu Год назад +3

    Huyo mku wa kituo ana takiwa kushikwa ni mhalifu kama wa halifu wengine

  • @salama1113
    @salama1113 Год назад +2

    Hivi hawaviongozi wanajikuta miungu 😭😭😭💔💔💔

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Год назад +2

    Polen sana ndg zangu jmn dah

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Год назад

    Mwenyezi mungu awahifadhi mashekh wetu huyu ikitaka si muhindi sijui ametoka wapi na watanzania wakipewa vijipesa kidogo haswa police hawa mana pesa mbili manyanyau raisi nae mmm anatembeza jicho tu kashiba hapa ni halal badir yeye ma wanawe watembee uchi hapo tanza. Yetu poleni kwa moyo unavyoniuma ningewagaanga hawa wahindi wa kuchora k

  • @malimmalim5396
    @malimmalim5396 Год назад +6

    Viongozi wa serikali wakislamu musijifanye hamuoni haya kuna laana na moto pia jifanyeni mabubu na viziwi tuu ohooo

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

    rais maghufuli Mungu akulaze mahali pema peponi amin insha allah 🤲

  • @rozina2161
    @rozina2161 Год назад

    Ata nimelia jamani jirani zetu watanzania tena mashehe jamani Allah awapiganie huu ni msiba mzito

  • @zubedahussain2133
    @zubedahussain2133 Год назад +1

    Waombeeni duwa tu

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 Год назад +2

    Matukio yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuna kujazwa kwa hasira kwa wananchi na ipo siku kutatokea kama rwanda kimbali amini

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 Год назад +3

    Uisilam unapegwa vita kila siku Allah atuhifad inshaallah ☹️😭😭😭

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      tena wakishika inchi waislam ndio wanaupiga vita sana uislam awam ya kikwete waislam wengi sana walionewa tena wengi sana

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Год назад

    Nasikia mmesha msusia markaz sawa kabisa abaki yeye na chawa wake na familia yake alafu tuone kama dhulma inaduma. Lkn kama ni haki itadumu.

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 Год назад +1

    Tusikie na upande wa pili nao wanasemaje tusihukumu Kwa kusikia upande mmoja TU.

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 Год назад

      Watasema Al qaida hao

  • @hussainmasoudsubhannallah3786
    @hussainmasoudsubhannallah3786 Год назад +3

    Kama ni Kwa ajili ya maslahi ya kidunia waachieni hiyo markazi mtafute mahali pengine waislam watawapa msaada na kama ni Kwa ajili ya dini ya Allah endeleeni kukabiliana nao ila sijui mkiendelea kungangania mtaachwa na umasikini Hadi wa viungo maana hao bakwata nao ndio wahujumu wakubwa wa mali za waislam

  • @buherokozi1097
    @buherokozi1097 Год назад

    Allhmdllh allah wewe haushingwi jambo lolote hukumu yako haizuiliki tunakumba wewe Allah kwa unyenyekevu wetu sisi wajawako wanyenge tuhukukumie kwa haya yanayo wasibu Wanyonge wote ammina Yaah Allahaa

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 Год назад +2

    Someni albadili waishe mbwa hao kumwonea mtu c haki

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 Год назад +4

    Mhhhhhhm haya mambo yote yapo Tanzania kwelii??

    • @TeamKRX
      @TeamKRX Год назад

      Umelala jioni wahindi wanavyolindwa au wewe si mtanzania Tanzania mgeni akimwaga pesa shakuwa mwenyeji

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Год назад

    Mtihani kwakweli,. Mtanzania nateseka ktk nchi yake.

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 Год назад +6

    Mimi nilikuwa naiomba serkali vituo vyote vya police viwekewe camera kusudi Mambo Kama aya ya watu kuingia usiku Kama anavyosema yawe Kama ushaidi.

  • @Muadhin1
    @Muadhin1 Год назад

    MUHINDI NI MUISLAMU, TATIZO NJAA ZENU NDIO ZINAWASUMBUA. FANYENI DAAWA ACHENI UJAAHIL. ALLAH AWAONGOENI

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Год назад

    Allah atawapa adhabu yakutosha ndani ya nyumba yake wanafanya unyama😭😭😭😭

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 Год назад +10

    Uyu mkuu wa kituo kwanini asifukuzwe kazi inaonyesha amekula rushwa tena iliyo wazi kabisa alafu mnasema rushwa ni adui wa haki?? Tena mkuu wa kituo kabisa anakuwa katiri kiasi iki kweli?

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      HIYO MARKAZI SISI TUNAIJUA VIZURI, NA HAO HAWANA MAMLAKA YOYOTE HAPO MARKAZI, ILA TU WANATAKA UONGOZI WA KULAZIMISHA WAKIDHANIA KUNA PESAAA, NA WAKATI KAZI YA TABLIGHI HAINA MICHANGO WALA MFUKO MAALUM, HUYO ARIFU WANAEMZUNGUMZIA HAPO INGIA RUclips UMTAFUTE KAZI KUBWA ANAFANYA KUISAIDIA JAMII, NA HIYO MISAADA ANAYOPATA HAIPITII MARKAZI NI TAASISI ZAKE BINAFSI, SASA HAO MAJAMAA WANATAKA MISAADA KILAZIMA, YANI NI KITUKO HAO JAMAA, HUYO MUSA KWANZA KAKOSA UDIWANI HUKO MWANZA SASA YUPO HAPA ANATAKA UONGOZI.

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 Год назад +3

    Shekhe mtu mweusi popote pale hamna haki Kwa mtu mweupe haijalishi nchi yako Kwa mtu mweupe popote utakapo shitaki utashindwa hawo weusi wenzako uliokwenda kushtaki njaa tabu wote vibaraka Kwa mtu mweupe hamna shekhe mkuu wala wa wilaya na hata viongozi mtapiga mikelele kama mbwa hamsikilizwi na mtu yoyote kaeni chini mfanye dua mumshtakie mungu ama mgeuke upande wapili ndio silaha hizo

  • @abeidsaid9635
    @abeidsaid9635 Год назад

    Waislamu tunafanyaje hii vita

  • @erastoleonard8625
    @erastoleonard8625 Год назад

    CCM safiiii?

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад

    Wahindi hapa co kwenu,huo muda wa kupiga watu c mngetoa hixo chawa chawa mwilini.Serikali ingilieni kati uonevu.

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 Год назад

    Mbali ya baraza la waisilam baklwata serikali.iko.wapii?

  • @Muadhin1
    @Muadhin1 Год назад

    ABIANS NDUGU YANGU UMEFANYA MIHANGA MINGI, USIPOTEZE MIHANGA YAKO KWA TAMAA YA UONGOZI, FANYA KAZI YA DAAWA ACHA TAMAA

  • @madawamtanzania703
    @madawamtanzania703 Год назад

    Uyooo.andoke..kweke

  • @mamaamour9669
    @mamaamour9669 Год назад

    Mama samiya lionee hilii jaaman

  • @malimmalim5396
    @malimmalim5396 Год назад

    Wenzenu wakristo wanafurahia ila ninyi waislamu mulio na vyeo je hamuyani hayaaaa

    • @zainabumohamed600
      @zainabumohamed600 Год назад

      Furaha ipi ni juzi tu tumeona Kijitonyama migogoro ya kidini ni kote

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 Год назад

    Acheni ulafi arifu yuko sawa

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Год назад

    Kuna kipindi waga nacheka sana yani unapoona binadamu anamnyanyasa binadamu mwenzake kisa pesa zake najiuliza siku akifa shetani atamtafuna hadi mifupa.

  • @calistustitus4566
    @calistustitus4566 Год назад

    Mtamkumbuka jpm kufa kwake wahindi wanatamba?

  • @jabirmwalimu2104
    @jabirmwalimu2104 Год назад +1

    Nyinyi waongo na wachochozi mnaleta uchonganishi na ukabila

  • @allyfaraji4200
    @allyfaraji4200 Год назад

    Markazi mi naijuwa toka nipo mdogo tunakwnda kuwinda ndege cacaiv ninamika 40

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar5695 Год назад

    🥺🥺🥺🥺🥺🥺

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Год назад +1

    Loh! Kuna mgogoro mkubwa,hao wahindi wakamatwe na kama si watanzania wapewe deportation na hata kama ni uraia wa cheti wafutiwe. Halafu Bakwata wanapendelea kwenye. pesa

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Год назад

    Waongo hao njaa tuu inawasumbua msikiti wauweza wapi mia hawana

  • @AA-jl6kz
    @AA-jl6kz Год назад

    Mbona hizo ni taasisi za wahindi kwanini msianzishe za kwenu. Inaelekea mnanyimwa mpunga.

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 Год назад

    Jamani awana huruma ?uyu baba nakitambi jamani wamempiga ivyo

  • @omaryyusuf9405
    @omaryyusuf9405 Год назад

    Haoo wasanii manaa wanajilazimishaa kuliaaa manaa maelezoo yaoo na yanatofautiaa hivii huyoo baba alivoo na mwilii huyoo akabwee na muhindii manaa haoo wahindii wenyewe waogaa wajee wamkabee mh mtihanii munguu atunusuruu

  • @abdullahalbalushi3856
    @abdullahalbalushi3856 Год назад

    Myinyi ni waongo tu leteni ushahidi mbona maneno matypu

  • @nichonicho3477
    @nichonicho3477 Год назад

    KWANI WAHINDI WANAFANYA NINI TANZANIA. HATUWATAKI WAHINDI NAWAENDE KWAO ALAFU WAHINDI WANA NYANYASA SANA WATU HASA WAKIKE MPAKA KUWAAJIRI KAZI KINGONO NA KAMA NIWANAUME WANA WANYANYASA KWENYE MISHAHARA YAOOOOO

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Год назад

    Kasfa kwa Taifa kashfa kwa wanashria kashfa kwa polisi kasfa kwa bakwata kasfa kwa muhindi tapeli na huu ni uchafuzi wa jina la malkaz

  • @rahmasalum6249
    @rahmasalum6249 Год назад

    Ndivyo alivyo huyo muhindi alimtesa mtoto wakaka yake alikuwa anamtengenezea kesi mpaka amekufa nakituo chake buguruni huyo achukuliwe hatua huyo muhindi

  • @abeidsaid9635
    @abeidsaid9635 Год назад

    Hilo imeisha

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 Год назад

    sasa jamani kwanini binadamu tuna msahau MUNGU tuna endekeza pesa na kuumiza watu mimi kwa kweli ndomana siwaamini hata watu wa dini

  • @jumaramadhanirajabu1938
    @jumaramadhanirajabu1938 Год назад +1

    Serikali hii utani mwingi .....

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 Год назад

    Hawa wanao fany ivyo wanategemea nini mbele ya Allah?

  • @nichonicho3477
    @nichonicho3477 Год назад

    Wahindi nawaondoke arudi kwaoo

    • @mamaamour9669
      @mamaamour9669 Год назад

      Kwao shiidaaa india

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 Год назад

      Sawa asili yake ni muhindi lakini ni mtanzania kama vile wamarekani weusi asili Yao ni west Africa lakini ni wamarekani kiuraia musilete ukabila Wala urangi tafuteni njia sahihi za kisheria kulalamika hivyo inaleta chuki na kuvunja umoja wa utanzania kwani mtanzania tafsiri yake sio rangi nyeusi kwa mujibu ya katiba ya jamhuri ya muungano ya 1977

  • @salimumbaraka272
    @salimumbaraka272 Год назад

    Uyo mkuu wa kituo anastahili apewe adhabu

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 Год назад

    Shekhe mpya wa mkoa Dar,sisi tunakuamini ktk haki na wewe si kati ya hao,itakuavyema kama utapambana ktk hili jambo hatakama waliokutangulia washakula hela ya muhindi,bac ww pambana ktk haki hata wakichukua cheo Chao tunaamini ww cmtaka cheo

  • @abeidsaid9635
    @abeidsaid9635 Год назад

    Huyo polisi wakusimamishwa kazi Takukuru wachunguze

  • @mussamassawe7624
    @mussamassawe7624 Год назад

    Hao wahind hao ngoja maachafukwe watafurah!,na huyo mkuu wa kituo atajua kwa nn anacheza na dini!,mwisho huyo mkuu wa bakwata hafai kuwa kiongoz malalamiko yake mengi sana!..

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 Год назад

    Tunataka muendelezo

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Год назад

    Viongozi munaona haya mnanyamanzia watu wanalia wakiomba msada kwenu nyie mnachukulia powa tu ila haya mambo akiendelea itafika wakati watu badala yakuomba msada kwenu watakuwa wanaomba msada kwa panya rodi.maana hata wahindi hao walicho kifanya nisawa nawanachokifanya panya rodi na police imewalinda hii ni aibu

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 Год назад

    Ni sawa shehe ila mwanaume hatoi choz anapambana

  • @jabirmwalimu2104
    @jabirmwalimu2104 Год назад +2

    watu 50 wakupige na marungu uwe mzima hivyo?
    wacha uongo wewe biansi

    • @siasia5469
      @siasia5469 Год назад

      Wewe utakua ndio muhindi mwenyewe unae nyanyasa watu maana huoni hata maumivu ya wenzio

    • @dr.sendeuonlinetv2916
      @dr.sendeuonlinetv2916 Год назад

      Tena ww usiongee kitu chochote watanzania wenzetu wanaonewa halafu unaongea ujinga falaww

    • @Teacher........
      @Teacher........ Год назад

      Yaani we jabir we ndo punye la Alif Tena ni jitu lisilojali unaona haya madogo????

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 Год назад

    Si mlikuwà mnamuona magufur ndio mbaya Aya ssa yupo mamaenu mbona mnalialia

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Год назад

    NA HAO WANAOWATISHIA C WAKAMATWE?KWANI WAO NI NANI?VIONGOZI MPO WAPI WATU WANAPOTEZA MAISHA NA KUUMIZWA KWANN SERIKALI MSIWAKAMATE?

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 Год назад

    Usilie jamani wewe ni mwamme ingawaje inauma

    • @fatithewonderkid621
      @fatithewonderkid621 Год назад

      Huyo anajiliza hapoo , halii hao wamekosa uongozi ndio fitna yote hiii,

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 Год назад

    Amanikuonyesha huyo jamaa minding anahonga p0lice

  • @nichonicho3477
    @nichonicho3477 Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatithewonderkid621
    @fatithewonderkid621 Год назад +1

    HUU NI UONGO MKUBWAA! TENA MKUBWAA, GLOBAL TV UNAITIA CHANNEL YAKO MATATIZONI, HAWA WATU WANA LAO JAMBO, WANATAKA HELAAA KUPITIA DINI, HUKU TABLIGH HAINA MICHANGO WALA MFUKO WA HAZINA , HAO WOTE HAPO NJAA NA WANAITUHUMU SERIKALI.

  • @mauldabdalah2168
    @mauldabdalah2168 Год назад

    Mumeomba dua za kumuua arifu mumeshindwa mumemdhalilisha mmeshindwa kaziyenu kugombania madaraka na utukutu, kazi hamfanyi nahapo mnaongea uongo mtupu ninawafahamu vizur

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      Mche Allah wako fala wewe , nahii sms utakuja kuonyeshwa siku ukikat roho

    • @mauldabdalah2168
      @mauldabdalah2168 Год назад

      @@imamuhamisi4421 wewe koma falawewe hujui lolote mimi nimesomea hapo najua konazote hao wote mimi nawafahamu kwahiyo funga domo

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      @@mauldabdalah2168 atakama umezaliwa hapoo fala mkubwa wew tena unaonekn hujitambui, kwaiy ndo haki waliofanyiwa?

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      @@mauldabdalah2168 inavoonkn hata huelew upo wapi na unafany nin ivi watu waende kwenye social media wamdanganye hujui kama kuna upelelez? Naswsl je huyo alopigwa panga vip kadangany ? Nawasi wasi nawewe chiz mkubwa wew

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      @@mauldabdalah2168 kama wew sio hao wahindi bahati ,

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 Год назад

    Huu usanii jamaa analia kimazabe hata chozi alitoki,acheni fitna.

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      Kama kitu huna uhakika acha unafiki usiongee ni bora kua kimya kwan malaika wanaandik chochote unachofany, huna akil ata kidogo una uhakika unaalia kinafik je wew ungeambiwa ivo ungejihis vipi. Funga domo lako kijana na mche Allah

    • @faridhassan6834
      @faridhassan6834 Год назад

      @@imamuhamisi4421 hii ishu naijua sana na Allah atawaumbua hawa jamaa wanagombania markasi mda mrefu waende wakatengeneze wao

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      @@faridhassan6834 sasa mbona hatuelewi

    • @dr.sendeuonlinetv2916
      @dr.sendeuonlinetv2916 Год назад

      Faridha ww nimnafik

    • @Teacher........
      @Teacher........ Год назад

      Ewe Farid wewe ni kipele wa Alifu acha dhwanna za kiajabu ajabu

  • @mauldabdalah2168
    @mauldabdalah2168 Год назад

    Waongo wakubwa mnajiliza kiunafiki tunajua hamkuvamiwa mmekamatwa kiuhalali na mmepigwa na polisi kwa sababu ya utukutu wenu lahafu mnadanganya umma kwamba mmepigwa na wahindi nyinyi wanafiki

  • @mauldabdalah2168
    @mauldabdalah2168 Год назад

    Washenzi nyie mnaongea uongo mtupu arifu ni mtanzania mwenye asili ya kihindi byanse na kundilako nyinyi niwafanyafujo wakubwa wapenda madaraka njaakali mumewekwa kikao ilahamsikii wala kuelewa tunawafahamu vizuri na miongoni mwenu kunanduguyangu hapo ilasiwezi kutetea ujinga nyinyi niwatukutu

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Год назад

      Kiazi wewe iv kwa ujinga wako hao mashekhe waache kumuogopa Allah waseme uongo??

    • @mdhakasd3224
      @mdhakasd3224 Год назад +1

      Ww chizi kweli kwaiyo uyo police anarusa ya kumpiga raia panga la kichwa fala kweli

    • @dr.sendeuonlinetv2916
      @dr.sendeuonlinetv2916 Год назад

      Kwann asimpige pesa ndo kilakitu